WACHUNGAJI WA KUZIMU.EV DOREEN MARTIN. PART 2

  Рет қаралды 15,036

MOTOMOTO TV

MOTOMOTO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@lucywamaitha4088
@lucywamaitha4088 6 күн бұрын
Natamani tuonane mtumishi Wa Mungu .naitwa Lucy Joseph kutoka Kenya nakufuata sana nafurahishwa Na mafudisho yako
@lordorcas9344
@lordorcas9344 Күн бұрын
Ubarikiwe sana Dada mupendwa Mujakazi wa Mungu iyi ni mafundisho ya nguvu kabisa tena Yenye Dunia haitaki ku sikiya ju ya Kuachana na Dunia ❤ acsente
@alfredmwamodo1508
@alfredmwamodo1508 22 күн бұрын
Amen amen UBARIKIWE sana mtumishi wa Mungu, lete injili kama hii huku kwetu kenya mtumishi.
@DomitilaMtua
@DomitilaMtua Ай бұрын
Hii ndio Injili tunayohiitaji kanisa,maziwa yasiyoghoshiwa,barikiwa mtumishi wa Mungu
@mgosingwa2000
@mgosingwa2000 Ай бұрын
Ameeen
@FaziliKaneza
@FaziliKaneza Ай бұрын
Eeh Mungu baba lisaidiye kanisa!Asante sana mama Kwa ushuhuda!!
@paulbwanana7886
@paulbwanana7886 29 күн бұрын
Ubarikiwe kwa kuisema kweli ya Mungu
@samanthaMukami
@samanthaMukami 21 күн бұрын
Huu ndio ujumbe ambao unahitajika kwa kanisa la sasa ,baraka kwako mtumishi wa mungu
@SnhZjhz
@SnhZjhz Ай бұрын
Mama jamani umeubariki sana moyo wangu namuona Yesu nikikutazama nimekupenda sana Mungu akubariki sana
@RehemaElias-el3jg
@RehemaElias-el3jg 18 күн бұрын
Yesu,nishikemkono,niokoe eeee Yesu
@ShukuruDaudi-ue6in
@ShukuruDaudi-ue6in Ай бұрын
Amen 🙏🏼 🙏🏼 Asante MUNGU akubariki na akuzidishie, BWANA YESU KRISTO atusaidie sana 🙏🏼
@ElisafiMndeme-jd5wb
@ElisafiMndeme-jd5wb Ай бұрын
Barikiwa sana mama Mtumishi, watu tumekua wagumu sana kukubali ukweli. Ila usiache kusema kila mmoja achague mwenyewe.
@sylviaswai5102
@sylviaswai5102 Ай бұрын
Amina, Mungu nisaidie
@kelvinpeter5666
@kelvinpeter5666 10 сағат бұрын
Yesu mwokozi
@margretokuku8220
@margretokuku8220 Ай бұрын
Asante.neno.mungu.nisaidie.nipate.kukufanana
@jefwakalama4336
@jefwakalama4336 Ай бұрын
MUNGU akubariki sana Kwa ujumbe wako, Emmanuel jefwa kutk Lamu Kenya
@ezeniazakayo8322
@ezeniazakayo8322 Ай бұрын
Barikiwa mama,nimeponywa sana
@fridamwakipamba4292
@fridamwakipamba4292 Ай бұрын
Kabisa Mama watumishi baadhi hawataki kuwaambia waumini ukweli wa Neno.
@dorcasobanya
@dorcasobanya Ай бұрын
amina🙏🙏🙏
@pastorpetermageta6833
@pastorpetermageta6833 Ай бұрын
@@dorcasobanya lakini pia, Maandiko yanakataza mwanamke kuwa mchungaji mwaka nilimsikia akisema kwenye madhabahu yake yesu alimtokea
@AnneMarrieBusanga
@AnneMarrieBusanga Ай бұрын
Mungu nisaidie sikumoja nikuone neema hiyonakuomba
@EfathaSanga
@EfathaSanga 29 күн бұрын
Amin Mungu akubrk ma'ma angu
@LainessKalolo
@LainessKalolo Ай бұрын
Dory nimefurahi kukuona unamtumikia Mungu cjui nitapataje mawasiliano Yako. Me Lainess Kalolo
@Nerialulambo
@Nerialulambo Ай бұрын
Amen
@RashconeBoth
@RashconeBoth Ай бұрын
Eeee Mungu nibadilishe
@CarolineNjoroge-j7h
@CarolineNjoroge-j7h Ай бұрын
Mungu wa mbiguni azidi kukumiminia mafuta kwa ajili ya kuinua mwili wa klisto
@Sala-vk6qy
@Sala-vk6qy Ай бұрын
😭😭😭😭😭 Ee Mungu
@JENNIFERKAJUNI
@JENNIFERKAJUNI 5 күн бұрын
Unafundisha ndio, Lakini Mungu hajaluhusu mwanamke madhabani dhambi ni ileile mama
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 Ай бұрын
Barikiwa Sana mamaang
@elizabethchiwamba8372
@elizabethchiwamba8372 Ай бұрын
YESU NISAIDIE NIBADILIKE
@LimiFumbuka
@LimiFumbuka Ай бұрын
God help all women
@GestinaKuya-f2p
@GestinaKuya-f2p Ай бұрын
Naomba namba za mama Doreen
@happyluhaga3509
@happyluhaga3509 Ай бұрын
Ee mungu nisaidie naomba namba Yako mama
@starfordkabujeh5437
@starfordkabujeh5437 Ай бұрын
😢😢😊😊😊pp
@jacksonnzai1593
@jacksonnzai1593 Ай бұрын
Wamama Hua wabishi katika kuonywa juu ya mavazi Na tabia njema kama wakristo, Ila Kwa jumbe hizi jamani tusaidike tupone watu wote Huu n uhalisia Wa mambo yalivo mbinguni Na kuzimu
@JaneMujuni-je8wv
@JaneMujuni-je8wv Ай бұрын
Kujipamba siyo dhambi,inategemea ufahamu wako juu ya Neno la Mungu.Mungu ameumba vitu vyote kwa ajili ya utukufu wake, kama unajipamba kumtukuza shetani ni wewe
@EvaSimon-g4v
@EvaSimon-g4v Ай бұрын
Mmm jmn nimeamua kuacha kusuka maana dhhh n hatareee
@agnesmwohele5498
@agnesmwohele5498 Ай бұрын
Unahubiri kwa ruhusa gani
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Ай бұрын
Na MUNGU ATUSAIDIE kijikana na dunia hii
@augenmagabila3081
@augenmagabila3081 Ай бұрын
Geita please naomba, ni namna gani sasa mbona makanisa yanayotajwa kwenda kinyume ndo hayahaya. Mimi sasa nimeamua kubaki mwenyewe na YESU wangu tu, nimuulize namna natakiwa kufanya.
@NeemaMwambungu
@NeemaMwambungu Ай бұрын
Katibu iringa ilula isele tuletee injili hiyo tupone
@abelinegoMalugu
@abelinegoMalugu Ай бұрын
Mtoto? Kwann mbona tunajua watoto hawana dhambi
@JaneMujuni-je8wv
@JaneMujuni-je8wv Ай бұрын
Mbona hayo mavazi ni ya gharama au nayo ni ya kuzimu? Acha kupotosha watu hakuna Roho Mtakatifu ni mawazo yako tu na mapokeo ya kidini
@pastorpetermageta6833
@pastorpetermageta6833 Ай бұрын
Fichua yote, kuhusu pete za ndoa pia hazihitajiki
@Sarah-g9v4w
@Sarah-g9v4w Ай бұрын
Aliambiwa kuhusu pete za ndoa ila ameamua kutuficha?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ZeliaMnyoge
@ZeliaMnyoge Ай бұрын
Pete ni dhambiii😊
@pastorpetermageta6833
@pastorpetermageta6833 Ай бұрын
Mwanzo 35:1-6
@Sarah-g9v4w
@Sarah-g9v4w Ай бұрын
@@pastorpetermageta6833 🤣🤣🤣
@ZipporahAdisa
@ZipporahAdisa Ай бұрын
Amen
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Ай бұрын
Amen
MAVAZI YA KUZIMU  DORREN MARTIN (PART 1)
32:30
MOTOMOTO TV
Рет қаралды 51 М.
WACHUNGAJI WA KUZIMU.EV.DOREEN MARTIN
31:04
MOTOMOTO TV
Рет қаралды 6 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
MWILI WAKO UKITOA ISHARA HIZI 5 NI MUNGU ANAONGEA NAWE.  By Pastor Mbasha.
15:23
NABII WA NDOTO ( Dream Prophet).
Рет қаралды 116 М.
WOKOVU NI SASA.EV DOREEN MARTIN
1:15:02
MOTOMOTO TV
Рет қаралды 4,3 М.
Mchungaji ahelezea kisa kilicho mfanya aslimu
20:01
AlbayaanTv
Рет қаралды 52 М.
MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris
3:14:49
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 175 М.
NDOA NI MPANGO WA MUNGU.PART 2
33:41
MOTOMOTO TV
Рет қаралды 911
MASHARTI YA FREEMASON KWA MARTHA KUMBE HAWA NI WAPENZI SIO MTU NA MAMA YAKE?
18:43
PART 6 A - KUSHINDA MTAZAMO WA KIMASKINI | PASTOR FRED MASABO
52:23
MAVAZI YA KUZIMU EV.DOREEN MARTIN (PART 2)
32:30
MOTOMOTO TV
Рет қаралды 8 М.