USTADHI SHAFII AAHIDI KUMNYAMZISHA MCH. NDACHA KWENYE MDAHALO KISA MADA YA UISLAMU NA MAJINI

  Рет қаралды 4,843

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

Ай бұрын

BAADA YA MCHUNGAJI NDACHA KUSHIKILIA MADA YA WAISLAMU KUWA NA MAJINI USTADHI SHAFII AMETOA AHADI YA KWENDA KUMFUNDISHA NENO LA MUNGU

Пікірлер: 136
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 Ай бұрын
Mashallah sheikh shafi wapereke shure awo wachungaji amuna kitu
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 25 күн бұрын
Shafdi Allah akuhifadhi upo vizuri Sana na tunakukubali Sana. Allah akuongezee hekima na Busara. Allahumma Aamiin! 🙏✍️✍️
@paulmushi2428
@paulmushi2428 Ай бұрын
Wewe Shafii 😂😂😂😂😂 Mwalimu wako Sule Majini kamshindwa wewe utamuweza Shafii
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
Shafiii uko chini sana ita jini akusaidie , jini amemsaidia sana sule
@babazungu3180
@babazungu3180 Ай бұрын
Shafii achaa nao wehu tu hawajui kitu chochote 😂😂😂 wasikupotezeee muda
@paulmushi2428
@paulmushi2428 Ай бұрын
😂😂😂😂 Shafii mwoga kukutana na Ndacha bila ushirikiano na Mwalimu wake Sule hawezi kufanya midaharo na wahadhiri wa Kikristo 😂😂😂
@salimobeid1470
@salimobeid1470 Ай бұрын
Shafii mchamungu sanaa nakukubali huna sifa za dunia we ni mlinganiaji wa haki
@abdallahhanafi6963
@abdallahhanafi6963 Ай бұрын
Stevinmpozi,kaka dunia tunapita,na utakwenda kuulizwa nani ulikuwa unamuabudu,kuwa muislam ndacha anadanganya watu tu.
@samxx411
@samxx411 Ай бұрын
Hata ukiwaambia hivyo kaka hawakuelewi hao wanataka dawa
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
​​@@samxx411dini yenu imekuja jana tena na lijamaa lichafu ktk kila eneo.Hivi kweli maisha ya Muhammad ndivyo wanatakiwa kuishi wacha Mungu Kweli,mbingu gani inayokusanya matakataka bila kuangalia utakatif 0:00 u
@FridayMwassa
@FridayMwassa 25 күн бұрын
Ataulizwa na nani? Yesu ndiye muhukumu wa haki
@FridayMwassa
@FridayMwassa 25 күн бұрын
Soma yote siyo nusu
@samxx411
@samxx411 25 күн бұрын
@@FridayMwassa hata akisoma biblia nzima hutoamini
@NoshadTindwa
@NoshadTindwa Ай бұрын
Mashaallah ustadh 🙏
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk Ай бұрын
Shekhe unaenda kujizalilisha ukifanya mdahalo na Ndacha coz huna elimu ya Dini
@rashidibrahim8316
@rashidibrahim8316 Ай бұрын
Ndacha ndiyo Hana elimu Kwa tarifa yako
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
​​@@rashidibrahim8316ndacha ni mwalimu wa walimu alimfundisha mzee wa comedy mazinge kamfindisha sule na sasa anataka amfundishe shafii kuwa uislamu ni ukafiri
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule Ай бұрын
Shaffi hebu kubali mdahalo na Ndacha acha masharti yasiyokuwa na sababu tuwasikie hoja zenu.
@MiziziMti
@MiziziMti Ай бұрын
Uislamu bila uongo hakuna hakuna uislam
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 Ай бұрын
Nyie hamujaona hadithi aliyotoa shafii hapo??? kuna neno majini au akili zenu hazifany kazi
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 25 күн бұрын
@@DesderiusHaule masharti anayotoa Shafii huyataki, na wakati anasema shart lake kubwa ni kutokubali matusi, wewe unamuambia aache masharti kwa hiyo unataka kutengeneza chuki, Fitna na Matusi?
@hamisisaid-zz2ye
@hamisisaid-zz2ye Ай бұрын
Mashallah JazzakAllah kheir sheikh Shafii uko sawa kabisa❤❤
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 Ай бұрын
Shafii uko vizur sana Allah akuzidishie.
@user-nk3xk4gg7y
@user-nk3xk4gg7y Ай бұрын
perfect sana shekh shaff mungu akuongoze
@YvetteIrakoze-eu6ww
@YvetteIrakoze-eu6ww Ай бұрын
Yan nampend mungu kam Dr sulle asingekubali majin shafii asingeingiy kwenye 18 za ndacha shehe tunakusubiri kazim umekubali
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Ай бұрын
Ndacha anauwezo mkubwa zaidi utaanza kujigamba na takibili nyiingi
@berry4726
@berry4726 Ай бұрын
Ndacha hajui kitu
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Ай бұрын
Sasa wewe unatetea dini ya mashoga LGBTQ walahujui nanikaiyanzisha maana hatayesu mwenyewe hajawahi kuwaita watu au wanafunzi wake wakristo
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 Ай бұрын
Sjui ww ni mkristo wa wapi? uku Kenya uyo ndacha mweywe wakristo wanamkataa😂😂😂,ndacha hana elimu ata mm namshinda,hatoi maandiko anasoma haraka haraka yeye na msomaji wake
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
sasa wegine wanashabikia dini ya majini
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
@@shabamuhidin634 wanasoma haraka ju Wana elimu lakini wewe mwenye akili finyu huwezi pata lolote , wewe ni last class unaelewa polepole
@PeterMagoye
@PeterMagoye Ай бұрын
Mathayo 28:16 haisemi hivyo acha uongo Mzee ww endelea kuyafuat hayo majini ila kumbuka ole Ole inakuja kilio cha kusaga Meno ndipo utamkubuka Mungu
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Ndacha na Danieli wamelumbana
@didawaso4165
@didawaso4165 Ай бұрын
Nashagaha sana watu wenye helimu lakini awamjuwi mungu
@gervasbeno5589
@gervasbeno5589 Ай бұрын
Utajuwa hujui ndugu , jichanganye kwa ndancha na muwe wawili tu.
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
@@gervasbeno5589 hsmuwezi ndacha huyu nikaa maji kwenye koo
@paulmushi2428
@paulmushi2428 Ай бұрын
😂😂😂😂 kama hawajui Biblia si ndiyo ndiyo ukafanye midaharo jamani😂😂😂😂 yani unatoa majibu tu kwa mtangazaji
@didawaso4165
@didawaso4165 Ай бұрын
Wanamaneno megi lakini awana neno
@peterenos2627
@peterenos2627 Ай бұрын
Shafii acha woga. Inaonyesha unamuogopa Ndacha. Masharti hayawekwi na upande mmoja tu. Mnakaa pande zote mbili mnakubaliana ndipo mnakuja na masharti ya pamoja. Mtu kasoma vitabu vya dini kama vilivyoandikwa, wewe unasema umetukanwa. Huko ni kuzidiwa hoja na kutafuta chaka la kujificha!
@mbalilax162
@mbalilax162 Ай бұрын
Saivi waislamu ndo wanafunguka akili kuwa kuna ushirikiano baina ya dini yao, ushirikina na majini....mi nakushangaa unavyokataa wakati tangu utotoni tumeshuhudia miongoni mwa vitu wanavyotumia waganga wa jadi ni hayo maandishi ya kiarabu. Ndo maana ata mapepo wakitolewa kanisani wanajiita majina ya kiarabu. Hii dini chimbuko lake ni miungu ya kiarabu, ipo siku mtafunguka macho tu
@tbm7tv257
@tbm7tv257 Ай бұрын
Qur,an 8:2
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 Ай бұрын
Ndio maana mm nilisilim aisee,Shekh unaongea vitu km mtu akiacha ushabik hawez kuwa mkristo
@mzaliwaseif7079
@mzaliwaseif7079 Ай бұрын
Ndacha Hana ilmu ila ni msemaji mzuri kwamana aingiyi akili Yesu mungu ndio, Yesu mwana ndio, Yesu mtume ndio. Yani hamna hata kufikiria. Yani ni yes yes yes
@MiziziMti
@MiziziMti Ай бұрын
Shafii hana anacho kijua kwenye Scripture science
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
Huyu Hana ufahamu na qurani muisilamu kamili lazima awe na jini ndacha anaufahamu mkubwa
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 Ай бұрын
Mdàharo lini
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 Ай бұрын
1) wafalme 22-21 2) mambo yanyakati 18-20 mungu anafanya kazi na pepo msafi Aumimi sijaelewa apo? Mnisaidie
@stevenmponzi8168
@stevenmponzi8168 Ай бұрын
majini hawana vizazi bhna sasa kwan kama ni malaika walioasi kwani malaika wanazaaa we endelea na majini yako
@hamisilusambi
@hamisilusambi Ай бұрын
Katika imani ya kiislam majini sio malaika nawala hawana asili ya malaika..ndio mana majini huzaliana tofaut na malaika
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq Ай бұрын
Ndacha hana mpinzani huku mnapiga kelele tu yaani wapumbavu wote
@tbm7tv257
@tbm7tv257 Ай бұрын
Wakristo hamna hoja
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
@@JamesMoses-jd1yq sasa unaona huyu shafii analakusema huyu ni kabubu tu eti majini wazuri na chakula Chao ni damu yabinadamu Hawa ndio wanasababisha maajali barabarani kwa kuwatoa kafara binadamu washindwe katika jina la bwana wetu yesu kristo aliyehai
@aizzyashery5564
@aizzyashery5564 Ай бұрын
Kumbe ulifanya utafiti mkubwa kwa swali gumu kumbe ndacha ni mwalimi wako lakini anaweza pia kuwa mwanafunzi wako ila si kielimu ila kiimami na ujuzi wa kutambua maandiko
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq Ай бұрын
Kama wew dume mwite ndacha
@user-fw2el2ws7z
@user-fw2el2ws7z Ай бұрын
Kulingana nampangilio ya uislamu ..uislamu ni dini ya Mungu
@sosom14
@sosom14 Ай бұрын
Kichwa unga wewe
@idarousidarous
@idarousidarous Ай бұрын
Malaika wameumbwa Kwa nuru na majini wameumbwa Kwa moto kwaiyo majini na Malaika ni viumbe tofauti
@abdallahhanafi6963
@abdallahhanafi6963 Ай бұрын
Kwani wew una ushahidi wa kusema majin hawana kizazi?maana majin ni viumbe ambao wameletwa dunian kwa lengo la ibada,sasa ingekuwa hawazalian si wangekuwa wameisha duniani?kwa sababu wanakufa hao pia,musilete uwana cha kwenye suala la iman
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Ай бұрын
Wewe hayo mazishi ya majini hulishauzuri na uliwaona wapi majini yanazaliana ? Ndomaana wakristo tunasema nyie waislamu mnamausiano na majini mapepo wachafu mashetani yaliletwa Kwa Muhammad awasilimishe
@user-tv9iv8ij1n
@user-tv9iv8ij1n Ай бұрын
kama hawaajui mbona utaki kukutana na ndacha
@loysamwel6308
@loysamwel6308 Ай бұрын
Shafi wacha uwongo njoo kwaye mjadala
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 Ай бұрын
Ata ukiangalia ile surat jini mtume muhammad anafunuliwa habari za majini ambazo alikuwa hazijui sio Kuabudu majini
@FridayMwassa
@FridayMwassa 25 күн бұрын
Acha uongo majini hawazai maana hawana jinsia,waislam mmekuja kupotosha vitabu vilivyo tangulia, shetani hana nafasi ya kutubu.
@beyondsavanna6028
@beyondsavanna6028 Ай бұрын
Usiruke kabla ya ngoma
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Ай бұрын
Mpaka hapo Ndacha sitisha mjadala zidi ya huyu elimu yake ndogo
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 Ай бұрын
Uyo Ndacha ako na utoto sana,si walishafanya mdahalo na akina Yusuf Wambugu kuhusu Jumamosi? si alishindwa kutoa andiko mpaka leo Jumamosi imeandikwa wapi katika Bibilia...leo anakuja kumsumbua Sheikh Shafi kuhusu Jumamosi tena
@petermgonja8547
@petermgonja8547 Ай бұрын
Jamanieeee tuache ushabiki wadau . Tuwapelekeni uwanjani tujue Nani mkweli. Ila huyu hachukui raundi mbili. Huyu ni mpole ni aheri sule
@machindafadhili3186
@machindafadhili3186 Ай бұрын
Nasoma comments tu
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Ай бұрын
Shekhe una shule ndogo sana 😂😂😂😂
@stephanojoseph4357
@stephanojoseph4357 Ай бұрын
Kwahyo kwenye uislamu shetani Anaweza kumrejea mwenyezi Mungu kwa kutibu au ameshahukumiwa??
@hamisisaid-zz2ye
@hamisisaid-zz2ye Ай бұрын
Kuna tofauti kati ya shetani na majini kaka shetani ni mmoja tu aliyefukuzwa kwa ufalme wa mbinguni ila majini ni wengi tu kma wanadamu walivyo tafuta elimu ufahamu kaka Wacha ushindani
@stevenmponzi8168
@stevenmponzi8168 Ай бұрын
Nan kakwambia majini wana kizazi
@salisali3738
@salisali3738 Ай бұрын
Mm apa
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq Ай бұрын
Majini ni upuuzi
@BURUNDIB
@BURUNDIB Ай бұрын
Hhhhh we mujadala hawuwezi kabisa
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Ай бұрын
Huyu shafiii kwa elimu yake hatoshi kabisaa kwa ndacha
@leonardadd
@leonardadd Ай бұрын
Majini ilislimu, ila sio kubatiza
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
Kumbe shafii unajua ukweli kwamba yesu ndio njia ya kweli na uzima adi unaamini maneno yake "na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe Mungu wa pekee na yesu kiristo ulie mtuma"sasa huko kwa mhammad unachelewea nini?
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 Ай бұрын
Ww ndio uelewa huna,hakuna Muislam asie mkubal Yesu na ukiwa Muislam halafu umuamin Yesu ww ni moton, Uisilam unatufunza kuamin Manabii wote wa Mwenyez Mungu sisi hatubagui Nabii hta mmoja
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
@@huseinshedrack6180 mbona mnamswalia mtume mhammad why ana makosa gani mbona Yesu kristo hamumswalii?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
@@huseinshedrack6180 uzuri wauslamu mnajua ukweli uko wapi ila hamtaki kukubali na kuritad muwe wakiristo tu mnajua kabisa mtume wenu hana uwezo wa kuwaombea dua badala yake nyie ndio mnafanya kazi ya kumswalia yeye kila siku sasa iweje mitume wengine km Yesu kristo mshindwe kumswalia lkn mhammad mnamswalia jibu ni kwamba mmeshajua yesu kristo ni mwana wa Mungu muumba mbingu na ardhi hivyo hana madhambi ila mhammad ana madhambi ndmn mnamswalia
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 Ай бұрын
@@ramadhanmahongole9293 ndio maana nikakwambia huna elim ya din,hii sio zama za Yesu ni zama za Mtume Muhammad ndio maana tuna mtaja yy,Kwan zama za Nabii Mussa Yesu alikuwepo...?na km hakuwepo na nyie mnasema Ukristo ulikuwepo wakristo wa zama hzo walikuwa wanamtaja Yesu...?leo Tz Rais wetu ni mama Samia hv watumish wanaweza kuapishwa kwa jina la Kikwete...?soma kwanza din ndio uje huku
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 Ай бұрын
@@ramadhanmahongole9293 unajua mm ndio maana nilihama ktk Ukristo huku kwenye Uisilam huwez Kuta Muislam ana mkashifu Mtume yeyote wa Mungu lkn nyie wakristo cjui mna shida gan aisee, Uisilam ume mpamba sn Yesu na mama yake,hvyo hta ukitaka haki Uisilam una haki kuliko Ukristo sababu una mzungumzia vzr huyo mnae muamin na Manabii wote
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
Shafiii uko chini sana ita jini akusaidie , jini amemsaidia sana sule
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
Shafiii uko chini sana ita jini akusaidie , jini amemsaidia sana sule
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Ай бұрын
Shafiii uko chini sana ita jini akusaidie , jini amemsaidia sana sule
USTADHI SHAFII USO KWA USO NA MCH. NDACHA KISA SABATO NA MAJINI
35:59
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 38 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
UWEZO WA NDACHA KATIKA KUJIBU MASWALI YA HAINA YA MTEGO  KATISHA ZAIDI
13:38
MSIMSHAMBULIE DR SULLE UHAKIKA WA ELIM YA MAJINI HUU HAPA INATISHA No2
44:55
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 38 МЛН