Vituko vya mkandarasi anayejenga Uwanja wa Samia Suluhu Arusha wakati akiahidi makubwa

  Рет қаралды 48,688

Azam TV

Azam TV

3 ай бұрын

Neno kutoka kwa mkandarasi alipozungumza kwenye hafla ya kumkabidhi eneo la ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu huko Olmoti jijini Arusha.

Пікірлер: 47
@saulikinahi6703
@saulikinahi6703 3 ай бұрын
Wachina wanajua sana ujasiriamali😂😂
@user-we3or9ol4o
@user-we3or9ol4o Ай бұрын
MCHINA ANAITWA MASAWE 🤣🤣🤣🤣, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
Msigwa mjanja mnoo anajua kwenda na upepo wa uongozi uliopo nkikumbuka kipindi cha JPM na sasa😂😂
@JeffJoeNya
@JeffJoeNya 3 ай бұрын
Wanafiki tu hao
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
@@JeffJoeNya hata siku atayotoka mama atashangaa wamehama wako kwa ataekua wakati huo
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
Hawana msimamo sio ujanja
@user-to8dt8gy2h
@user-to8dt8gy2h 2 ай бұрын
But sema Samia oyee😂😂
@husseinmaula4965
@husseinmaula4965 3 ай бұрын
Tuliosikia Tumbolo wangapi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Au mimi masikio yangu hayasikii vizuri 😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
@AndreyMalisa-qj3ds
@AndreyMalisa-qj3ds 2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@MwinyiAlly-iu4rw
@MwinyiAlly-iu4rw 2 ай бұрын
Iam happy
@Joycekombe2
@Joycekombe2 3 ай бұрын
Masawe
@shadrackmohamedi8765
@shadrackmohamedi8765 3 ай бұрын
Wakijitahidi Hawa Wachina mwakani watakodiwa hadi kwenye kampeni 😅😅😅
@fidemgonja
@fidemgonja 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 16 күн бұрын
yani hawa niwaizi watatupiga pesa yahatar
@jumashedafa
@jumashedafa 2 ай бұрын
Tunaomba huu uwanja ufunikwe juu uwe na roof la kufunga na kufunguka kama ule wa mercedes Benz cz ata raman inaeandan kwa kias flan
@samsonkenedy1338
@samsonkenedy1338 2 ай бұрын
Ccm uchaguzi 2005
@Crazy_Hustle255
@Crazy_Hustle255 3 ай бұрын
Nani kampa jina la masawe tena 😂😂😂 😂😂😂
@catherinecostantino2034
@catherinecostantino2034 2 ай бұрын
Massawe hoyeee
@AgredaMoyo
@AgredaMoyo 2 ай бұрын
Wapewe ukaribu uenezi WA CCM I😂😂😂😂
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 2 ай бұрын
watanzania washinde tenda ata za usafi china🤔
@godfreymlunyungu
@godfreymlunyungu 3 ай бұрын
say *samia hoyeeeee*
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 ай бұрын
SSH❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@nemesmarandu1587
@nemesmarandu1587 2 ай бұрын
Wew hujasikia Kuna masawe
@jamaliselemani850
@jamaliselemani850 2 ай бұрын
Mnataka kuaibika nyie huo uwanja afcon itachezwa bila carpet mnawachekea wachendui hawa subirin tutaongea lugha moja sio muda amini nawaambieni hamn kitu apo wanamiradi mitano yote imesimama hawana kila kitu hawa subir aibu kutoka fifa 😂
@glorymungure7740
@glorymungure7740 Ай бұрын
Masawe😅😅😅
@ramadhanishabani4600
@ramadhanishabani4600 2 ай бұрын
Waacheni hao wachina tuna kazi nao kipindi cha uchaguzi
@abc-en3em
@abc-en3em 2 ай бұрын
Duun masawee
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 3 ай бұрын
Samia nae anajenga uwanja dahh Viongozi wa Africa bhana
@salumsimai642
@salumsimai642 3 ай бұрын
Anajenga ndio lakini sio kwao ni Arusha kama kina uhitaji jeeee wacha izo
@GibonMwakabejela-bl8td
@GibonMwakabejela-bl8td 2 ай бұрын
C kwajir ya afcon 2027 kak
@mohammedalishamis9405
@mohammedalishamis9405 3 ай бұрын
😂😂😂
@chakubanga5656
@chakubanga5656 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@EmmanuelNswila
@EmmanuelNswila 2 ай бұрын
Wachina bwana wahun tu hao
@chrissfordsadickh8280
@chrissfordsadickh8280 3 ай бұрын
😜😜😂😂
@user-fc9yl5bz5v
@user-fc9yl5bz5v 2 ай бұрын
Tuwape uenezi TU.
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 2 ай бұрын
Hawa wachina mbona kama niliwaona kibosho.
@editorlais5185
@editorlais5185 2 ай бұрын
Mwenyew niliwaona apa soweto😅
@ezrageofrey9668
@ezrageofrey9668 2 ай бұрын
Nmefurah kinoma 😂🔥🔥... I should learn Chinese 🇨🇳 language. Najua salamu yao (Nihawu).. We are waiting for the stadium 🏟
@mkramweni3318
@mkramweni3318 2 ай бұрын
我是老师。。。welcome i can teach you
@victorjames3730
@victorjames3730 3 ай бұрын
Sema samia Hoye 😂😂, itabidi nichekee kwanza
@user-xh9ko2cs1r
@user-xh9ko2cs1r 3 ай бұрын
Mhh
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 2 ай бұрын
Walishajuwa samia anapenda sifa za kijinga
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 16 күн бұрын
Kwel hinchi imeuzwa
@lindatogether
@lindatogether 3 ай бұрын
😂😂😂
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 43 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 67 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН
Tengeneza Tabia Zitakazokupa Mafanikio - Eric Shigongo
14:14
Hamasika Tv
Рет қаралды 19 М.
Ronaldo with Kids ❤️
0:27
best futball
Рет қаралды 9 МЛН
Как Погба профукал карьеру
0:57
Советский Эксперт 2.0
Рет қаралды 522 М.
打上頭了這是…… 邊角團隊有事是真上#格鬥
0:16
格斗英雄
Рет қаралды 1,4 МЛН
Не надо толкать, надо бить🥊
0:20
Алексей "Новатор" Сурков Тренер по боксу
Рет қаралды 1,9 МЛН
Мбаппе, ты где?
1:00
Губиньо
Рет қаралды 516 М.