Bwana yesu Asifiwe mama mtumishi mimi Huwa naota ndoto nikiwa na mtoto mchangaa Nikinyonyesha wakati mwingine Sina mavazi nifanye nn
@TeresiaGathoni-p8hАй бұрын
Nina matatizo ya kifamilia watoto wangu wa nne hawajielewi wakumbuke kwa maombi kijana wangu hajielewi ana lala nje sijui ni nn kilicho mshika na mm pia napitia wakati mngumu nikumbuke na maombi mtumishi wa mungu
@GillianGilianАй бұрын
Amina!
@SaraAbudallaАй бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@LydiaMueni-n4nАй бұрын
Dada ikiwa mungu ameamua kukutumia muombe akupe macho ya rohoni na aimarishe ufahamu wako wa rohoni from kenya
@OswardGaudence-gn4loАй бұрын
Amen Mungu Atutetee
@Shosho-b1qАй бұрын
Kwa kweli nimesikia mafudisho njuu ya mavaxi yakaningusa sana inambiditubadilike
@SofiahenriquesHenrique-w2wАй бұрын
Gloria a Deus,MZmbq
@ryobanchagwa2499Ай бұрын
Nimelipenda kanisa hili
@Sarah-g9v4wАй бұрын
Sasa my dear, umetumwa kuwambia watu kweli lakini taarifa zingine unazificha, hao wanaosali huko ambako sio sahihi wanasaidiwaje?
@pastorpetermageta6833Ай бұрын
Kweli kama huyo aliye vaa pete
@OlivaWilson-b8uАй бұрын
MUNGU wa mbinguni awabariki sana watumishi wa BWANA tunawapata kwenye chanel gani kwa tv?