VITUKO VYA BIBI NA BABU| BIA MBILI TATU NAKUNYWA| NIKIPATA HELA HATA LEO NAENDA KULEWA

  Рет қаралды 4,577

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Пікірлер: 38
@Neema935
@Neema935 5 ай бұрын
Kila mara nikimwona bibi, namkunbuka mama yangu mzazi, yani wamefanana kbs.❤❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩💗💗
@aminaomary5567
@aminaomary5567 6 ай бұрын
Zairi yaan ukienda kwa babu na bb napenda sana❤❤❤
@rahma6189
@rahma6189 6 ай бұрын
Mungu endea kuwatunza Hawa wazee nawapenda sana
@aminaali792
@aminaali792 6 ай бұрын
Kaka zahir napenda unavyotaniana na babu na bibi Maa sha Allah 😍🤍🤍
@Aiisha901
@Aiisha901 6 ай бұрын
zahir wallahi hawa wazee nuru imewajaa sana umewasaidia sana sana mpaka wanajisikia raha
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 6 ай бұрын
Babu,Bibi nawapenda sana❤❤Mungu awape umri mrefu🙏🙏
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 6 ай бұрын
Apewe umri.mrefu.azidi kulewa Allah ampe mwisho.mwema lakini kiukweli inatia huruma mzee kama huyu bado hajataka kurudi kwa Allah
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 6 ай бұрын
Bibi😂 napenda kicheko chako Mashallah ❤❤❤❤❤
@aishatest4451
@aishatest4451 6 ай бұрын
mashaallh 🥰🥰🥰🥰
@zeddybby8947
@zeddybby8947 6 ай бұрын
Wa kwanza leo niachieni like za bibi na babuu❤❤❤lkn mbona hakuna sauti kaka zahir
@aminaramadhan3815
@aminaramadhan3815 6 ай бұрын
Tuonyeshe zabibu mama mapacha anaendeleaje
@Mpakauseme
@Mpakauseme 6 ай бұрын
safi sana una furahi na wazee
@sissis5954
@sissis5954 6 ай бұрын
Kwann hawakukaribishi ndani kunanini au ndio nyumba chafu
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj 6 ай бұрын
Sanani afanye usafi 😢😢😢
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 6 ай бұрын
Amemwambia pita ndani kaka Zahir mwenyewe kasema anaona shida mpaka avue viatu uwe unasilikiliza vizuri na wewe
@salamalsawaqi1206
@salamalsawaqi1206 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@shabaniisumaili7665
@shabaniisumaili7665 6 ай бұрын
Mzee kijan....😂😂
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 6 ай бұрын
Babu yetu
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 6 ай бұрын
Hawa watu hawasali astghfirulllah hata kusaidiwa haifai kwa kweli 😢😢😢
@kutailass6671
@kutailass6671 6 ай бұрын
Mmh, kwan kila anae saidiwa ni muislamu? Msaada ni kwa kila binaadam
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 6 ай бұрын
Asie swali hata kusaliwa hafai akifa leo wee unasema nini au wee nawe unasaport mtumzima kama huyo alewe asisali ikiwa kunawatu wachamungu namasikini kuliko yeyeee nawanafanya ibada​@@kutailass6671
@sissis5954
@sissis5954 6 ай бұрын
Zahir tuoneshe mama mpakistani tujue maendeleo yake
@maximumtvonline
@maximumtvonline 6 ай бұрын
Hataki interview tena amesema mnamtukana sana kwenye commrnt
@VeredianaNicolas
@VeredianaNicolas 6 ай бұрын
Bibi anajikuna jamn
@bentali5773
@bentali5773 6 ай бұрын
Sauti ipo😊
@happytsalakushe141
@happytsalakushe141 6 ай бұрын
Hadi raha bibie kicheko dawa❤
@ZekaniS
@ZekaniS 6 ай бұрын
Babu na bibi
@mohdbest9488
@mohdbest9488 6 ай бұрын
Mbona haina sauti?
@swaumuabdallah6886
@swaumuabdallah6886 6 ай бұрын
Saut ipo mbon itakuwa kwak imekataa
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 6 ай бұрын
😂😂😂
@DrjosephKingo
@DrjosephKingo 6 ай бұрын
Zahir maswali yako mengine hayana mantiki unaonekana makuzi yako yana changamoto.uliza maswali yanayoendqna na content zako mtu akipiga mitungi inakuhusu nini wewe kama hawakuombi pesa . Una lugha ya madharau jirekebishe
@kutailass6671
@kutailass6671 6 ай бұрын
😂😂kwaajili yakuuliza tung au kingine, watu mnamakasiriko
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail 6 ай бұрын
Alafu hao si ni kama babu na bibi zetu siku zote baubu na bibi ni watani zetu so mimi naona hapo anawatania tu jamani ila ndo hivyo Kila mtu na mawazo yake​@@kutailass6671
@maximumtvonline
@maximumtvonline 6 ай бұрын
YEAH TAJIRI MAKUZI YANGU YALIKUWA YA KICHOKORAA SANA BOSA
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 6 ай бұрын
​@@kutailass6671hee iyo.kumuliza hayo kuna kosa gani kama mzee wake namie nahisi kama wanataniana tu mbona humsemi huyo babu mlevi haswali.mbona husemi kua hakua namalezi mana kama anamalezi kwaumri huo bado analewa nahaswali inatia huruma
@kutailass6671
@kutailass6671 6 ай бұрын
@@ukhtyrayyan7884 umenijibu mie au nani kipenzi
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 24 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 120 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,8 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [57]
20:43
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 59 М.
Hii nyumba haina kasoro
3:34
DALALI WA TAIFA KIGAMBONI
Рет қаралды 25 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 24 МЛН