SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@Maggie8244 күн бұрын
Strong woman Mungu tu😢😢😢Mungu tu
@esterbaraka11644 күн бұрын
😭😭😭😭😭 ningekuwa na hela ningemsaidia huyu dada naumia daaaaah😢😢😢😢😢😢😢 mungu akupe uponyaj 😭😭😭😭😭😭
@khairatndassiwa86134 күн бұрын
Allahu Aqbar ......Allah tupe zako huruma na utusamehe sana makosa yetu..na umponye huyu binti Yaraby kwa huruma zako ...
@theresaelizabethelijah1174 күн бұрын
Nimepata wazo kuhusu huyu dada mumepima damu kama labda anakosa vitamins ,kuna vitamins flani maalum ambavyo vinasaidia vidonda vya mwili kupona haraka ukiwa na upungufu ndio vidonda vinachukua mda kupona . Pia kuna ugonjwa ambao unaweza kusababisha vidonda visipone mwilini please apimwe damu na akaguliwe vitamins vyote na upungufu wowote ule wa mwili nina uhakika vidonda vikipona nayeye pia atapona,tatizo ni vidonda haviponi😢 Pokea uponyaji katika jina la yesu kristo Carina na damu yake ikutakase , na ikuondolee uchawi na maovu yote , Amen 🙏🙏🙏🤲🏾🤲🏾🦋
@@catherinenenula7450 utumbo unatoboka kwasababu hauwezi kujiunganisha ukashikana kwasababu mwili una mapungufu ya kuponesha vidonda sijui umenielewa?
@MtatuziTz3 минут бұрын
@@theresaelizabethelijah117 kama shida ina eleweka waweke sawa mana toka miaka io ni kama kapewa mateso ila asife ateseke2 na pesa zitafutwe ziishie apo2
@Husnasalumu-e1v4 күн бұрын
Hakuna ugonjwa usokuwa na tiba isipokuwa uzee na umauti yarabbi tunaomba mponye dada huyu msamehe alipokosea hakuna ajuae we ndo mjuzi zaidi amiin.
@FaudhiaHaule3 күн бұрын
Kwakwel 🤲
@NasraNasra-l9qКүн бұрын
Allahumma Aamiin 🤲
@zaitunirashidi55324 күн бұрын
Mama leo katoa rambirambi million 50,, msaidie huyu dada jamn😢😢
@LuluAquai4 күн бұрын
Mm siwezi kumuomba rais kama ivo sikuzote ye haoni,anatoa 50ml kwa watu walishakufa,wallah mm M'mungu angenipa uwezo ningetoa kwaajili ya Allah,50ml pesa ndogo sana,matajili wapo kibao dah
@LuluAquai4 күн бұрын
Mm siwezi kumuomba rais kama ivo sikuzote ye haoni,anatoa 50ml kwa watu walishakufa,wallah mm M'mungu angenipa uwezo ningetoa kwaajili ya Allah,50ml pesa ndogo sana,matajili wapo kibao dah
@FettyTz-g9x4 күн бұрын
Daah huyu dada ananiumizaga kila nikimuona mungu ndo anajua inshaallah mungu atamuondolea maumivu hayo😢
@jeniphabutondo144816 сағат бұрын
Dada pole sana huo ni uchawi, naomba umpokee Tesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako na utafute watumishi wa Mungu wenye nguvu ya Mungu watakuombea na utapoma. Usitafute manabii wa uongo wanao tumia uchawi wakijifanya watumishi wa Mungu. Na Mungu atakuponya, Bwana Yesu akiwa upande wako hakuna uchawi utakao fanikiwa katika maisha yako.
@AllyIbrahimu-q1y4 күн бұрын
Huyu dada ni mrembo anapitia magum san eeh kijana mwenzng mshukuru mungu kwa afya na uzima mungu zidi kutupa afya pia mponye dada uyu kwa uwezo wako
@YussufOthman-wj3lu4 күн бұрын
اللهم اشفها أنت الشافي وأنت المعافي لا شفاء إلا شفاؤك شفاء لا يغادر سقما ولا ألما
@zuweinaalhabsya87734 күн бұрын
اللهم امين يارب العالمين
@TatuHusseni-hs7mu4 күн бұрын
Nimejikuta nalia to pole kipenzi Allah akufanyie shifaa ya haraka kwa uwezo wake Allah utapona haraka Amin 👏 👏😭😭😭
@amisafaraji57963 күн бұрын
Aamiin
@sharifajamal57644 күн бұрын
Kama kuna mkono wamtu Basi amusamehe hawa anaumia jamani mbona uchungu hivi inatosha😭😭😭😭 au amuuwe tu dada wawatu na family yake wanaumia sana
@MwanahamisiBwanga4 күн бұрын
Dad's ananiumaga roho hyu basii tu mwenyez mungu ww ndy muamuzii kama n mkono wa mtu bas mungu simama nakama n ww mungu basic yatosha😢😢😢
@GloryArman-xn9ly4 күн бұрын
Huyu dada anakaa wapi jamani
@RayChausa-g6m4 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢Asikitisha wallahi 😢😢😢😢
@donaldelias22674 күн бұрын
Usikute alifuatwa kupewa onyo au katazo akaonyesha dharau au kukana kosa,na hayo ndo madhara yake
@shamilashabani42884 күн бұрын
@@GloryArman-xn9lyMwanza
@RoseKimath4 күн бұрын
Kama kuna mtu anamfanyia hivi ee Mungu nakuomba hasira yako iinuke juu ya huyo mtu anayemtesa huyu bint Mungu wewe uonae sirini ndiye mwamuzi wa mambo yote Baba ..lakin kama ni mapenzi yako basi Mungu nakuomba rehema na neema zako umpe uponyaji Baba
@StelaMwombeki4 күн бұрын
Mama Mtakatifu Rita Muombezi wa mambo yaliyoshindikana namuombea uyu dada msaidi kwamachozi yako yasiyokoma.Mponye uyu dada.najua wewe ushindwi. Kitu
@sleeprelaxation84314 күн бұрын
Rita ndo nani?
@epimarkjohn10563 күн бұрын
Ni mtakatifu ambaye huwa sisi wakatoliki na wasio huwa tunasali novena kupitia huyu mtakatifu na anaponya.@@sleeprelaxation8431
@eufrasiamtundu180620 сағат бұрын
Amina E Rita mtatuzi wa mambo yaliyoshindikana na mtatuzi wa mambo makubwa fanya Jambo
@KulthumAly4 күн бұрын
Subhanallah😢😢😢😢😢 ALLAH MPONYE DADAETU ANATESEKA SANA😢😢😢😢
@nasramohamedi40954 күн бұрын
Jamani km Kuna aliyemroga embu amwachie jamani inatosha Sasa km alikosea bado kashajifunza please inatosha😢😢😢
@Maggie8244 күн бұрын
Kweli wachawi wapo
@samwa94964 күн бұрын
Wachawi wapo jamani acha kavisa
@GhatiSamcho4 күн бұрын
Mwenyez mungu ata Kama ni mkono wa mtu ww unaweza baba muinue dada huyu mungu baba msaidie dada hawa 😭😭😭😭😭
@TonnyJimmy-z5c3 күн бұрын
Hivi serikali inaonaga habari za huyu dada?Mbona mmekaa kimya,HUYU NI MTANZANIA MWENZETU.🇹🇿DO SOMETHING FOR HER PLEASE 🙏🙏🙏
@AminaNzoka-i8q4 күн бұрын
Mungu mponye mtoto wako huyu ili aje atangaze ukuu wakooo hakuna linalokushinda Mungu 🙌 Amiin 🙏
@theresaelizabethelijah1174 күн бұрын
Amen 🙏 😢
@NuratySaidi-n3w4 күн бұрын
Allah atakuponya dada angu pore sana
@philipomponeja245721 сағат бұрын
Mungu Baba ulie ziumba mbingu na nchi! navyote kwajina lako kuu lenye nguvu na mamlaka yote mponye huyu dada Sasa Baba! unaweza! Aaaamen🙏🙏🙏🙏🙏
@HabibuHoseni-sv8hd4 күн бұрын
Duuuh huyu dada ya Allah mponye mja wako huyu😢😢😢😢
@dorcusstephen-cu9wh3 күн бұрын
Da Hawa Mungu atakusaidia utapona tunakupenda tunakuombea❤❤
@husseintayar6993 күн бұрын
Kama mitihani ya mungu tunamuombeq allah amuondoshee mtuhani huuu..lkn kama ni mtu anamfanyia haya mungu amlaaan na ampe mates makubwq Zaid yake...allah mpone hawq ameeeen
@sheikhanasser47143 күн бұрын
Ndugu Hussein "Allah" andika kwa herufi kubwa Shukran
@rahmatonystan26914 күн бұрын
Pole sana mngu atakufanyia wepes😢😢😢😢😢😢😢
@hadijasufiani61674 күн бұрын
Pole sana kipenzi Mungu akupe shuffaa upone haraka yarrab inshaallah ❤ Mungu yupo pamoja nawe
@RayChausa-g6m4 күн бұрын
Ameen
@NasraNasra-l9qКүн бұрын
Waislamu wa Tanzania ni vipofu au , viongozi wa dini hampooo, au mnataka hada muitwe mpigiwe magoti , basi hata Dua tuu jamani😭
@zaitunimalessa2694 күн бұрын
Emungu wangu msaidie huyu dada anapitia magumu yarabi wew ndio muweza wakila kitu tunakuomba yarabi mponye mja wako yarabi 🤲😢
@SabahAlly-w4r3 күн бұрын
Wallah ningekuw n uwezo ningemsaidia hyu dada 😢😢allah akup shifaa wallh nmelia
@saumbliz89834 күн бұрын
Subhanallah yuwaumwa lakini uso wake una nuru Allah amfanyie wepesi ampe shifaa ya haraka Inshaalla'Allah
@ellenpendamani60693 күн бұрын
Jamani masikini Dada Caren..Da ..kweli hii familia imeteseka sans wanatanzani nawaomba kwa Neema na Utukufu wa Mwenyezi Mungu mkuu tumchangie hapa Kila mtanzania akitoa 20000 kwa watanzania 2000 tu kuna miliioni kadhaa zinazokaribia pesa inayotakiwa tumsaidieni huyu mwenzetu jamani tufanye sehemu yetu na Mwenyezi Mungu amjaalie kupona kwa rehema zake..Amen
@salhamrishoi49432 күн бұрын
Tanzania yetu kuna viongozi kuna rais samia rais wetu mama wa wanyonge muone uyu dada anateseka kwa muda mrefu saana wasanii wapo wanaojiweza msaidieni apate msaada jamanini msingoje mtu afe ndiyo mjitokeze na sisi wanachi tumchangie kwa ajili ya allah allah amponye ampe ponyo tukufu yarabby 🤲
@Sadfa1224 күн бұрын
Eeeh mwenyezi mungu mpunguzie maumivu anateseka sana daah na Kuna mkon wa mtu aone huruma so kw kuteseka mung atasimama na wew utakuwa swa
@jojokweka1902Күн бұрын
Pole sana Hawa😢 Mungu wa mbinguni nakuomba ukamguse kwa mkono wangu
@RahmaAlly-r6x3 күн бұрын
Mungu akusaidie dadat.kiukweli nimfano wakuiga Kwa jins ulivyo nasubra.namateso juu.tunakuombea saana dadat.
@FatmaHusein-o8w3 күн бұрын
Pole sana Allha akufanyie wepesi kwa uwezo wake Inshallah
@mwendemercy4488Күн бұрын
Mungu akuponye naalie kufanyia hivi akumbuke hipo siku yatamrudia mara 7 , 77 mungu sikia kilio chauyu dada jaman huo upasuaji 24 mungu fanya kwake apone😢 nalia jamani mungu nakuomba huo ugonjwa umponye.
@OmanOman-c9d4 күн бұрын
Pole sanaa🎉🎉
@AliceNgowa22 сағат бұрын
Mungu yuko naye kuamin ipoa siku atamfungua ❤❤
@EsterMsuya-kn7tm2 күн бұрын
Dada pole sana naumia sna nikikuona. Mungu akuponye jaman
@JamesMatolo-ye2fd4 күн бұрын
Lugumi msaidie uyu dada asee 🙏🙏anateseka sana asee
@aminagama5104 күн бұрын
Kweli jamani lugumi amejenga majengo kwa ajili ya watoto wanaoishi maisha magumu amsaidie huyu dada..mimi naumia lkn uwezo cna 😢
@Saada-g4j4 күн бұрын
Asimuoji sana naona kama munamzidisha maumivu
@zubeidahkhanji8238Сағат бұрын
Usikate tamaa, mungu akupe subra inshallah unapepo yako si kwa mtihani huo wallah kikubwa Subra na dua zetu
Mungu wetu yupo na anajua Wakati wa Mungu ukifika muujiza utatendeka na uponyaji utatendeka namshukuru Mungu unasimama na Mungu hukati tamaa ,pooleeni saaana
@PendoMichael-rj4ne4 күн бұрын
Yesu akuhurumie. Njoo kwa Yesu atakuponya, yeye ana huruma, ana upendo, anaponya bure kabisa. Watafute watumishi wa kanisa la Efatha au kanisa lolote lenye nguvu ya Mungu.
@ShukuMengele3 күн бұрын
Mungu wa mbinguni mkumbuke tena kwanaranyingineeee 😢 inauma sana kama binadamu. Mwenzetu daah Mwenyezi Mungu akukumbatieee kwenye mbawa zake tu na kupenda sana mdogowetu jaman 🙏🙏🙏🙏🙏
@MatridaVicent2 күн бұрын
Mungu amkumbuke huyu dada jamani😭😭 anateseka mnoo
@zaitunirashidi55324 күн бұрын
Hivi ina maana wenye hela kweli wameshindwa kumsaidia huyu dada???😢
@theresaelizabethelijah1174 күн бұрын
Nashindwa yani 😢😢
@esterbaraka11644 күн бұрын
😢😢 kweli jaman wakina diamond, alikiba na viongozi wengne jaman kuweni na moyo wa huruma 😭😭😭😭😭😭😭😭 jaman umaskini huu 😭😭😭
@TatoTato-t7s3 күн бұрын
@@esterbaraka1164kama vile awamuoni sijui kwanini awamsaidii dada anateseka sna
@AngelMassawe-nz9sk4 күн бұрын
Serekali imwombee mkopo wa udhamini wa hela watanzania tutamchangia kwa chochote hadi itoshe najua utu wa watu ktk Tanzania yetu hatuna za mkupuo ila kwa kujichanga tunaweza hatutaenda na kitu siku zetu zikifika nahatujui tutamalizaje Mungu hutufundisha kwa mifano hii
@aminagama5104 күн бұрын
Yaani
@khaulalivigha872220 сағат бұрын
Mungu akulipe kwa hili inshaalaah iutakuwa sawa
@MwamvuaMussa-f1r2 күн бұрын
Mungu msaidie uyu dada apone ayo maumivu tunaumia watanzania
@FatumaAbdalah-sj3dz3 күн бұрын
Pole yote mipango ya mwenyezi mungu😢😢😢
@christinaezekiel14904 күн бұрын
Mungu wangu,Baba angu,Jemedari wangu mkuu,ninakuomba mfanyie wepesi dada hawa,Mungu ikajulikane wewe upo kwa kuwashangaza wanadamu Yesu mpatie uponyaji
@GraceMaftaha3 күн бұрын
Eeeh mungu ulie umba mbingu nainchii naomba umjalie uyu dada apone jaman ww ndo mungu amabe unaweza kwakila changamoto tunazo pitia ukwel dada uy kila nimunapo ali yak bdo aijatengamaa naumia mnoo jaman alie fanya ili na yeye ataukumiwa siku yak ya mwisho mateso anayo pitia uyu dada inatosha duh inaumizq xna nataman ck moja afrah pia aseme kwasasa jaman naendelea vzur nanimepon so sote tuwo uzunika tutafurah kusikia ivo mamy mngu akutie nguvu inshalah 🙏
@fatumakidoa40064 күн бұрын
Kama kuna mkono wa mtu please 😢muachie Hawa ameteseka mno please 🥺🥺🥺😢😢😢😢😢Allah akupe shifaa ya haraka
@mfanisifoundation69042 күн бұрын
Nayy mwenyewe ndo mwenye ukweli kama kuna mtu alishawahi kupishana nae kwa aina yote akamuapia mambo mabaya aweke wazi ili watu wamsaidie kumuombea msamaha
@fatumakidoa40062 күн бұрын
@mfanisifoundation6904 kweli 🤲
@Aishajohn-o3m4 күн бұрын
Mama Samia kwani umuoni mwanao jmn msaidie uyu mtoto wako plz mama🙏
@esterbaraka11644 күн бұрын
Kabisa kwann zile pesa za gori lamama amsaidie huyu Dada naumia mm 😢😢😢😢
@faridaally-jp1gx4 күн бұрын
Allaah Akupe shifaa Amiin
@MariamJuma-nj9fc3 күн бұрын
Poleni sana
@carolinemwanjala22244 күн бұрын
Muunguwanguwee! Timiza mapenzi yako kwa Huyo mtoto.nalia roho yangu. Nakuombea sana sana. Nakupenda hang on there❤
@OthmanSalim-z6vКүн бұрын
Allah atakusaidia dada yangu
@JanethRomani2 күн бұрын
Pole dada angu mungu atakufanyia wepesi kipnz chetu❤❤
@zainabumikidadi91482 күн бұрын
Dah ee mungu najaribu kuvaa viatu vya huyu dada nashindwa naamin mungu ndie mjuz ee mungu msaidie mja wako huyu yaaarabih😢🤲🤲
@SalamaSalum-fz8zx2 күн бұрын
😭😭😭 pole sn dada yangu allh atakufanyia wepes
@EstinaCharles-nb1rk3 күн бұрын
MUNGU 🙏 pekee ndo muwezaa, poleeeee sana kipenziiiii,
@salmanassor87324 күн бұрын
Dahhhh huyu dada anateseka kwa kweli
@GladnessKaheza3 күн бұрын
Mshukuru mungu kwa kila hali ulionayo saiv...Ee mungu mponye huyu dada yan maumiv anayopitia ni makali sana😢
@MuzdalftKifilyКүн бұрын
Dh mungu atamlan alofanya unyama uwo kweli mbon tunakosa aman hiv dh😢😢😢😢 inauma sana tena san
@aminamollel35714 күн бұрын
Mungu Mungu Usielala Mungu Usieshindwa Mungu wangu Baba Yangu wambinguni wewe hujawahi kushindwa Eee Mungu Nashindwa nikwambieje Munguuuuuu wa Rehema na Huruma Muangakie kwa jicho la tatu binti huyu Tunakuomba Mungu wetu Mfanyie njia pasipo na njia bint huyu wewe ukiamrisha kila jambo linakua nakusihi Amrisha Mungu wangu
@WardaYousuf-g2n4 күн бұрын
Subhana Allah Allah akujalie shifaa
@bupeexaud28442 күн бұрын
Mbona nlimona na Taz kashindwa kumsaidia jamani mungu amponye huyu dada.
@ShidaMomba3 күн бұрын
Pole sana
@AminaJuma-g2f3 күн бұрын
Dahh pole sana
@hajramahumba71333 күн бұрын
Maumivu unayopitia nimaumivu mama angu anapitia tushahangaika mpaka tumekata tamaa 😢 Allah you pamoja nawe dada angu mwenyezi mungu yupo in Sha llah
@MunaIssa-z8j4 күн бұрын
Dah pole sana mungu akuafu ila ndgu jaribu na upande wa pili
@hedayamohammed27812 күн бұрын
Hawa anapitia mateso makubwa mno Allah yashfiiq 🤲
@SarahCharls2 күн бұрын
Du Mungu amhurumie japo hatujui chanzo Mungu atusamehe lkn palipo na rehema uponyaji upo ktk jina la Yesu aishie milele😢😢
@nyamgindamachage44224 күн бұрын
Usikate tamaa dada Mungu yupo atakuponya utapata furaha tena
@ummySheikh724 күн бұрын
Sina la kusema wallah! Mungu msamehe huyu mwanaadamu wako! 😅😮 subhannallah😭😱
@ziadasalimu17304 күн бұрын
Huyu dada kma mimkono watu basi amwachie au amuuwe tu ampunzishe mana haya mateso anayo pitia sijui nisemeje ha! Uwiiii
@KhadijaMuhammedi-r5uКүн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭YAARABIIII , YAARABIII ,,, MPONYE HUYU KIUMBE WAKO ,, KAMA KUNA LAANA IVUNJE YAARABIIII 😭😭😭😭😭😭😭😭
@Rahma-h3x6w2 күн бұрын
Mungu akuponye dada angu sina mengi zaidi yakukuombea mana najikuta nalia
@AdelphinaCaspar55 минут бұрын
Eeh mungu msaidie huyu dada jamani😭😭
@FatumaJuma-b2g4 күн бұрын
Allah akuafu Dada Amiiiiin Yaraab 🤲
@rukiyamohammed2945Күн бұрын
Allah amfanyie wepesi InshaAllah ..dah! Inauma jamani natamani ningekuwa billionaire ningefanya kila kitu kwa hawa. Naumia sana
@SabinaSulley-x7v4 күн бұрын
Pole sana dadangu Mungu wa mbinguni akuponye
@rehemaabdalla49424 күн бұрын
Pole sana hawaa Allah atakupa afueni inshallah nenda pia kwa sheikh suleiman anasaidia watu sana
@HadijaSelemani-n5y3 күн бұрын
Mungu wa mwanzilishi amponye hawa umsamehe dhambi zake katika jina la Yesu aachia uponyaji kwa mwili wake
@NemaAli-zh6hr4 күн бұрын
Enheeee Mungu huyu dada basi inatosha Baba 😢😢😢
@theresaelizabethelijah1174 күн бұрын
Haki ya mungu 😢😢 It's too much
@umfarid2472 күн бұрын
Pole mdogo wangu mug atakuondoa Kenya mtihani
@ErastonEmilly2 күн бұрын
Dada pole sana ila ungenisikiza shauri langu ungepelekwa kwa watumishi wa Mungu wa kuombeye,Mwamposa ao Kuhani Musa
@AbubakariKisuju4 күн бұрын
Allahuakbar"allahuakbar"allahuakbar"yarabiy msaidie hawa apone
@LindaMbilinyi-n3n4 күн бұрын
😭😭😭😭😭dah,,naishiwa maneno jmn km ni mwanadamu ndo anampa mateso hv hyu dada Mungu yupo na atamlipia hpa hpa inshallah😢😢
@MakrinaKihundo-r8j3 күн бұрын
Mungu akuponye dad man unateseka san
@AishaMbega-mg9fo2 күн бұрын
Alhamdulilahi Allah msaidie mja wako Hawa apone yaallaah mponye hawa wewe inaweza hushindwi YARABII
@sakinajuma42084 күн бұрын
Mungu wangu
@jasminhamisi-u8r3 күн бұрын
Pole Sana dada Allah akudimamiye upone
@evakessy32823 күн бұрын
Carina kama ma hospital na misikitini wameshindwa..... Basi amua moja mchague YESU hata kwakujaribu tuu halafu uone
@InjiliyaUfalmetv2 күн бұрын
Hakika
@MayarashidiMayarashidi4 күн бұрын
Dini zote zetu tujitokeze kwa upande wa maombi kumuombea dada hawa apone akae sawa kwa kweri anateseka tena sana maaumivu yake ayavaliki mungu awe nawe ndani mnje akuokoe kwa haya maradhi unayo pitia
@LucaiyaKyaka4 күн бұрын
Pole sn Mamaa Allah akujaalie afya akuondolee makubwa ya matatizo yk Inshaallah