Walininywesha Sumu, Nilitaka Kujiuzulu...Magufuli asimulia, almanusura imtoe uhai wake

  Рет қаралды 173,923

KidaniStars

KidaniStars

Күн бұрын

RAIS John Magufuli amesema utendaji wake wa kazi ambao ulimfanya Rais Benjamin Mkapa akiwa madarakani wakati huo amsifie hadharani, ulisababisha anyweshwe sumu na ilibaki kidogo apoteze maisha.
Ameyasema hayo Jumanne, Novemba 12, 2019, katika uzinduzi wa kitabu cha rais mstaafu Benjamin Mkapa kiitwacho cha ‘My Life, My Purpose’ (Maisha Yangu, Kusudio Langu) uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
“Nilipofanya kazi vizuri Mzee Mkapa hakusita kunisifia na sitosahau siku aliyotangaza kuwa mimi ni askari wake wa mwamvuli, baada ya kutangazwa hivyo nilichukiwa na viongozi wengine tena wa ngazi za juu hadi kufikia hatua ya kunyweshwa sumu Dodoma,” alisema.
“Nashukuru Mungu baada ya kunyweshwa sumu na kupona, nilienda kwa Mzee Mkapa na kumueleza azma yangu ya kujiuzulu, nakumbuka aliniangalia kwa jicho la baba na mwana akanipa ujasiri na kuniambia usijiuzulu, akanipa ulinzi na nikaendelea kuchapa kazi.
“Katika tukio hilo nilimuona Mzee Mkapa kama mtu anayekupa matumaini wakati wewe ukiwa umekata tamaa. Mzee Mkapa nakushukuru sana, nimejifunza kutowasifu wateule wangu hata kama wanafanya mazuri mengi, yasije yakawatokea yaliyonikuta mimi wakati uliponisifia,” amesisitiza Magufuli.

Пікірлер: 61
@khadijashabani5509
@khadijashabani5509 2 жыл бұрын
Umepigania sana watanzania sijui hata tutakulipa nini 😭😭😭 tutakuwa tunakuombea duwa mungu akuhifadhi tunu ya Tz
@SamiraBurhan-qg3yd
@SamiraBurhan-qg3yd Жыл бұрын
Mungu ukupokee naa akuifasi mahali patakatifu ata ukiwa una dhambi Yesu atakusamehe kulingana na vtendo uliye mtendea nchi wetu
@JudsonKambale-n4d
@JudsonKambale-n4d Жыл бұрын
Voilà un chef modèle à suivre.
@dungdun1139
@dungdun1139 2 жыл бұрын
Muliomuua Magufuli mna laana Sana. Mungu anawaona
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Hivi yeye hakusababisha watu fulani kuaga dunia @?
@RobertMsoma
@RobertMsoma 6 ай бұрын
Mungu aigawe nsfsi yako magufuli kwa marais wajayo ijapojuwa shetani yupo kazini
@uwaseabel9201
@uwaseabel9201 2 жыл бұрын
Ulikufa kishuja raisi wetu
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!
@antonynkanata1834
@antonynkanata1834 10 ай бұрын
This man had a lofty dream 4 his pple and country but death barred it 2 happen. When he says that he survived poisoning attempt am made 2 think those who did came 4 the second time and did it clean.
@MagretMalia
@MagretMalia Жыл бұрын
Mungu akupumzishe kwa amani
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 3 жыл бұрын
RIP MH JPM NA MH MKAPA
@ZachariaLuzili
@ZachariaLuzili 6 ай бұрын
Rest in peace you is the special leader ibelive the God bless you forever
@ThadeiAndrea
@ThadeiAndrea 4 ай бұрын
Jamani watu wabaya mwenyezi Mungu yumwema akuondolee azabu ya kabuli
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj 10 ай бұрын
Naliaga sana Babngu Magufuli. Upumzike salam 😭😭😭😭😭
@AdamAgustino-n4k
@AdamAgustino-n4k Жыл бұрын
Asante mzee
@SaidSaid-sl1qv
@SaidSaid-sl1qv Жыл бұрын
Inanikumbusha mbali asante magu
@DanielOmamo
@DanielOmamo Жыл бұрын
Good leader.
@YusufuSafielMkongo-dd1ee
@YusufuSafielMkongo-dd1ee Жыл бұрын
Nimevutiwa Sana na hotuba hii na katika kumuenzi nafikiri itakua vyema kama atatokea mtanzania ambaye ataandika kitabu kitakacho muelezea nguli huyu katika siasa na na uongozi was taifa letu ama Kwa Yakima alikua kiongozi Bora wa Karne nawasilisha
@jacquelinefrankie5309
@jacquelinefrankie5309 Жыл бұрын
😭😭😭Magu wetu rip baba
@fadhilinzano5840
@fadhilinzano5840 Жыл бұрын
R.i.p our hero
@BakuzaSimon
@BakuzaSimon 9 ай бұрын
RIP MAGUFURI ULITUGUSA SANA WATANZANIA NA TULIKUPENDA MNO KAMA KWELI KUNA BINADAMU ALIHUSIKANNA KIFO CHAKO ALAANIWE NA KIZAZI CHAKE CHOTE
@EZEKIELMANDE-px3ph
@EZEKIELMANDE-px3ph 7 ай бұрын
Leo kazi wanayo
@JosephatChristopher-y5v
@JosephatChristopher-y5v 9 ай бұрын
Rest internal peace daima tunakukumbuka baba😭😭😭😭😭😭😭😭
@PokeaEliau-mf7rx
@PokeaEliau-mf7rx Жыл бұрын
Adui yako leo ndio anamwongosa huyu mama lakini mwenyezi mungu atawalipa wote wanaousika na kifo chko
@wazirimuba4082
@wazirimuba4082 3 жыл бұрын
Rest in peace 💔 kizuri akidumu
@Doris-kr8jz
@Doris-kr8jz Жыл бұрын
😢😢😢 lm remember my good presdent
@jonasjohn9322
@jonasjohn9322 2 жыл бұрын
Ktk malaisi wote watanzania Magufuli ndoarie kua ana maarifa kuliko marais wotee
@sukumatv8564
@sukumatv8564 Жыл бұрын
Mwangalieni vizuri kikwete, ndo mjue alichokuwa anakiwaza moyoni mwake hakikuwa kizuri
@PascalMpemba-v2n
@PascalMpemba-v2n Жыл бұрын
Ukumbukwe daima
@marcomathew8439
@marcomathew8439 Жыл бұрын
King😢
@blackgiantupdates831
@blackgiantupdates831 3 жыл бұрын
Who is here baada ya rais kufariki
@MashauliSimeo
@MashauliSimeo Жыл бұрын
Ndiooo
@chumawambula954
@chumawambula954 2 жыл бұрын
ebu mtizame kikwete alivyo nuna mwenye chuki awezi kujificha kweli
@MohamedMbaraka-b2d
@MohamedMbaraka-b2d Жыл бұрын
Yan
@abdalahjanja8284
@abdalahjanja8284 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@AbutwalibuRashidi
@AbutwalibuRashidi 7 ай бұрын
Kilabu bingwa baran afrika 0:47
@selemanibhaiya3189
@selemanibhaiya3189 3 жыл бұрын
😭😭😭😭
@nishasalim2880
@nishasalim2880 3 жыл бұрын
How sure are we kama hawajamuwekea sumu tena? Guys doctor wa President Magufuli professor Nchemba , Leonard chamuhiro, diwani Thurman they have a case to answer jamani!😭😭😭
@mturijackonia9138
@mturijackonia9138 3 жыл бұрын
Watanzania tunakukumbuka
@AnchirausiAnatory
@AnchirausiAnatory Жыл бұрын
Uyu arikuwa anatufaa
@jonasjohn9322
@jonasjohn9322 2 жыл бұрын
Yani ivii numegundua Magufuli ndo aliwazid maarifaaa
@geofreyarchard4566
@geofreyarchard4566 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@Marco-l2v9b
@Marco-l2v9b 8 ай бұрын
Rip
@antonynkanata1834
@antonynkanata1834 10 ай бұрын
This guy had the interests of his pple and country at heart but death could not allow it 2 be. I suspect those who poisoned him came back and 4 the second attempt and did it clean.
@RiroMarwa
@RiroMarwa Жыл бұрын
Misita riro
@elizabethwilliam5008
@elizabethwilliam5008 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@JamalGubuka-ys7rq
@JamalGubuka-ys7rq Жыл бұрын
Uwonqo
@GresiJuma
@GresiJuma 6 ай бұрын
watalipa kwahili
@mbwanalipename1018
@mbwanalipename1018 6 ай бұрын
😂😂😂
@hassankaka
@hassankaka Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@SaidSaid-sl1qv
@SaidSaid-sl1qv Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@AnchirausiAnatory
@AnchirausiAnatory Жыл бұрын
Uyu arikuwa anatufaa
@AnchirausiAnatory
@AnchirausiAnatory Жыл бұрын
Au nyie mnaonaje wananchi wenzangu najua Kuna wengine wanapinga wengine tunakunari
@dianamassawe2534
@dianamassawe2534 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@josephmlela9757
@josephmlela9757 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@preciouspeace7686
@preciouspeace7686 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@maryluhaga1589
@maryluhaga1589 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba yetu
@maryluhaga1589
@maryluhaga1589 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@nderitucharles829
@nderitucharles829 Жыл бұрын
Rip
@SaidSaid-sl1qv
@SaidSaid-sl1qv Жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pema mtetezi wawanyonge alie usika na kifo chake mungu atamuazibu na yeye
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,5 МЛН
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
LIVE: MAGUFULI AMKATAZA MKURUGENZI KUONGEA KIINGEREZA "NITAKIFUNGA"
23:26
Aliyelawiti Mbeya Afungwa Maisha, Rais Magufuli Ampogeza Hakimu
10:26
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН