Vinicius Jr aangua kilio mbele ya waandishi wa habari akielezea ubaguzi anaokumbana nao Hispania

  Рет қаралды 19,383

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 52
@EliasJohn-lc8nu
@EliasJohn-lc8nu 5 ай бұрын
Sky Hz za soka na makala 360 ziwe zako watu wengine hawajuh kuzielezea na sauty Yako ni adimu braza bundara siku nahitaji kukuona
@shishiberb4290
@shishiberb4290 5 ай бұрын
hapo umesema ukweli SKy ndio kila kitu
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 5 ай бұрын
Yeye mwenyewe ana vituko ugomvi dunia nzima kuna ubaguzi toka kina samweli etto wote ni Tabia zao hauwezi ibadili wao wanaona poa .cha msingi apige pesa aende zake unalia unamlilia nani watu wamepinda kwa ubaguzi .
@helencheyo9262
@helencheyo9262 5 ай бұрын
Sasa hapo umekoment nn ndugu yani ndomaana tunabaguliwa wew kwa wenyewe nishida
@amadykassim
@amadykassim 5 ай бұрын
Vini yuko na miaka 23
@user-qg3nu1kv2n
@user-qg3nu1kv2n 5 ай бұрын
Mwamba na nusu Vin Jr.
@blackjack3356
@blackjack3356 5 ай бұрын
Brother kwenye miaka umetudanganya 29
@razalo4651
@razalo4651 5 ай бұрын
Ana miaka 23 😂😂😂😂 usitupange
@yohannatoroka-ie5ym
@yohannatoroka-ie5ym 5 ай бұрын
Sky sio miaka 29 ni 23
@sakhasa3708
@sakhasa3708 5 ай бұрын
Jamaa hyu ni mjinga sana yy ni mweusi half anapenda kuwakejel mashabik pinzan na mpira ni mchezo wa hasira aache ujinga spain wamecheza wachezaj weusi wengi kwann yy tu aache mambo yake watu watampenda awe tu humble
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 5 ай бұрын
Kk wa jaribu kufatilia spain ni wabaguzi kinoma e Samuel e'too mwenyewe unaemtaja alishakutana na izo ishu mpaka kutupiwa ndizi uwanjani na Dani Alves aliokota na akaila ata ile gem ya final ya baca na arsenal alifunga bao akaonesha ishara ya kidole kwenye mkono wake akimanisha hii ndio rangi nyeusi hawa Spain na Italy kk noma kwa ubaguzi wa rangi
@sakhasa3708
@sakhasa3708 5 ай бұрын
@@mohamedslh5478 hatukatai kma spain ni wabaguz ila kwake imekuwa too much kwasabab ya ujinga wake anapenda kuwakebehi mashabik wa timu pinzani sana angalia gem za Madrid ndio utajua.... jiulizee jee spain nzima mchezaji mweusi ni yy tu
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 5 ай бұрын
Akifanya hivyo lini mwanangu mbn unaongea ucchokijuwa
@mariajemutai2968
@mariajemutai2968 5 ай бұрын
Wewe ndio mjinga sana kumshinda huwezi kuvaa kiatu Cha mtu yeye mwenyewe ndio anakielewa
@johnkipata9752
@johnkipata9752 5 ай бұрын
29 years old is crazy 😂
@KitangariGenerations
@KitangariGenerations 5 ай бұрын
daaaah
@surusuru1994
@surusuru1994 5 ай бұрын
Hawa wazugu wasije wakaaja watu tukafugulia wallah kwnn wazung 2 jmn
@user-hv8ns7gs9c
@user-hv8ns7gs9c 5 ай бұрын
Sema kwel hi xi nzur
@majalaworldwide
@majalaworldwide 5 ай бұрын
Umeonesha Udhaifu mkubwa Sana Kulia ...Hao mangurue ...Hawatakiwi kukunyima Raha wafunge Ndo ulie
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 5 ай бұрын
Manguruwe yakija humu watu wanayaabudu na kuyashangilia. Nonsense
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 5 ай бұрын
Wakoloni ni wapuuzi sana.
@imanimhagama4647
@imanimhagama4647 5 ай бұрын
23yr sio 29yr
@JumaJman
@JumaJman 5 ай бұрын
Ah mim naon wazungu si watu wazuri
@JeanMalilo
@JeanMalilo 5 ай бұрын
😄😄 23 sio 29
@user-hv8ns7gs9c
@user-hv8ns7gs9c 5 ай бұрын
23 uyo mdg tu
@eunicemasika6986
@eunicemasika6986 5 ай бұрын
Only God bro
@user-hg1xw2co5o
@user-hg1xw2co5o 5 ай бұрын
Umetudanganya umri we tapel
@user-gl9of4on2f
@user-gl9of4on2f 5 ай бұрын
Tatizo sio ubaguzi Tatizo ni kwenye 29years🙄😂
@yusuphmark3257
@yusuphmark3257 5 ай бұрын
Shida ya vinicious junior akiwafunga wapinzani anapenda ku provoke wapinzani hasa anavyo funga goli ndo maana wana mzingua sana sabab hispania ina watu weusi wengi sana why yeye tu aangalie mienenendo yake uwanjani akiwa anacheza na wapinzania wowote wale sabab kweli anajua mpira ila hakuna shabiki anapenda afungwe afu adhihakiwe 😂
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 5 ай бұрын
apo ndohatari kwaiyo yy avumiliye kwenye dunia hihi ili ufanyikiwe lazima vitu km ivi vikufikiye avune pesa akichoka apo alipo basi ligi zipo nyingi
@Alkaburu
@Alkaburu 5 ай бұрын
Hata Maradona pia alisema hivyo.
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn 5 ай бұрын
Mkiambiwa wazungu wanaroho chafu muwe mnaelewaa nashanga wabongo wanavyowaogop nguruwe hao
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 5 ай бұрын
Hako kajamaa kanapitia magumu mengi sana pamoja na kiwango kikubwa sana bado kuna nyani wa kizungu wanamsomea shiiit!
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 5 ай бұрын
Mbona mzuri kuliko wazungu kwani wazungu Wana shida gani?
@fedyaalzadjali8597
@fedyaalzadjali8597 5 ай бұрын
Wana shida yakuwa na wivu 😂😂😂
@nicholausmbilinyi3587
@nicholausmbilinyi3587 5 ай бұрын
Lakini nadhani wanapata nguvu kwa sababu anaonesha anaumia..angejifanya hawaoni wangekoma kuendelea kumbagua pia
@jaycodestz1304
@jaycodestz1304 5 ай бұрын
Kabsaaaaah mkuu​@@nicholausmbilinyi3587
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 5 ай бұрын
Kwanini asiondoke apo nikwenu? mbona ligi zipo nyingi km apendi kuwapa wabaguzi ushindi kumbe ahache kulia Pia ahache kutuambia habari za ubaguzi 😂😂😂😂😂
@AbdulnasriHamisi
@AbdulnasriHamisi 5 ай бұрын
Huyu anapenda camera c ubaguz tushamzoea😂😂
@IsackYohana-vk3hv
@IsackYohana-vk3hv 5 ай бұрын
Acha uongo ana miaka 29? Daah sky unashindwa hata kufuatilia ana miaka mingapi hii dunia ina maana kuna habari za uongo sana hua mnatuandikia
@richardmalisa4641
@richardmalisa4641 5 ай бұрын
Sasa mpaka miaka unaitaka yanini,andika habari zako basi wewe .
@ethanethan4437
@ethanethan4437 5 ай бұрын
ACHA UBOYA WEWE FUNGUA CHANNELE YAKO SASA KWANI KATIKA UANDISHI HAKUNA KUKOSEA BOYA WEWE
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 5 ай бұрын
Mbona unapenda sana ligi kukosea miaka Kuna shida gani? Mbona hasira zenu za ugumu wa maisha mnapenda kuwabishia watu
@user-jo1zp7fj7r
@user-jo1zp7fj7r 5 ай бұрын
chiz sana
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 5 ай бұрын
​@@FahadAbubakariko shida ni hali ngumu ya maisha sio miaka ya huyo mchezaji😂😂😂😂
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 32 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 493 М.
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,2 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 32 МЛН