WAKENYA! JE KUNA NINI KWA HAWA VIONGOZI? ROLINGA ANENA HAYA KWA WAKENYA KABLA YA UCHAGUZI 2022...

  Рет қаралды 211,543

Haleluya Tv

Haleluya Tv

Күн бұрын

#HaleluyaTv #ProphetRolinga #OmegaMinistriesChurchofAllNations #OCOAN
Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
Facebook : / prophetrolinga
Instagram : / prophetrolinga
KZbin : / haleluyatv
Audiomack : audiomack.com/...

Пікірлер: 180
@RIP_BOYZ
@RIP_BOYZ 2 жыл бұрын
Tafadhali ombea viongozi, Raila na Ruto....... Waelewane , uongozi unatoka kwa Mungu🙏🙏
@frankurio469
@frankurio469 2 жыл бұрын
Mimi niko arusha naishukuru serikali kuwaondoa machinga mjini na kuwapeleka maeneo husika, miji ilichafuka sana, hongera serikali, chapeni kazi, hongera mama Samia Suluhu Hassani.
@anaksa4412
@anaksa4412 2 жыл бұрын
I will miss the event personal but kiroho tuko pamoja, watching from Saudia Arabia
@judithmumbemutua
@judithmumbemutua 2 жыл бұрын
Kwa uweza wa mungu napokekea ufunguo wa maisha yangu kupitia neno ambalo ameiweka kwa kinywa chako mungu,it is my time to achieve my goal,napokea napokea kwa Imani,amen,amen,amen
@marykahiga6496
@marykahiga6496 2 жыл бұрын
Tu opee Sisi wakenya sanasana kabisa hatutaki kufosiwa sidano tuopee pst
@joycenaserian956
@joycenaserian956 2 жыл бұрын
Naomba kupitia madhabahu haya Mungu anijalie nipate mume wangu na watoto, naamimi nitapata
@mariawanjiru1275
@mariawanjiru1275 2 жыл бұрын
Mtumishi WA mungu barikiwa sana na karibu kwetu Kenya unatubariki kila siku na neno la mungu wa mbinguni zidi kuombea dunia yote injili iendelee your the chosen one
@Ruth.n.o
@Ruth.n.o 2 жыл бұрын
Welcome Nabii wa Mungu nchini kenya so proud of you!! Mungu akulinde siku zote
@revelationgospelchurch5947
@revelationgospelchurch5947 2 жыл бұрын
karibu sana nakualika 🇰🇪
@carolinemwongeli6747
@carolinemwongeli6747 2 жыл бұрын
A pure true prophet of God
@wachiajesca4719
@wachiajesca4719 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mimi n jessica wachia niko na dadangu anaitwa Hekima n mngojwa mara kwa mara mangojwa yasiyoelewekwa naomba muombee kwa Mungu apone awe mzima kamili
@anaelsdaughtercathydaughte7926
@anaelsdaughtercathydaughte7926 2 жыл бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii MUNGU akubariki Sana mtumishi.
@mapenzikatana9990
@mapenzikatana9990 2 жыл бұрын
Niombee na mimi mtumishi mimi niko saudia kikazi lakini watoto wangu wako kenya mumoja anaitwa brian mwengine anaitwa antonina mauwa waombee mvhungaji kuhusu shule hawashiki shulen ombea wstoto wangu
@philipsenge2222
@philipsenge2222 2 жыл бұрын
Muwe makini sana dunia inafika mwisho,manabii wengi wa uongo watatokeya,ila mutawatambua kwa matunda yao,ao matendo yao
@moraarebecca3627
@moraarebecca3627 2 жыл бұрын
God we depend on you in our country Kenya, fight for us the Battle is yours. Be blessed so much man of God.
@flexrono9799
@flexrono9799 2 жыл бұрын
Remember to pray for our next president of kenya is honourable William somoei rutho
@ezekielmburu3418
@ezekielmburu3418 2 жыл бұрын
William ruto is absalom, rejected by God
@happytrina464
@happytrina464 2 жыл бұрын
Stop tribalism GOD is faithful let his will be done
@aura-pp4ml
@aura-pp4ml 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@roselynezighe3150
@roselynezighe3150 2 жыл бұрын
Karibu Kenya Nabii...zidi kuombea nchi yetu ya Kenya.
@johnkamau5408
@johnkamau5408 Жыл бұрын
Mtumishi wa mungu, mungu akuzidishie neema
@millicentradiala2350
@millicentradiala2350 2 жыл бұрын
Karibu Kenya, mtumishi wa mungu ! mungu asaidie nchi yetu
@djvannokenya
@djvannokenya 2 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪 karibu
@rahabkinen8690
@rahabkinen8690 2 жыл бұрын
Lord heal our nation Kenya. You're welcome in our country servant of God
@princessmarylie5459
@princessmarylie5459 2 жыл бұрын
Anayempokea nabiii ❤️❤️❤️❤️🔥...more love servant of God... karibu Kenya
@jacintamungai6493
@jacintamungai6493 2 жыл бұрын
Tunahita maombi zaidi😭🤚🙏🙏🙏
@priscilahmumo2657
@priscilahmumo2657 2 жыл бұрын
Karibu nabii mkuu Mungu anakutumia kweli kweli Nami ninaitaji maombezi juu ya kazi yangu na ninaamini kua ukiniombea kazi yangu itakua Sawa katika Jina la yesu
@mamamalaika4413
@mamamalaika4413 2 жыл бұрын
If I were in Kenya 🇰🇪 I would definitely attend and hear what the Lord has for Kenya. I will follow you on KZbin 👏🏾
@margaretwangari715
@margaretwangari715 2 жыл бұрын
Karibu Kenya Nabii Wa mungu Kenya ipate kibali kupitia maombi yako,,,
@zipporahmujiti5435
@zipporahmujiti5435 2 жыл бұрын
Asante Mungu kwa kukumbuka inchi yangu.Mtumishi simama nami kimaombi
@estherwanjiku927
@estherwanjiku927 2 жыл бұрын
God remember our Country Kenya....Keep on Praying for us Man of God.
@mapenzikatana9990
@mapenzikatana9990 2 жыл бұрын
Amen mungu simama na pamoja na kenya yetu kwa jina la yesu mwana wa mungu aliye hai ameeen
@annthomas621
@annthomas621 2 жыл бұрын
Thank you Lord for remembering our country Kenya 🙏
@jolizonex9161
@jolizonex9161 2 жыл бұрын
Amen God heal our country Kenya and all nations in the world. We need you God 🙏🙏God we need the chosen leaders from you God
@lukamlakoli9917
@lukamlakoli9917 2 жыл бұрын
Mungu Ni Mungu2
@kevinkiongera7689
@kevinkiongera7689 2 жыл бұрын
Amen and Amen GOD heal and Bless our country Kenya 🙏🙏
@sharonlumadi5785
@sharonlumadi5785 2 жыл бұрын
Acha mungu abaki kwita mungu na azidi kuokoa inchi yangu Kenya 🇰🇪,,be blessed man of God watching you from middle East
@jacintamungai6493
@jacintamungai6493 2 жыл бұрын
Karibu Kenya mtumishi wa Mungu 🙏
@serahheta5484
@serahheta5484 2 жыл бұрын
Karibu Mtumishi wa Mungu. Safari njema thanks be t God
@agneskavovi
@agneskavovi 2 жыл бұрын
Amen man of God God bless you mightlly
@TRAPKIDMUSIQ
@TRAPKIDMUSIQ 2 жыл бұрын
I love it when the notification shows ''someone liked your comment'' and "you have a new subscriber" it always makes me work tirelessly God bless you all
@feliscafelisca7985
@feliscafelisca7985 2 жыл бұрын
Sure
@divinahmusa6710
@divinahmusa6710 2 жыл бұрын
Karibuni Kenya mtumishi neno la mungu Lienee pote
@kakakakabeka624
@kakakakabeka624 2 жыл бұрын
Nakuomba nabii WA mungu plz kwa sauti ya unyenyekevu njoo Mombasa uweke kanisa Kuna watu wako na shida plz.
@timothysikuku649
@timothysikuku649 2 жыл бұрын
Karibu Mutumishi. Kwa lmani niko na Wewe.
@jenephergekonge4737
@jenephergekonge4737 2 жыл бұрын
Karibu tena Kenya mtumishi wa Mungu
@ruthnzioka7634
@ruthnzioka7634 2 жыл бұрын
My the Lord God bls you property ss lolinga
@tonyclinton6733
@tonyclinton6733 2 жыл бұрын
Pstr welcome Kenya!!!humbled🙏🙏🙏🙏
@glorianyambua1348
@glorianyambua1348 2 жыл бұрын
Karibu kenya nabii wa mungu
@priscamakendi5155
@priscamakendi5155 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana nabii rollinga
@esthermumbi5516
@esthermumbi5516 2 жыл бұрын
May God heal our country Kenya. God bless you Man of God.
@annewanjiku52
@annewanjiku52 2 жыл бұрын
Hakuna jambo mungu asilo liwenza two tymix God sending His prophet to us Kenyans for sure revival has started in kenya and those who are ready to cause terrorist God has already exposed them and chain them Kenyans continue to pray Dr Drovi from south Africa ask us Kenyans to fast and pray for five day kindly let us pray what happen to Uganda not to happen to kenya please and may God Name be praise. Servant of God sir lolinga a big welcome to our beautiful country kenya and much Love of Christ Jesus let the Holy spirit direct you shalom
@faithkinya2857
@faithkinya2857 2 жыл бұрын
Karibu Kenya 🇰🇪 prophet
@moraarebecca3627
@moraarebecca3627 2 жыл бұрын
Karibu Kenya nabii wa mungu.Mungu anakupenda yu nawe siku zote.
@esthernakinyiofficial4578
@esthernakinyiofficial4578 2 жыл бұрын
Uganda pia tunakuhitaji sana nabii
@michaelwambua1052
@michaelwambua1052 2 жыл бұрын
May God heal our country kenya,,,deliver your pple,,,teach us more sd more about your word
@raphaelzama4748
@raphaelzama4748 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu naitaji maombi Nina shida la jiwe dogo kwenye Figo naomba maombi
@preciousjewelofficial
@preciousjewelofficial 2 жыл бұрын
Welcome to our country Kenya Nabii Rolinga, and be protected together with your team.
@eugenemorrisin6124
@eugenemorrisin6124 2 жыл бұрын
Tunakuitaji mtumishi wa mungu karibu kenya
@alfredmumba1663
@alfredmumba1663 2 жыл бұрын
Most welcome man of God, prophet SS. Rollinga. Love you Dady. Welcome once again. I believe God has remembered Kenya His beloved nation.
@jenephergekonge4737
@jenephergekonge4737 2 жыл бұрын
Thanks Jesus Christ for your faithful
@bethauma8181
@bethauma8181 2 жыл бұрын
Thanks Man of God be blessed 🙏 May Lord fight for Kenya and other countries 🙏❣️
@ruthnzioka7634
@ruthnzioka7634 2 жыл бұрын
Glory glory glory glory glory glory glory to God
@philipsenge2222
@philipsenge2222 2 жыл бұрын
Hange wa Kenya,hizi ni Siku za mwisho,
@estherg7771
@estherg7771 2 жыл бұрын
God have mercy on us Kenyan's in your wrath remember your children 🙏🙏❤
@stronglady7561
@stronglady7561 2 жыл бұрын
Amen Amen God bless you man of God. Welcome to our country Kenya 🇰🇪
@glorianyambua1348
@glorianyambua1348 2 жыл бұрын
Nafurai sana jinsi unavyo simama na na nchi yetu hii ya kenya,,mungu azidi kubariki🙏🙏🙏
@RIP_BOYZ
@RIP_BOYZ 2 жыл бұрын
Pastor pia tungeomba utudhibitishie kiongozi mwenye maono ,tusije tukaangamia Kati ya Raila na Ruto 🙏🙏
@chebsannlove
@chebsannlove 2 жыл бұрын
I think ashatoa prophecy Ruto is the president
@marionrobi
@marionrobi 2 жыл бұрын
Thank you Man of GOD May God bless our country kenya 🙏🙏🙏Amen
@bethmereso8357
@bethmereso8357 2 жыл бұрын
God remember our country kenya....thank you man of God
@sallygrace1495
@sallygrace1495 2 жыл бұрын
Mungu has your back Kenyans baadhi ya wa Kenya niwa Hebrews!!
@faithmutinda8425
@faithmutinda8425 2 жыл бұрын
Karibu Kenya mtumish wa mungu tuujo sana
@mummyjei5634
@mummyjei5634 2 жыл бұрын
Karibu kenya baba
@irenemwangi7992
@irenemwangi7992 2 жыл бұрын
God heal Kenya....something is not okay in Mt.Kenya.....Kenyans turn back to God😭😭
@zarabaraka5308
@zarabaraka5308 2 жыл бұрын
Alaaa!!! Y? No presidential candidate?
@judahwillgofirst7964
@judahwillgofirst7964 2 жыл бұрын
@@zarabaraka5308 worshipping of idols,,
@dinahmunika5626
@dinahmunika5626 2 жыл бұрын
God has remembered our land Kenya God bless you man of God
@fredipalei3533
@fredipalei3533 2 жыл бұрын
Mungu akutumie vyema
@yvonneobonyo5542
@yvonneobonyo5542 2 жыл бұрын
Amen man of God please please pray for me and my mum my two daughters be blessed karibu Kenya
@marianmoraa4158
@marianmoraa4158 2 жыл бұрын
God bless you
@mimsbaibemimskim9556
@mimsbaibemimskim9556 2 жыл бұрын
May God protect and heal the world .
@mikekipz7074
@mikekipz7074 2 жыл бұрын
Waaa
@ruthkinyoro7651
@ruthkinyoro7651 2 жыл бұрын
welcome to Kenya Man of God
@zipporahatiavira9366
@zipporahatiavira9366 2 жыл бұрын
One in a million welcome nd save, deliver,set free in Jesus mighty
@nancymidikaelamuka264
@nancymidikaelamuka264 2 жыл бұрын
Thank You Jesus for Your faithfulness may your name be lifted forever and ever Amen
@marthamokaya8171
@marthamokaya8171 2 жыл бұрын
Ameeen prophet welcome Kenya
@ragahdjwad3865
@ragahdjwad3865 2 жыл бұрын
Amen edelea kuobea kenya yetu
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 жыл бұрын
Shikamooo Mazinge
@harrietnelima3145
@harrietnelima3145 2 жыл бұрын
You're welcome in our country Man of God I'm really waiting for that day 10upto 12🙏
@loismadundu837
@loismadundu837 2 жыл бұрын
Ihave received something I have been looking for thanks lord for this minster
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 2 жыл бұрын
Amina Amina
@moreenkinoti1978
@moreenkinoti1978 2 жыл бұрын
Oh God give us a leader after your heart.
@jacklinechepkirui7864
@jacklinechepkirui7864 2 жыл бұрын
Pray for me and my family watching from kenya
@oakofgodsrighteousnessogr8317
@oakofgodsrighteousnessogr8317 2 жыл бұрын
Revival fire 🔥KENYA. Thank you Jesus
@brianmongo664
@brianmongo664 2 жыл бұрын
Welcome to Kenya feel at home man of God 🙏🙏
@karenauma3277
@karenauma3277 2 жыл бұрын
Wonderful we are blessed
@kevinkiongera7689
@kevinkiongera7689 2 жыл бұрын
Amen and Amen GOD Bless our country Kenya 🙏🙏🙏🙏
@sammycharomwalili6728
@sammycharomwalili6728 2 жыл бұрын
Ninaye amini ni mungu pekee
@catherinemuiruri6188
@catherinemuiruri6188 2 жыл бұрын
Karibu kenya
@gladysmachocho7082
@gladysmachocho7082 2 жыл бұрын
Thanks be to the most high God.
@user-yq9go8ze2n
@user-yq9go8ze2n 2 жыл бұрын
Mungu ni mkuu
@brianmauriceadero4034
@brianmauriceadero4034 2 жыл бұрын
Raila the 5th Amen Pastor🙏
@mourineshanyisa1454
@mourineshanyisa1454 2 жыл бұрын
Karibu Kenya baba
@stephensonkimeu7504
@stephensonkimeu7504 2 жыл бұрын
Karibu Kenya
@awefamilyvlogs7936
@awefamilyvlogs7936 2 жыл бұрын
God bless you more my brother
@elizabethmutanu975
@elizabethmutanu975 2 жыл бұрын
Thanks lord for your servernt. Amen
@maricellaomboga5262
@maricellaomboga5262 2 жыл бұрын
God be with us Kenya
@emilykarimi6193
@emilykarimi6193 2 жыл бұрын
Lord heal our country Kenya 🙏
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
UKIYAPATA HAYA UMEFAULU KATIKA MAISHA.
52:05
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 102 М.
MWANAUME ANAPASWA KUWA HIVI
29:39
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 114 М.
FANYA HIVI TATIZO LAKO LINAPOJIRUDIA
44:54
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 79 М.
MALKIA WA FREEMASON ALIVYOJISALIMISHA KWA KUHANI MUSA
23:55
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 518 М.
JINSI YA KUOMBA UNAPOPUNGUKIWA NGUVU ZA ROHONI by Innocent Morris
9:54
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 34 М.
YAJUE MAGEREZA YA KIROHO ILI UFANIKIWE KATIKA MAOMBI YAKO
1:06:13
Haleluya Tv
Рет қаралды 24 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН