Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatu Allahumma salii wa saliim Ala sayyidina Muhammad Ala Alihi wa Ass wa jimain ♥️♥️♥️♥️ JazakAllahu kheri yaa sheikh. Allah.. akuridhie wewe na sisi na jaamia muslim wa muslimat yarabby ♥️💓
@nooor1120 Жыл бұрын
Shukran jazakallahu kheir
@siriyangu47242 жыл бұрын
Allah humma mamiin 🤲 shukran sheikh jazzakkallah khery
@a.8562 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@abubakarbakari93722 жыл бұрын
Masha allah shukran sheikh
@maryammohammed89242 жыл бұрын
Alhamdulillah nimefaidika na nime elewa vizuri vp kusali suna jazaakallahu khayr sheikh izuddin
@ismailidi8822 жыл бұрын
Shukran sheikh izzudin
@ismatshaffi61862 жыл бұрын
Wallahy raha ya msikiti ni jamaa na kusomewe Quran sura ndefu ambazo si kawaida watu kusoma kila siku majumbani. Ma Imamu twaomba haya jamani
@azzatmohamed27232 жыл бұрын
Mashallah nakukubali mawaidha yako na yanatunyanyua imani zetu kwa Allah
@siriyangu47242 жыл бұрын
Subhuana Allah
@munaisa58502 жыл бұрын
MashaAllah
@hawaacosta7346 Жыл бұрын
Ma shaa Allah
@husseinchanduko30362 жыл бұрын
Mashallah
@abdulbasithamid39222 жыл бұрын
Allahu akbar
@shifaamohammed5340 Жыл бұрын
Mwisho wa kusali dhuha saa ngap
@mohdkhamis38572 жыл бұрын
Nice one
@suleimansaid74862 жыл бұрын
Wewe shekhe usipoteze waumini.
@andallaathman38562 жыл бұрын
Kwahio witri ukiswali rakaa moja haifai ? Mpka kumi na moja
@zuwenahfloznat26542 жыл бұрын
kuna video alisema inafaa hata rakaa tatu pia ziko sawa
@fatmaomar67602 жыл бұрын
Unaweza kuswali rakaa 3...mwanzo utaswali 2 utowe salamu kisha uswali 1 utowe salamu. Au unaweza kuswali zote 3 kwa pamoja. Lakini inapendekeza 2+1
@cabduraxmaanxaaji24722 жыл бұрын
Masha Allah sheikhe.
@cabduraxmaanxaaji24722 жыл бұрын
Sheikhe wewe umesema hio ni adhuhuri ya wabarawa adhuhuri ya wabarawa ni rakaa 4 kwani adhuhuri wa waswahili ningapi?
@cabduraxmaanxaaji24722 жыл бұрын
Mtu kama hajui umfahamishe usiseme hio ni adhuhuri ya wabarawa.