VURUGU ZAIBUKA! MKURUGENZI na Wanachama CHADEMA Nusura WAZICHAPE, Akataa KUPOKEA FOMU za WAGOMBEA...

  Рет қаралды 143,317

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

VURUGU ZAIBUKA! MKURUGENZI na Wanachama CHADEMA Nusura WAZICHAPE, Akataa KUPOKEA FOMU za WAGOMBEA...
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Mkurugenzi wa uchaguzi Moshi ameingia katika mgogoro na wanachama wa Chadema chanzo kikiwa ni fomu ya wagombea wa Chadema.....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 602
@ceciliajimmy5652
@ceciliajimmy5652 4 жыл бұрын
Asanteni sana kina mama kwa ujasiri wenu.
@marymremi1241
@marymremi1241 4 жыл бұрын
,Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Mungu Baba ulieumba mbingu na nchi vyote vilivyomo Baba simama tusaidie uchaguzi wa amani tunakuangalia wewe hatutaona mwingine na jua unaweza njia zako hazichunguziki uliefanya njia ktkt ya bahari fanya njia zako Mungu wewe unatujua kuliko tunavyojijua unaona mpaka mioyo iliyofichika damu ya mtanzania yoyote ilindwe na wewe
@noahmboma1759
@noahmboma1759 4 жыл бұрын
Dah, lakini tukumbuke kuwa baada ya uchaguzi kuna maisha yanaendelea
@ramadhanimbulu6716
@ramadhanimbulu6716 4 жыл бұрын
Daah! angekuwepo Adamu mchomvu angefupisha mazungumzo tu...!! huyu mkurugenzi ni jeuri Sana.
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 4 жыл бұрын
Hatareeeee sana.
@kiandangulwi3546
@kiandangulwi3546 4 жыл бұрын
Hatari sana. God help Tz, Tuondolee wahujumu haki wote hata kama wanania njema kwa mawazo yao
@jacksonolotu9318
@jacksonolotu9318 4 жыл бұрын
Katibu uko vizuri
@robertsemaganga9168
@robertsemaganga9168 4 жыл бұрын
Tunduuuuuuuuuuuuuu.😂😀😁😂😀😁🚵🚵🚵🚵 kubwaaaaaa sana
@africanhunter1245
@africanhunter1245 4 жыл бұрын
hapa kazi tu
@damsonwillison435
@damsonwillison435 4 жыл бұрын
Huyu mkurugenzi Ana kiburi Mi sio Chadema lakini kwa hili mkurugenzi unakera
@abassmtemekelemkovizuritv7231
@abassmtemekelemkovizuritv7231 4 жыл бұрын
Piga makofii ya maan upuuz kama huo wanini mnanlea hvo
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 4 жыл бұрын
CHADEMA kwa kuzua maneno huwawezi. Unamsikiliza kuwa waliambiwa na NCCR mageuzi Wanachakachua mwenyewe kisha waanazua kesi hawa watu ni wajinga sana
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 4 жыл бұрын
Kweli mkurugenzi anakela ila hajui cheo siyo dhamana
@mathiasmsese6128
@mathiasmsese6128 4 жыл бұрын
hapana hawa wazee wanataka mbango mbona mkurugenzi amewaambia wapeleke tena aliwaambia muda mrefu tu
@amosikabalata6381
@amosikabalata6381 4 жыл бұрын
Ndugu yangu unajua hawa watu ambao wako upande wa utawala wana jeuri sana
@lukagulagekidehele5788
@lukagulagekidehele5788 4 жыл бұрын
Mkurugenzi wa Moshi ujue kuna utawala wa mpito nchi hii haina mwenyewe, mwenywe ni Mungu tu. Utakuja jutia kijana
@gaspermatee3970
@gaspermatee3970 2 жыл бұрын
Kama ni kenya 🇰🇪 huyu jamaa sijui kweli form tu
@solemba595
@solemba595 4 жыл бұрын
Hawa Viongozi gani wasio na hekima, baadae wanasema tutangulize Mungu, yaan aibu tupu
@magrethsomi4318
@magrethsomi4318 4 жыл бұрын
Ndugu haya ni maisha tu, kila apandacho mtu ndicho atakachovuna. Tutendeane wema.
@xerxespersian1384
@xerxespersian1384 4 жыл бұрын
AIBU KUBWAAAAAAA ME NAWAOGOPA BINADAM MAANA WALIMUUA YESU PIA WALICHUKIWA NA MARAIKA MKUU WA BODI YA MASIFU YA MUNGU NA NDIO MAANA NAWAOGOPA BINADAMUUUUUUUU🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🛌
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 4 жыл бұрын
Kwa mambo ya kipuuzi kama haya tutawezaje kudumisha amani.Huyu mkurugenzi aache kucheza na haki za watu wa Moshi
@kibotvkibo7877
@kibotvkibo7877 4 жыл бұрын
Duh shida nn wakurugenzi mbona mnawatesa sa wapinzani jmn!!!
@geraldgodsontv7982
@geraldgodsontv7982 4 жыл бұрын
Huu uchaguz wa mwaka huu Mungu tuvushe😭😭
@JOSEVEGAS001
@JOSEVEGAS001 4 жыл бұрын
😭😭😭😭🤧😤
@saningotobikongotiek8072
@saningotobikongotiek8072 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😂😂🤓
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 4 жыл бұрын
Amna ni kawaida tu.
@christianmumwi3166
@christianmumwi3166 4 жыл бұрын
Ok
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Chadema waelewa sana!! Mkuregenzi anaonekana mnazi tu!!!
@jurakijuraki8870
@jurakijuraki8870 4 жыл бұрын
BBM
@emmanuelndaki7942
@emmanuelndaki7942 4 жыл бұрын
Mkurugenzi ahahoja ya msingi. Msikilize anasema formu ziko sahihi. Kama unashaka nenda polisi wathibitishe theni rudisha lakini kwa kibali cha polisi. Sasas shida iko wapi? Mkurugeni uko vizuri sana kimaelezo hao wahuni achana nao wafate taratibu.
@gasperswai6963
@gasperswai6963 4 жыл бұрын
Mkurugenzi tumia hekima na wajibika, ni accountability yake hao ni wateja wako kujua form ni feki a u receipt ni wewe, jua receipt inatumika ku-acknowledge payment, na wewe mkurgenzi ndiyo process owner, unavyo Tiba Shaka Nani wa kutoa wajibu hayo zaidi ya ofisi yako?
@mtengiefoya2835
@mtengiefoya2835 4 жыл бұрын
Pmpmpm
@saidasimba9979
@saidasimba9979 4 жыл бұрын
Kwani kawajibu nini si amesema wawasilishe vielelezo. Tatizo liko wap.
@mariamhassan1894
@mariamhassan1894 4 жыл бұрын
Huyo anatak kichapo ajui hapo ndio kaskazn chadema ndio kwao
@denismassawe9255
@denismassawe9255 4 жыл бұрын
Chadema mtakaa sanaa
@hassankurwa464
@hassankurwa464 4 жыл бұрын
Waende Polisi Mkurugenzi Hana taaluma ya wanacho kidai
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 4 жыл бұрын
Inasikitisha sana
@victorjames3730
@victorjames3730 4 жыл бұрын
Huyu msimamizi anachokitafuta atakipata! Huu sio uchaguzi wa serikali za mitaa
@martinemaganga2546
@martinemaganga2546 4 жыл бұрын
Tatizo ni kwamba wanaochukua form wanamchanganya kwanini wao mara aliyechukua form siyo yeye
@givenkigahe8116
@givenkigahe8116 4 жыл бұрын
@@martinemaganga2546 acha ujinga ww
@laghanganuwagi7602
@laghanganuwagi7602 4 жыл бұрын
We ulijuaje kwamba wsnamchanganya?
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 4 жыл бұрын
Mkurugenzi tumia busara katika kazi yako na hekima usije ukaleta shida
@Tanzaniawildcats
@Tanzaniawildcats 4 жыл бұрын
Dah noma hii
@allydilunga9621
@allydilunga9621 4 жыл бұрын
Dah 😯😯😯😯
@msuo7215
@msuo7215 4 жыл бұрын
Mwaka huu ccm wajiangarie sana
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
kbsaa kabsaaa maaana wanaaanhaika sanaaaaa!
@petermwacha9909
@petermwacha9909 4 жыл бұрын
CCM wanahusikaje? Nyie mnatengeneza comed zenu mnasumbua WASIMAMIZI wa uchaguzi
@gideonstephen6879
@gideonstephen6879 4 жыл бұрын
Hi Nicole mbinu mpya na sct juzi ubungo nao wakafanya wanapeleka barua haina hata reference namba halafu mgombea mwenyewe ni mwna sheria huu ni utoto
@msuo7215
@msuo7215 4 жыл бұрын
@@gideonstephen6879 mh ni shida kwakweli
@naomimabula2660
@naomimabula2660 4 жыл бұрын
Mkurugenzi uelewa mdogo sana jaman, hilo suala sio la kifamilia, ni dhamana tu umepewa, sikiliza Wananchi
@isaacsongoro6278
@isaacsongoro6278 4 жыл бұрын
Nimemfatilia sana mkurugenzi, nimegundua chadema mnakwenda kwa mihemuko, na jazba mnatakiwa kuwa watulivu mpewewe maelekezo sahihi
@charzwilson9494
@charzwilson9494 4 жыл бұрын
Chunguza akiriyako Kisha Pima ujue Kama hujanasiriwa na maisha
@augustinemwalongo2580
@augustinemwalongo2580 4 жыл бұрын
Mbona vizingiti vinakua vingi kwa wagombea wa chadema jaman!!!🤔🤔🤔
@philipgerald9646
@philipgerald9646 4 жыл бұрын
Hawa wakurugenzi mwaka huu tutaimba nao iyenaiyena ama zetu ama zao
@aidanhamza4656
@aidanhamza4656 4 жыл бұрын
Uwe mbele mbele ili wakutegue kiuno mkeo wakulele wenzio
@mwambamkombozi4672
@mwambamkombozi4672 4 жыл бұрын
Aidan Hamza mbona jina alifanani na majibu unayomuandia mtu au jina bandia?!!
@nabothngailo6594
@nabothngailo6594 4 жыл бұрын
Ndo.maana.tulikataa.wakulugenzi.kusimamia.uchaguzi
@aidanhamza4656
@aidanhamza4656 4 жыл бұрын
@@mwambamkombozi4672 jibu lenye uhalisia kabisa hilo yeye anasema ataimba naye iyena iyena wakat anao wapigania wao wapo makwao wanakula raha , sasa ndio namwambia awe mbele mbele kule kwenye kupamba ili akione cha moto c anataka kuimba naye
@hadija846
@hadija846 4 жыл бұрын
Haahaaaahaaaaa nyimbo mzuri sana iyenaiyena ama zetu ama zao 👍😍
@kambamazig02024
@kambamazig02024 4 жыл бұрын
Mkurugenzi mama ana kichwa kigumu sana haelewi anachokifanya, yupo yupo tu na kiburi kazi itamshinda.
@richardnjau9706
@richardnjau9706 4 жыл бұрын
Duuh! Hapo kuna kazi!
@gabrielymathias5516
@gabrielymathias5516 4 жыл бұрын
jamani mkurugenzi nimekuchagua mimi nimekupa gari nakuwekea mafuta kweye gari alafu uwatangaze wapinzani ??
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 4 жыл бұрын
Inauma sana unapoona mtu Kwa mamlaka aliyopewa, anataka kusababisha vurugu bila sababu. Very sad.
@gastordominic410
@gastordominic410 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ana shida mkurugenzi
@khamissnassor1462
@khamissnassor1462 4 жыл бұрын
CCM mnachokifanya mungu anawaona
@BIG-HILLTV
@BIG-HILLTV 4 жыл бұрын
Hiv chadema kila kitu nikulalamika tu
@kingtommdogo6232
@kingtommdogo6232 4 жыл бұрын
Nikupe kazi nikupe nyumba nikupe gari Kisha mtangaze mshindi! Nakufuta kazi
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 4 жыл бұрын
Ndomana tulipendekeza kwamba msimamizi wa uchaguzi asiwe mkurugenzi mana ni walewale
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Umeona eee
@barakanatus5676
@barakanatus5676 4 жыл бұрын
Ujaelewa hapa yaani form yeyote wanasema feki sasa Mkurugenz ataongea nini
@williamkayanda603
@williamkayanda603 4 жыл бұрын
Hali ii kuludisha fom kutangazwa je
@williamkayanda603
@williamkayanda603 4 жыл бұрын
Hali ii kuludisha fom kutangazwa je
@jaksonjulius9010
@jaksonjulius9010 4 жыл бұрын
@@williamkayanda603 hatariiy
@hilarykinyekile7433
@hilarykinyekile7433 4 жыл бұрын
Mungu ingilia Kati Mambo ya hovyo kabisa haya,nimambo aibu kwa taifa,huu mchezo mchafu,haki itendeke Kama wanadamu,Kweli Kuna binadamu na wanywadamu,Mungu anawaona!
@wolframkifaru5885
@wolframkifaru5885 4 жыл бұрын
Utajibu mbele za Mungu wako
@boquyen1945
@boquyen1945 4 жыл бұрын
I AM VN
@dullahdullah5499
@dullahdullah5499 4 жыл бұрын
Aiseh
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 4 жыл бұрын
Huyu Ni Mkurugenzi au Mungu?
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 жыл бұрын
Hawa ndo wanaharibu uchaguzi,kwa hakika inauma Sana maana ukiangalia huyu mtu anakabidhiwa majukumu ya kusimamia uchaguzi ilihali hajateuliwa na mkurugenzi wa tume ya uchaguzi,kiukweli Mungu atusaidie siku moja haya yasionekane
@medicalamon908
@medicalamon908 5 ай бұрын
Hizi ni dalili mbaya
@josephmeratah9230
@josephmeratah9230 4 жыл бұрын
Daaah! Tz nchi yangu.
@atiliogisanganga3964
@atiliogisanganga3964 4 жыл бұрын
Bola kama ninoma naiwe nomaaaa
@reaganlyimo6259
@reaganlyimo6259 4 жыл бұрын
Duh
@ndimesady7467
@ndimesady7467 4 жыл бұрын
Hawa jamaa wanatutesa sana ila ipo siku wataumbuka tup pamja na chadema wawo wangake tunataka mabadiliko ccm tumeichoka jaman
@petermwacha9909
@petermwacha9909 4 жыл бұрын
Vitu vingine vinatengenezwa na vyama vyenu kisha baadae wanaanza kueneza uongo. Angalia yule mtu wa ACT aliekamatwa kule KIBAMBA.
@timorpathsullusi7055
@timorpathsullusi7055 4 жыл бұрын
Wapuuzi hao, si wafate taratibu za Tume, wenyewe wanabishania nje ya ofisi. Na majibu yao watapewa hovyohovyo
@victormneney8789
@victormneney8789 4 жыл бұрын
Mnapo jibu humu comment mjue kuna vipanya pandikizi vyakutetea upuuzi kama vile vya hai leo vinanyea ndoo kisa buku ten
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 4 жыл бұрын
Tumeichoka,wasubil oct 28 ccm tutawanyoosha shenzy zao
@afredyohana356
@afredyohana356 4 жыл бұрын
Kwakweli cjui hiki kiburi wanakipata wapi wakurungezi ira Mungu atawahukumu tu
@shaibuhassani7431
@shaibuhassani7431 4 жыл бұрын
Shida iko wapi
@mussasualehe7146
@mussasualehe7146 4 жыл бұрын
Yaani wametangaza kukubalika leo wameanza wizi. Si wanapendwa? Figisu za nini?
@jafariakili2360
@jafariakili2360 4 жыл бұрын
Yaaan
@agneskigongo217
@agneskigongo217 4 жыл бұрын
Mwaka huu hakika tutashuhudia mengi
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
Sasa basi
@shukranitv2971
@shukranitv2971 4 жыл бұрын
Mungu aningilie Kati cheo ni chakupita hizo nidharau
@margarethalyimo5475
@margarethalyimo5475 4 жыл бұрын
Kama CCM wanapendwa, hizi figusi zote za nn??
@mlapikauma7660
@mlapikauma7660 4 жыл бұрын
Huku kwetu tumetiliwa mageti barabarani..Hahaaa hofuuuuuuu
@mathiasmsese6128
@mathiasmsese6128 4 жыл бұрын
ukiondoa ushabiki wa vyama hawa wazee wamekua na mbango zisizo na maana. walitakiwa waendee kwa police waconfirm
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 4 жыл бұрын
Apo sasa!!!
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 4 жыл бұрын
CHADEMA wanatakiwa wajfunze zama zmebadlka na siyo kama awali kutafuta kiki za kujiboost
@ggmaths9636
@ggmaths9636 4 жыл бұрын
Mtaacha dhambi lini jamani?
@sudiyahya9276
@sudiyahya9276 4 жыл бұрын
Mbona vitu vidogo jamani
@gastordominic410
@gastordominic410 4 жыл бұрын
Kwan kazi ya police ni kuthibitisha fomu halal au siyo halali?
@ceciliajimmy5652
@ceciliajimmy5652 4 жыл бұрын
Mteule huyoooo, halafu ana kiburi sanaa. Cheo ni dhamana.
@sahilnaass5090
@sahilnaass5090 4 жыл бұрын
Hii ndio tanzania
@temkezatv4381
@temkezatv4381 4 жыл бұрын
Nyie chadema Ni watu wa madrama Sana trick zenu tumeshazisoma tayar na kura hamtozipata
@amossemela362
@amossemela362 4 жыл бұрын
Idiot🚮🚮🚮
@Phonce-ei2pn
@Phonce-ei2pn 4 жыл бұрын
Nchi hii haki haki haki haki haki haki hiak
@alphonsengowi9503
@alphonsengowi9503 4 жыл бұрын
Huyu mjinga ni wa kuondoa hapa Kilimànjaro. Mpumbavu mmoja anaweza kuhatarisha amani ya nchi yetu.
@mapete2154
@mapete2154 4 жыл бұрын
Mwana Kulitafuta Mwana Kulipata Ohoooo 😂😂😂😂
@nicholasedward2658
@nicholasedward2658 4 жыл бұрын
Duh! Hatari sana
@shanelisessoa6319
@shanelisessoa6319 4 жыл бұрын
Huyu niwakupiga na inatakiwa apigwe kabla ya uchaguzi na ikibidi akajue cheo nidhama siyo uungu
@shanelisessoa6319
@shanelisessoa6319 4 жыл бұрын
Ndugu zangu hawa Miungu watu ndio watakao tuleta vita vya wenyewe kwawenyewe,na mwisho nikuwa ng'oa mapema kwa nia ya kuleta amani ya nchi, Huyu niwa kushughulikia yawezekana nimaelekezo
@kaishozigodfrey3476
@kaishozigodfrey3476 4 жыл бұрын
Hujielewi kwani maelekezo ya mkurugenzi hayajaeleweka? Tatizo tushajua tu kuwa CDM wazee wakiki. NCCR na ACT unamaana hawajielewi? Pumbavu CDM fuata kanuni na taratibu za nchi fala nyinyi
@JOSEVEGAS001
@JOSEVEGAS001 4 жыл бұрын
🏋‍♀️🏌🏻‍♂🤸🏿‍♂🤺🤣🤣🤣
@willymgogo6975
@willymgogo6975 4 жыл бұрын
Tendeni haki tulinde amani
@danielgiiti7295
@danielgiiti7295 4 жыл бұрын
Wee fara tu
@samwelkessy9129
@samwelkessy9129 4 жыл бұрын
mkurugenzi yuko sahihi
@neyjohn923
@neyjohn923 2 жыл бұрын
Hawa watu saivi wako wapi eti jmn
@rehemamdoro5165
@rehemamdoro5165 4 жыл бұрын
Wewe mkurugenzi jarabu kumuogopa Mungu kwanini mnapenda kudhurumu haki
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 4 жыл бұрын
Jamani jamani Tanzania ni Nchi ya Amani Tusiichafuwe
@mashakamwashilindi5607
@mashakamwashilindi5607 4 жыл бұрын
Viongozi wa dini semeni na hii,AMANI ipo apo kwa mkurugenzi.
@ambasonkalenga2047
@ambasonkalenga2047 4 жыл бұрын
Wasemakweli nimashehe waliopo kifungoni tu wengine wote wachumia tumbo kula zaka za masikini tu kumbuka wengine walipewe hata pesa za escro
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Ndio matatizo ya kuwa na makurugenzi makada ya ccm !! Unazi wala hana sifa za kiongozi!! Magufuli umetukosea sana kwa huu mtindo wa kuteuwa nafasi za utendaji kama ukurugenzi makada wa ccm !! Haibu!!
@salumuhamissi3492
@salumuhamissi3492 4 жыл бұрын
Ccm inakata roho bado kuzikwa tu
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 4 жыл бұрын
Sasa maziko yamesha tangazwa.
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Mmmmhu huyu mkurugenzi ana kiburi sana.
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 4 жыл бұрын
Nyinyi chadema hamridhiku n'a chochote pahali mlipo mnaleta balaa
@sirielsamweli5688
@sirielsamweli5688 4 жыл бұрын
Huyu mkurugenzi sio mtumxuriiii kabisaaaaaaa
@jumaigoti8638
@jumaigoti8638 4 жыл бұрын
Mazee wazima mnakomaa na chadema mmmmm njaa hizi
@davidnicholaus5304
@davidnicholaus5304 4 жыл бұрын
Yani nchi hiii??
@magaumasiaga3120
@magaumasiaga3120 4 жыл бұрын
Aibu sana ila kumbuka hakuna mwenye hati miliki ya hii inchi
@festusgwota2998
@festusgwota2998 4 жыл бұрын
Hili Ni kada ndani ya koti la mkurugenzi
@andronicomanasemkuyu5333
@andronicomanasemkuyu5333 4 жыл бұрын
Wewe mkurugenzi ni kada wa chama gani?
@josephshao475
@josephshao475 4 жыл бұрын
Ccm
@robertsemaganga9168
@robertsemaganga9168 4 жыл бұрын
Hapa faru john anahusika😂😀😁
@lucasjames2102
@lucasjames2102 4 жыл бұрын
Kweli uyujamaa cjui tu
@sulekibombwe1367
@sulekibombwe1367 4 жыл бұрын
Mnaongea nae sanaa mbnaa aaaaaah wamasai ndiomaan atutakigi vyma aaaaah
@abdulbonomali6548
@abdulbonomali6548 4 жыл бұрын
Niaibu sana viongoziiiiiii
@michaeljbkubugu7331
@michaeljbkubugu7331 4 жыл бұрын
mimi nimeshaona hapo mkurugenzi ndo anazinguwa anajiona kuzidi jamii
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 4 жыл бұрын
wakurugenzi ni makada wa ccm sasa hapo unategemea haki itatendeka?
@BozanasoroBizamile
@BozanasoroBizamile Жыл бұрын
Mnapoteza Muda Hapo Uyo Nii Ccm
@saantz5135
@saantz5135 4 жыл бұрын
Form zimefifia
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 4 жыл бұрын
Anakera nataman nimpige.lakini niko mbali
@rammyrichtv6913
@rammyrichtv6913 4 жыл бұрын
Mkae mkijua mnaishi na wanajamii ambao mnawaletea miyayusho.Huyu mkurugenzi mpumbavu sana
@duoxmasisa6529
@duoxmasisa6529 4 жыл бұрын
Hapa hakuna mkurugenzi,sasa FOMU c za kwako hutaki kupokea huyu itakuwa alitaka kuwachomekea ili bde aje awakatae sasa pale ishu ishabumbuluka atakufa nazo mwenyewe
@bonabonala42
@bonabonala42 4 жыл бұрын
Mpigeni mkurugenzi huyooo
@exuperiusmutabuzi7218
@exuperiusmutabuzi7218 4 жыл бұрын
Huu ni ushuhuda tosha kuwa Tanzania haijawa tayari kwa uchaguzi huru. Tume ya uchaguzi ni upuuzi mtupu. Bila katiba mpya tutakuwa tunawalaumu bure hawa wakurugenzi. Wapo kutimiza matakwa ya chama chao tawala. Inasikitisha sana.
@jeremiadaudi5780
@jeremiadaudi5780 4 жыл бұрын
Hu mwaka hatutawaacha wavuruge tena uchaguzi tupo tayari kwa chochote kile hakika
@mathiasjohnmsila9439
@mathiasjohnmsila9439 4 жыл бұрын
Jitokeze kimbelembele uone
@jeremiadaudi5780
@jeremiadaudi5780 4 жыл бұрын
@@mathiasjohnmsila9439 mnamtisha nani??? Ninyi kenge kama kenge wengine tu sasa mtaona
@innocentnkya5916
@innocentnkya5916 4 жыл бұрын
Mkurugenzi kaswaki mdomo unanuka🥱
@evodiusantony2115
@evodiusantony2115 4 жыл бұрын
yaan siasa yatanzania inakera san hatuinjoi jaman
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 4 жыл бұрын
NCCR- waliwambia form siyo sahihi indeed 🤨🤨🤨
@mwalimumbukuzi7273
@mwalimumbukuzi7273 4 жыл бұрын
wakati unaandikiwa risiti ya udiwani nawewe ni mgombea ubunge uliondokaje?kama umakini haupo nchi myaifanyia nini?
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 118 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
Tundu Lissu akijibu tuhuma za Lipumba kuhusu CHADEMA kuiboma CUF
5:45
MH. TUNDU LISSU AWASHA MOTO KATA YA MWANGEZA JIMBO LA MKALAMA
37:30
Chadema Media TV
Рет қаралды 8 М.
SAMIA, LISSU, NA WASIRA: NANI MKWELI KUHUSU UZANZIBARI?
14:19
SK Media Online TV
Рет қаралды 31 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 118 МЛН