UKWELI KUHUSIANA YANAYOENDELEA NGORONGORO NA LOLIONDO, NAIBU WAZIRI AELEZA HAYA

  Рет қаралды 8,966

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 жыл бұрын
Vizuri sana kwa ufafanuzi muheshimiwa
@enocksaito
@enocksaito 2 жыл бұрын
Nimekuelewa Wewe kama mama unaona vyema wanyama kuzalia huko na watalii wanadamu wenzako wamalizwe kwasababu ya raslimali hizi ,kuwa na huruma kama mama acha kuwa kama mnyama basi
@mzalihalisi4357
@mzalihalisi4357 2 жыл бұрын
uko very clear mama tulilijua hili, wanaojifanya hawaelewi pamoja na hao wakenya wao,, sisi ni kuwaacha tu , wajiburudishe kwa ujinga wao wa kukurupia mambo. wanaongea tu bila facts. hamieni uko kenya kwa wanao wadanganya muone kama hio acre tatu utapewa!!
@petersaitotilaizar9176
@petersaitotilaizar9176 2 жыл бұрын
Maasaini atuhami uyo mama achane na loliondo ni maasai akafadha kwake si kwetu
@stephensapp8375
@stephensapp8375 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀 MTZ Akikamatwa Nchi Zingine Anapelekwa Gerezani Moja Kwa Moja Du!
@rithaurassa
@rithaurassa Ай бұрын
Wewe mama ndie mpotoshaji wa wawatu kuna nini hapo ngorongor mnatumika vibaya hivyo bila kumwogopa Mungu? Mnalipwa ngap? Mnataka kuwahamisha wamasai bila uoga?.
@johnchanzi610
@johnchanzi610 2 жыл бұрын
Wewe mama uelewi unacho ongea nendazako
@alaanjumali8877
@alaanjumali8877 2 жыл бұрын
Kweli we mjinga ndio maana mnataka kutuonda hapaniujinga yen mnajuaje kwamba ardhi so yetu na we sii msaliwa ngoro2 na kama tunaishi na maisha mangumu nn yanakuhusu we stop
@petersaitotilaizar9176
@petersaitotilaizar9176 2 жыл бұрын
Uyo mama ni mwango kabisa sitoriya yetu ujui
@bibliakitabukitamu6015
@bibliakitabukitamu6015 2 жыл бұрын
Kwaiyo mwekezaji ndio kwakeeeeeeeee
@ramseyhusseinkhamis8258
@ramseyhusseinkhamis8258 2 жыл бұрын
Huyo muwekezaji amewekeza nini kwa myaka yote hiyo na nchi inanufaika vipi na huyo muwekezaji
@barakamisila
@barakamisila Ай бұрын
Kawaamishe wazaziwako
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 жыл бұрын
Hamisha hao..!
@PeterKisiongo
@PeterKisiongo Ай бұрын
Kweli Kuma ni Kuma tu peleka nyege Yako Uko Malaya hi
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Ай бұрын
Hiyo habari yako wamasai WA huko hawataki kusikiya
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Ай бұрын
Mbona Kuna mahoteli hayo sii majengoo
@LekuleKipuyo-gk4rq
@LekuleKipuyo-gk4rq Ай бұрын
Wewe umeombwua nini wacha ushabiki nyie ndio mnauza ngorongoro
@godfreysamson3069
@godfreysamson3069 2 жыл бұрын
Kuwen wakweli semeni tunajambo letyuu shenzii nyiny miaka yote mulikuwa wap mmbwa nyiny Kaz kuonea wananchi na kutaka maslay binafsii nanyiny mnaoshadadia hli swala mnafungu lenu tayar mumesha ahidiwaa Kwan hatujuw au iko hvyoo✍️
@barakamisila
@barakamisila Ай бұрын
Wewe hakuna unachoongea
@johnchanzi610
@johnchanzi610 2 жыл бұрын
Uyuwekezaji anatembea kwamiguu Hana mahalo wanataka wapi
@alaanjumali8877
@alaanjumali8877 2 жыл бұрын
Hapana nawe ujui
@johnchanzi610
@johnchanzi610 2 жыл бұрын
Anasema kituambacho haelewi unachokiongeea unalolote mamauyo muwekezaji hanawafanyakazi nawafanyakazi zaidi ya 800 mbonaawambiwi wahame
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Uongo mtupu Kwa nini mmesubiri miaka yote na huyo mwarabu hicho kitalu anafanyia nini kama sio kuwinda na kusafirisha wanyama wetu, na Kwa nini miaka yote hiyo yeye tu awe anashinda hizo tenda za kumiliki kitalu. Mwinyi si ndio awamu yake walikuwa wanasafirisha twiga wazima wazima kwenda Uarabuni . Huyu Samia anataka kuwapa ngorongoro ndugu zake Waarabu ndio maana safari za Oman huko
@LekuleKipuyo-gk4rq
@LekuleKipuyo-gk4rq Ай бұрын
Kwenu ni wapi wewe sio mtanzania ndio mnae msabishia raisi matatizo rudia maelezo yako vizuri
@afmabeat9567
@afmabeat9567 2 жыл бұрын
Huyo OBC kapewa kitalu afanyie nini kama siyo mwindaji?
@mitikasitv7326
@mitikasitv7326 2 жыл бұрын
Hapo nimeelewa ila kuwahamisha wahadzabe huko uwapeleke mjini ni kama kumtoa samaki majini na kumuweka nchi kavu
@johnchanzi610
@johnchanzi610 2 жыл бұрын
Tokalini ulisikiasimba kalamtu
@kayangismaili9946
@kayangismaili9946 2 жыл бұрын
Ungekuwa na uchungu na watoto wa watanzania ungewachukuwa hawa wa dar ambao wanalala barabarani na kuwasomesha
@gracethomas683
@gracethomas683 2 жыл бұрын
Yeye analea wa ndugu zake pia Mungu yeye bado hajampa
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 2 жыл бұрын
Ivi mpaka lini tutaongea maandiko yanasema kutii mamlaka yaliyomo ifike mwisho mbona serikali imeshatoa ardhi nyingine handeni eneo kubwa kuliko hiyo ya hekari 2300 embu serikali fanyeni maamuzi magumu tu waondoeni nchi hii kubwa sana
@godfreysamson3069
@godfreysamson3069 2 жыл бұрын
Ety fanyeni maamuz magumu 😂 broo unachekeshaaa😂
@gracethomas683
@gracethomas683 2 жыл бұрын
Na wewe utukatie eneo lenu morogoro
@barakamisila
@barakamisila Ай бұрын
Kwani ngorongoro wewe ndio unalindaga au niwamasai
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
wapiga kelele ni Wakenya ambao wao sheria ya ardhi na yetu ni tofauti, Kenya nchi yao bado inamilikiwa na koo nne tu Moi, kibaki, uhuru na Raila, hawa jamaa wanamiliki karibu 30% ya ardhi ya Kenya mbona hawaandamani? hiyo sehem wamasai wengi ni wa kutoka nchi jirani , masai wa Tanzania wanaunga mkono juhudi, Majirani wanafanya kila hila ili wajikulie ardhi kirahisi hapa kwetu na wanajipenyeza polepole, na Serikali iko macho, sasa kuna mijitu kazi kula chips tu mjini huku kuna wanaume wanakagua hadi chupi wanazovaa kama zina sumu au lah, kwa mtu makini anatakiwa awe mpole tu Serikali ifanye kazi yake , watu wa idara ya Usalama Tanzania wako makini mnooo, tunakubali wanyama kuhama lakini sio Masai , Masai wa Kenya wabaki huko huko kwao , kwa miaka mingi tumefanya ujirani mwema naona sasa washaanza kuona wana hati miliki, maana hata kuhamia Handeni sio kirahisi hivyo wameona kuna ukaguzi wa Uraia sasa wanaanza kuleta fujo
@kayangismaili9946
@kayangismaili9946 2 жыл бұрын
Acha kuongelea vitu ambazo hauzijui
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 2 жыл бұрын
Wewe jamaa nimekukubali, umechambua kisomi mpaka nikatamani nikukute sehemu nikununulie bia mbili na nyama choma. Umesema ukweli, tatizo watanzania baadhi wanakurupukia mambo bila kufuatilia kwa kina. Kati ya serikali ambazo ziko makini na zinazowajali watu wake barani Africa … Tanzania ipo tatu bora. Kwenye uhamisho wa watu, kuna majirani wamegundua imekula kwao … sasa wanatafuta mbinu za kuleta fujo, naona hawaijui vizuri serikali ya Tanzania na idara yake ya usalama
@lucasmako3763
@lucasmako3763 2 жыл бұрын
Huyu mama Hana Lolote Acha ujinga
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Natamani ningekuwa Masai nihamie huko Handeni! 🤗🤗
@sambekekimani8140
@sambekekimani8140 2 жыл бұрын
Kwahiyo wasomi wa ngorongoro umewasomesha wewe?
@barakamisila
@barakamisila Ай бұрын
Umelaaniwa wewe unawazazikweli pepomchafu wewe
@zackyisaacs7386
@zackyisaacs7386 2 жыл бұрын
Pelekanjaa uko mlavii
@manchalijob9600
@manchalijob9600 2 жыл бұрын
Uriona wap fisi aue mtu
@barakamisila
@barakamisila Ай бұрын
Kwani ngorongoro wewe ndio unalindaga au niwamasai
MBUNGE WA NGORONGORO ANG'AKA, ISHU YA LOLIONDO, KIKWETE AINGILIA!
11:19
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 23 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 6 МЛН
"Mimi NITAJIUZULU, Waziri TUSIJIBIZANE" Mbunge Shangai akiwasha Bungeni
10:00