Рет қаралды 284,687
Msanii wa kuchekesha na kuigiza sauti Oscar Nyerere ameonyesha uwezo wake wa kuigiza sauti za viongozi mbalimbali akiwemo Rais John Magufuli, Mwl Julius Nyerere, Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda, Spika mstaafu Anna Makinda na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.