Mimi nimezaliwa na kukulia maeneo hayo,, habari ya madini ni ya hisia tu tena ni uongo. Ardhi ya madini kamwe haiwagi rutuba, Tukuyu /Rungwe na eneo lote hilo lina rutuba saba. Warusi walikuja hapo kwa ajili ya kujenga dydro power, na hilo daraja lilijengwa kwa ajili ya kupitishia mitambo, sasa kabla hawajaenda mbali kiujenzi ndipo ikatokea vita ya Tanzania dhidi ya uganda, na ktk vita hiyo urudi kama nchi ilikuwa inaisadia uganda, ndipo mwalim akaamua kuwatimua hao jamaa. Habari zingine ni MATANGOPORI tu
@sylvestermpangala14913 жыл бұрын
Safi sana, historia nzuri. Hongera.
@fredyjohn85486 жыл бұрын
Duh nilikua sijui hili wala kusikia stor hii Adimu sana Asanten
@fredericmbanga2072 жыл бұрын
Huyu mwanahabari arudi shule akasome historia sahihi ya nchi hii.Asiwe mpotishaji.
@sifasanga78667 жыл бұрын
Uko vizuri ova una miaka mia....hongera kumeza historical...
@michaelthoya33486 жыл бұрын
natamani twende wrote Glad acha tu aise
@michaelthoya33486 жыл бұрын
natamani twende wote Glad acha tu aise
@tendatanzania83587 жыл бұрын
Story nzuri kweli kweli
@kirumbasokoni30477 жыл бұрын
Andrew John wimbowaabiudi
@thomaschambala60607 жыл бұрын
jamaaa muongo kwan wanyakyuxa tabia gan hyo?
@mwasisobajohan76414 жыл бұрын
Asante kwa simulizi nzuri sana
@adiliwasanga45217 жыл бұрын
Good nimewasoma
@henryjoseph57036 жыл бұрын
Global mnajitahidii daaa mpaka kwetu hongeleni saan aiseee
@gloriamichael79353 жыл бұрын
Waambie waambie ni wamoja hao hao
@jensennashon61477 жыл бұрын
Dogo uko vizuri sana ...yani kama una miaka 89 hivi
@barakaseme34827 жыл бұрын
nimeipenda Sana ikumbukwe mkoa mzee mwenye umuri mkubwa akiongozwa na mwanae aricho Kuwa.anaongea.mzee.ambirikire %33tafusir hakuwiyana na uharisia WA swal+jibu-tafusiri.by.baraka.seme,wa kyela
@wazirmlogi75323 жыл бұрын
Ni historia aliyoikutaka
@stephanothomas55526 жыл бұрын
aisee story nimeipenda sana
@benjoseph63296 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo historya
@hildamadafu-zn2zp Жыл бұрын
Duh
@neemaemmanuel68506 жыл бұрын
kweli hilo daraja ni LA Mungu.
@graceedson67536 жыл бұрын
jomon najivunia kwetu
@ezzytz63816 жыл бұрын
Hii story nimeipenda sana kuliko post zenu zoteeeeeeeeeee.Endeleen kutuletea vitu vya maana kama hivi
@mcmchokozi_17707 жыл бұрын
maelezo mengiii mtangazaji
@beautywithnay59746 жыл бұрын
Story nzuri sana tunashukuru kaka
@philipomakanamabilikaathum63947 жыл бұрын
Daaah mungu yupo
@allykassim4007 жыл бұрын
pa1 sana
@najethemmanuel4357 жыл бұрын
cjawah
@victormligo73727 жыл бұрын
safy kwa kutusanua
@heavenmrina59846 жыл бұрын
nina jirani yangu mwanga nampeleka vacay kwenye hilo daraja akakutane na nyifwira
@keiphilemon69414 жыл бұрын
Ni kweli?
@yellooh6 жыл бұрын
Vituko viko
@husseinjuma45466 жыл бұрын
Clara
@gladvictory30447 жыл бұрын
inabidi nifike kwakweli sio kwa uhondo huo
@graytonndamgoba48057 жыл бұрын
Nyoka alikuwa anakasirika sio😀😀😀
@Chrishenryson-beats7 жыл бұрын
Grayton Ndamgoba 😂😂😂
@zeanachande49826 жыл бұрын
Ii ndio mbeya yetu
@Thaddeus_musembi7 жыл бұрын
Dogo anawanyonga watu na Kamba za shingo huyo, walijuaje kama wenzao wa Rungwe wanavaa nguo kama hawakuwahi kufika Rungwe? na Kama waliwahi kufika Rungwe walifikaje huko bila kujua kuwa kuna mto unawatenganisha? Maana anadai walipotaka kuja na mifugo kwenda kubadirishana na nguo ndiyo wakagundua kuwa kuna mto. Kingine ni kwamba, wanyakyusa Morogoro walikua wanapita tu, wala hawakutokea Morogoro bali walitokea maeneo ya sudani huko na zaidi wamesambaa nchi mbalimbali kusini mwa afrika ambako wanatumia lugha hiyo hiyo lakini wanajulikana kwa majina tofauti. Halafu waandishi mmejaribu kufuatilia serikalini kuupata ukweli wa aina ya amdini yaliyogunduliwa hapo na kama kuna ukweli kuhusu makubaliano ya ujenzi mpaka kufikia kukwama kwa ujenzi wa chanzo hicho cha umeme? Kamba nyingine ni hapo kwenye vita ua Tanzania na Uganda
@henerikomico9487 жыл бұрын
Kama hujamwelewa kaaa kimyaa
@ezzytz63816 жыл бұрын
mzee hii ni historia so history it's all about past mzee so kunauongo ndani yake pia kunaukwel ndan yake
@PAULHAULE2554 жыл бұрын
Mmmh
@alfredkyebemwalubilo3688 Жыл бұрын
Halafu kingine, eti walipiga kura , wengine wakawa wanasema ni mbali, sasa walijuaje kwamba ni mbali au ni karibu wakati walikuwa hawajawahi kufika?
@yustomwaisomania25878 ай бұрын
@@alfredkyebemwalubilo3688kabla watu hawajasafiri kunakuwa na wasafisha njia au watafiti ko unadhani walikuwa wanapita poroni bila ramani
@amosbinmahona99477 жыл бұрын
hatari
@googlesalimmygoogle93596 жыл бұрын
Hizi ni hadithi za alinacha so no seam sio poropagana Russ ni arising of Dubai, Byers akusomo .alia Audi WA Africa
@juliuskidoto7912 жыл бұрын
Ama kweli wewe ninyifira haswa acha uongo
@privamariki26757 жыл бұрын
kweli hapo mumeninogesha kweli
@ermjukuuwameya46957 жыл бұрын
priva Posts on a few of the most important thing,
@danieljoseph63097 жыл бұрын
fimbo ina mercury 😂😂😂
@abdulrahmanpaskalina76273 жыл бұрын
Ila hapo kwenye fimbo mh🤔
@isackmwambande79817 жыл бұрын
ifika fya kumyituuuu, ndagha fijho kikoloooo
@abdallahsalum36925 жыл бұрын
Ok
@daimavlog7 жыл бұрын
Kale ka fimbo kalikuwa kiboko
@mahadshekh3983 жыл бұрын
60 mpaka 70 Nyerere alikuwa Rais?
@Masta84487 жыл бұрын
Dalaja, taklibani, laisi, ulusi kiswahili kigumu Sana bro more practice needed mtangazaji
@makantaafrika5 жыл бұрын
Wanyakyusa na wandali hatuna R kwenye msamiati wetu.
@alfredkyebemwalubilo3688 Жыл бұрын
Wa mchongo huyu
@zamizozamy55286 жыл бұрын
Kale kafimbo alizikwa nacho mwalimu?
@jamesjahasa33487 жыл бұрын
akili ya kuambiwa changaya na ya kwako
@bernardbaha90797 жыл бұрын
Hahahahah, Chief, oral tradition hao warusi hawapo waulizwe ama official government document, wee mwandishi unapaswa kujiongeza ukishapata ubuyu kama huo sio unaishia hapo