''VIONGOZI wa DINI WANAJIAMBATANISHA na CHAMA KIMOJA CHA SIASA - JAMBO LA HATARI'' - MAKAMU MPANGO

  Рет қаралды 3,237

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 Ай бұрын
Ni kweli kabisa mh mpango na hiyo ni hatari kubwa kabisa kwa AMANI YETU NA MSHIKAMANO WETU KAMA WATANZANIA.
@JemisKileto-k6e
@JemisKileto-k6e Ай бұрын
Acheni madharau kwa mungu mukiwa nasilaha munadhalalisha watu wamungu masikofu wetu nakiongozi mkuu wakisilamu wamesemaukweli munakeme badala ya kuwasikilisa
@noelmadalla8660
@noelmadalla8660 Ай бұрын
Well said
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
WACHUNGAJI WAMEJULIKANA MAIGIZO YA MIUJIZA IMEJULIKANA SASA WAKAONA WAINGIE SACCOOS WATAPATA WATU ILI WAPOTOSHE WATU KWA UWONGO NA CHUKI 😢😢😢😢
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Ай бұрын
Nyie wanasiasa mkienda kusali mnawachanganyia siasa watumishi wa Mungu kwenye dini zao! Mnaapa kwa dini kwenye siasa zenu kwanini msikemewe na dini mlizozifanya shuhuda wa matendo yenu?
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
LAKINI WANAKEMEWA NA MATAPELI 😢😢😢😢😢
@AndrewShiratu
@AndrewShiratu Ай бұрын
Mh mpango.utambue mpaka viongozi wa dini wanaamua kufanya hivo basi ujue kwamba serikari haiende haki kwa wanao tekewa ndg zao na kuuwawa.hivo Sasa sauti ya wanadini inabidi ipazwe pengine unaweza kusikia serikari na ikaamka .
@danielthomasmsigwa31
@danielthomasmsigwa31 Ай бұрын
Je unaamini neno hili "uhuru wa dini" ndilo litatumika kuuondoa?
@HAFIDHIFAKIHI
@HAFIDHIFAKIHI Ай бұрын
Umenena vemaa kiongoz
@ZeynabAlly-k4j
@ZeynabAlly-k4j Ай бұрын
Mi mwenyewe nilikua najiuliza muda mrefu hichi chama ni cha dini? Lakini kama kunakutokuelewana vyama kunako kuhatarisha amani viongozi wa dini wanahaki ya kurekebisha ili tusiingize nchi yetu kwenye machafuko
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Ай бұрын
wacheni waandamane muwalinde na wanajeshi na police wasifanye fujo tu
@kisrahcogar8538
@kisrahcogar8538 Ай бұрын
Mnataka msifiwe nyie kila cku kw ujinga mnaofanya
@JemisKileto-k6e
@JemisKileto-k6e Ай бұрын
Ccm amefeli sana tutaishije na magaidi wanao amuru mapolisi wateke watu na kuwa wa mikononi mwapolisi hata hii serikali anapo ongea wanajiogelesha Hawa wenyewe niwafisadi watekaji wauwaji Wabakaji
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Kuna UHURU wa kujiekeza.
@BosmubaBosmuba
@BosmubaBosmuba Ай бұрын
Msiape kwa dini zenu mkifanya ivyo lazima dini iwaseme mnapofanya mambo ya ovyo
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
TATIZO VIONGOZI WA DINI HAWAONYI ILA WANABWEKA PALE MPUNGA UKIISHA NDIO WANAANZA PROPAGANDA CHAFU ILI WAUMINI WAO WAICHUKIE SERIKALI 😢😢😢😢😢😢
@jaspertito5343
@jaspertito5343 Ай бұрын
@ommyjames. Kila jambo mtandaoni naona unatoa maoni. Ni haki kikatiba ila tenga muda ujifunze kidogo ili upate uelewa mpana kwa kujiuliza maswali haya: Siasa ni nini? (jikite kwenye maana, chimbuko na historia na dhumuni). Dini ni nini? (fahamu chimbuko, maana, dhumuni kwa jamii). Je, ipo tofauti kati ya siasa na dini? Je, dini na viongozi wa dini wana wajibu upi kwa jamii? Je, chama cha siasa ni nini? (Pitia Sheria zinazoanzisha vyama vya siasa nchi mbalimbali). UKIPATA MAJIBU YA MASWALI HAYO UTACHANGIA MIJADALA VIZURI @ommyjames
@boxdad
@boxdad Ай бұрын
Nyooko
@AlexChawe
@AlexChawe Ай бұрын
Mbona ww una dini?Hizo ni lugha za kihuni tu
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
😂😂minaomba mnapoenda kuapishwa nendeni na dini selikari isiyo tumia Quran au biblia au kuwaalika mashekh na ma pastor fuck uu....
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 315 МЛН
ТЫ В ДЕТСТВЕ КОГДА ВЫПАЛ ЗУБ😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 3 МЛН
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 69 МЛН
Amazing remote control#devil  #lilith #funny #shorts
00:30
Devil Lilith
Рет қаралды 14 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 315 МЛН