UNABII ULIOTOLEWA JUU YA MKOA WA DODOMA ULIVYOTIMIA || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:

  Рет қаралды 40,377

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

3 ай бұрын

Kongamano La 4 La Maombi Kitaifa Dodoma 2012

Пікірлер: 227
@apostlemelkizedeckmsechu6274
@apostlemelkizedeckmsechu6274 3 ай бұрын
HUU NDIYO UNABII SASA!! MUNGU ALISEMA NA AMETENDA KAMA ALIVYOSEMA!! Jina la Bwana Libarikiwe!! Mungu Ninakuomba Umtunze Mtumishi wako Mwalimu Christopher Mwakasege na Mke wake Diana na Huduma Ya MANA!
@goodluckngowi7664
@goodluckngowi7664 3 ай бұрын
Hakika Mungu ni mwaminifu. Unabii huu ulitimia katika awamu ya Tano chini ya Uongozi wa Hayati Dr. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Ahsante Mazaltov
@nancydenis.9231
@nancydenis.9231 3 ай бұрын
Am trembling,am shaking ooh🙌🙌 God.Neno lake ni kweli na hakika,akisema amesema.❤🙏🙏🙏
@janemabada3357
@janemabada3357 15 сағат бұрын
Though it was then i can feel God presence now 1/8/2024 when am listening God u reign be glorified forever LET UR WILL BE DONE WE LOVE U OOH GOD IN JESUS NAME
@rahabsuleiman6631
@rahabsuleiman6631 3 ай бұрын
Mungu kama ulivyo ikumbuka Didoma ni kumbuke na mimi😢
@oprahpelle2531
@oprahpelle2531 3 ай бұрын
Amen KATIKA JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO
@angelkwesi
@angelkwesi 3 ай бұрын
Ni kweli kabisa, NENO LA MUNGU ni kweli na amina. Sifa na utukufu kwake YESU KRISTO, aliyejidhihirisha kupitia kinywa cha mtumishi wake, mwalimu Christopher Mwakasege.
@gerrymainmunisi6677
@gerrymainmunisi6677 3 ай бұрын
Mungu huwa hasemi uongo wala hana ahadi za uongo... Angalia Dodoma ilivyo sasa hivi. HALELUJAH HALELUJAH...
@user-hb5om3sk6g
@user-hb5om3sk6g 3 ай бұрын
MUNGU hakika wewe ni baba kwangu kumbuka mdogo wangu anayeumwa wengine wamemkataaa yesu tukumbuke familia yetu
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 3 ай бұрын
Mdogo wako sio mgonjwa tena ila MZIMA +MUNGU+ alie HAI amponye na kumpa nguvu tena katika mifupa yake🙏🙌 ninamtukuza +MUNGU+ alie HAI kwa ajili ya uponyaji kwake YOHANA 14:14, 1 WAKORINTO 1:9.🙌🙌🙌🙌🙏 amini sasa amemponya na uwe SHUKRANI pekee kwa +MUNGU+ MWAMINIFU. UBARIKIWE san.
@abelshija9265
@abelshija9265 3 ай бұрын
Mungu akutie Nguvu na amponye kwa jina la Yesu
@oprahpelle2531
@oprahpelle2531 3 ай бұрын
BWANA YESU ATUKUZWE KAMA ALIVYO HUDHUNIKA NYAKATI ZA KIFO CHA LAZARO HATA SASA HUDHUNIKA BWANA JUU YA HUYO MDOGO WAKE MTUMISHI WAKO AMEN
@heavenlight5084
@heavenlight5084 3 ай бұрын
Neno lako ni kweli na amina MUNGU wangu.,haya yoote leo yametimia. MUNGU AKUBARIKI sana mtumishi wa MUNGU. MUNGU azidi KUKUINUA zaidi na zaidi. Amen.
@12FOREIGNERS
@12FOREIGNERS 3 ай бұрын
Very true,Mungu ni Bwana wa majira na wakati.
@SamsonMtangi
@SamsonMtangi 3 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu mwalimu Chrisopher Mwakasege,,,,,,,
@oprahpelle2531
@oprahpelle2531 3 ай бұрын
AMEN SAWASAWA NA MWANZO 6:3
@mariamwamsojo6720
@mariamwamsojo6720 3 ай бұрын
Mungu katika zawadi uliyotupa Sisi watanzania ni baba yetu mwlm Mwakasege nasi tunakurudishia sifa na utukufu pia tupe kuitumia hii nafasi na tunu hii tuliyonayo🙏🙏
@petrokiula2703
@petrokiula2703 3 ай бұрын
Na ahimidiwe yeye, maana ni mchungaji mwema akiwatuma watumishi wake watendao mapenzi yake kwa kundi lake
@mcback4384
@mcback4384 3 ай бұрын
Glory glory glory to most high God juzi ubalozi wa Uingereza ulifungua ubalozi wao Dodoma, NENO LA MUNGU haliendi bure
@jenivakayanda6611
@jenivakayanda6611 3 ай бұрын
Ni Raha sana kuona maneno ambayo Mungu ameyasema mwenyewe yanatimia Darling Jesus I Love You ❤️
@annasuday1592
@annasuday1592 Ай бұрын
AMEN MTUMISHI MIMI NI WA DODOMA KIJIJI MEMBE EILAYA YA CHAMWONO, MIAKA MINGI KULIKUWA NA UKAME SANA, LAKINI MWAKA 2020 TULIFANYA MAOMBO MAJI YALITOKA MLIMANI YANATIRIRIKA MPAKA LEO, KWENYE SHAMBA LANGU,, KUNAMENGI AMEFANYA WILAYANI SANA NI MEMGI. MENGI MENGI HAYAELEZEKI
@willygidion3404
@willygidion3404 3 ай бұрын
Siku zote huwa sina shaka na mjoli wa Mungu wa mbinguni mwl Christopher Mwakasege, baraka za Mungu wa mbinguni zikumiminikie mwl
@EtinaNdewesi
@EtinaNdewesi 3 ай бұрын
Neno la MUNGU limethibitishwa.hallelujah🙌🙏
@user-hb5om3sk6g
@user-hb5om3sk6g 3 ай бұрын
Amen baba MUNGU amekuchagua hakika yupo na wewe daima tukumbuke hata siku ya unyakuo MUNGU
@tullyibrahim8098
@tullyibrahim8098 3 ай бұрын
Mungu wetu ni mwaminifu.. damu ya Yesu izidi kukufuniks mwalimu Christopher Mwakasege
@fadhilibarnabas3438
@fadhilibarnabas3438 3 ай бұрын
Miezi michache tu alifundisha kuhusu msimu mpya na akasema mambo ambayo yote yanaonekana. Huyu baba Moyo wa Mungu kwetu tanzania Nampenda mnoo Mungu akutunze tu.
@EtinaNdewesi
@EtinaNdewesi 3 ай бұрын
Naishi dodoma na sijawahi hudhuria kongamano😢🙆 eeh Mungu nisaidie mwaka huu nifike hatakama sijui kuomba maadam Pana kitichako Cha Enzi ninahakika sintarudi Kama nilivyokwenda na mimi nitachota upako
@joelmwanyanga4955
@joelmwanyanga4955 3 ай бұрын
Ayub 22:28Hongera na nenda uyaishi maneno yako itakua kwako kamaulivyoamini.Amina
@NENO_UZIMA90
@NENO_UZIMA90 3 ай бұрын
Imani kubwa Sanaa hiyo...nenda ukakutana na Mungu...Roho MTAKATIFU atakuhudumia
@esthermchiwa7896
@esthermchiwa7896 3 ай бұрын
Japokuwa walikudharau Dodoma,Mungu amekuvika vazi la utukufu, Ameen Ameen.
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 3 ай бұрын
Wamemdharau sijaelewa?
@danielkamala2445
@danielkamala2445 3 ай бұрын
namshangaa Mungu kwa miujiza yake hata mimi leo ukiniuliza nawaza kuishi ni DODOMA na sijawai kujutia na nimeona hii video namtukuza Mungu kwasababu kuna kusudi la Mungu katika Tanzania na Dodoma tangu mwanzo 🙏🙏, Groly To God Amen
@AliyHamsin
@AliyHamsin 3 ай бұрын
Hakika wew nimtumishi was mungu alohai mungu uloikumbuka dodoma nikumbuke namie
@user-qt6dc3sc1e
@user-qt6dc3sc1e 3 ай бұрын
Nimeogopaaaaaa mimi❤😢😢
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up 3 ай бұрын
ASANTE BWANA YESU KWA AJILI YA MTUMISHI WAKO CHRISTOPHER MWAKASEGE. I ❤ JESUS 🙏
@annasuday1592
@annasuday1592 Ай бұрын
AMEN AMEN AMEN NAIMEKUWA HAKIKA WEWE NI MTUMISHI WA KWELI"*******"+.
@dismasmlingi7321
@dismasmlingi7321 3 ай бұрын
DAH UNABII wa MWAKA 2012 na kweli MUNGU ameikumbuka dodoma 🙏🏾🙏🏾
@lilianskawa1080
@lilianskawa1080 3 ай бұрын
Neno la Bwana halitamrudia bure bali hutimiza mapenzi yake, kama mvua ishukavyo toka mbinguni kweny ardhi 🙏🙏🙏🙏
@mathewmassawe5982
@mathewmassawe5982 3 ай бұрын
Amina Baba MUNGU aendelee kukutunza, akupe maisha marefu katika huu utumishi katika Jina la YESU KRISTO 🙏🙏
@dorothymmbaga4798
@dorothymmbaga4798 3 ай бұрын
BWANA YESU aendelee kukutunza sana Baba na Mwalimu Mwakasege tunamshukuru MUNGU kwaajili yako Baba.
@batwelkamnyukatv
@batwelkamnyukatv 3 ай бұрын
Ninajivunia kuwa na Mungu wa namna hii. Hakika anatenda, nilikuwa hapa siku hiyo. Haya yametimia. Mungu ambariki na kumwongeza Mwl. Mwakasege baba yetu.
@nicolasnzema08
@nicolasnzema08 3 ай бұрын
Mbona Tangu Nyerere -Kikwete walikuwa na mawazo ya kuhamia Dodoma ila walishindwa unatoaje unabii katika wazo ambalo lilikuwepo vichwani mwa watu...unaonaje akitoa unabii wewe utakuwa Raisi awamu ya 9.[Hapo hakuna aliyetoa wazo kukuhusu wewe kuwa Rais naona atoe unabii huo,bibilia inasema Danieli alitabiri mambo aliyoambiwa na Mungu ambayo hakuna mtu aliyeyajua hata kuwa na wazo na yote yalilenga KUFA NA KUFUFUKA KWA KRISTO haikuwa Miji wala Mikoa]
@Mobmob2013
@Mobmob2013 3 ай бұрын
Kazi ya Roho mtakatifu ni kutukumbusha pia
@IvanSedekia-bv8ep
@IvanSedekia-bv8ep 3 ай бұрын
​@@nicolasnzema08 ebu sikiliza vizuli ndugu utaelewa na hiyo ilikua 2012 na tumeanza kuyaona 2015 alipo ingia JPM ndo Mungu kamtumia kuiinua Dodoma Usidhihaki watumishi mpendwa
@nicolasnzema08
@nicolasnzema08 3 ай бұрын
@@IvanSedekia-bv8ep ‭‭Mt 22:29 SUV‬‬ [29] Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu. Angalia USIPOTEE sababu maandiko kiini chake ni KRISTO sio mkoa wala mataifa unabii wowote au njozi au maoni yote YANABEBA UJUMBE WA INJILI sio miji au mikoa hata asingema au kutoa unabii BADO WAZO LILIKUWEPO la makao makuu ya nchi iwe DODOMA.
@nicolasnzema08
@nicolasnzema08 3 ай бұрын
@@Mobmob2013 Roho Mtakatifu anakukumbusha yale yatokayo kwa Kristo ‭‭Yn 16:13-15 SUV‬‬ [13] Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake. [14] Yeye atanitukuza mimi, kwa kuwa atatwaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari. [15] Na yote aliyo nayo Baba ni yangu; kwa hiyo nalisema ya kwamba atatwaa katika yaliyo yangu, na kuwapasheni habari. Yn14:26 [26] Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia. KUWAKUMBUSHA YOTE NILIYOAAMBIA KUTOKA KWA YESU ...NI YAPI HAYO....? ‭‭Lk 24:46-47 SUV‬‬ [46] Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu; [47] na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu. KUFA NA KUFUFUKA NDICHO KITU ROHO WA KWELI ALIWAKUMBUSHA BAADA YA UFUFUO UNAKUMBUKA KRISTO SIO KITU KINGINE
@majigeedward955
@majigeedward955 3 ай бұрын
Nachoamini ni kua ardhi na anga lilikubali nakutii,,ndiomaana hata maamuzi ya hovyo huayakitolewa hayafanikiwi kwa watu wake Mungu,, asante sana Mungu kwa mtumishi huyu aombye juu ya taifa lake,,
@paulpeter7244
@paulpeter7244 3 ай бұрын
Ni upako gani huu ooh Yesu nami nijalie angalau nifike kama hivi katika utumishi wako😢😢😢
@lydiavegula7641
@lydiavegula7641 3 ай бұрын
Ni maombi yangu ufikie kule Bwana amekukusudia.....mana upako una garama....njia iliyomfikisha hapo....Ata yeye angeoneshwa kabla angesema Bwana siwezi mpe.mwingine.....ubarikiwe
@oprahpelle2531
@oprahpelle2531 3 ай бұрын
AMEN ATUJALIE SOTE
@donathasimon9292
@donathasimon9292 3 ай бұрын
Mungu mwenyezi utendae kazi na Mtumishi wako MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE kutana na haja kuu ya moyo wangu ukanitendee sawasawa na AHADI YAKO🙏
@esthermliga4875
@esthermliga4875 3 ай бұрын
Hakika neno la Mungu ni kweli na amin!! Mungu si mwanadamu hata aseme uongo! Ahadi zake ni za kweli! Asante Mungu kwa unabii huu kutimia,
@danielbugalama3525
@danielbugalama3525 3 ай бұрын
Mungu atukuzwe ..Mungu awabariki mwalimu Mwakasege family
@jehovahshammahevangelicalm732
@jehovahshammahevangelicalm732 2 ай бұрын
Neno la MUNGU ni Amina
@mariakabonga2
@mariakabonga2 3 ай бұрын
Asante mungu kwa ajili ya mtumishi wako chirstopher mwakasege uweza nguvu na mamlaka yako mungu vizid kumwatamia, na ulinzi wa kimungu usimwache ee bwana
@zawadipaul304
@zawadipaul304 3 ай бұрын
Hakika Mungu anaishi. Glory to God in the highest. 🙏🏿🙏🏿 Tupe masikio ya rohoni panapokuwa na unabii wa kutusikizisha na kutendea kazi kutoka kwa watumishi wako. Mhuishe mtumishi wako na huduma uliyowapa katika kuujenga ufalme wako. Amen
@julianakamendu9325
@julianakamendu9325 3 ай бұрын
Hakika wewe ni mwaminifu Mungu wetu tunaona neno lako lifetime pokea sifa na utukufu Mungu wetu
@pjp5164
@pjp5164 3 ай бұрын
Dodoma Dodoma Dodoma take all the Glory JESUS
@timothymwaluko4189
@timothymwaluko4189 3 ай бұрын
Hallelujah, utukufu kwa Mungu,chapa kazi Baba,ulinihubiri kwa njia ya ndoto hadi kuokoka, Mungu akubariki Sana,Mungu akanipa neema ya ualimu pia.Naimani iko siku mafuta uliyonayo utaniwekea mikono,Amina.
@laizerlusiana9215
@laizerlusiana9215 3 ай бұрын
Asante Yesu kwa uaminufu Wako,Wewe Ni Mungu peke Yako Wala Hauna mpinzani,Ukisema Unatenda,,Unastahili Heshima Bwana
@barakaedom3828
@barakaedom3828 3 ай бұрын
Hii ilikuwa kongamano la maomba 2012. I was there. Huu Sasa ndio unabiii.
@lilianchacha5576
@lilianchacha5576 3 ай бұрын
Kusudi la Mungu hakuna wa kuzuia, hakika maombi ni silaha.. Ameen
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 3 ай бұрын
Nashindwa kusema chochote Mi nimeenda kongamano la 14 Mwalimu yuko vile vile Nimewaona watanzania wenzangu Asante Yesu kwa kutupenda sisi na Taifa letu
@brendaluvanda3289
@brendaluvanda3289 3 ай бұрын
My powerful God I worship you❤
@user-rm3fj3rp1i
@user-rm3fj3rp1i 3 ай бұрын
Shalom mawimbi ya sauti hayako vizuri mturekebishie kidogo Mungu awabariki
@sarahpaul3791
@sarahpaul3791 3 ай бұрын
Nakumbuka nilikuwepo hapo siku hiyo na Mungu hakika amelitimiza nilikuwa naitamani sana kuipata hii clip
@hedwigjohn6276
@hedwigjohn6276 3 ай бұрын
Mungu akuweke kwa ajili yetu mtumishi
@mariamtega4139
@mariamtega4139 3 ай бұрын
Hakika wewe ni Baba wa wanyonge,waloonewa asante Yesu nakutukuza amen
@donathasimon9292
@donathasimon9292 3 ай бұрын
Groly 2 God
@meshackmtambulo6580
@meshackmtambulo6580 3 ай бұрын
Amen amen dodoma ubarikiwe
@evelinamalima8645
@evelinamalima8645 3 ай бұрын
Mmmhh....nakuogopa Yesu. Utukufu na heshima narudisha kwako.❤
@dianambise5006
@dianambise5006 3 ай бұрын
Ooh my God!! Glory to God🙌🔥
@JDNewseason
@JDNewseason 3 ай бұрын
Namshukuru Mungu nilikuwepo na hakika Mungu ametenda, bwala la umeme., reli pia alisema, kuachiliwa kibaha pwani etc yote yametimia. Utukufu kwa Mungu Mkuu
@tuombemwakyusa5650
@tuombemwakyusa5650 3 ай бұрын
Tunakushukuru MUNGU unaetimiza Maono ya watumishi wako 🙏🙏🙏 MUNGU hata tusipokutukuza Unajitukuza Mwenyewe.
@mercyulomi7405
@mercyulomi7405 3 ай бұрын
Amen MUNGU aendelee kuwatunza Baba & Mama yetu mwakasege kama MUNGU alivyoikumbuka Dodoma anikumbuke na mimi & wahitaji wote ktk kila nililomwomba
@emmanuelsanturi6610
@emmanuelsanturi6610 3 ай бұрын
Kristo Yesu ubarikiwe Sana.
@prosperjohn6572
@prosperjohn6572 3 ай бұрын
Glory to Jesus❤
@EdnaErnest-ub4xi
@EdnaErnest-ub4xi 3 ай бұрын
Asante Yesu kwa ajili ya ujumbe mzito
@paulsibu5770
@paulsibu5770 3 ай бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu Mwl Christopher Mwakasege, Mungu akuweke mpaka siku ya Unyakuo.
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 3 ай бұрын
Ooo Asante Yesu ndio Kongamano langu la kwanza mwaka huo dah, Mungu ni mwaminifu 🙏🙏
@AgustineTendwa-nx5qi
@AgustineTendwa-nx5qi 3 ай бұрын
Lango la nchi dodoma ubarikiwe mtumishi
@user-xh4ui2lv4s
@user-xh4ui2lv4s 3 ай бұрын
Namshukuru Mungu nilikuwepo kwenye hili kongamano. Hakika Mungu ni mwema sana
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 ай бұрын
Duh hapa ht sijaokoka,ht mwalim sijaanza kumfuatilia Glory be to God
@nathanniel9716
@nathanniel9716 3 ай бұрын
Glory to Jesus 🙌🙌
@user-nn8qr5vf9e
@user-nn8qr5vf9e 3 ай бұрын
Amina ubarikiwe Sana mtumish
@emilianazumbe5521
@emilianazumbe5521 3 ай бұрын
Ameen asante Yesu mi mwanadodoma unisaidie nisimamie kusudi lako Dodoma
@dorisgolden3472
@dorisgolden3472 3 ай бұрын
Mungu ninayekuamini ikumbuke familia yetu tuponye na magonjwa yote ree baba tukumbuke
@PhilipaChoma
@PhilipaChoma 3 ай бұрын
Ahadi zako ni kamilifu hakika Mungu wewe haufananishwi na kitu chochote pokea sifa na Utukufu Bwana wangu
@protasdmassawe
@protasdmassawe 3 ай бұрын
Amina Baba Ubarikiwe
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi pia Mungu akupe miaka mingi uishi
@JoshuaHilgath
@JoshuaHilgath 3 ай бұрын
Amina Amina 👏
@aksasalatiel4299
@aksasalatiel4299 3 ай бұрын
God is Real 🙌🙌
@pilimsangi814
@pilimsangi814 3 ай бұрын
Ameen sifa na utukufu ni Kwa Bwana
@adelinaerrobee6615
@adelinaerrobee6615 3 ай бұрын
Amina nilikuwepo na mm na watumishi wengi wanatarajia kufungua huduma Ddm kwakweli ufalme umeshuka Ddm
@ashalupola7365
@ashalupola7365 3 ай бұрын
Utukufu kwa BWANA YOUR MA dady MWAKASEGE NAKUPENDA MNO
@12FOREIGNERS
@12FOREIGNERS 3 ай бұрын
Kweli kabisa..❤
@MadilishaSimon-sb9kk
@MadilishaSimon-sb9kk 3 ай бұрын
Jehova jire 😢😢😢😢nakupenda MUNGU
@yasinthatemba1336
@yasinthatemba1336 3 ай бұрын
Neno lako huwa haliendi bure Mungu wangu ❤
@user-zq8fn7jx7e
@user-zq8fn7jx7e 3 ай бұрын
Ameeen glory to lord Jesus
@lizyliz5357
@lizyliz5357 3 ай бұрын
Thank you Jesus Christ
@Dr.Modesta
@Dr.Modesta 3 ай бұрын
Ni maono na maamuzi magumu sana ya the late JPM. Mungu anatimia watu wake Atukuzwe Mungu
@amosnnko7792
@amosnnko7792 3 ай бұрын
Yesu aendelee kukulinda na kukutunza baba
@falijiubamba4155
@falijiubamba4155 3 ай бұрын
Utabaki kuwa Mungu wangu
@ZawadielNyau
@ZawadielNyau 3 ай бұрын
Hakika Mungu ni Mungu tu. Anasema na Watumishi wake kabla jambo halijafika bado.
@noelamilambo9595
@noelamilambo9595 3 ай бұрын
Mungu akutunze baba uetu mwakasege
@Eliwanzita
@Eliwanzita 3 ай бұрын
Kwa kweli Mungu huwa anasema na watumishi wake tusiache kuwaombea
@jescaedwardkurumela4333
@jescaedwardkurumela4333 3 ай бұрын
Glory to God, glory to God
@yasinthatemba1336
@yasinthatemba1336 3 ай бұрын
Kwa Mungu hakuna kuwah wala kuchelewa 😢❤
@samwelerasto7138
@samwelerasto7138 3 ай бұрын
Wow, Jesus is good
@YohanaYoramu-nl6bw
@YohanaYoramu-nl6bw 3 ай бұрын
AMEN wewe MUNGU NI BWANA
@willygidion3404
@willygidion3404 3 ай бұрын
Neno la Mungu wa mbinguni ni kweli na hakika
@protasdmassawe
@protasdmassawe 3 ай бұрын
Utukufu kwa Bwana
@selestineumela2543
@selestineumela2543 3 ай бұрын
Mungu akutunze mtumishi wake
@janetshuma4605
@janetshuma4605 3 ай бұрын
Ni Mungu asiyesema uongo, tumeona takitimia
@wendebange8580
@wendebange8580 3 ай бұрын
Neno la MUNGU ni kweli na limehakikishwa , MUNGU uzidi kumtia nguvu mtumishi wako Christopher Mwakasege na familia yake ili umtumie upendavyo Bwana
@rizikipyuzza3411
@rizikipyuzza3411 3 ай бұрын
😢😢😢 thank you JESUS
@DominataBenjamin
@DominataBenjamin 3 ай бұрын
Apana mwangalie mungu sio sisi wanadamu umebamba sana
1 - Kuondoa Mazuio ya Kiroho ya Kimfumo kwenye Mafanikio yako || Mwl Christopher Mwakasege.
3:04:52
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 61 М.
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 51 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: UKUMBI WA MAOMBI DODOMA.
1:48:23
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 13 М.
Mch.DKT   WILLIAM KOPWE - SEMINA YA NENO LA MUNGU-IBADA YA ASUBUHI DAY 1.
42:21
Signs and Tokens I
2:46:09
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 4,7 М.
MAOMBI YA MWL MWAKASEGE JUU YA SHIRIKA LA NDEGE, RELI NA MIFUMO MINGINE INAYOONGOZA NCHI YA TANZANIA
38:41
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 4,4 М.
KANUNI ZA KUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
23:25
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 30 М.
MWL C. MWAKASEGE: NAMNA YA KUJITOA TOKA MADHARA YA VITI VYA ENZI VYA MIUNGU JUU YA MAISHA YAKO. [1A]
41:06
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 59 М.
#mahubiri MAISHA YA ANAYE BEBA AGANO |PR.DAVID MMBAGA | SIKU YA 4
1:12:11
MAMBO YA KUTOKUSAHAU UNAPOINGIA MSIMU MPYA WA  MAISHA
53:09
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 175 М.
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН