Jicho la Jenerali Katika Mageuzi ya Siasa Tanzania| G55, Kampeni 1995 Jenerali Ulimwengu na Kibanda

  Рет қаралды 7,645

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@emmanuelswai6187
@emmanuelswai6187 7 ай бұрын
Kibanda ame muinterrupt sana Mzee, ameiharibu hii interview
@zonko0488
@zonko0488 7 ай бұрын
Kuna mengi yamekatishwa kwenye mahojiano haya, kuna vitu Kibanda alikuwa anamkatisha Jenarali wakati alikuwa anataka kuelezea kwa kina, sijui mahojiano haya yana haririwa (edit) au ndivyo ilivyokuwa. Nafikiri hii mmeturambisha tu....kama itakupendeza Mzee wetu mfanya tena hata kama iende part kadhaa lakini Mzee Jenerali uachwe umwagike kwa kina zaidi. Ila ahsante sana kutufungua macho
@justinmashala6944
@justinmashala6944 7 ай бұрын
Sure Jamaa kapunguza ubora wa mahijiano
@mussakamando2678
@mussakamando2678 7 ай бұрын
Absalom nilijua ni mwandishi mzuri. Kumbe bure kabisa!😢 Kwanini hakumwacha mzee atiririke? Anamkatisha mahali ambapo ndio patamu kisha anauliza stupid questions!!😢
@justinmashala6944
@justinmashala6944 7 ай бұрын
Kibanda Tulia kidogo mzee ashushe nondo, una interrupt interrupt..
@JohnMabustar
@JohnMabustar 7 ай бұрын
Wazee wangu nimewasikiliza kwa umakini mkubwa naona hapa itapendeza sana kiandikwe kitabu ikiwapendeza asante saana nipo mpakani mwa Tanzania na Zambia
@DrGeorgeFrancis-pl5nh
@DrGeorgeFrancis-pl5nh 7 ай бұрын
Mwenyekiti Andrew Masanche alikwishatangulia mbele ya haki. Baada ya UVCCM alikuwa Mkuu wa Wilaya.
@mussakamando2678
@mussakamando2678 7 ай бұрын
Kimsingi waandishi wa siku hizi hawajui kuhoji watu. Wanauliza maswali ya kipumbavu sana!
@mussakamando2678
@mussakamando2678 7 ай бұрын
Absalom anauliza swali. Mzee akianza kujibu anamkatisha tena!
@lufingodaniel8858
@lufingodaniel8858 7 ай бұрын
kibanda next usiwe na haraka mno kumkatisha jenerali akiwa anazungumza
@dave-gi2cg
@dave-gi2cg 7 ай бұрын
Kipindi ni kizuri lakini nafikiri tuboreshe kwenye uwasilishaji kwani hakichukui “attention” ya msikilizaji hasa kwa makundi ya vijana. Mazungumzo kama haya ni muhimu sana vijana kusikia
@alphoncecharles3076
@alphoncecharles3076 7 ай бұрын
Jenerali Ulimwengu ni misused resource. Mzee Nyerere aliwahi kusema wanaogopa change ni wezi...
@davidheche839
@davidheche839 7 ай бұрын
Kibanda asante sana, hii interview kuigeuza kutoka wewe kuhojiwa mpaka wewe kuhoji na kumemfanya generali atupatie madini ya kutosha.
@arianomgimba9381
@arianomgimba9381 4 ай бұрын
Kama umemsikiliza Mzee Jenerali walati wa ufunguzi wa mazungumzo yao haya alisema wazi kuwa hilo ndio kusudio yeye Jenerali ajibu maswali kufafanua kuhusu masuala tofauti tofauti.
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 7 ай бұрын
Tanganyika Kwa kweli ni jina la kikoloni..
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 7 ай бұрын
Kwa nini katiba mpya imekuwa tishio kwa watawala....?
@knight6757
@knight6757 7 ай бұрын
🤔...ni swali zuri....majibu nadhaani yanabidi itoke kutoka kwao.
@OckendenMkandawire
@OckendenMkandawire 7 ай бұрын
Wanaogopa jela, rahisi hivyo.
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 7 ай бұрын
Kama mfatiliaji wa general kama kujuta kufanya kosa kumuunga mko o mkapa ulichemsha
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
EVA mash
Рет қаралды 3,9 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Oscar Kambona: Shujaa au Msaliti? | The Chanzo Documentary
1:04:34
Mwanzo Mwisho Tundu Lissu Azifanyia Uchambuzi Kanuni za Uchaguzi
1:25:41