BIG INTERVIEW: HECHE na ZIARA za MAKONDA -"AMEKUWA MPOKEA TAARIFA -WAZIRI-IGP WALITAKIWA KUJIUZULU"

  Рет қаралды 45,237

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 266
@globaltv_online
@globaltv_online 7 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si 7 ай бұрын
We mpumbavu useme ukweli kuwa alizuia ushoga dar halafu marekani haiko kama unavyo filkiri
@michaelkwatlema2124
@michaelkwatlema2124 7 ай бұрын
Weww ndio mpumbavu ushoga sasa haupo au unaongea ujinga tu
@AvelinMarunda-po8cp
@AvelinMarunda-po8cp 7 ай бұрын
​8
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 7 ай бұрын
Humana akili mpinzani wewe mpongeza makonda ungekuwa na akili makonda msaada wako
@joshuatowo
@joshuatowo 6 ай бұрын
​@@LovelyBrain-wz7si13:21
@neemanziku5403
@neemanziku5403 6 ай бұрын
Viva Makonda🎉
@joshuamwalusambo2391
@joshuamwalusambo2391 7 ай бұрын
Natamani sana Mungu ampe kibali HECHE cha kuongoza nchi hii
@kizzasadamj629
@kizzasadamj629 7 ай бұрын
😂😂😂😂 bangi tupu
@romamtalambuga7
@romamtalambuga7 7 ай бұрын
Kenge
@onelovetz7935
@onelovetz7935 5 ай бұрын
Pole
@ChristopherKayuni-k6r
@ChristopherKayuni-k6r 7 ай бұрын
Muko vizuri wananchi hawana uelewa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 ай бұрын
Makonda anachapa kazi sanaaaa ccm oyeeeee kazi inaendelea mama samia oyeeeee wanawake jeshi kubwa
@paulinakatemi7119
@paulinakatemi7119 7 ай бұрын
uko vizuri sana ni wenye uelewa ndio wanakuelewa kaka good job
@magabemkami6653
@magabemkami6653 7 ай бұрын
Peoples power
@tumsifumartine612
@tumsifumartine612 7 ай бұрын
Kweli kabisa CCM wameshindwa na makonda anafanya maigizo na kimsingi system imefeli
@philipalengachi5729
@philipalengachi5729 7 ай бұрын
Safi sana classmate nyota ilionekana all the way from Nyamaharaga primary schools
@giftyjackson2461
@giftyjackson2461 7 ай бұрын
Uko sawa kamanda
@the_white_43.
@the_white_43. 7 ай бұрын
Huyu jamaa ni very very nice ...mikundu hawawezi kukuelewa Heche.
@AmiliNkalamula
@AmiliNkalamula 7 ай бұрын
Jonh unaakiri nyingi Sana unajib point Sana chadema haiwezi kutoa Fara hats ck 1
@neemanziku5403
@neemanziku5403 6 ай бұрын
Bado hamjasema Makonda chukua maua🎉
@PeterBaton-v9z
@PeterBaton-v9z 7 ай бұрын
Mimi Naendaga Mikutano Ya Mafisiemu Kutazama Wasanii tu ✌️✌️✌️
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 7 ай бұрын
Hapana saizi makonda anakubarika sana watu wamemwelewa sana saizi watanzania wengi wameweka Imani kubwa sana namakonda
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 7 ай бұрын
Mmmh😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 7 ай бұрын
Usiwasemee watanzania jisemee mwenyewe 😅😅😅😅😅
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 5 ай бұрын
Watanzania wa aina gani labda ww na wenzako wajinga ambao shule hamna mnashabikia ujinga
@NdongaKichwa-hz7jf
@NdongaKichwa-hz7jf 7 ай бұрын
Nimekuelewa sana Heche
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 7 ай бұрын
Hajui anachokiongea huyu heche, mbona wa-Israel wanaua wapalestina ? watoto wadogo na wanawake, afu wa-Israel wakoloni nchini palestina huyu jamaa hafai kuwa kiongozi.
@NdongaKichwa-hz7jf
@NdongaKichwa-hz7jf 7 ай бұрын
@@iddiramadhani5111 mimi sijasema kama anafaa au hafai mimi nimesema nimemuelewa
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 7 ай бұрын
Heche honereni sana mnafanya kazi nzuri. Mnawapambania watu lakini wenyewe hawaelewi. Ccm wanatumia ujinga wa watu kuwatawala
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 7 ай бұрын
Chadema inatumia wavivu wa kazi kuwakamata akili waandamane.
@josephmussa0625
@josephmussa0625 7 ай бұрын
Chadema haiwezi kufika popote pale mpaka viongoz wake waache ujingq
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza 7 ай бұрын
Heche❤
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 7 ай бұрын
Makonda hammuwezi
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 7 ай бұрын
Hawamuwezi kwa nini kwani wanashindana
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 7 ай бұрын
Very convincing guy😂😂
@charlesmokiwa6323
@charlesmokiwa6323 7 ай бұрын
Tema mate tumchapee mwananguu😅😅😅
@jacksonkoisi6189
@jacksonkoisi6189 7 ай бұрын
Kweli.nimeamini.makonda kawa.shika.penyewe.heche.jidanganye.ogopa Makonda.mwamba
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 7 ай бұрын
Mtu anaetuumiwa na kuuwa watu binadam unawezaje kumshangilia et mwamba au ndo utanzania wetu mtu kama aijakufika kuna kamsemo ka kwetu mbifamuki
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 7 ай бұрын
​@@JohnsonBagambihaijawafika ikiwafika watakuwa hawajui
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 7 ай бұрын
👊✌️👍.
@malamlaaj9852
@malamlaaj9852 7 ай бұрын
Joto la kiasa linaongezeka. Ahsante mama na Makonda kulianzisha.
@youngchezo2744
@youngchezo2744 7 ай бұрын
Nice
@loserian-mj1gj
@loserian-mj1gj 2 ай бұрын
Kweli waxngu wameharibu
@maruhe1958
@maruhe1958 7 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nataka nikuite mjinga usijilinganishe na Makonda kabisa same like mbingu na ardhi. We heche mwongo
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 7 ай бұрын
Ni lipi umeliona kwa Makonda hadi useme kuwa Heche sio size yake? Umesikia Heche alichoongea au ulishaziba kabisa masikio?
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 7 ай бұрын
Kwel kabisa asijilinganishe na makonda
@kanoa645
@kanoa645 7 ай бұрын
Yaani ni mwongo sana, weweeeee kwa nini unongea uwongo? Kweli hata kujibu huwezi, yaani hueleweki
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 7 ай бұрын
Makonda ana nini
@KayongoOba-ht2rf
@KayongoOba-ht2rf 7 ай бұрын
Eche shikamoo
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 7 ай бұрын
Heche uko sawa 🎉🎉
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 7 ай бұрын
We heche unaropoka
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 7 ай бұрын
Tanzania machawa yamejaa Kila Kona ,viongozi wanasema nchi masikini waziri tu anatebea na msafara utafikiri mfalme pesaiyo inatumika una waita watu masikini magari ya mil 150 maskini
@ThomasMakarius-x9n
@ThomasMakarius-x9n 7 ай бұрын
Bigup Makonda.
@dandeal2269
@dandeal2269 7 ай бұрын
unasema nini
@kanoa645
@kanoa645 7 ай бұрын
Big up makonda
@kanoa645
@kanoa645 7 ай бұрын
Kwani shida ni nini,....
@allyhamonizhamad4459
@allyhamonizhamad4459 7 ай бұрын
MWEHU WEWE
@makulileboniface7962
@makulileboniface7962 7 ай бұрын
Wewe ni mwongo Kati ya mikutano aliyo fanya makonda hakuna mtu aliye sombwa sema makonda anapedwa Sana nawatu ni kizazi Cha magufuli ni wivu wako tu mra
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 7 ай бұрын
Umeongea ukweli
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 7 ай бұрын
acha ujinga ww mwananchi mwenye shida kila siku mambo yanakuwa magumu unaanza sifia makonda kweli??? basi bwana kwel Mtz amesha rogwa sio buree
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 7 ай бұрын
Anapendwa na wajinga tu.
@prosperreuben1724
@prosperreuben1724 7 ай бұрын
Magu alipendwa na nani labda wazazi wake na ndugu zake na wapenda kudanganywa kama ww mbona hakuwah kwenda mbeya
@JoshuaStanley-qu3im
@JoshuaStanley-qu3im 7 ай бұрын
Nikweli watu wanasombwa kutoka vijijini
@chichahamis635
@chichahamis635 7 ай бұрын
Ndio chama kubea
@LovelyForestHills-qe8pe
@LovelyForestHills-qe8pe 7 ай бұрын
Anae mpiga makonda mungu usimone
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 7 ай бұрын
😂😂😂😂HECHE BWANAAA ETI TEMA MATE HII NI AKILI KUBWAA 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 7 ай бұрын
Kwa hiyo chadema wanapata pesa wapiii.ina maana kuna ,mabeberu wapo nyuma yao,wanawagadhili. Hii ni hatari
@TakasiSulle
@TakasiSulle 3 ай бұрын
Baadhi ya watu hamuelewi makonda hakuna kitu atakachobadilisha hanauwezo huo ndani ya ccm
@mkudesimba9518
@mkudesimba9518 7 ай бұрын
Marekani huo unafki wamepata wapi kama sio nyinyi wapinzani ? Kikulacho kinguoni mwako !
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 7 ай бұрын
💪
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 7 ай бұрын
Umeulizwa makonda anachangamusha unajibu tofauti kabisa na makonda kwenye mikutano yake hakuna anaesombwa watu wana hamu nae na ndo maana hata mikuno yake wana hamu nae wanatamani hata wakeshe powa2
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 7 ай бұрын
Nikweli kabisa mheshimiwa heche ,CCM ndio waliosababisha matatizo na hawawezi kutatua matatizo.
@nuranzubail8134
@nuranzubail8134 7 ай бұрын
CCM imetuletea shida kwa kuondoa ukoloni
@romamtalambuga7
@romamtalambuga7 7 ай бұрын
Heche akili hana
@KapondaZenaida-g3z
@KapondaZenaida-g3z 7 ай бұрын
TANZANIA
@thomasmallya670
@thomasmallya670 7 ай бұрын
Hehe muongo. Hana aibu kabisa .
@mzeebabumzee
@mzeebabumzee 7 ай бұрын
hakili kubwa eche jembe eche
@chandengao8795
@chandengao8795 7 ай бұрын
Makonda anaua chama Mama mtoe
@dottomatola5905
@dottomatola5905 7 ай бұрын
Wewe ukimgusa mbowe utakuwepo cdm Ili liongo mpaka linapitiliza
@kilimanjaro77international26
@kilimanjaro77international26 7 ай бұрын
Sasa kwani sisi marekani? Chadema been on the siasa almost or near4o years but ni ushuzi mtupu
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 7 ай бұрын
Now wanashindana na makonda walihangaika na jpm kisa kusikiliza matatizo ya masikini kwahiyo makonda kuja na mfumo huo mnampinga poor kbsa chadema
@abedymtore2707
@abedymtore2707 7 ай бұрын
Iyo mifano ya utoton inanikosha sana
@Pelegrinoemanuel
@Pelegrinoemanuel 7 ай бұрын
H😂😂😂😂😂😂 mtoa taarifa na mpokea taarifa
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 7 ай бұрын
Chama Ni Dubwasha Na Makonda Ni Mtu Aliyekuja Kubadili Muelekeo Wa CCM
@zegelibilishanga6047
@zegelibilishanga6047 7 ай бұрын
😂sababu anapinga ushoga huyo ndiyo mwanaume
@MgangaDaud
@MgangaDaud 7 ай бұрын
Ndo mana viongoz wakubwa wa vyama vya upinzani sitak wapewe nchi maana vinaabudu xn marekani taifa la kishetani
@AmiliNkalamula
@AmiliNkalamula 7 ай бұрын
Wewe elim yako ndogo chadema wanajifunza kwamtu ariye faul hawawezi kujifunza kwa ariye fel kwahyo ndoo maana anataja marekan huyo ndoo ariye faul
@GODLuck-h1f
@GODLuck-h1f 7 ай бұрын
Kijana mmoja anawachemsha wote nyie,
@bugybuster5788
@bugybuster5788 7 ай бұрын
Wewe heche nakuamini ila kwa makonda muache kabisa jamaa anajitaidi kwa nafasi yake nchi hii imeoza ila kwa pale anajitaidi na swala la marekan wamarekani wanafki tu wao wanaua wangapi yy mmarekani ndy anasababsha vita ukrein haviishi kisa mmarekani raia wanakufa sanaa yy ajali kila siku anapelwka pesa
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt 7 ай бұрын
Heche mpumbavu ndo wawezi kukuerewa lakin mwe akiri hukusikiriza nakujitambua !!
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 7 ай бұрын
Amekuibia mkeo mbona utafoka
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 7 ай бұрын
Wekweli ndezi
@mohamedwwnurumasagcom8171
@mohamedwwnurumasagcom8171 7 ай бұрын
Kwenye mikutano ya makonda uwa tunaenda wenyewe kwa mapenzi yetu kwa miguu yetu bila hata kupewa mia, tunamkubali makonda tunaipenda ccm na mwenyekiti wetu mama Samia
@TiffuAbdallah-of5os
@TiffuAbdallah-of5os 7 ай бұрын
Na wale wanafunzi wanaolazimishwa p1 na walimu wao mhm
@mohamedwwnurumasagcom8171
@mohamedwwnurumasagcom8171 7 ай бұрын
@@TiffuAbdallah-of5os hakuna mtu anayelazimishwa kuudhulia mikutano ila ni mapenzi ya wananchi kwa chama chao
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 7 ай бұрын
Mwizi nimwizitu wanaibiana wenyewe kwawenyewe
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 7 ай бұрын
Mtoa taarifa na mpokea taarifa
@MarckyCholla
@MarckyCholla 7 ай бұрын
Nenden kaishini marekani tuacheni
@peterjengela1770
@peterjengela1770 7 ай бұрын
Jitambue na kuwatambua wengine pia, wote ni watanzania kuwa ccm haina maana kwamba una haki zaidi kuliko wa ACT Wazalendo,Chadema, Nccr mageuzi au chama kingine chochote. Watanzania wote ni sawa bila kujali chama,Dini,Kabila au rangi na vyovyote unavyofikiri wewe.
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 7 ай бұрын
Makonda Wamenfungia kwenda huko nje vile hakutaka watu wa jinsia moja sio mauaji
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 7 ай бұрын
Sasa makonda asipoenda ulaya hatoishi ?
@MarcoMahemba
@MarcoMahemba 7 ай бұрын
Wewe ni mnafiki mbona umekua chawa Kwa Mbowe ,unatetea kila jambo la mbowe
@MarckyCholla
@MarckyCholla 7 ай бұрын
Upinzani acheni kuabudu nchi za watu.hata magu mlimkataa lkn sisi wananchi wa chini alitufaa mno
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 7 ай бұрын
Alivo wa faa baadae ikawaje?? kuna mambo muyaelewe jaman watz mbona ss vichwa ngumu kuelewa
@josephmussa0625
@josephmussa0625 7 ай бұрын
Wewe umeelewa nini?? Kila mtu na nafasi yake kwani ukkmchukia makonda nini unaongezeka??
@hatibuadam3022
@hatibuadam3022 6 ай бұрын
Jaribu kuelewa anachozungumza yy hajasema anamchukia huyo uliemtaja
@Gerry-w2o
@Gerry-w2o 7 ай бұрын
Kolumba achia interview yote Broo
@zabronjonathan2264
@zabronjonathan2264 7 ай бұрын
Watanzania waliowengi hawajaelewa mbinu za ccm na Makonda .
@e-mzambuli6647
@e-mzambuli6647 7 ай бұрын
Heche
@FedyKafyulilo-iz2nw
@FedyKafyulilo-iz2nw 7 ай бұрын
Makonda hoyeeeeeeeeeeeee
@moriscollins4494
@moriscollins4494 7 ай бұрын
Kumbe mnalipwa milioni 100 halafu mnasema ndogo mwee ngoja nipambane na madagaa zangu
@KidijeiNuru
@KidijeiNuru 7 ай бұрын
We unaishi nchi gani
@loserian-mj1gj
@loserian-mj1gj 2 ай бұрын
Chadema si ni wahuni tu
@kanoa645
@kanoa645 7 ай бұрын
Sasa mbona mnaanza majibizano? Sindano imeingia pahaala pake?
@WiliamMlama-my2ib
@WiliamMlama-my2ib 7 ай бұрын
Mbona hata ninyi mnasomba tunaushahidi
@leonelleo4425
@leonelleo4425 7 ай бұрын
Hiyohiyo serikali ya Marekani ambayo ina the most intelligence system ndio ilituambia Saddam Hussein anamiliki silaha za maangamizi. Acheni kutukuza sana wazungu
@adammbuba7230
@adammbuba7230 7 ай бұрын
Tatizo CHADEMA ni waongo sana, hakuna mkutano wa Makonda ambao watu wamesombwa
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 7 ай бұрын
Mimi nishahidi acha ujinga,, mbashite anafanya mkutano bunju sisi tumetolewa kigamboni temeke ilala,, Kwa magari!!
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 7 ай бұрын
Acha uongo wewe kila eneo na shida zake utasombwa ukaeleze shida wakati anayehojiwa hayupo​@@jonasdaniel1025
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 7 ай бұрын
​@@jonasdaniel1025wambie waelewe
@TiffuAbdallah-of5os
@TiffuAbdallah-of5os 7 ай бұрын
Wanafunzi na walimu wao wnafata nn kama sio kulazimishwa na ndo wanaojaza
@hatibuadam3022
@hatibuadam3022 6 ай бұрын
Kuna mtu hata akikoment unaona kabisa uelewa wake ni mdogo na mjinga msipate shida kumjibu maana anaweza bisha hata vitu vingine ambavyo vipo akasema waongo mpaka yy yamkute
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 7 ай бұрын
ACHA UONGO WEWE
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 7 ай бұрын
Wananunuliwa hao wanao mshangilia tunaelewa ishu zote
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 7 ай бұрын
Na hao wanaopewa pesa ili watangaze ushoga hii nchi tumekataa ushoga wa marekani hawawezi ipenda Tanzania lazima wawatumie wapinzani wa serikali.
@amanandrew1356
@amanandrew1356 7 ай бұрын
Umesema Albert nini?
@CalistusTitus-s5o
@CalistusTitus-s5o 7 ай бұрын
Uyu heche akili yake ni kubwa makonda anafanya sanaa tu hakuna uwalisia kile anachofanya jukwaani ni propaganda
@josephkabelege1622
@josephkabelege1622 7 ай бұрын
Heche gombea uenyekiti wa chadema . Unaweza sana.
@LameckKomba-r7b
@LameckKomba-r7b 7 ай бұрын
Leo kk unamawazo yachuma chakavu
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 7 ай бұрын
Hajui anachokiongea huyu heche, mbona wa-Israel wanaua wapalestina ? watoto wadogo na wanawake, afu wa-Israel wakoloni nchini palestina huyu jamaa hafai kuwa kiongozi.
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 7 ай бұрын
Jana nimekutana magari kibao Mto wa Mmbu yamebeba watu kutoka Karatu je hao wamekuja wenyewe kwenye maandamano yenu Arusha?
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 7 ай бұрын
Comment nyingi zinaonyesha namna bado tunasafari ndefu kama watz😂😂😂 kuna watu humu ni bora sijui nisemeje
@BakariMuesi
@BakariMuesi 7 ай бұрын
Mikutano ya makonda imesaidia watu wengi sana
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 7 ай бұрын
Usipokuwa muelewa anayekusababishia matatizo unaweza ukamwomba Masada CCM inamtumia makonda waonekane wema ili 2025 tuchague
@rithaurassa
@rithaurassa 7 ай бұрын
Unaongea poit san unasimama kwenye ukweli, ila hii nchi. Ukisem ukweli ni shida tup , mafisad tup wamejaa ng aaa
@seifalzakwan5663
@seifalzakwan5663 7 ай бұрын
Ekeni video full kama hamana internent acheni kazi
@samuelmbogo7448
@samuelmbogo7448 7 ай бұрын
Huyu bwana mkubwa analalamika sana. Nashindwa. Kuwaelewa, nini wanataka.
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 7 ай бұрын
Hivi mi nashangaa sana watanzania,nani alisema kujaa watu ndio kuwa na sapoti ya wananchi au kukubalika?kuweni na Akili mi nilishawahi hudhuria mikutano mbalimbali ya kisiasa makongamano na hata sijawahi sapoti chama chechote cha siasa na wala sitopiga kura yeyote.wengine tunahudhuria kama sehemu ya mshangao na kusongesha muda😂 2:46
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg 7 ай бұрын
😢
@kanoa645
@kanoa645 7 ай бұрын
Weeee una ushahidi gani kwamba kapoteza uhai wa watu
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 7 ай бұрын
Unataka ushaidi hujui kuna ushaidi wa mazingira pia fiisiem mkubwa wewe
@mejamiela7436
@mejamiela7436 7 ай бұрын
Sasa maswala ya malekan na tanzania inakujaje kwama nyie mnasikiliza marekqn sasa
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 7 ай бұрын
Asipoenda huko marekani anakufa
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 7 ай бұрын
Chadema mlitakiwa kumtumia makonda kama kioo cha watanzania
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 7 ай бұрын
We lifisiemu acha kutuzonga tunasikiliza heche akili kubwa we kakojoe ulale
@brucardkomba616
@brucardkomba616 7 ай бұрын
Kwan hii nchi imewah ongozwa na chama kingine, Maigizo yataturudisha nyuma Kila siku..
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН