Amen Mtumishi wa MUNGU nakukumbuka ulipita pale ubungo ukanikuta nahubiri ukatoa sadaka kusaport huduma nimepitia mambo mqumu ila naufuatilia roho yako inikumbuke kwenye maombi
@Maria-cx4kn2 ай бұрын
Mabii Asante kwa maneno yako lakini ukisema kuwa maombi yako yanapokelewa kupitia nabii Mimi sikubaliani nayo.
@aloycendalu68672 ай бұрын
Uosiounabii sema.munguameioteshandoto siounsbii
@bahatadof55432 ай бұрын
Umeona Mama ee,saa hapo toa solution haraka,wape mtoto wao maana sisi hatuna faida nao sawa kaka umeelezwa vizuri
@florianakhweso57492 ай бұрын
Sawa hawa NI waarabu kwani
@paschalkanagana4582 ай бұрын
Hawa nao watakufa
@juliethscott11293 ай бұрын
Nabii Mungu akubariki naomba Kama nitapata kibali mbele za Mungu naomba kuongea nawe naomba namba yako
@ramadhaniathumani10253 ай бұрын
Mungu akubariki!
@peterkekeza39983 ай бұрын
Mtumishi uko sawa,ivi ni kwanini usimwache samia na CCM yake??ivi gwajima akienda chadema utapungukiwa nn
@reginas18322 ай бұрын
Nani anataka kibaraka
@hafsalucky10883 ай бұрын
Serikali ituonyeshe makonda yuko wapi? Wasitutanie
@OinotiMbessere3 ай бұрын
Ila kuna wanamaombi wengine, wanaomba amani, ya nchi, kama ya walimu, inawezekana, maombi yamefanya kazi, mungu akaepusha, lakini, huyu jamaa, tusimdharau, sisi tupokee maono hayo, tuyafanyiye kazi.
@ChalsesMadata3 ай бұрын
Mwanadamu Ana moyo mgumu mpaka kuharibike ndio huwa anakumbuka na tayari maji yalisha mwangika.
@Leeeeeeee-963 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@DavidJohn-i2d3 ай бұрын
Ukristo ni upagani na ukafiri na utapeli mkubwa ndiyo maana nilihama Ukristo
@mariamfaicalhassan28903 ай бұрын
Bora ulienda kwa majini wenzio
@Corinelio3 ай бұрын
Maana haukufaa kukaa kwa watu walio wasafi wewe ni mchafu na mchawi hatuchangamani na wachafu kama wewe %
@YoakimMsuha2 ай бұрын
Tuliza mshono ulifuata majin yenu uko
@upendoeliya93292 ай бұрын
@@Corinelio🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@elibarikimollel71493 ай бұрын
Serikali makini haitengenezi tatizo ili baada ya migogoro ndio ije itatue baada ya kuwaumiza watu wake
@PiusKimaro3 ай бұрын
Nimeoneshwa na mimi kitu katika maano baada yakukutana na taarifa moja mtandaoni.nikaitathin nikaishi nayo nikapata majib.kuna shida itaanzia upande wa msumbiji.na italenga siasa zetu.nakuna watu wanazmisha tz tuwe na usawa.
@PhilipoNyangusi-f3u3 ай бұрын
Amn
@jakobongwara30383 ай бұрын
Yanaweza tokea
@elibarikimollel71493 ай бұрын
Usimkashifu usiyemjua ukakuta ni wa ukweli,ukajikuta hayo unayomtukania yakakuvaa yakukute makubwa!
@JamesKanyenda-y9y3 ай бұрын
Balikiwa mtumishi
@HAAM6703 ай бұрын
Lakini Mwalimu Jacob, ile Unabii ulikuwa mgumu kuuelewa, hata rais kama alisikiliza asingeelewa till it happens. Sema pia kutafsiri sana ndoto na maono yanayohusu Wanasiasa ni changamoto, sababu hawaaamini kwanza, pili wanaweza kudhani una nia mbaya, kumbe unasema ulichoambiwa na Mungu. This Majid 27, I still don't understand clearly jamani. May the Lord protect our Nation in Jesus name. Amen
@olivernyange23493 ай бұрын
Hii issue ni ya makonda
@RoseKimishabhalemi-oz9bn3 ай бұрын
Watu hao wawe ni wakweli
@allymohamed27243 ай бұрын
BANGI HAKUNA HUMO
@SharifuAhamad-e1y2 ай бұрын
Acha ujinga wewe. Hajakuonesha makonda Yuko wap
@MonicaBeni3 ай бұрын
Lkn umeongea kweli
@KulthumRashidmusa3 ай бұрын
Acha uogo
@JumaKitutu-t4s3 ай бұрын
Chukua hii ameona maandamano yataanzia Arusha
@allymohamed27243 ай бұрын
MBONA HAYA YA MIPAKANI YAMETOKEA MARA NYINGI TU.
@jamessnowden4473 ай бұрын
Utabili ulitoa haundan na mgomo huo
@HABIBHASSAN-wf5mr3 ай бұрын
HIYO BIBLIA HUWA AKUNA MTU ANAYEJUA ILITOKA NCHI GANI AU BASI HATA MJI ILIKOTOKA..KAMA YUPO ANAYEJUA TUNAMUOMBA ATUPE USHAHIDI....
@rogerabdallah4393 ай бұрын
Kazi
@olivernyange23493 ай бұрын
We uliaminishwa Quran imetoka wapi ,ilikuwepo,kenge wewe akili kama mavi
@justine_JLE3 ай бұрын
Biblia asili yake ni huko Hebrew na Greece for more info kama upo willing anzia hapo. Utajua chanzo chake na biblia sio ya wakristo tu hata wewe unaweza kutumia na ukapata manufaa nayo, usijipe mipaka. Ni kitabu chenye falsafa zinazoishi.
@rogerabdallah4393 ай бұрын
@@justine_JLE 👍
@HABIBHASSAN-wf5mr3 ай бұрын
@@justine_JLE Hilo ndio jibu ? Kwamba BIBLIA ilitoka nchi GANI ? Au mji GANI ? Mbona ukimuuliza MUISLAM atakwambia QURAN ilikuja ktk miaka 23 yaani miaka 10 ktk mji wa Mecca na miaka 13 ktk mji wa Madina QURAN ikakamilika...na mfano utaona swala ya Ijumaa imefafanuliwa inavyotakiwa kuswaliwa na utaona mtume Muhammad alivyokuwa akiswalisha swala ya Ijumaa na mafundisho yake yote ya Ijumaa lakini ktk BIBLIA hakuna habari za ibada Misa ya jumapili WALA mafundisho yake na aionyeshi kama Bw YESU alisali sibada ya Misa au AKUWAHI kuingia ktk KANISA lolote inaoneka ni UZUSHI KUMZULIA UONGO bw YESU
@linussaid96123 ай бұрын
Unabii ule nilkufuatilia ila ulisema waalimu wanakuja na jambo lao "sasa mboni forodha" mbambo haya sio ya kinabii brodher acha kudandia matukio hayaendani na unabii wako wako. AU MAJID 27 ndio waalimu.