Amen 🙏🏼 🙏🏼 Asante MUNGU akubariki na akuzidishie, BWANA YESU KRISTO atusaidie sana 🙏🏼
@clarisumaziАй бұрын
Mungu tusamehe tuwe na mwisho mwema
@clarisumaziАй бұрын
Amen amen ubarikiwe sana mtumishi
@alfredmwamodo150829 күн бұрын
Amen amen
@stellamutembei7567Ай бұрын
Yesu nakuomba unisamehe dhambi zangu na uzifute kabisa nami nitakuishia milele baba yangu
@veronicanestory1662Ай бұрын
😢😢😢 eeh Mwenyezi Mungu tupe mwisho mwema
@lovenesswalter6650Ай бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@agnestunu5527Ай бұрын
kupitia mahuribiri haya leo nabadili mwelekeo wangu nmekuwa sina ushirika mzur na muumba wangu
@samludo5435Ай бұрын
Hongera
@OscarTzАй бұрын
MUNGU tusaidie🙏
@AronKanueleАй бұрын
Ubalikiwe mtmishi nmeskiliza nmejifuza kit
@BeatriceKibugiАй бұрын
Mimi nauliza hivi nilikuwa 2wife but sijatoka bt nimesoma bibilia nimejua ukweli na nimesikia testmonies nyingi but nauliza? Kweli nilikuwa naenda church but nikasikia thamili inanisukuma nikauliza mchungaji akaniambia ile kitu mbay nikuongosha church ati ata Daudi alishamehewa. So pls help me what to do. Nataka kufuata yesu.
@BettyadhiamboAlaraАй бұрын
Swali nzuri sana dada,ila hiyo ndoa sio yako the only thing is to ask God for your Husband that's the only way My dear sister,but if you guys have kids, ..... they belong to the husband.
@a_k3730Ай бұрын
Nashukuru dada kwa swali Hilo. Hiyo ndoa si yako, inakufanya kua msherati na itakuzuia kuingia mbinguni. Mungu akusaidie kuiacha.
@owenomwanawayesu6961Ай бұрын
Toka huko kabisa,lakini mwanzo mweleze mwenzio.YESU KRISTO ni MWEMA kuliko yote…okoa nafsi yako.