WALEVI WALIOPEWA DAWA na MGANGA ILI WAACHE POMBE WAFARIKI - NDUGU WAELEZA - ''ALIWEKA ASALI MBICHI''

  Рет қаралды 2,963

Global TV  Online

Global TV Online

19 күн бұрын

WALEVI WALIOPEWA DAWA na MGANGA ILI WAACHE POMBE WAFARIKI - NDUGU WAELEZA - ''ALIWEKA ASALI MBICHI''
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 25
@globaltv_online
@globaltv_online 17 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@Gsamir694
@Gsamir694 17 күн бұрын
Mwenye zi Mungu aziweke roho zao mahali pema peponi milele na milele daima aminaaaahh poleni sana familia yake yote
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 17 күн бұрын
Aisee walale salama pole kwa familia
@MwajumaMtonda
@MwajumaMtonda 17 күн бұрын
Dawa ya kuacha pombe ni ushauri tuu wa kisaikolojia.
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 17 күн бұрын
Innalillah wainnaa lillahi rajiun polen familya
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 16 күн бұрын
Kuacha pombe Ni maamuzi kutoka moyoni ukidhamilia
@florianhenry7198
@florianhenry7198 17 күн бұрын
Hiii nchi hiii kwahyo jamaa kawalaza mbele . Duuuuuuh pole
@user-yg7dy8ls9e
@user-yg7dy8ls9e 17 күн бұрын
Ama kweli wameacha pombe daah 😢
@EstherleonardMassay
@EstherleonardMassay 17 күн бұрын
😂😂😂 nacheka utafikiri mazuri
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 17 күн бұрын
Innalilah.Lahaula.SubhanaAllah
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 17 күн бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun. Kilakifo kinasababu. Mganga kitamlamba.
@vero57
@vero57 17 күн бұрын
HII ILISHA TOKEA TENA WATU WAKAPIGWA MARUFU KWENDA KWA WAGANGA,MAMBO HAYO HAYO YA POMBE, POLENI SANA WAFIWA
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 17 күн бұрын
Au walikunywa pembe hawajielewi wakapewa na dawa juu wakazidi kulegea
@samsonsimon3138
@samsonsimon3138 17 күн бұрын
Kwhyo huyo mganga anadawa ya kupitiliza si kunywa pombe tu hata kula huli
@user-vr6fc5qm2i
@user-vr6fc5qm2i 17 күн бұрын
Munafanya experience na uhayi wa mtu
@user-qi6ql1lp9k
@user-qi6ql1lp9k 17 күн бұрын
Bwana ametoa bwana ametwaa
@kagombaEnok
@kagombaEnok 17 күн бұрын
Mkoa Gani hapo??
@aidanfelson8383
@aidanfelson8383 17 күн бұрын
Vijana wawili wa familia moja Paulo Malimba na Dismas Malimba wakazi wa Kazima Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamefariki dunia kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kupewa dawa ya kuacha pombe na mganga wa kienyeji. Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Kazima Flaviana Kisalala amesema alipata taarifa ya tukio hilo kutoka kwa jirani wa marehemu hao siku ya Jumamosi ya Julai 6, 2024 baada ya kupigiwa simu majira ya saa nne usiku.
@kagombaEnok
@kagombaEnok 17 күн бұрын
Wapi hapo??
@aidanfelson8383
@aidanfelson8383 17 күн бұрын
Vijana wawili wa familia moja Paulo Malimba na Dismas Malimba wakazi wa Kazima Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamefariki dunia kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kupewa dawa ya kuacha pombe na mganga wa kienyeji. Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Kazima Flaviana Kisalala amesema alipata taarifa ya tukio hilo kutoka kwa jirani wa marehemu hao siku ya Jumamosi ya Julai 6, 2024 baada ya kupigiwa simu majira ya saa nne usiku.
@vero57
@vero57 17 күн бұрын
HUDUMA YA KWANZA MUGEWAPA MAZIWA, AU MKAA UNASAGA MKAA ALAFU UNAWEKA KWENYE MAJI KUNYWA. POLENI SANA
@RidhiwaniMrisho
@RidhiwaniMrisho 17 күн бұрын
Aliwauliza pombe wanazo kunya
@salumkabady2842
@salumkabady2842 17 күн бұрын
🙆🙆
@AmriMzeru
@AmriMzeru 17 күн бұрын
Huu sio kushirikiana ni tiba mbadala sema mtabibu kakosea
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 17 күн бұрын
Asingechanganya pombe na dawa katengeza ulevi mwengine sumu angewapa dawa tupu hajui pombe ina camekali gani jamani 😢😢😢
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 12 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 12 МЛН