DR SULLE AFUNGUKA KUTUMIA PETE ZA MAJINI KUPATA UTAJIRI NA CHEO, AMPINGA MCH. NDACHA

  Рет қаралды 6,850

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

14 күн бұрын

KUHUSIANA NA PETE DR SULLE AMETOA ELIMU NA HISTORIA YAKE TANGU ILIPOKUWA NA SULEIMAN MPAKA KUJA KUTUMIKA NA KIZAZI CHA SASA

Пікірлер: 36
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 11 күн бұрын
Mashalah mashalah mwenyezimungu amekujalia sana elimu..nakupendaga sana dokta sule kwajili ya mungu..sisi tunakuelewa sana na tunaamini unachokisema kuhusu mungu wetu...wewe ndo mwanasayansi wetu wakiislam tunajivunia sana kuwa nawewe.. mwenyezimungu akupe heri na mwisho mwema nasisi pia mungu atupe mwisho mwema
@LucaWanzuki
@LucaWanzuki 12 күн бұрын
Unajua sala sule mashaalha mungu akupee elimu zaidi
@andrewmoi2186
@andrewmoi2186 12 күн бұрын
Uyu KWA kweli ni mganga tu lakin nataka kukuambia ukweli Uislamu upo mbali na uchawi
@malundemoud3719
@malundemoud3719 12 күн бұрын
Dr umeongea vzur Sana umefundsha vtu ambavyo vip shidayetu Elim! Wengi hawakuelewi wanakurupuka!. Ushauri Kama Hujui huspende kukurupuka skliza update Elim/madini!!!.
@ALIBINSAID-mc4el
@ALIBINSAID-mc4el 11 күн бұрын
Hiyo elimu unayotoa DK sule hapo sio pahala pake ,elimu kubwa kiwango cha wapokeaji bado kipo chini sana ndio maana unaona matokeo ya wengi ni kulaumu tu ,toa elimu sahihi kwa watu sahihi ,kila lakheri
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 12 күн бұрын
Km mmemsikiliza vzr Dr. Sule,Nadhani mpaka hapo mmeamini hoja za Mch ndacha kwamba kuvaa pete ni kujitakia mabalaa. Pete ni njia ya mapepo kutumia mwili wa mtu.
@ramadhanitawaqal8958
@ramadhanitawaqal8958 12 күн бұрын
Ukimsikiliza Sule Kwa sikio la chuki Tu kisa muislam hautoweza kujua Kamwe ni kitu gani cha ukweli kipo ndani Yake wakristo mna Elimu ndogo Sana ya mambo ya dini tofauti na waislam
@user13375
@user13375 12 күн бұрын
Asante sana dr.sulle unatuwakilisha Waislam
@msamgunda7684
@msamgunda7684 9 күн бұрын
@@user13375 sio waislam,bali ni wachawi.
@omarchaijefwa729
@omarchaijefwa729 12 күн бұрын
HUYU WALLAHY BILLAHY TAULLAHY ATAMDHALILISHA KABLA KUONDOKA HAPA DUNANI NA MTAKUMBUKA HII COMMENT YANGU,SI YEYE AMEKUMBATIA MALI NA DUNIA?ALLAH ANACHO ALICHOMUANDALIA
@khadijaomar7529
@khadijaomar7529 8 күн бұрын
Insha Allah
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 6 күн бұрын
Hizo ni elimu za kidunia hazina uhusiano wowote na dini.
@AngelinaAkuyen
@AngelinaAkuyen 7 күн бұрын
Dr sule mimi salimu niko londwar rakini turukana nahitaji kuja mobasa mulimani kuku tafuta wallahi nasafirinnakutafuta mwezinwatanu
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 12 күн бұрын
huyu jamaa ana akili sana,mashaallah
@abdulazizkassim775
@abdulazizkassim775 11 күн бұрын
Suleiman nikama moussa , moussa alikuwa n'a Power koutoka kwa mungu , n'a siyo fimbo kama fimbo
@isaacmligo9187
@isaacmligo9187 12 күн бұрын
Duuh!😢
@betinvestment3204
@betinvestment3204 9 күн бұрын
Mtume (s.a.w) alipokaa na maswahaba aliwaambia laukama angekuwepo musa namm mkamfata musa basi uma wote mngelipotea kwa maana yeye niwauma huu wa mwisho usitumie pete kisa nabii suleiman alivaa utapotea kama alivyosema mtume Fata tu Quran na sunna zake alizo tuachia basi kufuata hayo aliyotuachia nibora zaidi.
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 12 күн бұрын
Dr.anaelimisha sana ila watu wanajitoa ufahamu kama hayatendeki wakati yapo ni bora watu wafahamu elimu hiyo ambayo ipo.
@AngelinaAkuyen
@AngelinaAkuyen 7 күн бұрын
Kama Gani sule
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 12 күн бұрын
Asante Dr. Sule umesaidia kufichua Siri za Uslamu na jinsi hii dini inavyohusika na uchawi na majini. Wakubisha acha aendelee kubisha,lakini ni dhahiri Uislamu na uchawi ni damu damu!
@mohamedharunamohamedharuna7124
@mohamedharunamohamedharuna7124 12 күн бұрын
Acha uongo wewe
@charlesjohn8843
@charlesjohn8843 12 күн бұрын
Unataka ubishane na mtu anaejua kuran nzima naww hujui hata nusu ya kuran😂​@@mohamedharunamohamedharuna7124
@otaibonny8835
@otaibonny8835 12 күн бұрын
Ndio maana wachawi wengi ni akina mohammad, Ali, Abdul, Rashid 😅😅😅😅😂
@ShomiLongwa
@ShomiLongwa 12 күн бұрын
Mungu akuongoze
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 12 күн бұрын
Dr.watakyelewa tuu usife moyo toa darsa
@abdulazizkassim775
@abdulazizkassim775 11 күн бұрын
Suleiman alikuwa n'a ufalme kwa amri yamungu siyo pete
@mwoso
@mwoso 12 күн бұрын
Kweli nabii suleiman alikua muislamu?
@mohamedabdallah5323
@mohamedabdallah5323 12 күн бұрын
Nyinyi mumeuza akheira yenu
@charlesjohn8843
@charlesjohn8843 12 күн бұрын
Wakristo na nyie tafteni pete jamn😂😂😂 mmebaki nyie tu😊😅
@petromachanga5538
@petromachanga5538 12 күн бұрын
Mamaaaa hahaaa mbavu zangu
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 12 күн бұрын
Uchawi mtupu.
@andrewmoi2186
@andrewmoi2186 12 күн бұрын
Ata freemason wameanza apo apo KWA uyo nabii Suleiman ..kwaiyo ata uyu Moja wao awo mashetani anajificha kwenye Uislamu
@AngelinaAkuyen
@AngelinaAkuyen 7 күн бұрын
Wacha ujinga mungu ariruhusi wazahabu kwamwana muke feza kwamwana wume ume wahinkumuwona akiwa masikini
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 12 күн бұрын
Wajinga hawakosekani hd kiyama kitafika 😂 eti SHEKH
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 38 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 16 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 7 МЛН
FAHAMU KUHUSU MAJINI YANAYOWEZA KUKUPA PESA NA UTAJIRI DR SULLE
21:12
KIMETOKEA NINI BAADA YA KUFA HAMZA- SIMBA WAMUNGU - DR SULE
30:12
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 50 М.
🔴LIVE :DR.SULLE MWANADAMU WA KWANZA ALIKUA MWEUSI SIYO MWEUPE/HISTORIA
59:53
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 38 МЛН