VITU VINAVYOKUFANYA UPOTEZE UWEZO WAKO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 8,240

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 46
@philibetcharles1328
@philibetcharles1328 6 ай бұрын
Mimi nakuchukulia kama nabi uliyeteuliwa uje kukomboa watu mbalimbali kwenye swala la uchumi 🇹🇿
@AmaniRashidi-i9b
@AmaniRashidi-i9b 6 ай бұрын
From south Africa Durban sijachelewa sana mwalimu Asante ❤❤❤❤
@user-jt3yw1gz2j
@user-jt3yw1gz2j 6 ай бұрын
Kaka joel napitia wakati mgumu sana ningependa unipe ushauri kwa mfano mimi nilishawahi kuongea juu ya ndoto zangu mbele ya shangaz zangu na kaka yangu baada ya kusikia tu kwanza walinipuuza na kuanza kuniongelea tofauti kabisa ninachotaka kukifanya sio sahihi...na kuniongelea kwenye familia nzima hata wazazi wangu walinifokea sana
@RedgaMsigala
@RedgaMsigala 6 ай бұрын
Amen
@LeilaMjaka
@LeilaMjaka 6 ай бұрын
Yani wew kaka ni nomaa apo ktk saut wallah utazani anakujar kumbe anakuzimia ndoto zako.
@hadidjaissa9154
@hadidjaissa9154 6 ай бұрын
❤❤❤❤
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 6 ай бұрын
Kweli kabisa mwalimu nimesha kaa na muuwaji wandoto Zanghu .kwasasa nimeamuwa kuiwasha taa vinghine pekeyanghu nijipinghishe hatua yamaisha.mwalimu tanghu nilipoamua kufwatilia mafunzo nimejifunza menghi sana barikiwa sana
@bensonmoris463
@bensonmoris463 6 ай бұрын
nzur,ahsante
@bensonmoris463
@bensonmoris463 6 ай бұрын
nzur,ahsant
@OmanOman-c9d
@OmanOman-c9d 6 ай бұрын
Joel wewe ni mwangaza wangu from oman ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@janetfrancis7180
@janetfrancis7180 6 ай бұрын
Asante Joel, see you at the top .
@ModestusKibasa
@ModestusKibasa 6 ай бұрын
🎉Bro habar za mapambano nipo hapa nasubir pia .
@niriacatering172
@niriacatering172 6 ай бұрын
Asante
@MustafaShomari-nh7pn
@MustafaShomari-nh7pn 6 ай бұрын
Asante kaka mungu akulinde zaid
@atu1546
@atu1546 6 ай бұрын
Big up brother,thanks alot real you're motivating.
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Ай бұрын
Asante xana br Joel nimejifunza
@Francis_Tz
@Francis_Tz 6 ай бұрын
1.Mazingira (Eneo ambao uwezo wako utaonekana/utatumika). 2 Kuambana na watu ambao sio sahihi (Wrong Association).
@marymkamwa3779
@marymkamwa3779 6 ай бұрын
Barikiwa sana my fire lighter
@Sumay228
@Sumay228 6 ай бұрын
Nashukuru Mungu huwa natoka mbio mapema nikihic celewi mazingira wala watu wanaonizunguka ila ndio utaitwa unaringa kibongobongo
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 6 ай бұрын
Mimi baazi ya ndugu wamekua chanzo cha kuzima ndoto zangu ,nimeamua kuwaacha siwashirikishi kitu changu katika maendeleo yangu Mungu akubariki sana kaka @Joel
@anoldkimario8285
@anoldkimario8285 5 ай бұрын
Na Imani huwezitoka kimaisha peke Ako bila kuongeza nguvu kazi bihashara au kilimo kiweze kukua .je nimbinu Gani itumike niwezepata waaminfu kwasababu Kila nikijaribu naibiwa narudi nyuma,mie ni mnyakazi nimeajiriwa sehemu fulani
@impactospace
@impactospace 6 ай бұрын
Ahsante mentor
@AbrahamMjema-di1li
@AbrahamMjema-di1li 2 ай бұрын
Uko vizuri umejaliwa kuwa na mawazo ambalo yanaelimisha.
@user-gz1cd6kn5j
@user-gz1cd6kn5j 6 ай бұрын
Nzuri sana
@suzankawishe6154
@suzankawishe6154 6 ай бұрын
Asante sana dear kweli wewe ni life coach whenever I wana do something in my life I have to listen to you everytime so that I can success in anything I started
@RosecharlesMollel
@RosecharlesMollel 6 ай бұрын
Ubarikiwe sanaa mentor wangu nakufatiliaga sanaa na madundisho yako yanNisaidiaga sanaa
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 6 ай бұрын
Hapa kuwa sehemu ambayo haifai,, unajaribu na kujaribu lkn hufiki pale unapo hitaji
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 6 ай бұрын
Muda pia kwangu nahisi unaua ndoto zangu, nifanyeje?
@DanielaSanka-ns4tv
@DanielaSanka-ns4tv 6 ай бұрын
Mimi pia sijui nifanyaje
@GabrielAmede-dy1rm
@GabrielAmede-dy1rm 6 ай бұрын
Asante kaka yangu joel unasisimua hisia zangu naona uwezo wangu utaarejea muda so mrefu....
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 6 ай бұрын
Nashukuru Mungu Boss wangu Ni fire lighter, angekuwa fightertungefaitiana
@work24onme
@work24onme 6 ай бұрын
Holy Spirit Amen, 🙏🏼 Asante sana mwalimu Joel, Mwenyezi Mungu akutangulie 24hrs Amen 🙏🏼 . UMENILENGA 💯
@rollahngimbwa6978
@rollahngimbwa6978 6 ай бұрын
Nimejifunza kitu hapa kaka, shukrani Sana 🙏🏽🙏🏽
@isacksolomon5309
@isacksolomon5309 6 ай бұрын
6:01 I got it
@kanezajoella6663
@kanezajoella6663 6 ай бұрын
Asante sana haswa mimi kwenye mahusiano
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 6 ай бұрын
Wakati nchi za kiarabu zikijivunia utajiri wa visima vya mafuta Tanzania ina visima vya watu wenye akili .
@SAIDXDXDBFSUMA
@SAIDXDXDBFSUMA 6 ай бұрын
Mimi kinacho weza kuuwa wezo wangu ni marafiki ninao kaa nao
@KhalidIbrahim-w1k
@KhalidIbrahim-w1k 6 ай бұрын
Nimeshawaona na nikawa eliminate but nikainua vita
@RuthFrimin
@RuthFrimin 6 ай бұрын
Dah! Hata mi pia nipo na mtu kama huyo...ila nipo makin sana Kwa sasa yaani ni muuaji haswaah 😮
@HeavenSumari
@HeavenSumari 6 ай бұрын
Boss uzidi kubarikiwa tunazidi kukuombea uwe na afya njema Sana Sana
@Udindigwa
@Udindigwa 6 ай бұрын
Ni Kweli Kabisa Ndivyo Ilivyo Mbaya Zaidi Ambapo Unakuwa Haujui Kilicho Nyuma Ya Pazia Unajua Mpo Pamoja Kumbe Sivyo
@user-hm5zz4ec5v
@user-hm5zz4ec5v 6 ай бұрын
Mm nimschana naishi nyumbani Kila ninapojaribu kusema nitoke nikajitengemee nakatazwa hataty kufunga biashala inje ya nyumbani hata nikisematy niazekujenga pia hawataki he nifanyeje
@MCmakore
@MCmakore 6 ай бұрын
Hakika wewe nimtu ambae unachochea watu wanaokuduatilia kukua kimaarifa
@bensonmoris463
@bensonmoris463 6 ай бұрын
nzur,ahsante
@anordnjau1748
@anordnjau1748 6 ай бұрын
Asante
@richmontana1296
@richmontana1296 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
NAMNA YA KUIMARISHA BIASHARA YAKO  - JOEL NANAUKA
12:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 9 М.
JOEL NANAUKA - PERSONALITY COLORS
14:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 12 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 886 М.
Girl, dig gently, or it will leak out soon.#funny #cute #comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 18 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 68 МЛН
LIFE WISDOM: VITU VINAVYOFANYA UNG'AE - JOEL NANAUKA
17:12
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.
JENGA MTANDAO (NETWORKING) - JOEL NANAUKA
8:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
KANUNI ZA KIVITA NA MAISHA
5:06
Riziki Mwaikugile
Рет қаралды 321
EPUKA MTAZAMO HUU - JOEL NANAUKA
17:21
Joel Nanauka
Рет қаралды 18 М.
RICH DAD POOR DAD | Mambo 12
27:38
Success Path Network
Рет қаралды 38 М.
NJIA RAHISI ZA KUJIFUNZA KUWEKA AKIBA
14:47
Success Path Network
Рет қаралды 31 М.
MAMBO 10 MUHIMU YA KIUCHUMI KWA MWANAMKE  - JOEL NANAUKA
14:04
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.
AINA 5 ZA KUFIKIRI ZINAZOFELISHA WATU - JOEL NANAUKA
9:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 65 М.
Joel Nanauka / Namna ya kutimiza malengo 3 / THE GATES TV
52:13
The Gates Media
Рет қаралды 124 М.