Shoo nzurii:Hiyo faida uiwekeze waap ili kufikia financial freedom ambalo ndo lengo mama la kila mfanyabiashara.
@misanamanyama244 ай бұрын
Unaweza kuongeza na kupanua mtaji wa biashara yako hiyo no 1, na kama tayari una mtaji wa kutosha unaweza kuanzisha line mpya ya biashara kwenye biashara hiyo hiyo unayoifanya. Ukitaka maelezo zaidi karibu tunaweza kukuhudumia kwa ukaribu zaidi....
@maxmilianphilipo7914 ай бұрын
@@misanamanyama24 ahsante sana
@Abdulrahmanhassan184 ай бұрын
Bado ngojea somo la jinsi ya kuacha kazi na kwenda kujiajiri. Alafu jinsi ya kuendesha biashara ya saloon ya kiume. Ahsante sana kwa maarifa.
@Cr7fanspage74 ай бұрын
Check this book "CASH FLOW QUADRATS by Robert kiyosaki
@misanamanyama243 ай бұрын
Asante kwa comment, ninanote kila swali linaloulizwa na nimeyawekea utaratibu mzuri kabisa wa kuyajibu. Nisaidie kuendelea kushare kwa wadau
@alisrupia95324 ай бұрын
Ubarikiwe sana sana
@misanamanyama243 ай бұрын
Amen amen mkuu
@stephanosospeter17094 ай бұрын
Ameen
@RamadhaniMachale4 ай бұрын
Unatisha Sana mzee
@Saidmarez4 ай бұрын
Thanks
@BryanNassary4 ай бұрын
Unajua nini brother Nilikua nimeajiriwa nakawa nakufatilia Nikaamua kujiajiri mwenyewe na kufatilia maelekezo yako hakika muelekeo upo Mungu akubariki sana
@misanamanyama244 ай бұрын
@@BryanNassary Pongezi sana sana Bryan. Nakuombea mafanikio makubwa sana ili kuinua wengine
@blackstar-wf3qd4 ай бұрын
Umewzaje umepata pesa kwanza za kutosha au umeacha tu maana mimi natamani mnoooo ila nawaza