Mwache Alie tena Alie sana hii itamsaidia kumuepusha na presha na shinikizo la damu na madhara mengine,pole sana mama Mungu atakupa namna ya kuliepuka hilo
@onestkasmir15342 жыл бұрын
Hao wanaomwambia pole nyamaza wanajuwa uchungu wa kufiwa kweli bora alie t2 maana vingine vinakaba ni atoe t2 maumivu moyoni ndugu zangu kuna watu wanakutana na mazito mungu akasimame nae kwenye hili amen
@minamrutu34482 жыл бұрын
Pole Dada, Mungu akutie nguvu, najua kilio hicho chote nikwaajili ya watoto Mungu atawapa riziki wataishi, ila Moyo wako ulikuwa na majeraha mengi kukosa mapenzi kwa mumeo yote uliyavumilia, Duniani uzinzi umezidi, usaliti umezidi, ndoa nyingi furaha hakuna nikusalitiana tu. Kifo cha aibu hicho, alizoea kumuacha mke akitaabika usiku na watoto yeye shetani amemtawala, Maskini dada wawatu kazuri, acha aende hayo ndio mavuno ya uzinzi
@marympango92472 жыл бұрын
Jaman umeongea umenifanya nilie.....Duu.......,mungu tusaidie...cjui tunaelekea wap!??
Jaman nyie wanaume si hua mnasema kua na mwanamke wa nje ni lazimaa....kwan mmeumbwa hivooo...haiwezekana kua na mwanamke mmoja tu....yan ukifatailia mauaji mengi now days..kisa kikubwa na kutotulia....kwa wote tu..mapenzi utazan sis ndo tuliyavumbuaa,,😭😭😭
@ahmadsayyeed79102 жыл бұрын
🤣😂 uzinzi tena jamani😰😥😢😭😭😭😭😭
@yuzotv4582 жыл бұрын
@@marympango9247 Hakuna lolote ni ulimbukeni tu wabaadhi yawanaume namadhara yake ndio hayo.
@lilianlazaro41892 жыл бұрын
Uzinzi umezidi sana jmn. Kada hii y ualimu n aibu sna n watu wa mfano lkn maisha y sasa walimu wetu wameendekeza ngono ctaki kujua wanawafundishaje watoto wetu lkn n aibu sna n hili tutalijibia mbinguni. Pole sn mmy Mungu anamakusudi nawe atafungua mlango w baraka tena kwako na maisha utayafurahia zaidi ulivyokuwepo awali🙏
@faithjonathan38452 жыл бұрын
Wazinzi ni walimu tu au ulifeli shule basi una hasira na walimu?, au kuna mwalimu walikukula akasepa una hasira nao?😃
@SiabiSaidi-i2k18 сағат бұрын
Unakosea unaposema walimu wanapenda ngono wew mwenyew ni BIKIRA? Acha upuuzi wako wangapi wanaokamatwa ugoni ni waalimu? Acha hayo mambo
@catherinenicola37102 жыл бұрын
R.I.P Kaka angu kipenzi ♥️♥️ mwendo umeumaliza pumzika kwa Amani.
@monicasimpilu62572 жыл бұрын
Pole binti yangu Mungu akufanyie wepesi. Tanzania kisiwa cha amani. Tunaelekea wapi??????
@salehaliy71982 жыл бұрын
Habari za mauaji zimekuwa too much itakuwa mwisho wa dunia huu,cha msingi tuombe mwisho mwema na tuondoke duniani ikiwa Mungu ameturidhia
@Awatee2 жыл бұрын
In shaa ALLAH
@hisanmwakijungu102 жыл бұрын
Dunia haimaliziki....ila watu NDO tunamalizika
@salhaali92842 жыл бұрын
Amin yarrab
@fatumamuya2832 жыл бұрын
Amiin yarabb
@micamathew25952 жыл бұрын
Wenye macho yajaayo uzinzi, watu wasiokoma kutenda dhambi, wenye kuhadaa roho zisizo imara, wenye mioyo iliyozoezwa kutamani, wana laana. Sio maneno yangu hapana ni NENO LA MUNGU, 2PETRO2:14. Wanaume wenzangu jehanamu ipo!!! Hakika tutaangamia kama tukisema mke mmoja hatoshi. Huu usemi kuanzia leo futeni kabisa. Shetani yuko kazini. Angalia usije ukaingia katika huo mtego wa shetani. Kusali na kuomba ndo bunduki yako ww mwanadamu. Omba katika jina la Yesu na Yesu Bwana wa Majeshi ulimwenguni na Mbinguni na chini ya Mbingu, hakika atakusaidia. Ameeeeennnnn!!! Sema Amen.
@abubakarmwasumilwe70702 жыл бұрын
We nawe ni Jinga tu. usiwalazimishe watu waishi km ulivyo.. we km khanisi na wenzio wawe hivyo..? Sema watu wacfanye zinaa waoe km imani yao ilivyo .. toka lini mume rijar akawa na mke 1
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Amen @Mica Mathew
@floramlowe70782 жыл бұрын
Ni kweli kabisa mungu awatete mnateketea kwa upambavu
@floramlowe70782 жыл бұрын
Ni kweli kabisa mungu awatete mnateketea kwa upambavu
@edinawilliam29432 жыл бұрын
Kuwa na mke mmoja ni anisi kweli jamani usilie dada ndio wakome kabisa
@welcometoeat1652 жыл бұрын
Tatz wanaume wanapenda wanawake wengi ili ndo tatzo! Tulien wanawake awaish wapo wataendelea kuepo! Heshmun wake zenu 😥😥
@pretty_witney81242 жыл бұрын
Mshahara wa dhambi ni mauti Mungu atupe mwisho mwema
@salhaali92842 жыл бұрын
Amin
@fatumamuya2832 жыл бұрын
Amiin
@toma6342 жыл бұрын
Huu mwaka umeingia na balaa vifo kila siku watu wanachinjana kama kuku Wa Tz hebu tutafakar hili Hebu tuombee huluma ya Mungu ili atusaidie 🙏🏻
@hamidaalhabsi85682 жыл бұрын
Subhanaallah mungu wangu tusitili yaarabi wanaume kazidi nini huyo mwanamke Kuliko mke wako jamani pole sana dada hakuna imani wala dini
@ShamimIsmail-i4q3 ай бұрын
Pole sana mamy Mungu akupe wepesi.
@elizabethmwandu69372 жыл бұрын
Daaa jamani pole sana dada hakika umeumia sana kwa kumpoteza mume wako .Yesu awe tegemeo lako maana yy ni mume wa wajane na baba wa yatima aendelee kutunza watoto wako na pia aendelee kukutia nguvu ktk kipindi hiki kigumu ulichonacho.
@aishachambo86632 жыл бұрын
Umalaya si mzuri jamani mambo mengine ya kujitakia
@florencebudoya38142 жыл бұрын
Pole sana dada. Ila wanaume jamani. Unaacha mkeo analala peke yake unakwenda kulala kwa hawala. Inasikitisha jamani. Inauma sana kwa kweli.
@tanzalandtv33112 жыл бұрын
Nchi ngumu Sana kuongoza Kama Mungu hayuko upande wako
@laurentraphael54702 жыл бұрын
Ni kweli kabisa, watu wa wamemwacha Mungu na kugeukia sanamu za uchifu sijui kitu gani.
@franaelisumari51082 жыл бұрын
NI KWELI KABISA.MUNGU NDIYE KILA KITU.
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Hili sio suala la Mungu, wala suala la kisiasa. Huu ni WAJIBU WETU... Sisi wenyewe tumeamua kuwa wakatili... Watz TUJITAFAKARI, tuache ushamba... Mzungu alisema Waafrika ni Washamba, na kwa kweli tumeonesha ushamba wetu...
@ellymaz21872 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 Huu ushamba wetu na ukatili vimeanza sasa bila shaka
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Tukiamua leo, tunaweza kuacha ukatili huu... Lakini ikiwa tunafurahi kuuana kama wanyama, basi tuendelee!
@hawahabibu6612 жыл бұрын
Pole sana Dada ila uyo mumewe alikuwa Malaya mtu una mke mzur bado unahangaika ona sasa unaacha familia inayokutegemea inakukilia kweli Sikio La kufa haliskii sawa
@mylifepurpose2 жыл бұрын
Wanaume tuache umalaya jamani tutaisha kwa mwendo huu wakuu
@heyumi23402 жыл бұрын
kawaida ya wanaume hawi na mwanamke mmoja hawaridhiki na watakufa kila siku na kuacha mayatima na wajane
@siajarimlengela41162 жыл бұрын
Pole kwa familia mungu ailaze roho yamalehem mahala pema peponi
@johnmasanja17622 жыл бұрын
Baba mzazi kasema haumii sana, huenda mwanae alikuwa na mapungufu yake, heshima kwa mzazi, kaona alichokuwa anakifanya mwanae si sahihi. Tuacheni uzinzi kwa wake za watu
@adrianobariye80962 жыл бұрын
Ama kweli mke wa mtu sumu
@yuzotv4582 жыл бұрын
@@adrianobariye8096 Haswaaa kaka,unakufa unajiona nakibaya zaidi unaenda jehanam manake unakosa lakuzini mbele za mungu
@zulfajamal31662 жыл бұрын
Kabisaaaa km Mimi ningekuwa mkewe nishamuacha siku nyingi WA nini sasa Acha afe si kayataka mwenyewe angetulia na mkewe ndani yasingemkuta kabisaaaa
@nasrahassan73462 жыл бұрын
Eewe mwenyezi mungu tupe mwisho mwema Amina poleni sana wafiw
@salhaali92842 жыл бұрын
Amin
@GdFf-ik2eo2 сағат бұрын
Pole sana yaani huyu mdd anatia gadi huruma masna alikuwa hana amani na ndoa yaje mwanaume anamsaliti mkewe Hayo ndiyo malipo ua uzinzi Mwrnyewe angetulia na na ndoa yake lkn ajaona bora achepuke kweli alikuwa anapitia yenye juumiza moyo
@getrudalufega97702 жыл бұрын
Huyu mwalimu alikuwa mjinga watulie na wake zao msharaha wa dhambi pole mama kuwa mjane
@emmytolloga61462 жыл бұрын
Usilolijua nisawa na usiku wa giza
@ashuuuaisha91222 жыл бұрын
@@emmytolloga6146 kivipi wakati hapo mkewe asema alishamuonya
@jumakalukule53122 жыл бұрын
Poleni sana familia kuchepuka imekua fashen kama huchepuki unaonekana fala madhala ndohayo
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Pole dada mungu atakupa njiya usikate tamaa
@noxlosingida23692 жыл бұрын
Nimeshindwa kujizuia macho ya nanitoka tu jamani kwanini haya mauaji ya nazidi sana nchi kwetu Tanzania
@steramwanakira71832 жыл бұрын
Pole sanaaa polee
@peteryukunda92392 жыл бұрын
Sasa Dada unalia nn? C aliyataka mwenyewe? Alikudharau sana,hayo ndo maombi yako kwa Mungu mama.
@aishachambo86632 жыл бұрын
Kweli ya kujitakia umalaya umemponza
@edinawilliam29432 жыл бұрын
Nipo upande wenu akamo kabisa
@Expedito25122 жыл бұрын
Aaa! Ndugu mbona kama siyo sahihi unayowaza
@JoyceKabula-in1sh3 ай бұрын
Jamani pole dadapole sana mungu atalipa
@sophiarichard84692 жыл бұрын
Dar polen sana Wana ndugu
@hassanmpemba57472 жыл бұрын
Mh umewaambia maneno mazuri mungu akulinde na wabaya
pole sana dada najua umeumia sana ila huyo mume ulishamuonya sana hakuskia kavuna alichopanda! Mungu ameingilia kati we unaona kama umepata msiba lakn ni mpango wa Mungu kukufuta machozi ya aibu alokua anakupa hilo gume lisilokua na nidhamu kwako na kwa Mungu
@matatomlik18462 жыл бұрын
Innalilah wainna ilayihi rajiun poleni sana wanafamilia
@rehemaabinelynyagawa28782 жыл бұрын
Mshahara wa dhambi ni mauti siku zote polenj sana wafiwa Mungu awatie nguvu
@ashuuuaisha91222 жыл бұрын
Liwe somo kwa wanaume wengine wasioridhika na k za wake zao kutwa kuzungusha mikia yao kama jendaheka poooh. Mkeo alishakuambia acha na huyo binti ila marehemu ulikuwa mkaidi tangulia ukapate malipo yk
@ashuuuaisha91222 жыл бұрын
Mpwapwa sehemu gani hapa jamani kaaaaaa wagogo wenzangu tumuogombe mwenyezi mungu pooh
@dottojumbe-jk5gg3 ай бұрын
Kisokwe
@AnnaMarthias3 ай бұрын
kwanini jamani tazania eme mbandi rika hivi mmhh sirikari iko wapi mama etu amuka usingizini 😪😭😭😭😭😭😭😭😭🏊🏊🏊
@AlAl-sd9pl2 жыл бұрын
Jaman utawala huu mauwaj yamezid Sana
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Acheni kuleta siasa katika suala zima la Tanzanian society... Acheni kuleta propaganda chafu katika uhai wa Watu... Naomba Jamii nzima ya Kitanzania, tujitafakari... Madhehebu, Viongozi wa kimila, tafadhali simameni, tusaidieni Watanzania, tumepotea... Tanzanian society is sick... Tusaidieni kuepuka na huu unyama na ukatili unaotukumba...
@sophialaizer7822 жыл бұрын
Wanawake jamn wanapitiaga magumu kwel Malaya ataendelea kudanga mke anabaki mjane Ila mshahara wa zambi ni mauti
@ndohoriomsacky4452 жыл бұрын
Nyie wanaume mbadilike
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Jamani binadamu mbona tumekuwa hatuna hofu ya mungu tunauwana kama kuku mungu tunaomba amani tupendane Tanzania
@eliahiluka8302 жыл бұрын
Njoo Kwa yesu
@samiaarimkonekonko50962 жыл бұрын
Kufiwa ukusikiee kwamwenzakotuu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@nyamasaminyamuhindi3 ай бұрын
Pole pole san
@neemasanga17512 жыл бұрын
Pole mwanangu
@sheryphamwenevalley61242 жыл бұрын
Allah akutie ngvu,, kwa jaribu hili
@PaulinaSemindu-ob3de6 ай бұрын
Pole mdg angu jmn 😭😭
@hamisimohamedhamisi32412 жыл бұрын
Mmh dada pole san wanaume achen michepuko jaman
@gracedonald3852 жыл бұрын
Jamani hivi tunaenda wapi ,Mungu tusimamie,hili pepo la mauaji linatoka wapi,jamani tufunge na kuomba
@ayububakari99422 жыл бұрын
Tufunge na kuomba na kuacha Ushirikina uzinifu uizi utapeli na wenye uwezo wa kuoa mke zaidi ya mmoja na aoe ili asizini..
@salimharrasy70472 жыл бұрын
Pombe inaleta madhara sana. Inawezekana ndoa kusambaratika chanzo chake ni ulevi. Poleni sana.
Ukishindwa kuwa na mke moja ongeza wa pili kwa kufuata misingi ya mungu
@subirajohn7282 жыл бұрын
R.I.P Mwalimu! Poleni wafiwa wote!
@edinawilliam29432 жыл бұрын
Mungu ulipa kwa namba yoyote
@frankakuno.95112 жыл бұрын
Hii laana ya magufuri inaitafuna Tanzania 😭
@merryjames95602 жыл бұрын
Pole Dada jamani hawa watu watafutwe.
@sponsor78822 жыл бұрын
Ajiuzulu tu yule boss
@jacksonjonathan22622 жыл бұрын
Mungu wangu pole mama
@laurentraphael54702 жыл бұрын
Oh God, have mercy on us.
@leokamil62842 жыл бұрын
Amen
@anethsubeth88952 жыл бұрын
Jamani wanaume tulieni kwenye ndoa zenu
@mwawekomiuda97792 жыл бұрын
Sheria za kuua sio kali ndiomaana watu wanaendelea na kuuana hv. La pili ni kwamba watu wengi hawajui kwamba hapa duniani tunapita tu!
@eliahiluka8302 жыл бұрын
Kutokana na kuongeka Kwa maasi upendo Wa wengi utapoa
@nyeurakibura47912 жыл бұрын
Tumekusikia mh. maganga mkuu wa wilaya ya mpwapwa
@floramlowe70782 жыл бұрын
Inauma sana jamani mwisho wa dhambi ni mauti wanaume hamshauriki jamani ona sasa unaacha familia inahangaika.
@adrianobariye80962 жыл бұрын
Vp na nyinyi mnaokubali tu mana sis wanaume tunaongozwa na tamaa sasa ili tuishinde mnatakiwa kukataa
@floramlowe70782 жыл бұрын
Ni kweli kila mtu na akili zake
@asiakheir86842 жыл бұрын
Wapeni kazi viongozi wa dini,wao ndio wenyekutia imani moyoni, hayo yote ukosefu wa imani
@simonidibili5552 жыл бұрын
Daaa mpenzi hayaa mungu tunusuruu yaarabii
@beatricekhalifa66372 жыл бұрын
Daaah ticha wangu uyu
@leokamil62842 жыл бұрын
Poleni wafiwa R.I.P
@aishakhamis29962 жыл бұрын
Pole mama..
@collinmshana80292 жыл бұрын
Wanaume ninyi mmmmm na mnaongea hapo wakati ninyi ndo chanzo Cha mauaji mnaacha wake mnahangaika na mahawara
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Mfumo dume umezidi kwenye Nchi hii... Wizara ya Maendeleo ya jamii na gender mna kazi! Dr Doroth Gwajima, una kazi! Toa elimu, andaa vikosi vya kutoa elimu, fanyeni kampeni kuanzia kata mpaka mkoa, elimisheni jamii. Wizara ya elimu, katika somo la uraia, toeni elimu ya gender... Shule ya msingi, sekondari, university, Wasomi wetu, ongozeni mjadala juu ya suala la jinsia ... Tunapaswa kubadilisha mindsets... Mwanamke ana haki sawa na Mwanaume, kiumbe mwenzake...
@eliamwasomola5782 жыл бұрын
Watu wanaogopa ukitoa tarifa polisi watakushikilia na kukutesa unakuwa shahidi namba moja polisi lekebisheni utaratibu mtoa taarifa asisumbuliwe
@OmanOman-bx5du4 ай бұрын
Nikweli kabisa ukitoa taarifa kesi inakugeukia
@elicanageorge13192 жыл бұрын
MUNGU MWENYEWE ANAJUA, SASA ULIMUACHA MKE ASE DAAAH MI SINA LA KUSEMA BHANA LICHA YA KUWA MAMA ANALIA SANA AMEUMIZWA NA HUYO JAMAA PIA.
@taifaonlinetv.36702 жыл бұрын
Poleni sana Watanzania wenzangu, haya matukio yanahitaji intervention ya kijamii. Watu wasomi washirikishwe katika kuielimisha jamii. Pia kuna watu wengine watajitokeza eti wakisema jeshi la polisi limeshindwa kazi, hivi hata maswala ya ugomvi wa mtu na mtu jeshi la polisi lina husika vipi jamani??? Je limeshindwa kuwakamata watuhumiwa? Jamani sungusungu zirudishwee, hakuna namna NYINGINE ya kuwarekebisha waharifu.
@oliviaseth46522 жыл бұрын
Kwa hili liko wazi, je vijana watano walio potezwa?
@jamilamanariyojamila14872 жыл бұрын
Polesana dada😪😪
@zakhianzuki93482 жыл бұрын
Jamani mbona mtiani uyu mwanamke na uyo mume wake wote wakamatwe nawafungwe,poleni wafiwa wote.
@tumaininzunda72062 жыл бұрын
Mungu akusimamie
@jacklinejacksone11652 жыл бұрын
Pole sana
@sylviermuhonjah84112 жыл бұрын
Mama alia kwa uchungu kweli hata kiwe kibovu kumbe kina mstiri wake
@marrymwashinga19422 жыл бұрын
Du!huu mwaka umechangamka😏!!mungu tutetee.
@johnsonideuly57102 жыл бұрын
Habar zenu jazijakamilika hazitaji kijiji wala kata tunajuaje mpwapwa sehem gan au mpwapwa ndo kijiji
@ashuhunamohamed79972 жыл бұрын
Kweli kabisa
@monicaalfredpetro38112 жыл бұрын
Jamani poleni wafiwa
@jenimjelwa57172 жыл бұрын
Mungu tutete wanao dunia Tz co ile ya mwanzo
@kalebyhennry74232 жыл бұрын
R I p teacher wangu mwakahuu umeondoka kwer ushakunywa sumu ukapona ukajilipua na petrol ukapona ukajinyonga ukaokolewa leo umeenda kwer
@janemsamati67002 жыл бұрын
Poleni sana, kumbe roho ya mauti zilimsonga sana
@stevenkapanga71562 жыл бұрын
Jaman pole
@pilatoonlinetv96602 жыл бұрын
Ccm Laana inawatafuna Mlivuruga chaguzi Sasa nchi imekuwa ya moto, Damu, vifo na vilio.
@leokamil62842 жыл бұрын
Wamefanya mengi Mungu atusamehe sisi Raia hatuna makosa
@maryamalli90902 жыл бұрын
Ccm ndio inayoamrisha iuwe watu au? Au unalako wewe haya matukio tangia zamani bongo yapo ila sasa yamezidi tuu
@pericykiko61982 жыл бұрын
Mfano nani unaemuona angekua mzuri labda angefaa na amedhurumiwa, ningekuona wa maana ungesema km kuna mtu alimdhuru Rais wetu Magufuri ndo hiyo laana
@amnewarji17072 жыл бұрын
Makibwa ccm imehusikaje hapo mtu mzinzi anaacha mke wake anafata wakeza watu ni ccm hapo mmh jamani
@fadhilarashidi51842 жыл бұрын
Umeambiwa ni mchepuko
@neemamalakilevi26612 жыл бұрын
Uzinzi yaani uzinzi watu wanaona halali kucheat maisha yenyewe magumu mwalimu then mchepuko Tena wa kuhonga
@geraldlyimo28592 жыл бұрын
Lile neno na jina la wasiojulikana lifutwe ktk jina la Yesu
@adam-saffi2112 жыл бұрын
Lack of leadership, madume mazima yAmekaa kusifia Samia badala ya kufanyA kazi walizopewa kufanya. Yako busy kula kodi zetu kujaza matumbo yao, mpaka yavimbewe.
@heyumi23402 жыл бұрын
hiyo ndoo faida ya kuongozwa na mwanamke
@albertinamichael61232 жыл бұрын
Yameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao lazima wavimbiwe.
@msetikebwasi72702 жыл бұрын
Huyu mama ameumia kutoka moyoni,sijawahi kuona.
@agustinemsambila25015 ай бұрын
Shida tungeni sheria mgoni afungwe bila ivyo mauwaji hayataisha kwa sababu mgoni Hana hatia yoyote zaid ya kulipa faini na mapenzi Yao yanaweza kuendelea usiombe yakukute kuliwa mkeo
@valenakomba92182 жыл бұрын
Na nyinyi wanaume , Mmezidi. Mtu alikuwa na mmke wake , lakini bado analala na mke wa mtu. Hiyo ndo faida ya uzinzi , na kukosa adabu kwa mke wako na Familia yako kwa ujumla.
@aishachambo86632 жыл бұрын
Pole sana dada
@himidijenga5352 жыл бұрын
Subhanaallah
@yuzotv4582 жыл бұрын
Mtu unandoa yako ila bado huridhiki unaenda kuzini wake zawatu ona kaacha watoto yatima nayeye piah ataenda kujibu kwa mungu kwakosa lakuzini,Wakati mwingine runailaumu serikali Wakati sisi ndio chanzo Cha matatizo
@agneswilbard90592 жыл бұрын
Mungu wangu watie nguvu waifiwa
@edinawilliam29432 жыл бұрын
Nguvu za nini laguna alicho panda
@edinawilliam29432 жыл бұрын
Kavuna
@enterenter19212 жыл бұрын
Innalilla wainna Illayh rajiunah 😭 usilie umri wako mdogo saan huyo mzinzi angekusumbua san
@sanyengefundibatigeita2 жыл бұрын
Pole mama
@stevenkapanga71562 жыл бұрын
Dunia tunapita hivo ni vizur tukaishi kama wapitaji kwa kutenda mema
@siwemakakulu3952 жыл бұрын
Samia mama angalia haya nayafanyie kaz kwann Toka magufuli amekufa vifo vimezid jaman
@heyumi23402 жыл бұрын
wanaume acheni umalaya una mke kwani hiyo mikia yenu mpka iwe na miuchi mingi ndoo mjulikane nyie ni wanaume???
@faithjonathan38452 жыл бұрын
Ila mume mzinzi akifariki kama hivo mshukuru Mungu mama.