UTACHEKA: Jambazi 'Handsome' alivyoingia kwenye 18 za Polisi!

  Рет қаралды 1,922,480

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

#RPCMWANZA
UTACHEKA: Jambazi 'Handsome' alivyoingia kwenye 18 za Polisi!
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kupitia kwa kamanda wa Polisi mkoani hapa ACP.Jonathan Shanna wanamshikilia jambazi mmoja kwa kuiba gari na kufanya uhalifu wa aina mbalimbali hapa nchini na nje ya nchi.
Shanna amesema jambazi huyo walikuwa wanamtafuta kwa muda mrefu hata hivyo amesema wamefanikiwa kumkamata jambazi huyo huku wangine wakikimbia kutokana na mapambano makali ya kurushiana risasi dhidi ya majambazi hao.
Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. .
Category

Пікірлер: 773
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg 11 ай бұрын
Hongereni Sana kwa kazi nzuri japo ningum, maombi yetu yatakuwa pamoja nanyi.
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 Жыл бұрын
Big. Up. Asp. Wetu. Mpendwaa. Mungu. Awbariki. Note. Mulowezesha. Mchakato
@juliethkipagile4632
@juliethkipagile4632 6 жыл бұрын
Hongereni sana kazi yenu ngumu sana. Hongera wananchi kwa kushirikiana na jeshi la polisi
@zephaniamartin4071
@zephaniamartin4071 5 жыл бұрын
Magu hoyeeeeee
@katidasologuitarlist1946
@katidasologuitarlist1946 2 жыл бұрын
Tz u blessed having such confident Askari kawyida
@fatmamasoud6243
@fatmamasoud6243 6 жыл бұрын
safiii xanaaaaa kaziiiii nzuriiii kamandaaaaaaa safiiiii nanma hiyoo
@nehemiahkasiano3740
@nehemiahkasiano3740 11 ай бұрын
Aisee kazi nzuri sana mmefanya
@abodetidings8392
@abodetidings8392 3 жыл бұрын
asante sana kwa hii
@abdulmalikiramadhani8067
@abdulmalikiramadhani8067 3 жыл бұрын
Asante kwakazinzuri
@elizabethsanga9184
@elizabethsanga9184 4 жыл бұрын
Aisee hongereni sana kwa kazi nzuri Mungu awabariki sana Kwa kuubaini huo uizi
@KafumuMaseba
@KafumuMaseba 9 ай бұрын
hongeleni sana Askari wetu
@eliaspeter4017
@eliaspeter4017 2 жыл бұрын
Smart presentation
@aliyukishombo4800
@aliyukishombo4800 2 жыл бұрын
That is nice, hongereni saana viongozi wetu makamanda kwa kazi nzuri, mshughulikie na huyo ipasavyo
@fredrickbilaury7466
@fredrickbilaury7466 6 жыл бұрын
Hongereni sana kwa hilo
@annachristopherokeno9387
@annachristopherokeno9387 6 жыл бұрын
Asanten sana mashujaa,, mungu awape nguvu na afya njema kila iitwapo leo
@josephnchunga6554
@josephnchunga6554 6 жыл бұрын
hongera Sana kwa kazi nzuri mliyoifanya
@CetribeaBurundibwiza-tz5le
@CetribeaBurundibwiza-tz5le 6 жыл бұрын
GREAT WORK!.
@MosesKaponda-wx5vy
@MosesKaponda-wx5vy 9 ай бұрын
Hongera Sanaa police wetu kwa kazi mzuri
@abubakarziad9556
@abubakarziad9556 6 жыл бұрын
hongera kamanda kwa kazi nzuri. japo kuna baadhi ya Askari wanaliangusha jeshi la POLISI
@dosantoelly3495
@dosantoelly3495 2 жыл бұрын
Ikopia,sana
@waziryjumanne8668
@waziryjumanne8668 3 жыл бұрын
Safii sana
@habibamura5255
@habibamura5255 Жыл бұрын
Safi Sana 🕴️🕴️
@مكتومالدرعي
@مكتومالدرعي 2 жыл бұрын
Mmmh hongeleni sana maasikali yani wote mngekua hivoo
@fledymavikamavika6580
@fledymavikamavika6580 3 жыл бұрын
Aiseeee kazi ipo
@naomileonald8895
@naomileonald8895 Жыл бұрын
Ongereni sanaaaaaaaa
@shadrackdede8380
@shadrackdede8380 6 жыл бұрын
Nawakubali sana jeshi letu la polisi kwa kazi nzuri mnayofanya kupambana na wahalifu,majambazi mliobaki jifunzeni kwa wenzenu hao na muache hiyo kazi batili mtakwisha.
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 3 жыл бұрын
Hongereni kamandawetu
@philemonkayombo6563
@philemonkayombo6563 3 жыл бұрын
Mungu akuongezee cheo kaka hongera xn
@oswardukulule6245
@oswardukulule6245 6 жыл бұрын
kazi nzuri kwa ufafanuzi tu unaonekana ni mweledi na kazi yako hongera sana afande
@missmrs829
@missmrs829 3 жыл бұрын
Afande uko vizuri sana
@chachamwita8350
@chachamwita8350 6 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@greyfive_tzt3861
@greyfive_tzt3861 6 жыл бұрын
Safi sana kazi nzuri
@KaburaaronManyasa
@KaburaaronManyasa 10 ай бұрын
Hongera saana kamanda kwa kaz uloifanya yaan mm kwa maon yangu watu wa hivyo wakikamatwa wawataje wenzao napia wauwawe maana hao niwauwaji 🙏🙏
@judithiwakaroyo8694
@judithiwakaroyo8694 6 жыл бұрын
Ongereni Sana asa jeshi la polisi mwanza NI mfano wa kuigwa mungu awabariki kea kazi nzito. Mnayoifanya
@CHARLESBUNELA
@CHARLESBUNELA 6 жыл бұрын
kamanda yuko vizuri sana katika kujieleza, big up jeshi la polisi kwa kazi nzuri
@salumkibwana1848
@salumkibwana1848 6 жыл бұрын
Hongereni askari
@asiaissa976
@asiaissa976 4 жыл бұрын
Hongereni sana maaskari wetu kwa ukakamavu na nakupambana na wahalifu mungu azidishieni nguvu zaidi amii
@hakibamuhamed4115
@hakibamuhamed4115 5 жыл бұрын
Hongereni mapolisi kazi nzuri
@husnatawete7071
@husnatawete7071 6 жыл бұрын
Hongera sana jesh letu kwa kaz nzuri
@abdullahbakar1511
@abdullahbakar1511 6 жыл бұрын
Ahsante Kamanda
@dicksonrichard9489
@dicksonrichard9489 4 жыл бұрын
Hongeren mungu awabark
@R.mkushi-vo2hn
@R.mkushi-vo2hn Жыл бұрын
Saluti Sana kamanda, mko vizuri inatakiwa wajue ulienda kozi kusomea na sio kucheza..👏👏👏🤝
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 11 ай бұрын
Hakika hicho ni kikozi kweli,mngewauwa tu,maana wa wangewawahi wangewamaliza askari wetu,Hongereni sana askari wetu kwa kazi nzuri
@agripinamgema3656
@agripinamgema3656 4 жыл бұрын
Du poleni sana. Hongeleni police
@lama6310
@lama6310 2 жыл бұрын
Big up wakuryaaa..Mara Moja💪✊
@mfaumeramadhani4772
@mfaumeramadhani4772 6 жыл бұрын
Ongera kwa kazi nzuri kesho letu , Kilichobski nawao wapigwe risadi live
@marcoisaack9811
@marcoisaack9811 6 жыл бұрын
mko vizuri sana mungu awape maisha marefu
@JuliusRyoba-er8bd
@JuliusRyoba-er8bd Жыл бұрын
KAZI nzuri Mungu awape police wetu ulinzi
@bintmkonge4283
@bintmkonge4283 5 жыл бұрын
Hongeren sana kaz mzur
@johnmarunda653
@johnmarunda653 6 жыл бұрын
Kazi kazi
@kambamazig02024
@kambamazig02024 2 жыл бұрын
Hongera sana Kamanda!
@fklouisviutton9424
@fklouisviutton9424 6 жыл бұрын
Kali sana bro 🔥 🔥 🔥
@victorbuziba3011
@victorbuziba3011 6 жыл бұрын
Big up kamanda,mambo ni Moto♨️♨️♨️♨️.💯✔️👍. thanks.
@asilaalshedhani7028
@asilaalshedhani7028 6 жыл бұрын
mwanza kazi tu
@mickidardyussuph5540
@mickidardyussuph5540 6 жыл бұрын
Hapa kazi pongezi sana makamanda kwa kazi nzuri sana wapambanaji muwape zawadi kwa kazi nzuri
@sayibahati7316
@sayibahati7316 2 жыл бұрын
Hongereni sana maaskari wetu, mpo vizuri sana, Tanzania mnailinda na kuitetea usiku na mchana
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 жыл бұрын
Hongereni sana makamanda wetu.
@monicachacha455
@monicachacha455 Жыл бұрын
hongera sana jeshi la polisi
@amaniagai6569
@amaniagai6569 6 жыл бұрын
Big up sana jeshi LA polisi kwa kazi nzuri Mungu awazidishie nguvu
@saifalrajhi5001
@saifalrajhi5001 6 жыл бұрын
Safi Sana mkuu, big up Mr President kwa kazi yako
@lucaskasonde648
@lucaskasonde648 4 жыл бұрын
Safi sana afande iyo ndokazi njema
@fatmanaseer6416
@fatmanaseer6416 6 жыл бұрын
Hongereni kwa kaz nzr
@shamumarashidi3401
@shamumarashidi3401 6 жыл бұрын
Daaaaaaaaah kazi nzuri hakika na cha moto wamekiona dadeq zao wallahy
@samweljeremiah8886
@samweljeremiah8886 6 жыл бұрын
Hongerenj sana askari wetu,,,Mungu yuko nanyi
@leonarddamian838
@leonarddamian838 6 жыл бұрын
Hongereni sana polisi wetu kwa kazi nzuri.Pia kamanda unaelezea vizuri sana nakupenda.
@mariak1242
@mariak1242 6 жыл бұрын
Watanzania na kiswahili....Wa !!sanifu kweli.....Hongera sana
@jumakikwenga5803
@jumakikwenga5803 2 жыл бұрын
Duh!
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 6 жыл бұрын
Amen amen. Hongera vijana wetu. Nawasii ndugu acheni ualifu siyo dili . tafuteni kwa haki na Mungu atawabariki. Dereva Mungu atakusaidia utapona . amen.
@blandinasaulo3725
@blandinasaulo3725 6 жыл бұрын
Vizurii
@ashirafunasibu8170
@ashirafunasibu8170 4 жыл бұрын
Safi sana makamanda wangu wa police TZ
@ndemasishayo801
@ndemasishayo801 4 жыл бұрын
Usiseme hongera huwa sio wote wana hatia na
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 4 жыл бұрын
Hongera sana mkuu na hakikisha umemaliza kz sio kuturudishia, nikidhani umeelewa I salute to you 👮
@nayfatyally4108
@nayfatyally4108 9 ай бұрын
A no
@firdausfirdus7122
@firdausfirdus7122 4 жыл бұрын
Ongereni Sana Tanzania naipenda tanzania
@kariskaristo2951
@kariskaristo2951 3 жыл бұрын
Karistoo
@erastomushi6525
@erastomushi6525 6 жыл бұрын
Safi sana makamanda
@erickdonald5443
@erickdonald5443 Жыл бұрын
Rip boss
@johnjames7080
@johnjames7080 5 жыл бұрын
Tna arusha!hongera mapolis wetu kwa kaz nzur mungu awatangulie
@abdulsaid4579
@abdulsaid4579 5 жыл бұрын
Nashukuru askari wetu kw kazi nzuri mmayofanya! 😁😁😇
@babamchungaji3473
@babamchungaji3473 4 жыл бұрын
Safi sana makamanda wa mwanza
@ToxicAfricanKing
@ToxicAfricanKing 2 жыл бұрын
10:17 "Wanakupiga noti...."😂😂
@victoriakasiani9410
@victoriakasiani9410 6 жыл бұрын
Hongera kamanda
@zakariashigela35
@zakariashigela35 6 жыл бұрын
Hongereni mwanza jeshi letuuu
@nellymisheck1893
@nellymisheck1893 4 жыл бұрын
Daaaah hongeraa jeshii LA police kamaa unaaminii ZA MWIZII NI AROBAINII dondoshaa like yakoo🤔🤔
@georgejulius2769
@georgejulius2769 3 жыл бұрын
Upo vzur Afande
@samedifrancis2319
@samedifrancis2319 6 жыл бұрын
Good
@mokiaolenaputu7648
@mokiaolenaputu7648 6 жыл бұрын
Hongereni sana jeshi la polisi. Jamani tuwaunge mkono na kuwasapoti hawa watumishi wetu
@missmungai8140
@missmungai8140 3 жыл бұрын
Nice job asikali wa Tz
@charlesmartine3467
@charlesmartine3467 3 жыл бұрын
Aaah ni balaa
@transmadale
@transmadale 6 жыл бұрын
Hongereni sana Jeshi LA polisi Mwanza
@mariammvaa5190
@mariammvaa5190 4 жыл бұрын
Hatar
@footballtriangle355
@footballtriangle355 6 жыл бұрын
Jamaa ana passion na kazi yake
@fatmakhamis1018
@fatmakhamis1018 6 жыл бұрын
subhana llah
@nicholaussimon886
@nicholaussimon886 6 жыл бұрын
Hongera sana, kamanda pamoja na kikosi chako Hiyo ni kazi nzuri sana.
@annapeter4994
@annapeter4994 6 жыл бұрын
Hongereni sana makamanda wetu. Ni vema na mshahara mkaongezewa muweze kuwa na moyo na ari mpya ya kuwatetea wananchi wenu
@antonythumi1129
@antonythumi1129 4 жыл бұрын
Tanzanian with swahili, I like ur language. Sisi wakenya ni sheng tu.hongera kwa polisi wa Tanzania
@zenjivibe1365
@zenjivibe1365 3 жыл бұрын
So sad
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
Umuongo hata nyie mnaongea kiswahili Sena nyinyi mnafupisha kiswahili usidanganye watu wasio Juwa kenya
@hadijasalimu1808
@hadijasalimu1808 4 жыл бұрын
Mashallah jeshi latazania wahodari nawapenda sana
@dmsknb1541
@dmsknb1541 4 жыл бұрын
RIP kamanda
@danielduma950
@danielduma950 6 жыл бұрын
kazi nzuri, hongereni jeshi la polisi
@adammfuse3467
@adammfuse3467 3 жыл бұрын
Jambazi
@adammfuse3467
@adammfuse3467 3 жыл бұрын
Adai kuzalishwa kuzalishwa7
@elizabethmwandu9899
@elizabethmwandu9899 6 жыл бұрын
Asanteni sana jeshi la polisi kwa kazi nzito mnayoifanya ya kuwakamata majambazi sugu yaliyoshindikana, Mungu azidi kuwatia nguvu na moyo mkuu wa kuisafisha nchi yetu dhidi ya majambazi sugu.
@andrewmafweshi5685
@andrewmafweshi5685 5 жыл бұрын
I like this one
@muhammadsalim2614
@muhammadsalim2614 3 жыл бұрын
what do you say about this?
@monicamonica4597
@monicamonica4597 4 жыл бұрын
Asante kamanda 👮👮 makofi tafari wezi wanazidi sana
@abdullahbakar1511
@abdullahbakar1511 6 жыл бұрын
Barabaraaa, kikosi kabambe, imara na shujaa.
@anthonynjoroge968
@anthonynjoroge968 6 жыл бұрын
Nice job hongera comada Jonathan...watching from Kenya...
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 10 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 38 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 79 МЛН
Undisputed III: Redemption | Final Fight Scene
13:24
Cinewatch
Рет қаралды 2,5 МЛН
Huyu hapa 'Daktari Feki' amenaswa Bugando "Mimi sio daktari"
3:30
Global TV Online
Рет қаралды 2,4 М.
Polisi feki waliokamatwa Dodoma, RPC Muroto akiwahoji maswali
8:19