Captain Aliyetoroka na NDEGE Kenya Apewa Mamilioni na JPM!

  Рет қаралды 506,119

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Captain Aliyetoroka na NDEGE Kenya Apewa Mamilioni na JPM!
Rais Dkt John Magufuli, leo Desemba 23, anapokea Ndege ya kwanza kati ndege mbili aina ya Air-Bus A220 zilizonunuliwa na Serikali ya Tanzania.
Katika hafla hiyo Rais magufuli amemkabidhi captain wa kwanza wa shirika la ndege kwa kitendo chake cha ujasiri kwa kuruka na ndege kutoka Nairobi hadi Dar es salaam kwa nguvu bila kujali kulipuliwa.
Ndege hiyo imewasiri leo majira ya saa 10:30 jioni na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
#RAISMAGUFULI
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 407
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 6 ай бұрын
Daaaaah Jpm alikumbuka watu waliotoa maisha kwa ajili ya Nchi. Jaman 😢😢😢😢😢😢😢.LALA BABA HAKIKA ILE KAULI YA UPENDO WEWE NDO ULIIONESHA DHAHILI.
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 6 ай бұрын
Daaaaah JPM 😢😢😢😢 mwamba umelala. Ila roho yako inaishi Baba
@johnkiyaga1615
@johnkiyaga1615 3 жыл бұрын
We always missing u mzee John pombe joseph magufuli
@keithochieng8805
@keithochieng8805 3 жыл бұрын
My president from another country. May your soul Rest in Perfect Peace!.
@samwelmurro3498
@samwelmurro3498 3 жыл бұрын
Amen. Be blessed ndg
@hawaabubakar2619
@hawaabubakar2619 5 жыл бұрын
Hongera Rais magufuli kumkubuka mzee mapunda mzalendo hongera sana rais safi Kenya subutu hakuna wakuwakubuka wazalendo ata ufanye nn utojulikana na yoyote yule family yko tu ndio watakubuka i salute u Mr.orezo bigup muheshimiwa from saudi Arabia
@rajabusungi5050
@rajabusungi5050 4 жыл бұрын
Mh.yaani kazi yako ni ya tofauti Sana..!! Sijawahi kuona uongozi wa aina hii,super sana mzee
@choosenempire7772
@choosenempire7772 3 жыл бұрын
tangia dunia ianzee sijawai onaa this man had a rare character. Stay blessed wherever you are magufuli
@mohamedakrabi4801
@mohamedakrabi4801 3 жыл бұрын
Much respect to Mr. President. You never forget where we were and those devoted to our country. Capt Mapunda and Mfugale are live examples. May you continue with same spirit and strength. Will continue to pray for you, future leaders and our beloved country. Mungu Ibariki Tanzania.
@roselinendegwa2158
@roselinendegwa2158 3 жыл бұрын
Waaaw you'll be remembered generation to generation. JPM rest in peace
@robertkizito8656
@robertkizito8656 3 жыл бұрын
Rest In peace JPM
@seadogs4460
@seadogs4460 4 жыл бұрын
Wallahi kweli ni Rais wa watanzania,im so proud of you Mr president,you deserve the 2nd term kuwa Rais wa Tanzania na mungu akubariki,2020 kura yangu wewe chukuwa
@viviantenai4599
@viviantenai4599 4 жыл бұрын
Ongera sana rais wa Tanzania kwakua unawatambua mashujaa wa nchi yako nakuwatetea wananchi bila kuwabakua. Naamini kenya mungu atatujalia raisi ambae atakua wa hekima na mwenye roho wa utu 2022 .twakupenda nchini Kenya kwa kazi yako nzuri. Mungu aibariki Tanzania.
@bosszulu245
@bosszulu245 3 жыл бұрын
Heaven sent,Mr Maghufuli.
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 3 жыл бұрын
What a President he was💞 🎩👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@robinsonrespicius2713
@robinsonrespicius2713 4 жыл бұрын
JOHN MAGUFULI IS THE BREATH OF FRESH AIR , JPM HOYE
@blackvirus8740
@blackvirus8740 3 жыл бұрын
Nimelia jaman kwa Furaha😭😭😂😂😂😂R.I.P Rais wetu
@eveimbusi5940
@eveimbusi5940 5 жыл бұрын
Wow congratulations nikawie moja sir Mr Mapunda ukikuja Kenya unirushie Mungu akuongezee mara mia
@tendatanzania9483
@tendatanzania9483 5 жыл бұрын
Hapa mzee MAGUFULI nimekuelewa sana..barikiwa
@hassanmpwepwe8258
@hassanmpwepwe8258 4 жыл бұрын
God bless my present jpm god bless Tanzania
@peterndossy3008
@peterndossy3008 4 жыл бұрын
Hakika Uncle Magu nakuelewa sana MUNGU Aendelee kukutunza👏👏👏
@hezy7595
@hezy7595 3 жыл бұрын
Safiri salama Baba Magufuli.Mimi mkenya lakini nitakukumbuka sana kwa mfano mwema ulionyesha duniani.God bless you
@christinesulle5051
@christinesulle5051 3 жыл бұрын
Safiri salama baba yetu Rais wa Africa yetu Milele utabaki mioyoni mwetu daima J.P.M
@user-je1id1tx1u
@user-je1id1tx1u 5 жыл бұрын
Sijawahi tuma comment Leo numeguswa baba kwa stahili hii songa mbele daima ni vizuri Sana kukumbuka wazalendo na wahasisi wa nchi hiii nasema asante
@lauraabass1077
@lauraabass1077 4 жыл бұрын
Yaani mhe Magufuli mie nafurahi ndani ya roho. Hakika umebarikiwa Imani na Fadhila. I cant wait to meet you hakika watapata kigugumzi walotuonea haki yetu mimi na wenzangu. Najua siku itafika Inshallah.
@seraphinembila6745
@seraphinembila6745 5 жыл бұрын
Naipenda tanzania Mungu akubarikisana magufuli
@allymohamed3090
@allymohamed3090 3 жыл бұрын
We will forever mic u our president, magufuli "gone but never forgotten"
@johnmorrisnyagado6364
@johnmorrisnyagado6364 5 жыл бұрын
I love this.
@lomulendavid8283
@lomulendavid8283 4 жыл бұрын
Always excellent
@e.jack.47
@e.jack.47 3 жыл бұрын
Rewarding experience and merit promote n provokes patriotism
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 4 жыл бұрын
Da mimi sijui nisemeje magufuli Mungu akulinde sana kwa kuwakumbuka mashujaa wetu love you saaaaaana Rais wangu magufuli
@sulaimankalisa7247
@sulaimankalisa7247 3 жыл бұрын
Kind hearted president RIP@JPM u will always be remembered dear
@afandehassan1
@afandehassan1 4 жыл бұрын
Mwenyeezi Mungu akupe afya na umri mrefu rais wa Marais JPM
@yagadizzo8632
@yagadizzo8632 3 жыл бұрын
We will miss u forever😢😢😢😢😢
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
MashaAllah. Safi kabisa!😘🤩🤗👍
@ramadhanimsuya842
@ramadhanimsuya842 5 жыл бұрын
Maguful you are the best
@wanjiruwathuo3643
@wanjiruwathuo3643 4 жыл бұрын
Rais Magufuli Wakenya Twakupenda Bure. ..Hongera Baba Taifa
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 8 ай бұрын
Sana tu
@maasaione6474
@maasaione6474 3 жыл бұрын
God give us another one like this one.The last breed of good African leader
@agesag.m2476
@agesag.m2476 4 жыл бұрын
Hon Magufuli, hehehehe, I like the way he recognises his patriots one by one.....
@mmaahsayyid1858
@mmaahsayyid1858 5 жыл бұрын
Raha sanaaar....Ebu Mke wa mapunda aje hapa 😍😍😍😍😍😍
@halisiaisaya7832
@halisiaisaya7832 5 жыл бұрын
Mungu hakubariki Rais wetu
@saalimmohammed3256
@saalimmohammed3256 5 жыл бұрын
Halisia Isaya : complicated speech or bad writing " hakubariki".
@zachariahtomemba9070
@zachariahtomemba9070 3 жыл бұрын
Hongera Sana Mtukufu Rais
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 9 ай бұрын
Daaaah eh mungu
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 жыл бұрын
Nani kama huyu Tanzania. Jibu-hakuna Mungu akuone. Amiin
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
nawapenda Sana wazalendo woteee, TANZANIA kwanza kwani huwezi jua kesho Asante JPM Asante mzee mapumda
@sengendotwaha9333
@sengendotwaha9333 5 жыл бұрын
Thx Mr president
@josphatmichori1455
@josphatmichori1455 3 жыл бұрын
Lala salama Magufuli 🙏
@issahhussein1922
@issahhussein1922 5 жыл бұрын
Huyu raisi tutakuja kumkumbuka sana
@sakinayusuf5072
@sakinayusuf5072 5 жыл бұрын
Saaanaaaa tena zaidi ya sana
@زهرغنيه
@زهرغنيه 4 жыл бұрын
Natamani guhamia Tanzania
@abdullysige8740
@abdullysige8740 3 жыл бұрын
Tayar tuna mkumbuka
@dalaliamanidar3004
@dalaliamanidar3004 3 жыл бұрын
Asee we Jamaa uliona mbali sana asee R.I.P JPM ntakupenda milele
@kensaty111
@kensaty111 3 жыл бұрын
Tusha mkumbuka
@sheilalolila2233
@sheilalolila2233 3 жыл бұрын
Mimi nazani maombolezo yangu yatakuwa tofauti ni ya milele mpaka mungu na mimi atakapo ni chukua nilimpenda sana magufuli my president
@mathewbahati2831
@mathewbahati2831 3 жыл бұрын
Alikuwa kiongozi wa kugusa mioyo ya watu sana. Alipenda nchi yake na watu wake
@frankjulius7978
@frankjulius7978 3 жыл бұрын
Nakukubali sana mh Rais wangu
@shadjimmy2766
@shadjimmy2766 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani raisi wangu hakika nina kidonda😭😭😭😭🙏🏻🙏🏻
@iconnectafrica1840
@iconnectafrica1840 5 жыл бұрын
Napenda sana kutoka Kenya
@alexmaige1450
@alexmaige1450 3 жыл бұрын
Dah, barikiwa raisi wetu
@kennedykenney8201
@kennedykenney8201 5 жыл бұрын
Brother,you are the best president l have seen in Africa,may God bless you.we are live in diaspora supervising what's up in Africa mama,keep the candles burning
@lavenderlucy3444
@lavenderlucy3444 5 жыл бұрын
Amen amen
@cyrilmarish6263
@cyrilmarish6263 5 жыл бұрын
supervising so that you do what with that supervision report?
@FredrickKabura-gd7hg
@FredrickKabura-gd7hg 3 ай бұрын
KWELI WASUKUMA TUNAUPENDO.
@josphatkirui7732
@josphatkirui7732 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂,hapo nakubali Makufuli!,unawakumbuka kule mumetoka.Mungu akubariki !.
@adilomar3199
@adilomar3199 3 жыл бұрын
Dah hatutosahau
@sebastianngimba4850
@sebastianngimba4850 5 жыл бұрын
dooo miaka mingi sana alipo Iba ndege kule kenya,maRais woote wamepita kimya kama hawamjui,magu kiboko yao mafisaidi.ocd mlinde sana mzee wetu aliyetuibia ndege kenya.
@honourableboy6106
@honourableboy6106 5 жыл бұрын
kweli
@aminatabakari2741
@aminatabakari2741 3 жыл бұрын
Nakupenda Rais wetu!!!
@nelsondiba
@nelsondiba 3 жыл бұрын
Lovely
@omarmsellem9969
@omarmsellem9969 4 жыл бұрын
Hongera magu saluti
@friminamkenda7405
@friminamkenda7405 3 жыл бұрын
Umenifurahisha rais 💃💃💃💃💃
@muganziivankaganzi.7300
@muganziivankaganzi.7300 5 жыл бұрын
Asante Sana mshimiwa
@othmanhamad7941
@othmanhamad7941 4 жыл бұрын
Yani uncle magu jamani niatari sana
@happypro3212
@happypro3212 5 жыл бұрын
I love so much the tanzanian president Magufuli
@brightmahewa
@brightmahewa 7 ай бұрын
Mungu amrehem jpm
@omarychipeta5081
@omarychipeta5081 5 жыл бұрын
Daaaaa p1 sana baba
@davidthebigguy7470
@davidthebigguy7470 4 жыл бұрын
The best president ever
@frankaruiz2310
@frankaruiz2310 3 жыл бұрын
daaah lala salama mkuu
@christopherowino1816
@christopherowino1816 5 жыл бұрын
Global TV, pia mubarikiwe kwa kazi mzuri,
@phillipsambu8106
@phillipsambu8106 3 жыл бұрын
Hongera rais
@ellyayieko357
@ellyayieko357 3 жыл бұрын
In my country the ones who would be entrusted with guarding the man would be the first to betray him
@lavenderlucy3444
@lavenderlucy3444 5 жыл бұрын
Nakupenda tu bure raise makafuli
@nickyrude5766
@nickyrude5766 5 жыл бұрын
wat do we have to do to get such leaders??? much love from +254
@seraphinembila6745
@seraphinembila6745 5 жыл бұрын
akika nahamini tanzania mumebarikiwa kiongozi bora duniani raisi anayependa watu wake bila ubaguzi natamani niwe mtanzania ilabasi tena congo inabowa ata raisi wangu anijue
@eliaisaya514
@eliaisaya514 4 жыл бұрын
Karibu sana
@HP-du9tn
@HP-du9tn 3 жыл бұрын
Poleni
@elishajoshua4892
@elishajoshua4892 6 ай бұрын
I miss my late President .😢
@kelvinmtayoba4142
@kelvinmtayoba4142 3 жыл бұрын
we miss you forever dady
@lhmgaya
@lhmgaya Жыл бұрын
Good good late JPM
@sylvanussebastian6209
@sylvanussebastian6209 5 жыл бұрын
Kwa kweli sion ubaya wako kwa sababu baya moja mazuri 99 lini na saa ngapi nitaona ubaya wako!!!ni wakwanza kulipa fadhira na kumpa mtu heshima anayostahili akiwa bado anaishi hivyo kumfanya mtu ajivunie kuwa mzalendo wa Taiga lake
@enosokothetyang
@enosokothetyang 3 жыл бұрын
Wooow! John Pombe Joseph Magufuli! Lala pema baba!
@mguuwangutv1979
@mguuwangutv1979 5 жыл бұрын
well done our president Dr John Joseph Pombe Maghufuli
@stephenwakuloba7086
@stephenwakuloba7086 3 жыл бұрын
What a President!! We have bigly lost a leader
@ellysbrand
@ellysbrand 5 жыл бұрын
Vizuri mr president
@januarymwingwa2962
@januarymwingwa2962 4 жыл бұрын
Nataman awe anasoma comments asee mzee wetu ww Ni binadam wakipekee sana Mungu akupe umri mrefu uzidi kusaidia wanyonge na waliosahaulika
@jamesgitahikahuro2443
@jamesgitahikahuro2443 4 жыл бұрын
Magufuli wewe! Mingi akubariki sana. Kuna wengi viongozi hawajali mwingine ila wao na jamii zao wenyewe.
@manuelsaramba2138
@manuelsaramba2138 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 жыл бұрын
Hahaha Mapunda asante saaana
@Lialye
@Lialye 4 жыл бұрын
I love you rais wangu
@elisantemollel3525
@elisantemollel3525 5 жыл бұрын
Taarifa ya habari
@mangulymanguly139
@mangulymanguly139 3 жыл бұрын
Magu apo nimekubali
@khatibalamin401
@khatibalamin401 5 жыл бұрын
Apo wadau watatengeneza fursa. Siti ya mapunda atapewa Juma 😤😅😅 ole wenu😣😮😮
@saloujohn3639
@saloujohn3639 5 жыл бұрын
Hhehehehehe Mzee mapunda wa kwetu songea ,mjomba magu asante sana kwa kazi nzuri
@wanjauanthony9582
@wanjauanthony9582 5 жыл бұрын
Hii ni pesa ya raia, angetunzwa kwa meadli wala si pesa.
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU enderea kuimarisha afya yake raisu wetu
@sakinayusuf5072
@sakinayusuf5072 5 жыл бұрын
Aamin
@edwinshigongo3213
@edwinshigongo3213 4 жыл бұрын
Magufuli tawala daima
@stevenleonce9416
@stevenleonce9416 3 жыл бұрын
Safi San jpm
@anawa4326
@anawa4326 5 жыл бұрын
The best president in the world JPM HOYEEE
@nadyamohd6820
@nadyamohd6820 4 жыл бұрын
Nakupenda bure magufuli
@sulleysonsulley4160
@sulleysonsulley4160 5 жыл бұрын
Mzee naomba tusaidie sisi , kwa safari za ndani nauli iwechini kidogo
@clinton3168
@clinton3168 4 жыл бұрын
Maguuuuuu 1000000000000 miakaa yakuishi
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 3 жыл бұрын
Rip JPM
@ananiasmkhamsini
@ananiasmkhamsini 5 жыл бұрын
good
@MohamedAli-oe1he
@MohamedAli-oe1he 4 жыл бұрын
Mapundaa🤔🤔
@hemed4064
@hemed4064 4 жыл бұрын
hahah, eti asiwe anasafiri kila siku, nimecheka mwe...
HD VIDEO: JPM alivyotangaza kuwasamehe Babu Seya na Papi Kocha
3:49
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 113 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,5 МЛН
AGIZO LA JPM: Kuhusu Mwanamke alieangua kilio mbele yake
8:28
Millard Ayo
Рет қаралды 257 М.
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA KAIMU RPC RUKWA/ "ANAKIBURI....."
8:13
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39