Jmn nashukuru mungu wangu anavyo vyote cm 2nabadilishana cku nzima then god
@shaniachanceline27514 жыл бұрын
I like this lesson everything you said is so true thanks a lot 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😍🥰💓♥️
@danielemaseemase62172 жыл бұрын
Mafunzo poa
@Eva-q7t9e4 күн бұрын
Mwingine Hana mtu mwingine lakini kama unamvuluga hakuambii
@fabianndimanya20553 жыл бұрын
Ila kumbkeni hao wanawake ni maprofesa ipo sku..... 😂😂😂😂😂
@Rahmaseleman-b1c24 күн бұрын
Mafunzo mazur
@mnassogang23983 жыл бұрын
Ndugu yangu big up sana
@salmasaidi28755 жыл бұрын
Yaani umeongea ukweli mtupuu 👍👍
@lizzybahati98334 жыл бұрын
Kwa kweli kaka Mungu akubariki sana
@Kitumainimauwa082 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@Eva-q7t9e4 күн бұрын
Mimi Sina mahusiano sitaki stesi za mawazo ila akija wa kuowa naolewa kabsa
@taturajabu59774 жыл бұрын
Kumi kwa mmoja kwa wanaume wanaokosa vibanda umiza nje!lakni imekuwa ni destuli ya wanaume kuwa na kidumu nje
@fatimamohammed23324 жыл бұрын
yan kila mada unayotoa mr jusam yote yananihusu mimi jomon dah asante bro
@witnesskigonja91514 жыл бұрын
Ni kweri lakini mmmmh!!! Wanaume ni pasua kichwa kwenye mshahara hapo wengi wagumu anakwambia si unakula na ninakujari shida nini
@melianaleba53875 жыл бұрын
Mwanaume anaeza akakutimizia kila kitu na bado anamahusiano mengine tena permanent
@jacksonmathayo65105 жыл бұрын
Siyo chaguo lako huyo tupa kuleee
@priscalyimo58045 жыл бұрын
Anaweza akakuweka wazi kila kitu lakini akawa na wengine kibao
@nyangigenyabitwano11803 жыл бұрын
Wanawake tuvumilie tu hawa watu
@MariaSalim-u5z3 ай бұрын
😂😂😂😂@@jacksonmathayo6510
@MariaMollah-q3m2 күн бұрын
Yaan 😂
@festofrank65063 жыл бұрын
Opo saf kaka nichek waphap kw Namba hiyo hiyo
@arafaabdul51814 жыл бұрын
Sim yake n kama yangu masaa 24 Yaani wew kaka ww doooh mungu akubariki
@hasaniramadhani74703 жыл бұрын
Yan wewe hauna hakili ndie mungu
@joycekasakisya77555 жыл бұрын
Ahsante sn kwa mafunzo mazuri.
@nyangigenyabitwano11803 жыл бұрын
Mimi siujui mshahara wake
@Devilinintungwawc2vk8 ай бұрын
Nimeikubali sana hi
@mald69984 жыл бұрын
😂😂mm wang hv vyote ananishirikish lkn kwenye sim kawek fingerprint 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🤣🤣🙌
@wemaomarywema68524 жыл бұрын
Tatizo hilo
@magynzioka11223 жыл бұрын
kilala chukua kidole ufugue
@fabianndimanya20553 жыл бұрын
😂😂😂😂
@saumusanjiama69913 жыл бұрын
Mbona ulipotea
@dancangichabasaka33693 жыл бұрын
Love it
@salmaqueenhamisi92953 жыл бұрын
Siamin mm mwenzngy
@janethjackson3745 жыл бұрын
Suala la simu liacheni jamani! Wanajua wenyewe wanavyo set kuwasiliana na hutaelewa chchte
@helenamusa4325 жыл бұрын
naombeni unijuze mapenz ni nini kwani naona yanachukua muda mingi kwa akini za watu
@helenamusa4324 жыл бұрын
@@monyojr8001 Asante
@faithnyaboke4994 жыл бұрын
God bless you more
@ashleystarqueen87802 жыл бұрын
Lkn vyote hvyo naviona lkn nikimkosea alfu anitukane inamaanisha nin
@priscillandungi39584 жыл бұрын
Unaelezea wazo moja kwa muda mrefu🤦
@twilumbakabelege34264 жыл бұрын
MUNGU Nisaidie nimpate kama anaesema Mr jusam
@hafsajuma9022 жыл бұрын
Amiiin
@MariaSalim-u5z3 ай бұрын
Ameen🙏🙏🙏
@masterkey5362 жыл бұрын
ni kweli
@joycechaz28405 жыл бұрын
Mmh hapo kwenye mshahara hapo 😂😂😂
@geasonkonja37974 жыл бұрын
kwel
@geasonkonja37974 жыл бұрын
balaka
@alshakizmwongesh86244 жыл бұрын
Joyce na wengi huficha apo kwa mshahara
@aishakassim29262 жыл бұрын
Good
@blessedggithinji61926 ай бұрын
Mume wangu haji nyumbani tangu aajiliwe kazi nairobi the year 2020 anamaliza miezi miine bila kumuona from nairobi to Nakuru nikimuuliza ananijibu nikazi inamfunga kazi ya hotel nairobi akija nyumbani baada ya miezi miine,anaishi siku tatu tuu nyumbani kisha anarudi naorobi nitamuona tena baada ya miezi miine nikimpigia ananijibu ako busy
@bantutzmedia6 ай бұрын
Pole sana upendo hamna hapo
@MerlinaKubadesha4 ай бұрын
Ameshapata kidumu kingine huko mm nahis anakipenda sanando maaan
@mossesezekiel78623 жыл бұрын
👍👍✌️✌️
@johnmagubo42692 жыл бұрын
Je Kam anapokea ila anakwambia nimechoka kesho please. Shda nn
Lkn pia nimegundua aliniendea kwa mganga ili nimpende na nisimuache je naez pata madhara?maaana vyote ulivyotaja nimeviona kwake lkn tatizo n mambo ya kuniendea kwa mshrikina nishauri tafadhali
@bantutzmedia2 жыл бұрын
Hapo changamoto
@hassansinani66844 жыл бұрын
Mm mpenz wang shida kila cku anaumwa alaf nipo nae mbali
@sarashaibu26453 жыл бұрын
Haaaaaaahhh pole sana panda gari mfte et
@mauwasafi41265 жыл бұрын
thank you so much my brother god bless you
@raphaelemmanuel22423 жыл бұрын
Ttn
@raphaelemmanuel22423 жыл бұрын
Nn
@duhhammad72305 жыл бұрын
Hata uwatimizie washenz tu wanaume
@fatmaabdalla11965 жыл бұрын
Kweli wanaume washenz tu hata uwafanyie kitu gani hawajali
@asinatikarim54014 жыл бұрын
Nasapoti kwakweli hawana shukurani wanaume
@alshakizmwongesh86244 жыл бұрын
Ata ssi pia wanawake tunakuanga na shida, utapata mwanamke anafanyiwa kila kitu lakni atahanya tuh
@ivomhagama9796 Жыл бұрын
@@asinatikarim5401naona ni Mme wenu
@ivomhagama9796 Жыл бұрын
@@fatmaabdalla1196lakini Fatma kuoa wengi luksa
@jesuslovesme53175 жыл бұрын
Hapo pa simu waah
@bahatihadijabahati74565 жыл бұрын
Cim ndo shida kabisa😂😂😂
@noorkmab20055 жыл бұрын
Asante sana
@shemimajumanne14624 жыл бұрын
kaka kunawengine wanapokea cmu muda wote na anafamilia kabisa.
@sophiahassan48694 жыл бұрын
Mm yt ayo yuwayafanya lkn chakushangqza mukikosana kidogo tu matus ambayo mmko mwenyew aliekuzaa ajawai kukutus ivyo jaman mitian kweli
@lucymweni83914 жыл бұрын
Pia mmi aki
@zulhatmsakuz11374 жыл бұрын
Mwanaume waivo akikuowa apo ndan uta2kanwa majiran wasikie
@sukariyao65373 жыл бұрын
@@zulhatmsakuz1137 😳😳😂😂😂😂
@sukariyao65373 жыл бұрын
Mie jamani nikifikilia mahusiano wallah naishiwa nguvu bora nitafute tuuuh pesa mapenzi baadae maana kwangu ayana faida zaidi ya kuzeeshana tuuuuh basi
@carzolaalone31263 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@zinazena75454 жыл бұрын
Mm ameniambia kila kitu na ywanitekelezea kila kitu bali usiku ukimuhitaji ywakwambia amechoka umuache apumzike hio nayo nini
@samsongabriel1554 жыл бұрын
Nice
@kuruthumomary35334 жыл бұрын
Mi ananiambia kitu au kuniomba ushaur lkn Cha ajabu ajawahi kuniambia Kaz yake na hata nikiimuliza anasema cpaswi kujua,, Ila nikitaka kitu ananipa Ila mtihani ni huo tu cjui Kaz yake
@bantutzmedia4 жыл бұрын
Kuwa makini usije kuishi na jambazii
@kuruthumomary35334 жыл бұрын
@@bantutzmedia mamaaaaaa mi mwenyew namhofia sometime coz mwaka wa 3 Sasa cjui Kaz yake na watu wanaish tu sema nipo kwangu na yeye kwake
@khadijajuma71424 жыл бұрын
@@kuruthumomary3533 Wapo wengi hawasemi kazi zao, sijui huwa akili zao zinawatuma nn, huwa nashangaa!!!!!???
@kuruthumomary35334 жыл бұрын
@@khadijajuma7142 Mtihani kwakweli cjui wanawazaga ukute tunaishi na majambazi
@khadijajuma71424 жыл бұрын
@@kuruthumomary3533 Kabisaaa, ukute mijambazi au wauza madawa mtu hujui!!! Ndo maana mi najishauri kweli kuishi nae 😅😅nisijejidumbukiza nisikokujua loh
@mbungulanga67294 жыл бұрын
Umeyaongea yote hayo lkn mm kama mm,namfraisha saana miss wangu na haya yote nnayo kiasi chakua yuaniamini,lkn nnamademu kama 20,minaona hata wakiwa kumi lkn kuna mmoja atapata kila kitu ulichosema
@huktydomo64594 жыл бұрын
Mm mpenz wang kaniambia kazi anayofanya lkn hakuniambia kiasi anachopata inakuwaj apo
@carzolaalone31263 жыл бұрын
Anaogopa utamuomba sana Pesa😂😂😂😂
@dorcerenatus74254 жыл бұрын
Wanaume awana shuklan ata uwafanyie nn wajing tu
@bantutzmedia4 жыл бұрын
hahahaha,sio wotee bhanaa mjinga ni yule aliekuumiza sio wote
@mariamyoyote81724 жыл бұрын
@@bantutzmedia ohh Mr jusam aisee na swali la private Sana namba zako please
@Mohabmts4 жыл бұрын
Yaani nahisi nawachukia
@duaalfelisi45824 жыл бұрын
Mjinga ndoyule alie kufanyia
@nuriabinthamisi82064 жыл бұрын
Wanaume washenzi tu hata ujitahidi vip unajisumbua tu
@bantutzmedia4 жыл бұрын
polee shda hujakutana na mwenye akili bado, ila ukipata mme bora utajua tofaut ya mme bora na mvua chupi ni ipi
@rehemashomari25784 жыл бұрын
Yani semeni nyie mimi nilimuwamini sana zahidi ya sana lakini sasa ivi nimekuwa mtu wa kulia tu
@sukariyao65373 жыл бұрын
@@rehemashomari2578 tupo wengi dada mie ndio sina ata amu kla mwanaume akinitongoza naishia kutukqnq tuuuh kma chizi wallah 😪😪