MAKONDA APIGA SALUTI AKIMWAGA UDONGO KABURI LA NDUGULILE - SAFARI ya MWISHO ya NDUGULILE KIGAMBONI

  Рет қаралды 44,163

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@globaltv_online
@globaltv_online 8 күн бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@simbasimba4361
@simbasimba4361 6 күн бұрын
Upendo nitumaini la moyo
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 8 күн бұрын
Kuna kitu huwa najifunza sana kwenye haya maisha fanya ufanyalo dhulumu miliki kila kitu lakin mwisho wa siku udongoni kila kitu tunakiacha hapahapa duniani tujifunze sana kuishi na watu vizuri dunia sio yetu pumzika kwa amani ndugulile
@simbasimba4361
@simbasimba4361 6 күн бұрын
Innalilahi wainailaihi rajiuun Mwenyezi Mungu akupe malipo ya matendo mema
@MohamedPhadhil
@MohamedPhadhil 8 күн бұрын
Pumzika kwa amani sote😊 njia ni moja
@AnnaLumato
@AnnaLumato 8 күн бұрын
Tulikupennda ila Mungu kakupenda zaidi,Pumzika mheshimiwa
@songeza
@songeza 8 күн бұрын
Makonda Arusha umejikita na unapendwa mno huku kigamboni wasikudanganye hata wasaliti hao we aga kalale kwako kiisha nenda kwa wa nini wale wanakupenda mno usishawishike kigamboni mmmmh
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 8 күн бұрын
Karibu kigambon mh makonda ❤❤
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 8 күн бұрын
Acha ujinga marehemu hajazikwa weee unaanza mambo ya kampeni
@judyngowi391
@judyngowi391 8 күн бұрын
Kukosa busara kitu kibaya sana
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 8 күн бұрын
@@judyngowi391 busara nimekosa wap hapo dada judy
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 8 күн бұрын
@@harounmaarufu3241 kampeni nimezipiga wap hapo ndugu kama una ndugu jamaa au rafiki ambae ni mwanasiasa kumkaribisha nyumban kwako ni kosa?
@SophiaLondo
@SophiaLondo 8 күн бұрын
Acha ujinga.jitafakali
@Innocentnyika-ml5tr
@Innocentnyika-ml5tr 8 күн бұрын
Daaaa inaumaaa
@theodosiahaule5545
@theodosiahaule5545 8 күн бұрын
Pumzika Kwa amani MZALENDO 🙏
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 8 күн бұрын
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la bwana lihidimiwe
@tobiusjtz7607
@tobiusjtz7607 8 күн бұрын
Pumzika kwa amani Ndugulile
@HappyLamceklima-gj7pj
@HappyLamceklima-gj7pj 8 күн бұрын
Lala salama mzalendo Faustin.
@AGNESSJOHN-v2g
@AGNESSJOHN-v2g 8 күн бұрын
Ila kwa misibatu Tanzania inaongoza mungu atupe mwisho mwema
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 8 күн бұрын
Raha ya milele umpe eebwana, Na mwanga wa milele umuangazie eebwana. Apumzike kwa Amani.
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 8 күн бұрын
KIGAMBONI TUNAMTAKA MAKONDA❤
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 8 күн бұрын
Ni ndugulille
@HassanNapenda-ju8uz
@HassanNapenda-ju8uz 8 күн бұрын
Hakika mungu apewe nafasi yake, sisi tulio salia tunajifunza Nini kupitia kifo Cha mpendwa wetu.???? TAFAKALI INAHOTAJIKA
@AngelSamia-g7e
@AngelSamia-g7e 8 күн бұрын
Polen sana family yote kiujmla
@severinakigura5828
@severinakigura5828 8 күн бұрын
Mtangazaji , ni Ndungulile siyo ndugulile
@jemimabakari
@jemimabakari 8 күн бұрын
Ni Ndugulile sio Ndungulile
@UwesuMkiji
@UwesuMkiji 8 күн бұрын
anaitwa NDUGULILE sio ndugulile
@farajiissa560
@farajiissa560 8 күн бұрын
Kumbe nawao wanakufaga
@FilbertaMahundi
@FilbertaMahundi 8 күн бұрын
Jimbo la kigamboni ni makonda sasa
@songeza
@songeza 8 күн бұрын
Nimekumbuka machalii wako wanakupenda japo wamekunyamazisha kuwapiga sipana wajanjajanja ila umewanyoosha hawatakusahau
@AngelSamia-g7e
@AngelSamia-g7e 8 күн бұрын
Midomo yenu ikawe ya khery kua makonda anaenda kupokea ubunge
@erickmsemwa4268
@erickmsemwa4268 5 күн бұрын
R.i.p
@goodluckjohnuiso-gt1fg
@goodluckjohnuiso-gt1fg 8 күн бұрын
Tangu lini salut bila kofia??
@AhmedMuhammad-b5n
@AhmedMuhammad-b5n 8 күн бұрын
Ila India daaaa
@songeza
@songeza 8 күн бұрын
Pumzika Kwa amani mtetezi wa kigamboni ila kinachosikitisha Hayati Rais Magufuli tulimuaga Kwa kufungua jeneza tuliona sura yake juu yake kioo Leo mpendwa wetu aliyetuweka kigamboni tunaaga jeneza Kuna Nini ndani yake??? Hatujatendewa haki
@FilbertaMahundi
@FilbertaMahundi 8 күн бұрын
Jambo la makonda sasa
@judyngowi391
@judyngowi391 8 күн бұрын
Dunia duara
@mfinangaexaud3492
@mfinangaexaud3492 8 күн бұрын
kuna mtu anawaza nafasi ya kigamboni hapo
@JoshuaOscar-z1q
@JoshuaOscar-z1q 8 күн бұрын
😢😢😢
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 8 күн бұрын
Anazokwa wapi?mkoani au dar
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 8 күн бұрын
Huoni wamendk kigambon
@Zainabu-q7v
@Zainabu-q7v 8 күн бұрын
Kwan wamkoa gan
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 8 күн бұрын
R l.P
@EdnaMbowe
@EdnaMbowe 8 күн бұрын
😭😭😭😭😭
@rachelcheyo-p5z
@rachelcheyo-p5z 8 күн бұрын
😢😢
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 25 МЛН
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 6 МЛН
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 406 М.
Новости дня | 12 декабря - дневной выпуск
11:48
Euronews по-русски
Рет қаралды 3,1 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 25 МЛН