MREMBO asimulia tamaa ya MAISHA mazuri DUBAI ilivyomponza, alibakwa, KULAWITIWA na kutupwa baharini

  Рет қаралды 31,391

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

3 ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 177
@stevkaliona4107
@stevkaliona4107 3 ай бұрын
Wadada wanapenda maisha ya shortcut ndio maaana yanawagharimu sana mjifunze Sasa kupitia wengine jamani❤❤❤❤🎉
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 ай бұрын
💯
@israeluronu9958
@israeluronu9958 3 ай бұрын
Mmh pole sana jmn, Mungu tunaomba uongoze vizazi vyetu katika njia ile ikupendezayo ww sisi pekeyetu hatuwezi.
@wemamtundu7906
@wemamtundu7906 3 ай бұрын
Mimi ni dada , ushauri tu kwa wanawake/ wadada hakuna cha BURE, tufanye kazi na tuache tamaa, shida hizi social media ndio huwafikisha huko, to have a good Lifestyle, mwisho wa siku ndio hayo yanawakuta,
@nadiakezakimana3755
@nadiakezakimana3755 3 ай бұрын
Mambo naomba unitumie majina wenye wa mei posti naomba
@princekarani7836
@princekarani7836 2 ай бұрын
Inabidi aongee na ndugu zake awaambie ukweli ili wamtafutie ata therapist wamsaidie tofauti na hapo atajiua soon.yani atajiua tu.,ndo marafiki zenu hao wanaenda kuwamaliza na msichokijua uyo dada alipata pesa kwenda kuuza uyo rafiki yake kwa tajiri.nina uhakika uyo dada alilipwa pia alafu ana connection na matajiri wa hapo so ndo kazi yake kuwapeleka mabinti kuwauza nayeye analipwa chake.
@Neema92
@Neema92 2 ай бұрын
Tamaa mbaya sana, wadada turidhike na maisha tuliyonayo.
@dijohbanks4312
@dijohbanks4312 3 ай бұрын
pole sana dada mrudie mungu atakusamehe na kukupa mwanzo mpya
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 3 ай бұрын
Mungu anabariki kazi ya mikono yetu sasa unapogeza utaratibu na kufanya kazi za viungo vingine ndo zibarikiwe lazima yakukute😭😭😭
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f 3 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢 Du! Mbona hatari sana
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 3 ай бұрын
Wa Ceci walukamba wotejokazi😢😢
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 3 ай бұрын
Wanawake wenzangu Tuzingatie hili EVEN ON A FREE TABLE EAT WHAT U CAN AFFORD Tuache tamaa 😢😢😢 et utazoea tu aiseee 😢😢
@ramadhanijuma4130
@ramadhanijuma4130 2 ай бұрын
Exactly 💯
@Celebcentralhub.
@Celebcentralhub. 2 ай бұрын
Sense ✅
@brunoh_bx
@brunoh_bx 2 ай бұрын
"Even on a free table, eat what you can afford" nimeipenda hii dada👏👏❤
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 ай бұрын
Excellent 💯
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f 3 ай бұрын
Ashukuru mungu hawakumuua
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 ай бұрын
Maisha ya short cut mutanyooshwa sana ,tutafuten vya halal ata km kidogo lkn kina aman
@twiga_nails5078
@twiga_nails5078 3 ай бұрын
Pole
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn 3 ай бұрын
Angepewa kesi ya madawa ndio angejua wenye pesa ni washenziii
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 2 ай бұрын
Wenye pesa wengine ni mashetani
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 3 ай бұрын
Kwani mtu ukikaa nchini mwako hutabarikiwa na MUNGU maisha yakawa mazuri mbona wanahangaika sana mabinti zetu.. haramu niharamu tu..MUNGU walinde watoto wetu dhidi ya tamaa mbaya❤❤
@chadgalavan
@chadgalavan 3 ай бұрын
Sosho midia ndo mchawi wanataka kuvimbiana😅
@aishatest4451
@aishatest4451 3 ай бұрын
kweli
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 ай бұрын
Alafu kuna Ma KZbinr wao wanawake wanawahamasisha kwa kutukana wanaume masikini sasa kwa bahati mbaya ndio yanatokea hayo
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 3 ай бұрын
Mmmmh dada pole sana mazito haya
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 3 ай бұрын
Ohhh my God 😢😭😭 Jamani 😢
@user-cl2yi6zv7o
@user-cl2yi6zv7o 3 ай бұрын
So sad .
@salomemlagila5757
@salomemlagila5757 2 ай бұрын
Pole sana mdada mzuri , najua ni ngumu sana kimove on na kwendelea na maisha ya kawaida , tafuta dactari WA saikolojia atakusaidia , ni ukatili WA hali ya juu ila kikubwa umejuta na kilichotokea kimetokea jitahidi sana kujisamehe na kuendelea na maisha
@sponsor7882
@sponsor7882 3 ай бұрын
Tammaa mbaya
@magutumogeko6936
@magutumogeko6936 3 ай бұрын
Poleni sana dada
@fathmafatomo2962
@fathmafatomo2962 3 ай бұрын
Alhamdulillah naridhika nakidogo nachopata kazuni kwagu Alhamdulillah
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 2 ай бұрын
Mmmmh😢😢😢😢😢😢😢jmn jmn ama kwel hakuna cha bure!!!!!wadada tafuten pesa,sis wanaume co baba zenu
@user-sb3vt1yh9s
@user-sb3vt1yh9s 3 ай бұрын
Huyu sasa mwendo ameumaliza muumba atuongozee vizazi vyetu ktk kheri
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢uwiiiiiiiiii
@jacquelinerayamu3187
@jacquelinerayamu3187 3 ай бұрын
They call it dirty game 😭 pole dada... hivi ungetafuta kazi yasingekukuta ila asante kwa awareness hii na Mungu akulinde na akupiganie usijitoe uhai shit happens jus try to focus and rebuild ur life..
@user-mk4lw8gd9c
@user-mk4lw8gd9c 3 ай бұрын
malaya mkubwa ww una tobwa shida tamaa sio mungu mme zeka mna jigabya ma yaoung swamped woote mna imba kwaya
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 ай бұрын
Hakuna cha bure asee una liwa tako kisa pesa ya tamaa😊 7:56
@wadantz123
@wadantz123 3 ай бұрын
😢😢
@queenofireland898
@queenofireland898 2 ай бұрын
Subhallah dah mthn😢😢
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d 3 ай бұрын
Pole ,,,Ila tamaa mbaya,,, bora sie tuliojisajili na ubaloz kuwa housemaid. Tafuta jasho lako la halal usipende shortcut.
@aishatest4451
@aishatest4451 3 ай бұрын
duuuuuu, jamani 😢😢😢😢😢
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 3 ай бұрын
Allahu Akbar 😮
@Cherriechina
@Cherriechina 3 ай бұрын
Mmh💔💔💔
@naomybenedict1787
@naomybenedict1787 2 ай бұрын
Tamaa mbaya sana
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 ай бұрын
Oooh my god 🙆🏽‍♂️😳😔
@kizbeka369
@kizbeka369 3 ай бұрын
Asilimia kubwa ya mademu wa tz wanaoenda dubai ndio kazi wanaxoenda fanya mimi niko dubai tunayaona mengi sana huku wadada wakifanyiwa hivyo kwa tamaa zao
@Deboraabel-zu2vq
@Deboraabel-zu2vq 3 ай бұрын
Hivi uko Dubai operator wa mashine vp zinalipa huko kama utakuwa unafahamu
@Deboraabel-zu2vq
@Deboraabel-zu2vq 3 ай бұрын
Hivi uko Dubai operator wa mashine vp zinalipa huko kama utakuwa unafahamu
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 3 ай бұрын
Umalaya utakuja kuwaua😅😅😅😅 cecy n😅😅😅😅
@ombeniruvubika5392
@ombeniruvubika5392 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 3 ай бұрын
Taamaa sio nzur
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b 3 ай бұрын
Subuhana laah 😢😢😢😢jamani
@TinaMwasekaga
@TinaMwasekaga 3 ай бұрын
Sasa hiyo shopping ina Raha gani jaman,,,
@khadijakheir9323
@khadijakheir9323 2 ай бұрын
Mmmmh
@Dje-ru9wd
@Dje-ru9wd 3 ай бұрын
Bro mbn simpati hata kwenye unazo taja hiyo post haipo #Baby 6 hamn x wala insta????
@humbleshoal
@humbleshoal 3 ай бұрын
Hapana jamani, tumpe pole sio kumwambia maneno makali kwani hakujua kama yatamkuta hayo. Ameshajifunza sasa na hatorudia tena.
@show...002
@show...002 2 ай бұрын
😂😂😂
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 3 ай бұрын
Daaaha yaani kweli it’s sad kupitiliza sorry for her
@dotytydo2342
@dotytydo2342 2 ай бұрын
Alhamdulillah sinanga tama zakijinga Mungu zidi kuniongoza
@user-km3qy2bd8w
@user-km3qy2bd8w 3 ай бұрын
😢😢😢😢💔💔💔
@user-ih9mg6sb7x
@user-ih9mg6sb7x 2 ай бұрын
😢😢😢😢💔
@vickyevagry421
@vickyevagry421 3 ай бұрын
Naona dubai ndo mambo yao sio mtu wa kwanza😢
@user-nt3xf5ef3h
@user-nt3xf5ef3h 3 ай бұрын
Unazingua
@chany9950
@chany9950 3 ай бұрын
Duuuh
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 ай бұрын
@@user-nt3xf5ef3hni kweli nina marafiki zangu wamorocco huwa wanaenda kutoa tigo uko then wanarudi na miela na iphone matoleo mapya. Anatumika siku 4 tatu anaachiwa free hotelini apone trakoz😂😂😂
@nouriathismail3
@nouriathismail3 3 ай бұрын
😢
@nadiakezakimana3755
@nadiakezakimana3755 3 ай бұрын
Hello naomba munambie jina iyi baruwa sorry nakosa kwenye X
@IshimweDangote-ib4lc
@IshimweDangote-ib4lc 2 ай бұрын
😢😢😢innalliah waninlaah rajiunnh
@NizoTV
@NizoTV 2 ай бұрын
Safi sana wakomeshwe kabisa
@MozaMmoleca
@MozaMmoleca 2 ай бұрын
Pole pole pole pole sana 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@dayana5513story
@dayana5513story 3 ай бұрын
Habibi welcome to dubai,pole mrembo ivo ndo dubai
@SteveMassawe-xh6lz
@SteveMassawe-xh6lz 2 ай бұрын
😅
@dayana5513story
@dayana5513story 2 ай бұрын
@@SteveMassawe-xh6lz 😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 ай бұрын
👊✌️👍.
@sammyngala4694
@sammyngala4694 3 ай бұрын
Mbona wadada wengi wanaoenda Dubs hio ndio kazi yao wakija huko east Africa wanawatambia wasio jua.
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 3 ай бұрын
Yo wl be ok
@humbleshoal
@humbleshoal 3 ай бұрын
Sure
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 8 күн бұрын
tamaa tamaa tamaa
@aceofspades3728
@aceofspades3728 3 ай бұрын
mademu wanatamaa sana...learn from others mistakes before you turn to be the lesson...to others😢
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 2 ай бұрын
Uyo rafiki yake ni sheitwan mkubwa 😢😢😢eti rafiki 😢😢😢😢hana hofu ya Mungu
@IreneIsack-qp9ns
@IreneIsack-qp9ns 3 ай бұрын
Mmmmmmmmmmmmmmmmmh mungu wang
@getrudeboniventure3158
@getrudeboniventure3158 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@maryamudunga1094
@maryamudunga1094 3 ай бұрын
Subhanallah
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 2 ай бұрын
Mi nimefurahi pale walivomnyea mdomoni na kumwambia ameze mavi😂😂😂 safi kabisa
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 3 ай бұрын
safiii sanaa na bado anajisifu nzur lakin ndo hivyo amelala na mbwa
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 3 ай бұрын
Duh mtihan wallah hii ni balaa aiseee😢
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 ай бұрын
Duh tufanye kazi kwa bidii
@eliadaniel216
@eliadaniel216 3 ай бұрын
Pole yake na asikate tamaa ila wadada wengine wenye tamaa kama hizo sikilizeni funzo Hilo kwa umakini tamaa mbaya
@user-ui1qs9yl1n
@user-ui1qs9yl1n 2 ай бұрын
Dudai dream or american dream. Which one is best
@afyabora3207
@afyabora3207 2 ай бұрын
Mmmmh mungu wangu waafrica tuache tamaaa pls 😢 alafu ndio hao wanatunza Islam is halal jamani waafrica tubaki n imani zetu n tamaduni zetu 😢
@user-ow3lc6lk9p
@user-ow3lc6lk9p 2 ай бұрын
Koma tena ukome shetani ww achana na uislamu zungumzia hizo taasisi zenu za wapiga pesa makafir wakubwa nyie
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 3 ай бұрын
live interview bhana sitaki simulizi meme .
@chany9950
@chany9950 3 ай бұрын
Duuuh
@abdielfrancis
@abdielfrancis 2 ай бұрын
Matajili wanajua pesa haina thamani ila muda na amani ndo cha muhimu
@user-hj2mg3jv2j
@user-hj2mg3jv2j 2 ай бұрын
Duuuh inaogopesha mpaka tumbo lauma
@RAZAKIMMALINDA
@RAZAKIMMALINDA 3 ай бұрын
Chunga tamaaa mbaya😢😢😢
@Ketee25
@Ketee25 3 ай бұрын
That's what's going in Dubai
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 2 ай бұрын
😅😅😢😢 Ila wanawake
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 10 күн бұрын
Uke ulikua umevimba eeeehh😂😂😂
@modekaijames
@modekaijames 3 ай бұрын
Wanawake wengi wanakuja dubai kwa story za kusimuliwa matokeo yake wanakosa kazi za kufanya wanaingia kwenye umalaya kwa tamaa za pesa pole dada Mungu akusimamie warabu wachafu sana
@Sharifa_Fashion_21
@Sharifa_Fashion_21 2 ай бұрын
Sio wote Ila ukijiheshimu ukapenda kufanya Kazi wala hawana tabu Hao wanaofnyiwa hivyo Ni wale wapenda mtelezo wa maisha
@Almuharmiii
@Almuharmiii 2 ай бұрын
Alo kwambia Dubai kuna eshi waarabu tu nani??
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 2 ай бұрын
Dubai sio ya waraabu tu ni makabila tofauti
@ashnaom2270
@ashnaom2270 2 ай бұрын
Mmh uliuzwa na rafik yako, 😢 kua makini na marafik nawatu huku Dunian, tena ukiwa ni mwanamke mwenye mvuto KILa mwenye tamaa atakukimbilia , wengine ukizan wema ninyoka, pole usijihukum jisamehe jipende jikubal, zingatia kutotenda makosa tena, we siwakwanza
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 2 ай бұрын
Rafiki wa kweli na mama yako ao dada yako
@user-hm6gh4vp8p
@user-hm6gh4vp8p 3 ай бұрын
Dah! Tamaa mbele mauti nyuma!😢 nomah sanaaaaa...😱
@tanzaniaprogress
@tanzaniaprogress 2 ай бұрын
Demu angejiongeza kapewa dola 50K kufanya shopping alivochukua angesepa dubai badala yake tamaa imemponza.
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 3 ай бұрын
Sasa km wanakuja kudanga wanafikiri watafikia kwenye maisha gani tamaa mbele mauti nyuma
@clarasimon7830
@clarasimon7830 3 ай бұрын
Wasanii na watu maarufu marekani ata wadada wetu wa afrika ususani bongo...wengi wamefanyiwa vitu vichafu...unakuta mtu anakuambia akunyee mdomoni au ufanye mapenzi na mbwa wao...kila aina ya uchafu zipo kule...dubai ni laisi kuingia ila hotel zao ni ghali je swali wadada wakibongo wanaweza kuafodi hizo gharam au bila kufanyiwa vitu hivyo
@zayahsimthbilly9064
@zayahsimthbilly9064 2 ай бұрын
Uyu dada ajafaa tu Mimi apo ni kifoo kula mavi Tena ya mtu mzima
@kanukanute1514
@kanukanute1514 2 ай бұрын
Jiue tu
@Amollahedrissa
@Amollahedrissa 3 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
@abubakarsaid7303
@abubakarsaid7303 2 ай бұрын
Ndio kazi za wadada wengi wa tz wabaebda dubai kujiuzatuuu
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 ай бұрын
Rizikeni na afrika msitamani vya watu uwezi kuchukua bure
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Inaonyesha uyo dada anayemwambia utazoea alikuwa ameshafanyiwa ivyo pengine..Yan unatumika kama kifaa Cha ngono kwaiyo kufanywa na wanaume Zaid ya wanna mbona kawaida Sana tu..Inabidi uelewe ukiwa unatumika na mwanaume kama ivyo Yan wanakutumia kama sexy toy...kwaiyo usishangae..ndo tujifunze hapo usipende Cha Bure fanya kaz
@sammyngala4694
@sammyngala4694 3 ай бұрын
First class ya Emirates flight with 20 thousand dollars ndio wanafanyiwa unyama wakifika Dubs
@manasehi
@manasehi 2 ай бұрын
Unajua hao watu wanaweza kuua na kukutupilia mbali, nyie wanawake hebu wazeni jamani, Hela mbona zipo Tanzania. Msipende makuu.
@Sharifa_Fashion_21
@Sharifa_Fashion_21 2 ай бұрын
Sasa si bora angeenda kuosha vyombo kwa warabu jamn yan wanavyopend kuoshewa vyombo warabu
@Dje-ru9wd
@Dje-ru9wd 3 ай бұрын
Bongo tujifunze bhn sio kwa wanawake tyu na wanaume mana hiyo imetokea mara nyingi kwa jinsia zote
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul 3 ай бұрын
Dha maisha yanawatu wa ajabu sana
@hadijagere
@hadijagere 2 ай бұрын
😒😒😒
@roselynealima3618
@roselynealima3618 3 ай бұрын
Wacha nikule omena hakuna cha bure dukani
@Pemba680
@Pemba680 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂njaa mbaya sana wallahi
@farajistory
@farajistory 3 ай бұрын
Nawatatolewa marindaaa sana 2shajua wanampend pesa 😂😂😂
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 102 МЛН
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 120 МЛН
Lulu Diva amburuza Lava Lava Mahakamani, adai fidia ya shilingi Milioni 200
6:47
Поймал редкий кадр🤨
0:22
FERMACHI
Рет қаралды 1,6 МЛН
Слепой парень помог раскрыть тайну 😱
0:45
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 1,5 МЛН
Don’t Bully a Vampire Girl 👿
0:38
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 22 МЛН
😁💸 @karina-kola
0:16
Andrey Grechka
Рет қаралды 6 МЛН
СРОЧНО ДОМОЙ! Эта НЕ КОНФЕТА!
0:21
Клаунхаус Kids
Рет қаралды 1,2 МЛН