Mh heche atambue kuwa watanzania tunajua kazi nzuri inayofanywa na serkali ya mh magufuri :pia tunawajua wabunge walio na nia ya dhati kwa wananchi 'kwa kutoa ushauri kwa serkali yao ..pamoja na usemi wa serkali yenu maneno anayotumia mh heche ,jambo hili nalifananisha na mtoto akishiba kutupa vyombo'na kuviita vichafu ...mh..mpango in miongoni kwa mawaziri wa kasi ya mh ..magufuri hivyo na kasi hii itapelekea baadhi ya wabunge kubaki wakishangaa!na kulalanika;wakifikiri kwenye budget ndipo pa kupigia campaign in mwaka mmoja umebaki wataingia kwenye uchaguzi, 'wabunge'madiwani'tutawaomba mtuambie ulichofanya in pamoja na mh heche ..hataki kabisa hata kusifia hata posho anayopata sh 300000.00 kwa siku wakati kuna wanoitumikia kwa mwezi ..na wengine wakulima waliowachagua hata kuipata in bahati kwa mwaka 'sijasema mshahara kwa mwaka na mwezi * nani, atakuwa maskini je kwa miaka 5 ni fedha kiasi gani na hii ni sheria iliyotugwa na wabunge na hayo (maposho)basi wekeni sheria ya kujitolea tuona kasi yenu .mhe..mpango /ndalichako/nditiye/zitto/Daniel/Obama/chiza/vuma/serukamba/sisi wananchi wa kigoma tunajua bahati tuliyopewa na serkali ya awamu ya 5 ya ccm hatuhitaji na hatupenda kukosa fursa 'na kulalanika ..tu kwani uwepo wenu in mtaji kwa wananchi wa kigoma' na kiongozi bora halalamiki hutoa ushauri kwani yaliopangwa anayajua,wananchi ndio wanaopaswa kulalanika kwani,huenda mipango ya serkali baadhi in vigumu kuijua,pia nawapa ujumbe kuwepo kwa (refugees) ktk mkoa ilikuwa fusa sasa tuona shida kubwa ..kutoka kasulu,kibondo kwenda nchi jirani sio,mbali tunawahitaji mje kama timu mzungumze na wananchi ...jambo hili sasa linatishia maisha ya wananchi was kigoma,na kuna vitu vya msingi ,umeme ,barabara,ujenzi wa kituo cha afya busunzu KB...zahanati iliyopo hutoa huduma kwa kata yenye wakazi zaidi ya 15000 ..jingine in swala LA usalama..tunajua jitihada za polisi na viongozi wote mungu awatia nguvu..kusimamia kwa dhati ,na kwa haki,nasi wananchi tunaunga mkono..hata kutoa chombo cha usafiri kwa ajili ya kituo kidogo cha polisi busunzu..jambo hili sio dogo...ombi kwa mh ..ndugai na mh ..tulia tujulisheni kwa njia zote maalam na haraka budget ya serkali .na hata kupia njia ambazo in rahisi kwa wananchi walioko vijijini kigoma, mtwara na ngara..kujua kwa haraka shughuri za serkali..mwisho na save ujumbe na nia in njema niliowataja watanisamehe lakini,tumsaidie mh ..magufuri.. kwa kuona hakika maendeleo ya nchi yetu ..
@joyceMwaikusa12 күн бұрын
Asante heche
@mercybyashara97116 жыл бұрын
Asante Heche
@gabrielkitia67676 жыл бұрын
Nakuelewa Sana mh
@andrewmagwila86496 жыл бұрын
big point
@josephmatonyi18026 жыл бұрын
Henche asante tata asante saaannaaa
@williamkishiva94465 жыл бұрын
Hii machine aisee
@pascarmwatosya58556 жыл бұрын
Daaa hecheee hata waliokupigia kula wanajisikia lahaaaa,Mungu akujalie hakika uko vizuri.
@kibachak78505 жыл бұрын
Nakuelewa sana
@ramahhouzzer23425 жыл бұрын
Heche point zako ni nizito sana kwa mtu aliesoma na muelewa
@zubedaramadhani57776 жыл бұрын
Asante ukwel WA mungu utabakia siku zote
@stephanomwakyobe46756 жыл бұрын
amina na iwe ivy kweli
@anthonymgogo26516 жыл бұрын
Umeongea points zote baba
@TeamKRX6 жыл бұрын
Anthony Mgogo si. Uongo
@abduliurassadaudi50516 жыл бұрын
huwezi kuona point
@zumamarande29696 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏
@emmanuelalphaxard92765 жыл бұрын
Kamanda heche
@marwanguma11375 жыл бұрын
nabii,hafiiiii kamwe..
@wiza23096 жыл бұрын
Ni kweli tupu, tatizo haiwezekani kutengua tena. Ila kwenye utaratibu wa Kindoa kuna tatizo, watu wanaishi mbali na familia, umuhimu wa familia uzingatiwe maana ndio kiwanda cha raia waliopo na wajao
@evodmagidanga77306 жыл бұрын
Wiza Mushi Unapoingia kwenye majukumu ya kiuongozi hujui kuwa unafamilia? Kama ni familia baki nyumbani basi ulee familia.
@wiza23096 жыл бұрын
@@evodmagidanga7730 ndiyo maana tunasema iwepo mipango, kilabjambo linafanyika kwa mipango hapo hakuna swala la uongozi, wewe hujapatwa na kadhia, watoto shule n.k. ulipate kwa mwenzako utaona simple
@mgimaabdul10645 жыл бұрын
Heche natumaini unazijua shidazetu sio kama waropokaji
@emmanuelayall50296 жыл бұрын
Kuna tofauti kubwa katika uzito wa hoja inapotolewa na mbunge wa chadema kuliko wa CCM japo mi siyo mwanasiasa na sina chama ila huwa wanaongea ukweli mwingi kuliko uongo.
@mugemainyas52416 жыл бұрын
Sioni point.
@Keputchelo16216 жыл бұрын
Kuelewa inahitaji utulivu na uwezo wa akili yako upoje
@evaristshonga95666 жыл бұрын
cjui ameongea nn hapo ndo ninapopata shida kuwatambua wapinzani
@bahatisadikiwambura85476 жыл бұрын
huwezi kuona Kama umpofu
@hechechacha40326 жыл бұрын
Mtu ameanza na katiba hujaelewa Huoni pointi Ameongea kutojipanga kuhamia dodoma hujasikia Anasema kuhusu ndoa za watu hujaona kitu Yawezekana huoni kabisa
@georgesamwelchacha76806 жыл бұрын
+Evarist Shonga Mpaka uwe na uelewa mkubwa ndipo utalielewa bunge
@kibachak78505 жыл бұрын
Ndomana huwa nasikiliza hoja za upinzani tu cyo fisiem
@awadhially2 ай бұрын
Mwamba wa tarime
@evodmagidanga77306 жыл бұрын
Kazungumza vizuri ingawa ni kwa jaziba. Ila ukweli ni kwamba hakuna nchi au mtu yoyote ambaye anaweza kutatua changamoto zote, pia kitu kingine mfano wa mgonjwa hauendani na kuhamia Dodoma.
@fredreckmwakalinga34756 жыл бұрын
Akisimama mbunge wa cdm lazima uwe makini hoja mzito na zenye mashiko
@mohammedsalim63986 жыл бұрын
Fredreck Mwakalinga hapana ni kama wanapoteza hamu yA kuchangia na wamekata tamaa na wamezidisha CHuki na jazba? Hawawezi tena kuisaidia serikali ni ma lawama jazba na matusi?ni kelele tuuu wote Nadhani wangepumzika wakawaacha ccm wakafanya kazi zao ,Mbona serikali inafanya kazi vizuri tu? Jana tumeona miradi yA Maji mikubwa tu inazinduliwa? Tena majimbo yanayoongozwa na chadema? Leo inafuatiliwa tena bunda kwA bulaya? Siasa za CHuki hazitatunufaisha
@scholarmawalla67356 жыл бұрын
Wanazengo mbona mko kimya hapa hamjasikia ama mnafanya makusudi? mpita njia
bro jaribu kweka mitambo yako sawa coz saut yako mwishon mwa video ii iko juu mno so kulko ata mbunge fanyia kaz ilo
@humayduwe17626 жыл бұрын
Hahaaaa tisha sana kichwa
@fantsonmpango77426 жыл бұрын
Ni kweli kila jambo razima liwe na mipango, hata nyumbani kwako ni mipango kwamba mwaka huu ntafanya hiki next hiki
@evodmagidanga77306 жыл бұрын
Fantson Mpango Mipango ya kuhamia Dom ilianza Lini?
@smarty10646 жыл бұрын
Ha ha ha haa fact inauma mzee hatutaki kusikiaaa
@kajanjaahamadi75506 жыл бұрын
heche ninoma yaan wewe pekeyako sawa na wabunge makofi 50 wa ccm aiseee wazee wakununua wabunge wanakuwinda kama lisu
@fatumarajabu8106 жыл бұрын
Kwakweli ...miundo mbinu ddoma bdo sana.... Wangetengza kwanza
@rashidmaingu36396 жыл бұрын
Nchi hii imebak kuw inaendeshwa kwa matamko,mkulu akisema asubuh k2 ata km hakiwezekan kwa ck hyo lazima watendaj wafanye atakama n kwa lasha lasha ilimladi kumlidhisha yy
@ibraharuna30456 жыл бұрын
HECHE UKO VZR NA HEBU IFIKE WKT WABUNGE WOTE MUISAIDIE TAIFA HILI NA C KUPIGA MAKOFI KIHOLELA.
@stephanomwakyobe46756 жыл бұрын
m4c
@sultannchacha6666 жыл бұрын
Jamani wabunge wa Ccm sio kwamba wao wanapenda ila inawabidi ili waonekane waadilifu kwa mtu mmoja na si kwa watz
@getaromagaiwa79186 жыл бұрын
Wengine wana vyeti feki """""waanze kusoma """""badala ya kupiga simu na miayo chuoni!!!!!!!!!!!!
@mugemainyas52416 жыл бұрын
Hata angeanza na wimbo wa taifa . Mi nimezoea kusikia kelele kutoka kwao.
@salumushabani53646 жыл бұрын
Anae lalamika dodoma kuwa jiji ajiuzuru
@omarmbwana40296 жыл бұрын
Sawa hamna mpango hayo yanayofanyika katika nchi hii ya ujenzi wa miundo mbinu mbalimbali pesa zinatoka wapi nyinyi wapinzani acheni kuropoka ovyoovyo wananchi wenu hamuwajali halafu munapiga domo tuu wakimbia bajeti ww
@nkatakulimamkuwa48726 жыл бұрын
Wabunge wa upinzani wanaakili kuliko mipumbavu ya ccm pumbavu
@dariuslimbu23256 жыл бұрын
Ni kipi hapo kilichokufanya utukane
@jimykayaga23766 жыл бұрын
@@dariuslimbu2325 ujawai niangusha heche mungu akubarik sna mwalimu wng
@fantsonmpango77426 жыл бұрын
Darius Limbu kupiga makofi kujipendekeza japo ukweli unajua
@TeamKRX6 жыл бұрын
Nkatakulima Mkuwa wao wanasubir 2020waje wapore na kitupiga dag
@mkamaboniphace76355 жыл бұрын
Duuu nikweli jembe
@PetroMwita-yc2uy3 ай бұрын
😂😂😂😂😂lnauma sana na inaliza sana heche
@ngomagipaul70115 жыл бұрын