No video

Ushindani ni ngazi ya mafanikio katika biashara - Misana Manyama

  Рет қаралды 1,931

Misana Manyama

Misana Manyama

Күн бұрын

Je, ushindani umekuwa ni kitu kinachokusumbua sana kama mfanyabiashara na hata kuhofia kuangusha biashara yako? Usijali! Video hii imejaa mikakati inayoweza kutekelezeka itakayokuwezesha KUTAWALA soko lako na kuinuka juu ya washindani wako katika biashara.
Share somo hili kwa watu mbali mbali liwasaidie.
#beatthecompetition #businesstips #entrepreneurlife #kuzabiasharayako #biashara #fursa #tanzania #kenya #ujasiriamali #lalala #elimu #startingbusiness #startup #competition #misanamanyama

Пікірлер: 23
@shafiimpilika3574
@shafiimpilika3574 3 күн бұрын
Umeongea mambo makubwa mno
@SamuelMwambene
@SamuelMwambene 3 ай бұрын
Nashukuru sana mpendwa wangu.
@stanleylufukuja8791
@stanleylufukuja8791 4 ай бұрын
Yes, umeongea jambo zuri, kimsing mm ninaamin sana kujipa ahad, na nmefanikiwa kwa hili, endelea kutupa masomo yanayobadili mitazamo yetu, kwan vjana siku hiz tumebaki kulalamika maisha magum.....
@misanamanyama24
@misanamanyama24 3 ай бұрын
Asante sana nisaidie kushare kwa wadu wengine tujifunze pamoja
@SamuelMwambene
@SamuelMwambene 3 ай бұрын
Asante kaka.
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 5 ай бұрын
Naomba muongelee jinsi ya kuacha ajira na kwenda kujiajiri
@misanamanyama24
@misanamanyama24 5 ай бұрын
Sawa tutakujibu kwa kutumia masomo yetu yanayofuata
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 5 ай бұрын
@@misanamanyama24 in shaa Allah mwenyenzi mungu atufanyie wepesi
@SadickMadidiga-id9fh
@SadickMadidiga-id9fh 5 ай бұрын
Asante kuna kitu umeninifunza mimekuwa mumwanga sana wa kusema kesho kesho Afu sitekelezi umenifunza Jin's ya kuwa mkweli
@misanamanyama24
@misanamanyama24 4 ай бұрын
Ukifanyia kazi hili tuumwezi wa kumi na mbili utakuwa na stori nyingine kabisa ambayo itawaonesha watu kuwa mtu akifuata kanuni mafanikio yapo. Haya mambo ninayofundisha ni mambo ambayo mengi nimeyapitia na ni sehemu ya maisha yangu
@SadickMadidiga-id9fh
@SadickMadidiga-id9fh 3 ай бұрын
🙏🏾
@JoramTseko
@JoramTseko 10 күн бұрын
Unanijenga sana mkuu
@misanamanyama24
@misanamanyama24 9 күн бұрын
Asante sana mkuu
@shaddaadkengwah8619
@shaddaadkengwah8619 5 ай бұрын
Respect
@user-bz5gk7gt1k
@user-bz5gk7gt1k 5 ай бұрын
Nimekuelewa sana kaka ubalikiwe sana sana.kwani watu kama nyie ni wachache mno ila mko tayali kuwafungulia watu milanho na wakawa matajiri.kwa neno lko tu
@misanamanyama24
@misanamanyama24 4 ай бұрын
Asante sana, nafurahi kusikia somo hili limekuwa msaada kwako. Karibu tuendelee kujifunza
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 5 ай бұрын
Thanks
@user-sj1jw6hp8n
@user-sj1jw6hp8n 3 ай бұрын
Nashukuru kwa somo zuri,,lakini naomba uruhusu videos kuzipakua(Download) mana nahitaji kuziweka kweny Flash,,unaongea vitu vya msingi sanaaa lakn zinagoma kupakua
@dicksonmgoga-hj4im
@dicksonmgoga-hj4im 5 ай бұрын
Hapo ni sahihi, fanya vitu ambavyo mtu ni ngumu kuigwa! Maana yake weka pesa mingi uweze kupata pesa mingi!
@misanamanyama24
@misanamanyama24 4 ай бұрын
NI kweli kabisa, nguvu ya pesa ni muhimu lakini kuna mambo mengine mengi ambayo mtu anaweza kufanya na kumfanya awewa pekee. yapo mengi ambayo ukiyafanya yanakutofautisha nawatu wengine.
@HafidhOmar-rs4ty
@HafidhOmar-rs4ty 4 ай бұрын
Mzee unamaneno kdgo yenye maono makubwa thn style kma ruge
@dicksonmgoga-hj4im
@dicksonmgoga-hj4im 5 ай бұрын
Hata kama mtu akiingia atumie jasho nyingi Sana,
@misanamanyama24
@misanamanyama24 4 ай бұрын
Kweli kabisa sio mtu anaangalia tuu nakucopy muda huo huo
LIFE WISDOM : MAJIRA YA KUTENGANA NA WATU - JOEL NANAUKA
15:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 71 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Uwezo wa kufanikisha jambo uko ndani yako kwa 80% - Misana Manyama
12:50
FAHAMU HATUA ZA KUSAJILI KIWANDA
14:10
BRELA ONLINE TV
Рет қаралды 1,3 М.
KANUNI MUHIMU ZA MAFANIKIO - JOEL NANAUKA
11:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 86 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 60 М.
Google Loses US  Antitrust Suit
5:37
Bloomberg Television
Рет қаралды 3,2 М.
UTAFANIKIWA SANA UKIELEWA JAMBO HILI
9:16
Success Path Network
Рет қаралды 8 М.
Biashara inayodumu zaidi ya Mwanzilishi - Misana Manyama
13:21
Misana Manyama
Рет қаралды 2,2 М.
Siri (8) za Kufanikiwa Kiuchumi Na Reginald Mengi
11:32
Pesa360
Рет қаралды 69 М.
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН