VITA BADO KALI LISU NA MBOWE/MCHAMBUZI AFUNGUKA MAKUBWA 'WAMEKOSA SIFA"

  Рет қаралды 1,313

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 15
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Сағат бұрын
Mchambuzi mzuri sna👍
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 40 минут бұрын
Haha jamaa kanifurahisha inawezekana kweli lissu anakili saa 😂😂😂
@erickmgaya3914
@erickmgaya3914 2 сағат бұрын
Uchambuzi bora sana huu
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 44 минут бұрын
Chadema aiwez kutoka kaskazn nipo hapa nakunywa mtori 😂😂
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 38 минут бұрын
Inawezekana alikuwa ameuandaa LEMA haha imekula kwake
@paulinekisanga1637
@paulinekisanga1637 13 сағат бұрын
Je CCM inapokaa kwenye utawala kwa miaka 60++ mbona hamsemi!!
@jacksonmsola154
@jacksonmsola154 Сағат бұрын
Akili nyingine,hasa huo uchambuzi ccm wanahusika na nn hapo,siyo Kila mada unatakiwa utoe maoni
@majidukalokola7253
@majidukalokola7253 19 сағат бұрын
Hivi mbona sijawahi kuona mnafanya uchambuzi huo wakati CCM inapofanyaga uchaguzi? Mfano, kwenye CCM imetolewa form moja tu ya kuwania nafasi ya uenyekiti, mbona sijaona mkilichambua hilo?
@chagulaniadams3965
@chagulaniadams3965 Сағат бұрын
Mwandishi kama anayebeza jitihada za wananchi kutaka katiba mpya hapo ndipo tunapata wahandisi wa habari badala ya waandishi wa habari mwandishi anasahau kuwa katiba mpya hata yeye inamhusu ili afanyekazi yake kwa weledi mkubwa
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 45 минут бұрын
Jamaa anachambua hatal kabisa na mm nilisema lisuu ahache tamaa alipewa agombee urais mwaka jana na pia Tundu lissu anahasila afai kuwa mwenyekit anafaa kuwa makamu hi nchi itamwaga damu tunataka aman kuliko madaraka naombea aman kwenye taifa langu la Tanzania
@paulinekisanga1637
@paulinekisanga1637 13 сағат бұрын
Nyerere alikaa miaka mingapi mpaka kustaafu??
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Сағат бұрын
Miaka 23
@asibwenemwaipopo4863
@asibwenemwaipopo4863 48 минут бұрын
Mbowe hana kosa.akigombea kwa katiba ya Chadema.wala Lissu hana kosa. Kinachohitajika ni busara ya Mbowe kupima muda aliotumikia.chama.chake na misingi halisi ya democrasia ili kuruhusu mawazo na mbinu.mpya za kiuongozi. Mbowe anapaswa kupima iwapo anakubali kuachia kiti, atakayechukuwa atakuwa nauwezo wa kukiongoza.chama bila kurudi nyuma.
@maulidmtowi3937
@maulidmtowi3937 2 сағат бұрын
Uchambuzi kama huu mkiufanya juu ya chama tawala siku inayo fata mnafunga ofisi😂😂 anyway hata hao ccm nje ya urais hakuna wa kumuamini kumpa uwenyekiti ebu tafakari hivi kweli ccm ulishafika wakati wa mkumpa mh.samia uwenyekiti wa chama chao tena mwenye jinsia ya kike
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 192 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,3 МЛН
LIVE: UCHAMBUZI WA LUQMAN MALOTO SAKATA LA MBOWE/ LISSU
34:36