Jamhuri ja mungano wa Tanzania Oje mungu I bariki Tanzania na mama samia raisi wetu.
@benedictmrisho1800Ай бұрын
Ya ngoswe mwachie ngoswe. Kanisani mwachie yule ambaye ni wa imani yake akusemee. Musa na Haruni walifanya kazi kwa pamoja pale ilipobidi kusemwa neno. Ikifika ya msikitini wapo pia wabobezi wa imani yao. Huo ndio Umusa na Uharuni.
@loserian-mj1gjАй бұрын
Mpango hiyo ni kazi ya dotto ningefurahi Sana lakini saw
@benedictmrisho1800Ай бұрын
Pongezi nyingi kwa kumuenzi RIP baba wa taifa. Tuwaenzi na RIP wengine ktk taifa letu.
@The1979bornagainАй бұрын
Hii hatari sana. Yaani Rais Samia Suluhu Hassan kaiogopa madhabahu ya Mungu wa kweli, Yesu Kristo Bwana na Mwokizi wetu na ulimwengu wote. Kuna cha kujifunza hapa!!
@benedictmrisho1800Ай бұрын
RIP Mwl Nyerere tutamkumbuka kwa mapenzi kwa nchi yake na hakupenda kuikweza na kuitukuza familia yake. Aliwaacha familia yake kama Watanzania wa kawaida wajipambanie. Viongozi wengine wajifunze hapo. Wasisogeze familia zao na nasaba zao mbele mbele .
@femidayahaya9293Ай бұрын
c wamejuana ongea yao ya mwendo wa kinyonga..wote ongea yao sawasawa yaan poooole poooole😂😂 angepewa msukumu hapo aongee nngemckia mpaka huku nilipo bila hata kuangalia KZbin 😂😂😂😂😂
@PineTree-n9yАй бұрын
Serikali wajenge chuo cha kusomea uchawa watu tutapata sana ajira mana viongozi na matajiri wengi wanapenda machawa
@misanaantipas8338Ай бұрын
Hapo sehemu takatifu wezi ukikaa hapo humalizi 5yrs unago
@jumakapilima7295Ай бұрын
Hakuna kitu , hukuwahi kusikia Ile Kesi ya yule jamaa aliyokuwa anatumia madhabahu kama sehemu ya kuhifadhia zana za kufanyia ujambazi
@albertkamala6843Ай бұрын
Ni muhimu sana viongozi waliopo kwa vitendo kufuata nyayo za baba wa Taifa! Kuelekezwa na uzalendo, kutojilimbikizia mali, kupigania uhuru wa kweli wa wote pamoja na kuunganisha taifa..miongoni mwa mengine mema!
@samsonhaule3647Ай бұрын
Kwanini Rais yupo na yeye Ndio Aliye karibishwa na waumini wote, Harafu Asizungumze??!!
@jumakapilima7295Ай бұрын
Sio lazima azungumze yeye, si umeona VP anazungumza badala yake