Hongera mh mkuu wa mkoa kwa kazi nzuri,nikweli china wanamatatizo makubwa sana,kwao wanasheria kari sana,hapa kwetu wanafanya mambo kienyeji na shida iko serikalini kuna watu wachache wanashilikiana na wachina kuihujumu nchi.ushauri Mheshimiwa Mkuu wa mkoa anzisha upresheni malumu utangundua madudu mengi ya wachina.wanalinyonya taifa kwa nguvu kubwa sana.
@Nassoromohamed-ig7bz19 сағат бұрын
hongera mkuu nami naomba hawa jamaa wajanja sana nina shaka hawa wenye biashara ya kubet hizi pesa shilingi mia na mia mbili wanapokusanya kweli zinafika zihusikako au kuna ujanja ujanja fuatilia na hili wasisafirishe magwala yetu mana hawaaminiki sana hawa
@YourMoor-px1rd11 сағат бұрын
TUWENI MAKINI SANA NA WACHINA HAPO BONGO HAO NI WATU HATARI,WAJANJA NA MATAPELI HAO WAKIKUAJIRI UNAKUWA KAMA MTUMWA WANAKUFANYISHA MASAA KIBAO MSHAHARA NIMDOGO HONGERA SANA MH .CHALAMILA
@HekimaSalama50 минут бұрын
Tunashukulu sana chalamila
@lucykristensen71457 сағат бұрын
Heshima yako Mheshimiwa Chalamila. Kweli wewe ni mzalendo.❤
@MeshackMayenga6 сағат бұрын
Mh.Chalamila hongera sana kwa kufuatilia. Hawa wachina ni tatizo kwenye taratibu za kazi mchina hafuati kabisa.Watanzania wanaburuzwa tu.
@charlesmwambinga435519 сағат бұрын
Baadhi ya Wachina wanakwepa Kodi kuliko hata wazawa, wanalipa hela mishahara mikononi na sio mliokubalina hawatoi lisit wanapenda Rushwa sana..
@IssaMatandi2 сағат бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa chalamila,wachina ni wajanja wajanja sana.Wanakwepa kopa,hawalipi mishahara,wanapenda sana kutoa Rushwa,wanatunyonya sana.Kuwe na sheria mzuri ya kuwabana wachina.Hawa wachina sio kabisa.
@LemaliMeyasi-r4c7 сағат бұрын
Kweli kabisa wachina wanawanyanyasa sana watanzania kiukweli
@annamwakibinga52716 сағат бұрын
Wezi hao wananyanyasa watanzania sana. Na shida ndugu zetu wananyamaza
@temesjames88672 сағат бұрын
Tanzania viongozi wote wangekuwa kama huyo mkuu wa mkoa wanainchi wangekuwa na maisha bora sana.
@JuliusPaulo-f1v15 сағат бұрын
Hongera sana kuu❤❤❤
@DavidEliasShumbi-m7mСағат бұрын
Uko sahihi kiongozi
@boscoafikile473721 сағат бұрын
wachina wafuatiliwe vizuri ni wanyanyasaji na wanyonyaji wakubwa, wanakimbia sama kodi. Tuwe makini sana
@BobNasa21 сағат бұрын
Mh Chalamila hongera sana Tena sana, lakini Hawa wachina ni matapeli sana Mishahara hawalipi kazi kupiga wafanyakazi
@evaemil85611 сағат бұрын
Turekodie wanapowachapa viboko ili serikali ifanyooshe mkono wake. Wakenya walimuondoa mchina within 24 hours kwa kunyanyasa wazawa.
@issaali132117 сағат бұрын
Tatizo kubwa ni serikali yenyewe Haina utaratibu wa kuwalinda wazawa . Haiwezekani mgeni hapangiwi Sheria yoyote anafanya anavyotaka .
@omaryyusuf940519 сағат бұрын
Ujee na kariakoo kuna watuu wamefunguwa viwanda vya kushonaa
@jostamzxkaole311321 сағат бұрын
FANYA MAAAMUZI
@ikulunimahalipatakatifu764219 сағат бұрын
Ongera mkuu wa mkoa, wachina wana zengwe sana , wanaturudisha enzi za ukoloni na utumwa
@AFRiCANKiDOnline15 сағат бұрын
TRA hawajawahi kuona wageni ni wenyeji kila siku
@bharyasarbjit118721 сағат бұрын
Mhe Sisi tuna export coal mkaa kwenda Nje ku leta Hela za kigeni. Ujue sisi ndugu zetu wame funga Biashara export na ku poteza dolla M 28. Tuna shida humo wenyewe kwa wenyewe kwa faida Yao Binafsi. Una sema sawa lekini Go deep into ujue ukweli. Mkaaa export coal stopped of Becco Ltd five months now.
@salamasefu549411 сағат бұрын
Wawe na nidham .hao mmewakaribisha lakini wanausiri sana wanafaidika nchini kwetu.Mikataba muhimu wafatilieni wachina wote.
@Vuvuzelaz110 сағат бұрын
Ndio maana huwa nachomoa Management nyingi wanyanyasaji nami siwezi kuungana na hao wanyonyaji
@Worldunite4 сағат бұрын
Taratibu mara nyingi huwa zinatubana sisi wazalendo, lkn wageni kwa sbb labda serikali zao zinasaidia serikali yetu basi wanajiona hawawezi kuguswa
@Brunn-mh2bq20 сағат бұрын
Wachina ni watu waovu na wabaguzi kupita maelezo. Nyie mnawaita ndugu zetu kwa kutujengea eti reli ya tazara nk. Wanaojua wataelewa jinsi walivyotutesa na masharti yao na hata leo walivyojenga havipo. Wale sio ndugu zetu ni wanyonyaji wasio na ubinadamu hata tone. Wabaneni hao watu na msiruhusu wajazane hapa kwetu maana muda si mrefu watachukua ardhi yeto na kuita China Town au China Village kama walivyofanya nchi nyingine duniani. Walegezeeni muone moto maana sijui kama waTz tutapata nafasi nchi gani mbadala😢
@Worldunite4 сағат бұрын
Hakuna kuogopa wachina hapa
@ShabaniJuma-n7f22 сағат бұрын
Mh. Chalamila ni Kiongozi haswaaa 👏👏👏👏👏👏👏
@neemabright36356 сағат бұрын
tatizo.sheria ziko kwenye.karatasi tu ila hao wachina nchini kwao.huwezi.fanya chochote bila utaratibu kabisa... hapo kuna watz wanasuport n kupata pesa kupitia hapo
@faustinluambano295818 сағат бұрын
Waliyo wengi ni wafungwa.Ccm inawatumia
@AllyKame-rx2zd12 сағат бұрын
Serikali iangalie vizuri athari ya wananchi kupitia uwepo wa wachina nchini, hasa katika biashara ambazo watanzania wanazimudu pasina uwepo wao, na fursa kwao iwe ni biashara ambazo kitaaluma ni muhimu uwepo wao juu ya biashara husika. Kwakweli kwa mtazamo wangu wamekuwa kama wavamizi wa biashara za wa tz ambazo wanazimudu pasina uwepo wao, kwanini kusiwe na mikataba maalumu juu ya kile wanacho takiwa kukifanya nchini! Mfano biashara za nguo viatu bidhaa za stationary sioni sababu kututia njaa na kutunyima fursa kwani wao hatutoweza kucompit nao sababu ndio wenye viwanda wa bidhaa hizo makwao na mwisho watatueka kwenye mabano
@Vuvuzelaz110 сағат бұрын
Tupeni kazi hizo tuzikague
@ShesheJahsh21 сағат бұрын
Sio hao tu mm nawajua zaidi ya kampuni kumi ela wanapokelea Ac binafsi sio Ac ya kampuni kitu cha laki 5 rist anaandika 150
@sunguraally245621 сағат бұрын
Sio hao tyuu muheshimiwa,,,
@allyhassan752212 сағат бұрын
Wachina wanakwepa sana kodi kuliko wazawa.Hawajasoma wala nini.Wachina hawawafanyi wafanyakazi wakanufanufaika,la!Ni wezi,wanyanyasaji,hawafuati sheria,wanapenda rushwa.Viongozi wetu kuweni makini na hawa watu wamejaa sana hapa nchini hamstuki?Wanachuma sana mali zetu na kuondoka kwao.Kuna wazawa wachache wanawasaidia ktk umagumashi wao.Kama hamjaweka sheria vzr basi hawa si wawekezaji wazuri unless kuwe na usimamiaji nzr wa sheria.
Kwani watu wa leseni na sheria za biashara. Mapato . Uhamiaaji. Tra. Wako wapi b4 mkuu wa mkoa aje yy. Hii mijitu inafanya kazi ganiiiiii
@MeshackMayenga6 сағат бұрын
Mimi najiuliza nashindwa kuelewa hivi mamlaka zinazohusiana na maswala ya kazi zikowapi mpaka mkuu wa mkoa afuatilie, TRA wako wapi?TBS wako wapi?rushwa inaimaliza nchi watu wachache wanajinufaisha.Chalamila usiishiehapo tu njoo huku Kigamboni kuna viwanda vya wachina vimeota kama Uyoga vingine huku wanajenga huku kazi za uzalishaji zinaendelea,wafanyakazi hawaajiriwi manyanyaso yakutosha sana.
@tgeofrey18 сағат бұрын
Kuweni waajiri na nyinyi
@levidavid115622 сағат бұрын
Mpaka afanye hivyo uongozi upo wapii Tunaposema nchi hii imefaili dalili yake ndo hii
@benedictkitalika760722 сағат бұрын
Hawa siku zote ni wezi tu
@mufaddalmoawalla852217 сағат бұрын
Wewe mkuu wa mkoa unaogea tu.,njoo uonyeshe kwa.vitendo,tumechoka kukusikiliza ,kila siku unaogea lakini hakuna kinachofanyika
@bharyasarbjit118721 сағат бұрын
Kuna Nyororo wame shika wakubwa kwa faida Yao hawa jali Nchi. Kuna license kwa jina Jao wenyewe hawa chimbi.
@Worldunite4 сағат бұрын
Halafu wanafanana hawa jamaa
@PendezaPendezaallybakaly2 сағат бұрын
Nilidhani unadharau kumbe una akili sana
@MaguguStore22 сағат бұрын
Mkuu hiyo ndio biashara ya kimataifa , ukitaka funga mipaka na mama anatangaza kuweza kwenye viwanda wewe unapindisha
@mufaddalmoawalla852217 сағат бұрын
Mbona kwao hawaturuhusu kufungua biashara za maduka?hspa wanapewaje vibali vya kuendesha bisshara kama sisi wazawa?uhamiaji wako na hawa jamaa wanakula misheard kubwa kwa mchina,ukienda benki husband CRDB,Wwachina wanapokelewa kwa mikono miwili,mimi nikienda tunasubiru foment,wao wanapita tu bila ya kuchukua namba ,pale counter wanapwa mpaka laki macashia
@suleimanbalemba334810 сағат бұрын
Ata aya makampuni ya malori na mabasi mkuu fuatiria vzr madereva hali tete rushwa kwa viongozi wa serikali ndo chanzo cha uozo huo
@BeniJohn-xd3cn53 минут бұрын
Wakati mwingine una akili Sana
@philimonmtweve452223 сағат бұрын
Hawa ndio wanatufilisi hayalipi kodi yapo yapo kazi ni kuiibia nchii
@Ambwene20 сағат бұрын
Mheshimiwa tatizo lenu nyie viongozi wetu ni vigeugeu shida munazijua ila munabebana