Nakubari Sana mtumishi wa mungu, tuko pamoja sana sana, me ni mmoja wa kondoo wako naomba utuongoze katka njia hiyo sahihi, watu wajue siku inakuja na imefika sasa
@AgnesKalinga-if3uf20 күн бұрын
Yohana mbatizaji kuwepo Tanzania ni neema ya Mungu tu.wasio na macho na masikio hawawezi kujua, Mungu anatupenda watanzania mno. Acha sifa na utukufu apewe Bwana
@obedimunguachiza843419 күн бұрын
Ulitumwa na Mungu kusudi ulifungue kanisa macho, mwenye kuwa na Roho Mtakatifu amepata sehemu yake barikiwe mtumishi wa Mungu aliye hai Mbarikiwa Mwakipesile wetu.
@IsakaHosea-g9g19 күн бұрын
Kweli kabisa.Mungu azidi kumpa nguvu na neema juu yake,mbarikiwa mwakipesile macho ya tanzania.
@StellaNdungeElizabeth19 күн бұрын
U are the servant of God I know Tanzania may God bless you add u more wisdom, knowledge :::::: God bless you stand firm Mwakipesile they will hate because u speak Gods heart
@LakhaLakha-c5i19 күн бұрын
Hello, please can I have ur phone no,its important,thank you
@Magufuli.20 күн бұрын
Hao kuzimu inawangoja🔥🔥🔥
@DicksonPaul-nf2el19 күн бұрын
Baba mimi nakuelewa sana
@BotulphusAugustine12 күн бұрын
Wengi wao wana Mungu dunia tu si Mungu wambinguni maana wanafanana mamiungu yao
@mkdg.4skolo89120 күн бұрын
Hapana Yesu hakuagiza haya wanayofanya manabii na mitume ispokuwa agizo lake ni kuuendea ulimwengu wamjue Mungu wa kweli na waugeukie na kuupokea wokovu wa Bwana wetu Yesu Kristo Alyetufilia msalabani Kwa Damu ya Dhamani
@LakhaLakha-c5i19 күн бұрын
Katoliki ni maskini!?au wao ndo wana viwanda vya pesa,si wanabeba sadaka hadi kwenye jumuiya,....ubatizo pesa,....kuzika pesa,....
@Kachelo9619 күн бұрын
Watu wote ist Africa 🌍 mchungaji mbarikiwa unapedwa sn sn
@Elizabeth-mw2of18 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@JeremiahJustine-b3o14 күн бұрын
Yani ujiangalia nyumba ya goe Davie inapembe tatu tena freemasons inawezekana mchungaji kaongea kweli
@PETERMwawa-e3g20 күн бұрын
Shetan alimwambia BWANA YESU NISUJUDIE TU utapatamali akakataa apo umeelewa
@juliusgitonga36319 күн бұрын
Hapana Hawa hawana upako kuliko wahubiri wa Bibilia
@paschalkiniofficial12319 күн бұрын
Siku moja isiyo kuwa na tarehe kila mmoja atatamani walau atokee mtumishi mmoja ambaye atakemea dhambi hadharani lakini wakati huo itakuwa vigumu kumpata kama sasa ikitokea umepata neema kuya sikia maneno ya MTU wa MUNGU nina hakika itakuwa tayar ushatafuta kulingana BWANA YESU ikiwa umesikia halafu huja chukua hatua hayo ni matatizo binafsi
@PeterNyalusi13 күн бұрын
Amen Amen
@charlesnyanhanga438220 күн бұрын
Ongea mtu wa MUNGU
@LakhaLakha-c5i19 күн бұрын
ROMAN KATOLIKI NI MASKINI AU MATAJIRI,....KKKT,....BAKWATA!!?YANNMWINGIRA ANA MALI KULIKO FPCT,AU TAG,....EFATHA NI KANISA KAMA KANISA LINGINE,ACHEN UNAFIKI WA KIDINI
@yusufumahendeka245620 күн бұрын
Kweli kabisa baba wahubiri wa sasa sijajua kuwa wanafata Biblia gani wahubiri wa sasa wana ukwasi wa kutosha hata kuliko walimwengu ila wahumini wao wanaishi kwa shida hawa ni wahubiri chumia tumbo
@LakhaLakha-c5i19 күн бұрын
KATILIKI NI MASKINI,BAKWATA NI MASKINI!? ANGLICANA NI MASKINI,SABATO NI MASKINI!?ACHENI UNAFIKI NA UCHAWI WA KIAFRICA
@isayamwashibanda581919 күн бұрын
Niwenye akili yakimbingu tu watakao kuelewa tuu l
@ashelikilele16719 күн бұрын
Wahubiri wasasa nimajambazi wakiroho
@mestonisimzosha20319 күн бұрын
KUSEMA ZA UKWELI WATANZANIA Tuna jukumu kubwa saaanaa la KUMLINDA MBALIKIWA Coz ni kweli Yeye Anatutowa tongotongo kwamba MUNGU NI NANI.
@LakhaLakha-c5i19 күн бұрын
Katoliki ni maskini,bakwata ni maskini,anglicana!?
@fraydaiyisiwavula389419 күн бұрын
Kweli kabisa mtuwamungu yaani Mimi sitamani akutwe na baya mpaka muda mwingine natamani kumwambia MBARIKIWA aache kuwaonya MAFARISAYO.Da nampenda sana nimtumishi pekee akihubiri naskia
@GideonMnzava18 күн бұрын
Hao ni wapambanaji
@johnkaliwanje43419 күн бұрын
uko na akili kubwa sana, umetutoa wengi kwenye ujinga.
@FESTOKANDAGILA16 күн бұрын
WENGI HUWA WANASINGIZIA KUWA SULEIMAN KUWA ALIKUWA TAJILI KWAHIO NAWENYEWE WANATAKA KUWA KAMA SULEIMAN NDO MAAANA WANAWAIBIA WATU
@RashidMwasiposya-ck6py19 күн бұрын
Hahaha wivu unakusumbua ww sawa na mchani tu
@mwlekartiesmwankenja360219 күн бұрын
Anakuonea wivu wewe
@FESTOKANDAGILA16 күн бұрын
MMMH KABLA UJAONGEA UWE UNAKUMBUKA KWAMBA KILA USEMACHO BILA KUANGALIA VIZUR KUWA MUNGU ANAKUONA MM KWAHUYU MCHUNGAJI MWAKIPESILE SINA MASHAKA NAE KABISA
@rabiamenshoo198819 күн бұрын
Mimi binafsi sitaki kuongozwa na mtumishi maskini,ataniambia nini kuhusu mafanikio? Mungu hutoa maarifa ya namna mtu kuwa tajiri, sasa mchungaji wangu akiwa tajiri kuna shida gani? enzi za Petro gari lenyewe halikuwepo sembuse nyumba za kisasa.Tatizo la wanaojiita watumishi wengi wa sasa hasa walokole wanataka kutuaminisha kuwa umaskini ni haki,mimi naukataa umaskini na kazi zake,na matendo yake yote.Na lazima ujue kuwa hii nchi haiongozwi kwa Biblia,ila watu wake ndio wanaoifuata Biblia,na wengine wapo mrengo mwingine.
@LakhaLakha-c5i18 күн бұрын
@@rabiamenshoo1988 KAMA UMASIKIN NDO HAKI APELEKE KANISANI KWAKE,ATOE UJINGA KABISA,MALI ZA KATOLIKI NI SAWA NA HAO ANAWAPAKA MAVI
@LakhaLakha-c5i19 күн бұрын
GEOR DAVEY ANA PESA NA MALI KULIKO ANGLICAN YA ARUSHA,MOREVIANI YA MBEYA!!....YAN MWAMPOSA ANA MALI KULIKO BAKWATA!!?....HIVI UNAJUA UTAJIRI WA KATOLIKI KANDA YA ZIWA PEKEE YAKE KUANZIA ARIDHI,MAJENGO,MASHAMBA NK....PUNGUZA UCHUNGU BABA UNAPITILIZA SAANA
@joshuangonya-jt5dj18 күн бұрын
Hivi wewe umetumwa? Mbona umeandika coment ya aina moja mahala pengi; bila shaka umeona hiki kinacho ongelewa hapa kime ungwa mkono na wengi wao walio toa coment zao; kwahiyo umeamua ucoment sehemu nyingi nyingi, ili wengine waone hiki kinacho zungumzwa si cha kweli? Bila shaka umetumwa wewe.
@LakhaLakha-c5i18 күн бұрын
@@joshuangonya-jt5dj kwani nimekoment uongo,nimefanya replies ya coment nyingine kama navyofanya kwako,NARUDIA TENA KAMA UKRISTO NI UMASIKI BASI UZIDI KWAKO NA WATOTO WAKO YAN UWE MASKIN KAMA RAZARO ,UINGIE MBINGUNI KWA AMANI,WAJINGA NYIE,MAFUNDISHO YA KIPUUZI,
@LakhaLakha-c5i18 күн бұрын
@@joshuangonya-jt5dj NA WEWE UMETUMWA KUHUBIRI UMASKINI NDO UPAKO WA KWELI?!WEHU NYIE
@PasiweloMpembe-r4l20 күн бұрын
Mchungaji unachoongea ni ukweli mbona wakina peturo na wakina Elia walikuwa masikini mpaka Elia anaomba chakula Hawa ni wahuni
@obedimunguachiza843419 күн бұрын
Wahuni wamelivamia kanisa pabaya, eh Jehovah Mungu wetu njo utuokoe, tufungue macho tupone.
@LakhaLakha-c5i19 күн бұрын
SERIKALI YA NYERERE HADI GARI ALITEMBELEA HAIKUWA YA KITAJIRI KAMA SERIKALI YANSASA,HATA CCM YA ZAMAN HAWAKUWA MATAJIRI KAMA CCM YA SASA ...KILA MFUMO UNA WATENGENEZA NJIA,....KWANIN MIM MHUBIRI WA LEO NIISHI KAMA PAUL AU PETRO....YAN KAMA KULOLA ALITEMBEA KWA MIGUU KWENDA GEITA KUHUBIRI NA MIM NITEMBEE KWA MIGUU,!?PELEKENI WEHU WENU MBEYA UYOLE HUKO VICHOCHORONI,MUBARIKIWA ANAPIGANA NA KILA MTU
@kamandapendo80219 күн бұрын
Baba wewe ndie msemaji wa biblia ulie baki tanzania.
@ugalidona-cs2yn19 күн бұрын
Ni heri kutoa kuliko kupokea.
@LakhaLakha-c5i19 күн бұрын
KANISA NI SERIKALI HAKUNA SERIKALI BILA PESA,...EFATHA WANA PESA KULIKO KATOLIKI KWELI!?PESA ZA KATOLIKI ZIMETOKA WAPI KAMA SIO KWA MASKINI KARNE NA KARNE!!?...UMEANZA KUPITILIZA SASA
@LakhaLakha-c5i19 күн бұрын
YAKOBO,AYUBU,IBRAHIMU,ISAKA,YUSUPHU...WOTE WALIKUWA MATAJIRI KWAN WEWE UNATAKA WAWE MASKIN ILI IWEJE BABA!!
@OmbeniGeorge18 күн бұрын
Hao wote ulio wataja hawakupt Mali kwa njia kama ya sasa,kwa mfanoAyubu wapi kapewa sadaka.
@LakhaLakha-c5i18 күн бұрын
@@OmbeniGeorge roman katoliki sio sadaka,!?... maisha mazuri ya kadinari pengo au mufti wa tanzania ni kilimo sio sadaka!!?NYIE MMETOKEA WAPI MNATAKA KANISA LIWE MASKINI!!?NA VIONGOZI WAKE!!
@FrederickThadeo12 күн бұрын
Mubalikiwa umaskini ni laana wanakunywa mafuta bira kurazimishwa Wacha wa beti hawakabi wajinga hata kubeti wange kwenda
@LakhaLakha-c5i19 күн бұрын
YAN NI SAWA UKASEMA MBONA WAKINA NYERERE,KAWAWA WALIKUWA WANATEMBEA.KWA MIGUU KUENEZA TANU NA CCM,KWA HYO DUNIA HII NA WAKINA MAKONDA,SAMIA,LISU...MAWAZIRI WATEMBEE KWA MIGUU AU KUPANDA PUNDA!!.....WAKINA PETRO NDO WALITENGENEZA NJIA ILI SISI TUFANYE. KAZI BILA SHIDA
@Mbarikiwa_Mwakipesile19 күн бұрын
Hata wakati wa Nyerere private jet, majumba ya kifahari, na mali nyingi vilikuwepo ILA HAWAKUJIRUNDIKIA WAO ILI HALI WATU WAO WANAISHI KWA TAABU. Wakati wa akina Petro, Yohana mbatizaji nk utajiri ulikuwepo ila wao HAWAKUJIRUNDIKIA wao kuliko waumini wao
@LakhaLakha-c5i18 күн бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile HUWEZI KUTENDA HAKI WAKATI BADO UNA UDINI NDAN NA MAPOKEO, WEWE BWANA HATA IWEJE HUAMINI KAMA DUNIANI KUNA HUDUMA YA MITUME NA MANABII NA HYO NI KAZI YA MZEE WENU KULOLA ALIPANDA HUI UJINGA TANZANIA,ILA HUDUMA NI TANO,NA ZIKO WAZI,KWA HYO NINYI MKISIKIA TUU NABII AKIL ZINARUKA SHIDA IKO HAPO KWANZA,KUBALI KWANZA UKWELI WA HUDUMA TANO,ILA USHAHIDI WA NOTI FEKI YA ELFU KUMI NI UWEPO WA NITI YA KWELI, KINYUME CHA MANABII WA UONGO NA WAOVU NI MANABII WA KWELI NA WENYE HAKI HATA KAMA WAKO ILEJE VIJIJINI NA HAWAJULIKANI,PUNGUZENI UDIN NA MFANYE BALANCE YA KWELI MTAFANIKIWA
@LakhaLakha-c5i18 күн бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile AMIN EFATHA NI KANISA KAMA LILIVYO KATOLIKI!!SWALI MAISHA YA MAPADRI NA MASISTA NA KADINARI PENGO YANAFANANA NA WAKATOLIKI MASKINI WA KYELA!?.....ILA BIBLIA INASEMA MASKINI HAWATAKISA KATIKA NCHI,..MANAKE EFATHA KUNA WATU MASKIN NA MATAJIRI PIA...YAN WAKO WANAOKUJA IBADAN NA RANGE ROVER WANAPAK NA WAKO WANAKUJA KWA MIGUU CHOKA MBAYA!!KAMA KKKT TU,.PIA NDEGE YA EFATHA NI YA KANISA AU KANISA HAD AANZISHE MZUNGU!!
@LakhaLakha-c5i18 күн бұрын
WEWE MZEE UNIKARIBISHE KWENYE MEZA YA MAJADILIANO KUHUSU HILI LA MALI KWA WATUMISHI,NITAKUFAFANULIA MAANA YA KANISA SIO JENGO KAMA EKLESIA NDONUTAELEWA NI SERIKALI,NA KATOLIKI WALIPORA MFUMO WOTE KWA PETRO.....KAMA CCM WALIVYOFANYA UCHAGUZ WA MWAKA 2020,WALOKOLE ACHEN UJINGA KANISA NI SERIKALI KABISA YAN WANATAKIWA KUWA NA HATA PESA YAO KAMA ROMA ITALIA,....YAN WATU WACHACHE WANAHESHIMISHA HUO ULOKOLE WENU....ILA MNATAKA KUWAPIGA WAPOTEE,KAMA WANA MAPUNGUFU MENGINE SEMA TUTAELEWA ILA SIO KUHUBIR ETI WATU WAWE MASKINI NDO SURA HALISI YA MITUME WAKINA PAULO!!
@LakhaLakha-c5i18 күн бұрын
KANISA BILA ARIDHI NI UJAMBAZI NA.KITUKO NI KUTUKANA KAZI YA YESU,KANISA BILA SHULE ZAO WENYEWE,HISPITALI ZAO WENYEWE,VIWANDA,MASHAMBA MAGARI MAHOTEL YAO NI HATARI SAANA,YAN WEWE PALE KANISAN INATAKIWA HAD SASA MNGEKUWA NA. SHUKE ZA SECONDARY... PRIMARY..VIWANDA VYA SABUN MASHAMBA YA CHAI,.MUBARIKIWA KANISA NI SERIKALI BABA NA MWENYE MAONO NI RAISI ENEO HILO....ACHEN MCHEZO KABISA...DAUDI HAKUWA MNYONGE,...GIDEON MAJOR WA.JESHI LEO KAZ YA JESHI WALOKOLE HAMTAKI NI KAZ HARAMU KIROHO KITASHUKA,SIASA HAMTAKI NA YUSUPH ALIKUWA.WAZIRI,.....SAA HIZI MNATAKA WATU WAPAUKE NA UMASKINI NDO KUOKOKA!!?UMENISHANGAZA WEE MZEE
@vmahenge817 күн бұрын
Sasa Mbarikiwa mtumish wa Mungu kama unaabudu katika Roho na Kweli nani wa kuumuliza hilo swali, je si MUNGU? maana yeye ndo anayajua mambo ya sirini, mataifa hayana uwezo wa kukujibu hilo kwasababu hayaoni rohoni. Mwili na mambo yake ya dunia yasikuharibu akili yako uwe wa Rohoni mtumish, si umeokoka wewe?
@Mbarikiwa_Mwakipesile16 күн бұрын
Rohoni ndio wapi? Ndo uliko wewe? Umeonaje hiki cha mwilini? Mbona wewe umeandika comment mwilini? Matahira mlidanganywa kuwa rohoni ni kinyume cha uhalisia au ubinadamu.
@LakhaLakha-c5i19 күн бұрын
YAKOBO,AYUBU,IBRAHIMU,ISAKA,YUSUPHU...WOTE WALIKUWA MATAJIRI KWAN WEWE UNATAKA WAWE MASKIN ILI IWEJE BABA!!