Kumbukumbu ya Lowassa | Utendaji na Mifumo ya Uongozi -Jenerali Ulimwengu Exclusive

  Рет қаралды 8,905

The Chanzo

The Chanzo

5 ай бұрын

Katika kipindi hiki cha Jenerali Exclusive on The Chanzo, Jenerali Ulimwengu ameeleza namna alivyomfahamu Lowassa kihistoria na katika utendaji.
Jenerali anamuelezea Lowassa kama mtendaji mwenye nishati kubwa aliyekwazwa na mfumo uliomzunguka.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 23
@letemelekimboipoi6773
@letemelekimboipoi6773 5 ай бұрын
Excellent KATIBA MPYA ni muhimu kwa mamlaka ya wananchi
@chrismwanjalika9892
@chrismwanjalika9892 4 ай бұрын
Hakika umekuwa muhtasari mzuri sana kwa kiongozi wetu, Maana inawaambia wengine wao habari yao itakuwaje.
@Brightonkatabaro
@Brightonkatabaro 5 ай бұрын
Asante sana Mzee Generali Ulimwengu! Maelezo yako yanaelimisha na yanatoa picha nzuri sana ya mchango wa Hayati Edward Lowasa.
@ukweli255
@ukweli255 5 ай бұрын
Ongeza Sehemu ya Pili Jeneral
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 5 ай бұрын
Thanks
@goodlucknnko1280
@goodlucknnko1280 5 ай бұрын
Duh Waziri Mkuu Garasa, Aisee!
@nsajisambi3417
@nsajisambi3417 4 ай бұрын
Wewe ndiyo mwenye akili sana ulitakiwa uwe waziri mkuu badala yake kisha yeye akafuge mifugo
@ukweli255
@ukweli255 5 ай бұрын
🙏 Tuko pamoja Baba
@marthamungure1777
@marthamungure1777 5 ай бұрын
Rais asiwe kama mfalme. Tufanye kama UK waziri mkuu awe na mamlaka zaidi
@jamesmramba7134
@jamesmramba7134 5 ай бұрын
😢
@boneyme9433
@boneyme9433 4 ай бұрын
Magufuli ..your Wisdom PLEASE
@ossipparsalaw-cx3jp
@ossipparsalaw-cx3jp 5 ай бұрын
Umenena ukweli
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 4 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza namuona Jenerali Ulimwengu asiyeusema ukweli wote juu ya mtu uliyemfahamu vema, tena kwa kukusudia kabisa! Nadhani ulikusudia kumsifu kwa vipawa ambavyo alividhihirisha ktk nafasi alizozishika, jambo ambalo ni sawa kwako kulifanya na ni haki yake kufanyiwa. Lakini umekwepa kabisa kuzizungumzia hoja za msingi za nakisi kubwa ya maadili zilizojengwa dhidi yake ambazo ndizo zilizosababisha asipate fursa ya kuwa Rais. Hata kama kwa sababu zako zozote hukukubaliana na tuhuma nzito za ulaji rushwa dhidi yake, ulipaswa kuzieleza tuhuma hizo walau kwa kiasi kile ulichokijua, yaani "ktk sura mbili, tatu" kama ulivyosema mwenyewe mwanzoni mwa mazungumzo yako. Inafahamika, kama alivyosema jaji Warioba, mwl Nyerere ndiye aliyekuwa wa kwanza kumkataa Lowassa ktk vikao vyao vya uteuzi mwaka 1995. Nashangaa kwamba hata aliyoyabaini mwl Nyerere juu ya ulaji wa Lowassa umeyapa kisogo, ingawa wewe ktk makala zako nyingi umemtaja mwl kama mtu asiye na upendeleo. Kudai kwamba ''waziri mkuu ni tarishi tu'', na wakati huo huo ukimsifu juu ya ujenzi wa UDOM, shule za kata, hatua ktk mkataba wa DAWASA, n.k ni CONTRADICTORY. Kwa nini umpe sifa wakati hiyo ni "nishati ya tarishi/garasa?" Kwa nini basi tulimsifu sana PM Sokoine kama alikuwa 'garasa' tu?? Hivi ni lini Lowassa alikuwa mnyonge kiasi cha kukubali kashfa asizohusika nazo? Kila alipoulizwa juu ya alikopata ukwasi wake, alijibu "MIMI NACHUKIA UMASIKINI"...hivi hilo ni jibu kweli? Tunaujua ugumu wa kuyasema mabaya yake mtu aliyekutendea wema uliouhitaji, na Lowassa alisifika kwa ukarimu kwa wengi-nimemsikia Chenge, prof Tibaijuka na wengine. Huenda Jenerali nawe uko hapo, lakini tutakubaliana kwamba uongozi wa juu ktk nchi lazima utanguliwe na uadilifu wa kutosha ndipo nishati na uwezo wa uendeshaji vifuate. Vinginevyo, moral authority ya kuzuia maovu haitokuwepo na hatufiki popote!
@boneyme9433
@boneyme9433 4 ай бұрын
Mzee Mwinji?
@alfredkinswaga8010
@alfredkinswaga8010 4 ай бұрын
General ungekuwa wewe Rais ungependa Mawaziri wako wajiamulie mambo makubwa ya nchi bila wewe kuyaafiki? Mfumo wetu ni wa Executive President. Bila badiliko kwa hilo, Waziri Mkuu pamoja na Mawaziri wengine bado watabaki kuwa wasaadizi wa Rais na si vinginevyo.
@marthamungure1777
@marthamungure1777 5 ай бұрын
Adui wa Lowassa watalipwa sawasawa na matendo yao. Mbona mkuu, rais wake wakati huo hakumtetea😢? Alimkana
@idrissamtonda737
@idrissamtonda737 5 ай бұрын
Jenerali umezungumza vizuri kumuhusu Edward. Lakini ninachojiuliza wewe na wengine wenye platform za kuzungumza mlikuwa wapi wakati Edward anadhalilishwa na kukashifiwa? Mlikuwa wapi wakati Edward akitukanwa na kina Slaa na CHADEMA yao lakini alivyotukanwa na watu CCM alipohamia upinzani!!!!? Au na ninyi mnaendeleza falsafa ya kusifia watu wanapokufa!!!?
@kevintruman9981
@kevintruman9981 4 ай бұрын
Inauma sana mafarisayo walikwama sana
@George-jz3jg
@George-jz3jg 5 ай бұрын
Yaani na wewe jenerali umekuwa mjinga tu ebu jaribu kueleza na mabaya yake mbona hukumpamba hivyo akiwa hai? yaani na wewe ni mtu wa kuyasifia maiti
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 4 ай бұрын
Alaa, kumbe huyu mzee naye ni mnafiki. Nakumbuka wakati wa sakata la Richmond huyu mzee alimtupia mawe sana marehemu. Africans, ni hatari sana!
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 10 МЛН
Jenerali Ulimwengu Anaifungua Shajara Yake Kwa Babbie Kabae
56:28