Undani wa kisa cha Mwanajeshi kujinyonga LODGE Dodoma na kuacha ujumbe mzito

  Рет қаралды 27,052

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mtu mmoja ambaye ni Mwanajeshi, aitwae William Chacha Giriango (40) amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali yake aliokuwa ameutundika kwenye nondo ya dirisha katika chumba cha kulala Wageni kwenye Logde moja iliyopo Mtaa wa Hazina Jijini Dodoma.
Kamanda wa Polisi Dodoma, Martin Otieno amethibitisha tukio hilo ambalo lilitokea September 6, 2022 ambapo baada ya kupekuliwa marehemu alikutwa na meseji mbalimbali, ujumbe wa kwanza alimuandikia Mama yake ulisomeka “Mama yangu nisamehe sana nakuomba”
Kamanda Otieno amesema ujumbe wa pili alimuandikia Mke wake ulisomeka “kwako Mama Derick nisamehe sana kwa maamuzi haya, maisha kwangu hayana maana tena, nisamehe sana nimejitahidi nimeshindwa naomba uwatunze Watoto wetu"

Пікірлер: 7
@JoharRashidy-th6tr
@JoharRashidy-th6tr Жыл бұрын
Matukio. Sikonge
@JoharRashidy-th6tr
@JoharRashidy-th6tr Жыл бұрын
Matukio sikonge
@magrethmagretotwara6521
@magrethmagretotwara6521 2 жыл бұрын
Jamani,
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Жыл бұрын
Sasa mwanajeshi si ni jasiri inakuwaje.
@faridaaloyce4330
@faridaaloyce4330 2 жыл бұрын
Wanajifanya private sana kumbe Kuna mambo yanawaumiza sema upone..
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 2 жыл бұрын
Ila wanaume mnashida gani semeni nafsi zeni zipote kama ukimwi upo nawatu tunaishinao kama watoto wamezaliwa bila mke kujuwa watakuwa wataishi kama ulizini na ndugu au mke kazini na ndugu rafiki ..mnayaamuwa tuu kama deni litalipwa narudia kusema wanaume acheni ujinga
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 жыл бұрын
kaamua yeye
Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar
6:55
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 332 М.
DODOMA KUMEKUCHA!  Huu ndiyo UWANJA wa KISASA wa Mpira UTAKAVYOKUWA
2:12
Global TV Online
Рет қаралды 112 М.
Mbwa akutwa na viungo vya mtoto Dodoma, Polisi yaanza uchunguzi
6:21
Mwananchi Digital
Рет қаралды 8 М.
MSTAAFU KIKWETE ASIMULIA WALIVYOGOMEA IKULU KUHAMISHIWA DODOMA.....
13:30
Global TV Online
Рет қаралды 191 М.
NYOMI LA STESHENI YA SGR DODOMA NI HIVI 🔥🔥🔥🔥🔥
10:13
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН