mlinga akiwa bungeni ana wakilisha ze comedy show pamoja n mizengo ya ITV
@saddykhateeb61827 жыл бұрын
atakuwa Shiva anamtafuta kaka YAKE kinguvu
@charlesmartin14487 жыл бұрын
sawa sawa huyu mlinga wa wapi Tanzania bado tupo nyuma ni kazi kweli
@mujahidhakeemhakeem11347 жыл бұрын
spika amesimamia hajafanya upendeleo safi sana
@susanafabiani34686 жыл бұрын
kweli ccm nishidaa
@janethkiswaga58476 жыл бұрын
Pole yenu wana ulanga
@meshacksanga33486 жыл бұрын
sawa mkuu
@iddiibrahim59637 жыл бұрын
Nakupongeza naibu spika endelea na kusimamia haki kwa wanyonge
@bakarikitayage56875 жыл бұрын
2020 sitapoteza kura yangu , mnyika anza kutafuta kazi ya kufanya, utoto baɗo unakusumɓua
@kbdmsafi_tz80946 жыл бұрын
haleluyaaaaaa
@thadeipeter25927 жыл бұрын
Naibu spika anatenda haki.cyo kama yule mzee wa kigogo.
@jamilaismail52277 жыл бұрын
yani uyo sijui Mlinga mbona analeta masihara wakati watu wanataka maendeleo ya nnchi kweli Alf akitoka apo analipwa pesa ,inasikitisha Sana na Bi Tulia umenifurahisha Sana wanataka kuleta mchezo wakati wa kazi na ingetokea siku moja mmbunge wa ccm akileta ujinga nae atolewe nnje ili iwe fundisho na wabunge waheshimiane.
@stevensenghana45847 жыл бұрын
jembe mnyika amerudi na moto saafi sana mimi kwa mzee Magu anafanya kazi ila kuna mijitu bendera fuata upepo kazi kusimama ivi mara vile
@ruzukually99825 жыл бұрын
jamani ulaga hili jamaa mliga nichizi
@daudcosmas17044 жыл бұрын
Hiyo nayo hoja kutoka kwa mringa
@foibennjeje77305 жыл бұрын
Safari bado Mwaitege such hiyo
@alialibablly70105 жыл бұрын
Kama sauti hiyo ni ya mpinzani angetolewa nje lakini ni wa ccm kazi endelee
@ephremmtuya30947 жыл бұрын
Kujadili mavazi ni kupoteza muda wa Bunge
@mahmoudukusso44887 жыл бұрын
poleni waTZ wenzangu kama hii ndio aina ya wabunge tuliyo nao
@fundikiller70027 жыл бұрын
Hahahahaahh tumerogwa
@lucasgasper52357 жыл бұрын
Pole ww usiejielewa
@mateisimon84546 жыл бұрын
Kazi IPO kwa uyo mbunge sijui wa wapi unasimama na kuanza kuomba muongozo "kava Nguo za traffic"??
@daudimaguha94477 жыл бұрын
Mlinga fanya mambo, uko vizuri
@lucyleopold33247 жыл бұрын
huyu mlinga wananchi wake 2020 wasimrudishe kwakweli very sad na bunge letu
@pastoryemmanuel32777 жыл бұрын
iv awa watu wakikutana ata barabaran wanasalimiana kwel😟😟
@margarethsolomon98237 жыл бұрын
Umeharibu kila kitu Mnyika. Pole sana sana sana. Uongozi hautafutwi hivyo. Vita hatuvitaki. Ngonjera hiyooooooooooooooo. uko nje ya point.
@kulwajames41787 жыл бұрын
Margareth Solomon hujui lolote ww n mjnga tu, mnyika anaongea point
@vailethkihunrwa57707 жыл бұрын
kazi tunayo
@majidchita50706 жыл бұрын
Margareth Solomon we ni kiazi
@stanslausmteme84556 жыл бұрын
umeambiwa c vita ya siraha ni vita ya siasa na uchumi Hata Mh.Rais alisema kuhusu kuungana kwa vita ya uchumi
@abdalahkombo49757 жыл бұрын
wabunge kama mnyika ndio wanaofaa
@ibrahimgwasma2354 жыл бұрын
Hivi ukiwa mpinzani lzm uwe Kama vile,,Kila kitu unaona ni kosa tu ,, yaani Kama vile tunadai Uhuru duh!
@sazafsuma75426 жыл бұрын
kweli hili bunge lambumbu jambo lisilo maana hupewa kipaombele
@marthasilas43047 жыл бұрын
bunge: muda mrefu mpaka hawana tena ya kujadili wanaanza kujadili mavazi
hata baadhi ya CCM wako wenye akili lakini wanaogopa kuchangia ukweli maana wataambiwa wapinzani tulimuona Magufuli alikuwa hawezi kusema au kutenda kama haya hivi Sasa kwasababu alikua anaogopa kuwapinga wa juu yake ndio tatizo la CCM na Tanzania mtu akichaguliwa kuwa yeye asimamie Jambo anajiona anakili kuliko wengine hawajui maarifa ya wengi ndio akili
@sazafsuma75426 жыл бұрын
ccm wao kushindana mavazi tu bungeni
@abdallahhamza96897 жыл бұрын
Ndio madhara yakuchagua darasa la saba
@bushmendatoga47547 жыл бұрын
hivi huyu mlinga amepitaje jamani mbona ni kama hana akili.....
@winifirdamayara24197 жыл бұрын
mbona Yuko vizur
@mangiclaus7 жыл бұрын
huyu jamaa hatakiwi bungeni
@ramadhanibrahim76197 жыл бұрын
Huyu Mlinga zero
@bonabonala76856 жыл бұрын
Mnyika uripo 2po nawewe vita ya Kuondoa ccm kwa kutoichagua ccm nimekuerewa
@mtawalanyazirari3767 жыл бұрын
Mnyika unapokuwa na point acha kuweka mbwembwe unapoteza maana... unaanza kampeni bungeni nani atakusikiliza ndugu yangu?
@mkwechemedy99297 жыл бұрын
Huyo jamaa kama angekua wa chadema Angefukuzwa
@timothkivamba91227 жыл бұрын
Sio kampen ila nimifano na dalilii ya kitu kinacho tazamiwa kutokea
@reganjuma1527 жыл бұрын
mnyika oyoooooooo ila wapinzani vichwa balaaaaaa yaaaani wana akili kuliko nimependa sana
@zakiamseka96986 жыл бұрын
😨😨
@petromsanga91274 жыл бұрын
Tafadhali WABUNGE mnapokuwa bungeni .JADILINI mambo ya MANUFAA kwetu nasiyo yasiyo na MANUFAA kwetu MAVAZI sisi TUNANUFAIKA mini,,,
@sangwanimkandawire77257 жыл бұрын
yaan kuna wabunge wanacheka kabisaa??
@famally71387 жыл бұрын
hehehehehheheeh haki ya mungu kuna watu saa mbovu
@allannaftal52007 жыл бұрын
kumbe kuna wabunge hawajitambui na sheria hawazusomi vzur
@ayubusanga54147 жыл бұрын
Mlinga ni komedian
@enockelisha63944 жыл бұрын
😂😂😂🥂
@sophiamhando58706 жыл бұрын
Kweli kabisa katiba ya mwaka 1977 imempa rais mamulaka makubwa mno!
@danieliskander96806 жыл бұрын
Kuna utani wa ajabu kabisakwa wabunge
@kamgishakaganda55066 жыл бұрын
Katba nidra yanchi,lakn ccm hawaitaki dira yawananchi,2waondoe2.
@idreamfoto7 жыл бұрын
Mlinga Dah! Unazingua Hahaha
@dastaniguni55996 жыл бұрын
Bunge kutoonyeshwa bhana
@chrisleona30987 жыл бұрын
Hivi huyu kaenda bingeni kuwakilisha wanachi au komedy
@abiyoomab19766 жыл бұрын
Bunge la bongo bwana utani mwingi
@glorykweka16317 жыл бұрын
Mmhh! duniani kuna watu jamani! mliomchagua huyu mbunge mna hasara kubwa au hizi komedi ndo aliagizwa afanye humo bungeni? Hovyoooo
@ellyms55817 жыл бұрын
hahahahaaaa wapinzani wameamua kuwa wahubiri duh boraa haha magufuli mwisho ya maneno penda usipende utamtumikia Mungu coz pa kuiba Hakuna tena hahahaaa
@rosemarybenjamin58667 жыл бұрын
lkin kaamua tu kutuchekesha
@egfridmkoba47677 жыл бұрын
Huyu anazungumza kampeni za uchaguzi
@elirehemalodasu6717 жыл бұрын
Mradi tu naye aonekane amesimama na kuchangia
@hermancholela6764 жыл бұрын
Elirehema Lodasu aonekane nae kuwa yumoo
@msamajames76634 жыл бұрын
Mnaacha mada za kujenga nchi vinaongelewa vitu feki duh
@deobajutha88057 жыл бұрын
Kule ulanga mmepeleka chizi bungeni
@anthonyngonyani91354 жыл бұрын
hahahahahah
@hermancholela6764 жыл бұрын
Deo Bajutha hahaahaa shda wanayoo
@charlesmagere90207 жыл бұрын
hovyoooo......kabisa.. Mnyika hujui taratibu za utumishi wa umma? sema naibu spika kakutetea....lakni umekuwa kichwa maji sana
@joshuawerema57997 жыл бұрын
mtu tahila kama huyu anafata nini bungeni
@swaymross89877 жыл бұрын
Joshua werema k
@habibushaban6726 жыл бұрын
Elimu in bahari
@bakariali40267 жыл бұрын
ulaini !uo sio ulaini ni wizi tu ndo unawasaidia
@eliarichard83247 жыл бұрын
huwezi waelwa kwa akil zko ndogo kama wabunge wa ccm
@archbordygodfrey77706 жыл бұрын
Zeroooo huyu mlinga ...hawa ndo waizi wa kura kisayansi....
@hermancholela6764 жыл бұрын
Archbordy Godfrey kabsaaa
@bujalulambo6967 жыл бұрын
Yaani? Mnataniana bungeni
@mariamupeter53707 жыл бұрын
buja lulambo 🏃🏃🏃🏃🏃
@wilbertmmole68307 жыл бұрын
Mariamu Peter uyu mlinga akachunguzwe akili
@mariamupeter53707 жыл бұрын
Wilbert Mmole 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@bujalulambo6967 жыл бұрын
Mambo ya trafki yann?
@lotasaruakimakambu69497 жыл бұрын
buja lulambo Sijaelewa runakoelekea. Taiga linalomwaga DAMU za watu ni TAIFA lililopotoka. Watu wataendelea Julia mpaka link? Tujkulize ! Ina maana Mungu anapendezwa na Damu zinazomwagwa! La hasha! Ikosiku anayoijua BWANA wa majeshi NATO itakuwa Sikh ya kilio n kusaga meno kwa wale wanaohusika kuyarenda haya. Ole wao wanasababisha umwagaji was damu isiyokuwa na hatia Mungu ananggjea kikombe chake kifurike.SAA ya Bwana imekaribia. TANZANIA na Watu wake ni Mali ya Bwana. EWE MUNGU IPONYE NA KUTUOKOA WATANZANIA KATIKA JINA LA YESU!EWE BWANA WA VITATUPIGANIE BWANA SISI WENYEWE HATUWEZI INGILIA KATI VITA HIINI YKO BWANA KATIKA JINA LIPITALO MAJINA YOTE MJINA LA YESU NIMEOMBA. NA NDIVYO ITAKAVYOKUWA NIMENENA AMEN.
@tyytgyut8847 жыл бұрын
Bola ningezaliwa uraya daah
@georgedominic29237 жыл бұрын
Mtu anasimama kutoa taarfa ambayo haina msingi daah
@nurdinrashidi40326 жыл бұрын
huyo mbunge was ccm ameenda kuchunguza mavaz au kutetea wananch shida kweli
@geraldmbhosy80437 жыл бұрын
mnyika ovyo asubiri 2020 agaragazwe
@shukranswai97016 жыл бұрын
Mlinga kapimwe mkojo kwa mkemia unafanya zekomedi wwe chura
@omarymbalala62247 жыл бұрын
Ili bunge kweli dahifu yani kila anachosema wa CCM ni kuzuri wanapigiwa makofi dah ila alisema ukawa inakua gunzo
@justinemgomi95617 жыл бұрын
huyu mlinga ni kama ccm wote
@nuhumhagama21237 жыл бұрын
huyo mlinga ni zero brain kabisa Bishop Gwajima sayed that 'zero on brain translates zero on action and thinking "
@bakariali40267 жыл бұрын
yani mtu anapoteza mda kijinga kuomba taarifa akisha analeta ujinga sasa mavazi ya nini ,,,,yani hii ccm haiondoki tu madarakani kwa nini ?ewe ALLAH pokea dua yetu hawa watu watoke maana tushawachoka hawa wanakera sana