Yeah waislam wapambania kuiyona pepo wakristo wakazania kupata maajabu kwa frimason😮 MOLLA wetu ni mmojatu wa kuabudiwa tu ubarikiwe ostath❤
@user-bp5pq9to9e5 ай бұрын
Mwaminini Yesu Kristo Aliyeangikwa pale Msalabani akuokoe na udumu kumtegemea!pasipo YESU KRISTO Mbinguni hakuna kuingia!ewe mtanzania nakualika uje Kwa YESU KRISTO Sasa uachane na dhambi! AMANI YA BWANA YESU KRISTO isikupungukie Kila mwanadamu yeyote aaminiye Neno la Mungu!
@HusseinLimbe5 ай бұрын
Mimi ni Muislam ila huu ni Upumbavu na Upuuzi Nimeamini sasa wakristo kununua mafuta ya mwamposa sio kosa lao hata hawa waislam wanaoitikia NDIOOOO nao ndio wale wale tu Nyie Mashekh mnadhiimma kubwa Swali la msingi… Mtume (saw) alishawai fanya hivyo au kufundisha hayoo Napatwa na hasira kuona upotovu wa namna hiiii
@msagamastv76385 ай бұрын
Huwezi kufananisha nyakati za manabii na nyakati hizi kuokoa watu wa sasa kunahitaji gharama mike anayotumia gharama,kuna umeme hapo,usafiri sasa unafananisha na enzi za ngamia kaka
@madrassatulihyaa-ilislaami29113 ай бұрын
Wew hujapatikana, na dini yenyew pia huijui vzur....Hakika mtume amewafundisha maswahaba dawa
@user-zv4sx9iv8z5 ай бұрын
Allahu Ak'bar, tuna ridhika
@augustinechitemo82075 ай бұрын
Unapotosha watu Huo ni Ushirikina na uganga!
@user-ei3iy5fu1i5 ай бұрын
Kubukeni mungu akuzariwa kwenye mitishaba mungu arizariwa kwenyewantama waporini kama nyani sokwe mutu musitwabie sisiviziwi vipofu mara kifua kikuu
@Issamuemede5 ай бұрын
Kwani binahadamu wa kwanza Kwa mujibu wa bíblia na kurhani walikuwa ni masokwe?
@mjakamjaka575917 күн бұрын
Upo Kwenye usingizi mzigo Sana ALLAH akupe Hidaya
@user-ft3sl3jd4i5 ай бұрын
Wallahi njoo Kenya mombasa na hayo mafuta Kenya uchawi uko thele
@juliusakilimali94245 ай бұрын
Mimi ktk Dunia hii napita tu!! Yangu masikio na macho kuona na kusonga mbele kumtafuta Yesu wangu!
@Nim681825 ай бұрын
ati kwa jina la shafiii😂😂😂
@mudiali45065 ай бұрын
Tizama tel hiyo hapo juu
@rayyanothumanmohammed82615 ай бұрын
Yesu atakukataa tu Mt7:22
@Nim681825 ай бұрын
@@rayyanothumanmohammed8261 umemaliza kusom japo 23 na kuenderea, nii juu yawatendao maovu, Mtu yeyote afanyae maovu atamkana haswaaa
@mimimimi-pg5uk3 ай бұрын
@@rayyanothumanmohammed8261 shida yako ray unataman kudanganya wote, not easy shuka mstari wa 24 sio kusoma mstari mmoja halafu ukautumia kukatisha watu tamaa and by the way sidhan kama unajua umefundishwa ili uje ubishane
@CyimanaHamiss-rm5qv5 ай бұрын
Shekh shafii assalam alaikum warahimatullah wabarakatuh mimi binafus huwa napenda kufuwta hutuba zako sasa mimi naka rwanda kamembe hayo mafuta tutapata adje.hatakama itacukuwa garam ngapi tutalipa bila tupate samahani sana binafusi nielekeze natayapata aje?
@mudiali45065 ай бұрын
Sheikh watu wanauliza tel iweke hapo kwenye screan,
@hassanhamis22445 ай бұрын
mbona km biashara hiyo sasa,ningeona ni jambo la maana kwa kua waisilamu wanazijua hizo aya,kwa maelekezo uliotoa ni elimu tosha kwa wao kwenda kuiandaa,na sio kuwauzia,sio kwa ubaya ila haijakaa sawa
@ExcitedCrab-ph5kp5 ай бұрын
Sheikh mimi naomba kuuliza kuhusu ufahamu hata mtu mzima ambae hafahamu hiyo dawa itamfaa au naomba jibu
@kalelaonlinetv5 ай бұрын
sijaelewa swali
@TheGame-nz7um5 ай бұрын
Mnaemtaja mwenyewe walaaaa hawawazii kabsaa...huyo jamaa anawashinda mbaali sana..mmekalia uswahili uswahili tu kshindana na kila kitu.
@user-he8gu4dr1r5 ай бұрын
Huna akili
@khalifamahondo1915 ай бұрын
maujanj tunampa sisi
@odhiaodhia98985 ай бұрын
Naona umechukia mwamposa kuwanyang'anya waumini
@khalifamahondo1915 ай бұрын
waumini fake😂
@odhiaodhia98985 ай бұрын
@@khalifamahondo191 Yesu ni Mungu
@ConfusedChicken-ze9fz5 ай бұрын
Sasa uo si uganga?acha uongo wewe utakufa vibaya
@FadiAhmed-zw1cu3 ай бұрын
Nko kenya nayapata aje
@kalelaonlinetv3 ай бұрын
tupigie
@shabanimaijo91485 ай бұрын
Uchawi gani??anasema kweli huyu,hao wachungaji wa uongo ndo wachawi
@mimimimi-pg5uk3 ай бұрын
mwamposa pamoja na huyu wote ni kitu kimoja.. kumbuka Ukristo sio mwamposa.
@loner_wolf5 ай бұрын
Darasa na ushirikina.....ustadh umeua kibabe sana.
@AdolfinaSebastian5 ай бұрын
Aaaaaaa sasa wewe unshindana na nguvu za mungu ila mwamposa kiboki yenu ndomana hamuishi kumpiga vijembe😅
@samwelluhwago7055 ай бұрын
Tatizooo bongoo siasa kila mtu mjuajiii 🤔
@joycebongo92755 ай бұрын
Shee.shafii mimi niko kenya jee nitayapataje
@kalelaonlinetv5 ай бұрын
tunakutumia unayapata
@zahorokasentisenti67615 ай бұрын
Achane fitna bhana tengenezen na nyie tuje kununua Kwa buku tu
@adamomar93825 ай бұрын
Shehe haya mafuta ya pangusa znz yatakuja lini
@kalelaonlinetv5 ай бұрын
aguzia utayapata
@samwelluhwago7055 ай бұрын
😂😂😂
@pastor.frank.tmwaisemba74015 ай бұрын
Mwamposa ni kiboko yenu
@mimimimi-pg5uk3 ай бұрын
ni kweli ila ni kiboko yenu nyinyi YESU NI BWANA SIO MWAMPOSA Wewe ni binadam umepewa akili sio mbwa. huyu mchawi anaefundisha pamoja na mwamposa wote wanatekeleza jambo moja tu.
@geofreyndambo86355 ай бұрын
Hawa kila kitu ni wao,utasikia ndege ni waislamu,magari ni waislamu,sasa mbona kwenye Listi za wagunduzi hakuna mwislamu hata mmoja😂
@KhamisHaroub-uj5ci5 ай бұрын
Katik kugunduwa pia tulianza muislam kupitiya kiongozi wetu Muhammad kwaio makafir hawana jipya
@azizihfarijala53075 ай бұрын
mimi na familia yangu tumetumia mafuta ya bwana mdogo mwamposa kwa muda zaidi ya miezi sita lakini sikupata mafanikio ila nilipokwenda tandika katika duaa na kuchukua. mafuta baba mwenye nyumba alitumbia tuhame kumbe yeye alikuwa muhusika . kwa hiyo mwamposa hayakufaa
@Pablolookman2 ай бұрын
Dunia Ina mengi@@azizihfarijala5307
@SalimuMbonyumukiza5 ай бұрын
Marimu tapataje mafuta hayo shekh shafi
@kalelaonlinetv5 ай бұрын
uko wap
@nehemiapatrickmkomamkoma36305 ай бұрын
Napataje mafuta hayo nipo mbeya
@manjoriwakunesa70065 ай бұрын
Nitaka napataje
@darbychannel3545 ай бұрын
mafuta aina 14 + haltiti kisha chemsha
@odhiaodhia98985 ай бұрын
Kwa mwamposa waumini wengi ni waislam ndio wamejazana uko
@user-do1pq2uu1c5 ай бұрын
Hao sio waislam
@abubakarimussa91315 ай бұрын
Umetumwa
@Pablolookman2 ай бұрын
Tofautisha muumini na muislam muumini Hakurupuki ila muislam anafanya chochote bila hofu
@Pablolookman2 ай бұрын
Tofautisha waumini na waislam muislam anawezi ishi mwaka bila kusali lakini muumini hata anashida kiasi gani atafanya ibada kufunga na ibada mbali mbali pia Mungu kawahidi Pepo waumini sio waisilam
@masumbukomoussa9775 ай бұрын
Subhanallah hakuna tofauti Yako na mwamposa kabisa nyote matapeli tuu na katik ujinga huyo utwakuta wanawake ndio wengi
@odhiaodhia98985 ай бұрын
Mimi nakushukru kwa sababu unatambua mafuta ya nwamposa yanaponya, sasa wewe unafundisha watu uchawi
@abubakarimussa91315 ай бұрын
Poyoyo vipi yanakuhusu nini
@mudiali45065 ай бұрын
We hujui kitu ni waji GA WA nao Iba elimu y WA, Islam. Kwa maslahi yenu. Njaa ndio Ina wahangashan mwamposa wenu
@rayyanothumanmohammed82615 ай бұрын
Mt 7:22 biblia
@Pablolookman2 ай бұрын
Uzuri wa muislamanakifundisha bure bila kukufosi uingie katika dini