Wachungaji wawili toka KKAM warejea KKKT Dayosisi ya Konde nakupokelewa Usharika wa Kyela

  Рет қаралды 7,647

ELCT KONDE TV

ELCT KONDE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 62
@edsonoden8099
@edsonoden8099 3 ай бұрын
Hongera wana wapotevu mmetambua makosa yenu karibuni tena
@GraceMwakubali
@GraceMwakubali 3 ай бұрын
Nimefurahi Sana hongereni Baba zng Ni Jambo jema
@AlinaneMyahudi
@AlinaneMyahudi 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@GiloKayusi
@GiloKayusi 3 ай бұрын
naombeni kujua tofauti ya kkkt na kkam ni ipi samahanini lakini naomba kufahamu tu
@LuganoMwalwembe
@LuganoMwalwembe 3 ай бұрын
Wache waludi kkam pamamoto sana watu hawataki kushauliwa hata kido hao mtu na kaka yake kwa mtazamo wangu wana haki japo nina mashaka makubwa sana na dini za sasa mm kama mm nimejaribu sana kushauli lakini nikapuziwa ni aibu sana matusi hadi mitandaoni kwali pana dini kweli hapo mpaka sasa nimeamini ya mungu tumwachie mungu tu hingeleni kwa mliobaki hongeleni pia kwa mlio baki pia hongela zetu tulio inje kwa kutazama tu
@danielezekieldaniel365
@danielezekieldaniel365 3 ай бұрын
Amina Karibuni watumishi wa Mungu
@FelisterRobert-d3j
@FelisterRobert-d3j 3 ай бұрын
Mungu anawajua walio wake
@BernardUrassa-g7b
@BernardUrassa-g7b 3 ай бұрын
Karibuni wà tumishi
@rehemailomov9648
@rehemailomov9648 3 ай бұрын
Mungu awabariki sana na hongera sana
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 3 ай бұрын
Tuliwaeleza watu watafakari kwanza. Asante askofu kwa kuwapokea wapendwa
@DannyEliudmsangi
@DannyEliudmsangi 3 ай бұрын
HHAkuna jambo linaloshindikana kwa mungu karibu ni wachungaji wetu kkkt
@pasiansiay9480
@pasiansiay9480 3 ай бұрын
Hizi imani zinaweza kutuletea shida
@LuganoMwalwembe
@LuganoMwalwembe 3 ай бұрын
Ninamashaka na hao kaka na mdogo wake japo dini zimejichanganya sana nafahamu hata kule walikotoko kkam
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 3 ай бұрын
Mungu awe nanyi watumishi
@hurumamwakitalima5728
@hurumamwakitalima5728 3 ай бұрын
Utukufu na heshima tuna mrudishia Mungu
@adkajisi4536
@adkajisi4536 3 ай бұрын
Utukufu kwa Yesu Kristo aliye hai
@JudithAdonis
@JudithAdonis 3 ай бұрын
Mungu awabariki
@WhiteYusto-bu9ym
@WhiteYusto-bu9ym 3 ай бұрын
Hakuna mwenye haki hata mmoja sote tu wenye dhambi, yatupasa kurudi na kutubu tulipoangukia
@matakasa
@matakasa 3 ай бұрын
Mungu wetu ni mwema,
@AbelMwakilembembwate
@AbelMwakilembembwate 3 ай бұрын
Mmefanya vema karibuni sana
@AlinanusweGerald
@AlinanusweGerald 3 ай бұрын
KkkT halelujaaaa
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 3 ай бұрын
Funzo kubwa sana
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
Hata wakiwa kwenye matulu Bai lakini si mungu yupo kkam nawapenda sana hawakujali mali Hawa angaliii mali Wana angalia mungu yupo wp na nakanisa niwatu Wala sio mali Wala majengo Jimbo lakusin kkkt mbona hawana watu ila Wana majengo 😂😂😂kilefu Cha K.K.A.M ni KANISA LA KILUTHER AFRIKA MASHALIKI NAWAO WAPO DAYOSISI YA NYANDA ZAJUU KUSIN waliondoka DAYOSISI ya kukondesha
@vailethmsigwa9244
@vailethmsigwa9244 3 ай бұрын
Mwaxangutiii mic xnaa mch wangu
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 3 ай бұрын
Kwani kutoka na kurudi si hiyari ya mtu? tumshukuru Mungu ikiwa wameona vema kurudi lakini kama ni kutumika tu hata KKAM wangeweza kumtumikia Mungu vilevile
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 3 ай бұрын
Nguvu ya kiapo
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
Mlisema ni nguvu za soda lakini kkam mnaiona Ina chanja mbuga kama hamuelewe ipo kilima njalo Alusha manyala singida simiyu,njombe.tabola .ilinga .mbeya dongwe Tanga daleslam nasas mbeya Ina matawi Yani palishi 34
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 3 ай бұрын
@@PetroMwakilembe nani mwenye akili timamu anaweza kufikiria kanisa kongwe kama hili, kushindana na.ninyi?ni imani isiyohitaji mashindano, kama unaona kuna ufanisi sifa ni kwa bwana yesu, ninawaombea. Amen
@BahatiJamu
@BahatiJamu 3 ай бұрын
Asante sana Kwa kufuatilia ELCT Konde
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
@@BahatiJamu konde ndiyo nin kwani
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
Njaa mbaya sana
@LupakisyoMwaisela-fy8hu
@LupakisyoMwaisela-fy8hu 3 ай бұрын
Kanisa sio tambo wewe endelea kuamini unacho kiamini . Kanisa sio siasa endelea kuabudu sio kila ukionacho ni lazima ufanyie matangazo hata Kama Kuna kuchanja mbunga wewe omba jina lako liwepo mbinguni
@AnaniaNtandala
@AnaniaNtandala 3 ай бұрын
Wew mchungaji ludia tuone umesema mafuta mapya mbona atakioindi kile unabalikiwa kuwa mchungaji mala ya kwanza ulisema ivyo ivyo kuwa mafuta mapye je hayo maji au mafuta
@BahatiJamu
@BahatiJamu 3 ай бұрын
Asante sana Kwa kufuatilia ELCT Konde tv😂
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
@@BahatiJamu ujingaa nin konde ndio nin
@AnaniaNtandala
@AnaniaNtandala 3 ай бұрын
Siitaki konde
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 3 ай бұрын
Mlidanganywa na philimon moleli
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
Mafuta aliyo pakwa mapya niyepi huyooo maji au mafuta yakweli yanatoka wap mafuta yakupakwa malambili akati Ali balikiwa kuwa mchungaji uko uko kkkt kwanin iwe malambili
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
Kuna balaka gani za mala mbili mbona ata iblahim Ali kataa kutoa balaka mala mbili kwa wanao nyie mmeipata wapi yakubaliki mala mbili uo ubalikio au aibu
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 3 ай бұрын
@@PetroMwakilembe huna ukomavu wa kulijua na kulielewa neno la mungu.
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
Hivi walifanyaga zambi gani et
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 3 ай бұрын
KKAM Ni nini kirefu chake?
@adkajisi4536
@adkajisi4536 3 ай бұрын
Kanisa la Kilutheli Afrika Mashariki.
@adkajisi4536
@adkajisi4536 3 ай бұрын
Kanisa la Kilutheli Afrika Mashariki.
@GloriouschoirVijanaBethania
@GloriouschoirVijanaBethania 3 ай бұрын
Kanisa la kiinjili la kilutheri Africa mashariki
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
Wew wamekudanganya sio kiinjiili halipo kwenye kiinjiili ni kanisa la kilutheli afrika mashaliki yaan aflika nzima wew umekuwa mshamba wap mpaka usili jue kanisa iloo
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
Nyanda za juu kusini
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 3 ай бұрын
Mafuta na maji.
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
Sielew yanatoka wp hayoo
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 3 ай бұрын
@@PetroMwakilembe means penye ukweli uongo hujitenga.
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
Mafuta aliyo pakwa mapya niyepi huyooo maji au mafuta yakweli yanatoka wap mafuta yakupakwa malambili akati Ali balikiwa kuwa mchungaji uko uko kkkt kwanin iwe malambili
@ObedMwamwenda-xg2lr
@ObedMwamwenda-xg2lr 3 ай бұрын
Ulitaka iweje wewe?
@adkajisi4536
@adkajisi4536 3 ай бұрын
@@ObedMwamwenda-xg2lr kweli atuambie njia bora zaidi
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
Kam unavyoo jua nope kifungu Cha mbalaka malambili mbona mm nimewambia kuwa mungu hatoi balaka mala mbili alikataa kumbaliki yakobo
@adkajisi4536
@adkajisi4536 3 ай бұрын
@@PetroMwakilembe uko sahihi, lakini nikukumbushe pia habari za mwana mpotevu.
@PetroMwakilembe
@PetroMwakilembe 3 ай бұрын
@@adkajisi4536 mwana mpotevu saw lakin mbona uchungaji walibalikiwa kipindikile na kwanin waitwe wasielogia nakwanini wabarikiwe mala mbili na walitenda zambigan mpaka waludishwe kundini
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
6:31
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 1,6 МЛН
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 514 М.
MFAHAMU USWEGE MWAKANYAMALE MUUMINI KKKT RUANDA ALIYEPINGA HADHARANI KUHAMIA K.K.A.M
9:25
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 9 МЛН