ALIYECHOMA PICHA YA RAIS SAMIA ACHANGIWA ML.5.6 NDANI YA MASAA 6 PEKEE

  Рет қаралды 22,033

Baharia TV

Baharia TV

10 күн бұрын

Пікірлер: 168
@binsherbal6089
@binsherbal6089 8 күн бұрын
Inafurahisha sana, Sasa Wananchi tuko tayari kwa Mabadiliko. Kwa uwezo wa Allah tutashinda Kwa U Moja wetu. Dhulma itashindwa na Haki.
@aneth520
@aneth520 8 күн бұрын
Changamkeni na kwenye sukari mkamate wabadhilifu, na kwenye wasiojulikana na kwa mawaziri wezi na huko mpeleke nguvu kama hii,
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 7 күн бұрын
Asifungwe alizwe kwanza not nini kilimsibu mpka akaichoma
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 6 күн бұрын
Si kwenye iyo Ci anasema
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 8 күн бұрын
Safi sana . Hii inaonyesha jinsi gani wamechoka
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 8 күн бұрын
Nawaomba vyombo vya dola na mahakama, nguvu iliyotumika kuendesha kesi hii na kutoa hukumu kwa muda mfupi itumike kumaliza kesi nyingi sana za washitakiwa wanaosota mahabusu kwa miaka kadhaa ili wapate haki zao.
@jesaminzo
@jesaminzo 7 күн бұрын
Hakika
@lydiadaudi4076
@lydiadaudi4076 7 күн бұрын
Na kesi za viwanja ​@@jesaminzo
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 6 күн бұрын
Wamemuogopa Boss
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 6 күн бұрын
Ni kweli.
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 8 күн бұрын
Mambo mengine bwana .tufanye kazi sasa rais anagawa pesa kwa wananchi tuheshimu serikali matatizo binafsi msiyaweke kisiasa
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza 7 күн бұрын
Toka
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 7 күн бұрын
@@Ernestlaiza Asante natoka
@frankcharles3980
@frankcharles3980 6 күн бұрын
KICHWA HASARA PORE SANA ​@@MwanakomboNassor-bw3by
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 6 күн бұрын
Wengine wavivu kufanya Kazi hivi Mimi ninavyotaabika huku nchi za kigeni ukute kijana WA kiume anaamka anakaa tu kijiweni aise kijana uza haya maji Maisha yanaenda au lima viazi nyegere iringa huko kwanini usitoboe vijana acheni uvivu hasa wanaume tafuteni hela
@froma3732
@froma3732 7 күн бұрын
Akitoka atukune tena kuna Wadhamini watamsimamia lkn akiomba mtaji Wa kuendesha Maisha hkn mtu atachangia
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 8 күн бұрын
Mhuuuu Awamu hii ya Sita kiboko sanaaaa Tunachoomba Amani tu Tanzania
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 8 күн бұрын
Hizo anapelekewa Rais mwenyewe au zinaenda sehemu gani?. Wanaolawiti hawashitakiwi tena kesi haisikilizwi hata
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i 8 күн бұрын
Walaanike wote wenye Nia ovu ya kunyunyiza mafuta ya petrol Taifa letu ,ili kulipiga kiberiti,,,, Watu wanashindwaje Ku foresee mambo? Halafu unavaa suti unavaa tai
@CotridaKigwile-d6p
@CotridaKigwile-d6p 6 күн бұрын
Kuna watu wapo magerezani hakuna cha hukum wala nn dar
@vero57
@vero57 3 күн бұрын
Labda atakua ana afya ya AKILI au katumwa , safi sana kwa walio changa , ndiyo huyu apewe ulizi .
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 7 күн бұрын
Time amua na tunaweza ukweri ni mchungu rakini ndo ukweri kwa wafiraji na wafilwaji na wasagaji razima povu riwatoke hatutiki ushoga na usagaji ukweri mchungu
@bellaseverua609
@bellaseverua609 6 күн бұрын
Hukumu za Mungu zipo
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 8 күн бұрын
Tutakusanya Hela za kutosha kuhakikisha ccm wanaondoka
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 8 күн бұрын
@@karolikisaka8991 mmmhh!! Una ndoto za Kimweri. Kwa chama kipi cha kuitoa CCM? Au hao chagadema chama chenye ubaguzi.
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 7 күн бұрын
@@karolikisaka8991 unachekesha sana, pesa ipo wapi au huko chagadema? Hiyo ni saccos ya wenyewe acha uchawa wa kijinga
@vero57
@vero57 3 күн бұрын
Huyu ndiyo mwambaa, tumchangie mtaji jamani
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 6 күн бұрын
Huu mchezo sio poa kabisa duuu.
@bonifasmashingia
@bonifasmashingia 7 күн бұрын
KUNA KIFO JAMANI VIONGOZI MNAOIONGOZI TANZANIA!!IM NOT HAPPY TO BE BORN IN TANZANIA RULED BY CCM and constitution of 1977
@robertphilip385
@robertphilip385 8 күн бұрын
Wengene wanateseka na kesi miaka mingi lkn hukumu haitoki lkn muzabandari kaammbiwa ukweli wake kesi imeendeshwa haraka haraka
@Samwelsamwel1152
@Samwelsamwel1152 6 күн бұрын
Ama kweli Tanzania ni nchi ambayo watu wake wamekufa na hawataamka milele
@bonifasmashingia
@bonifasmashingia 7 күн бұрын
50yrs later no current CCM oppressive leader will stay alive instead they will ⚰️⚰️ nawakumbusha kuwa Mungu yupo hakii kwanza kabla ya hukumu ya Mungu
@user-it3im4di4q
@user-it3im4di4q 8 күн бұрын
hii nguvu ingetumika kwa waliomuua yule mtoto albinho huenda ingekuwa vizuri ila mambo ya muhimu hayapewi umuhimu ila ya kiji.....ndio yanapewa umuhimu
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 8 күн бұрын
@@user-it3im4di4q nguvu gani unataka sasa wewe? Kwani si wapo mbele ya sheria tayari, acheni kufuata bendera za u~chagadema
@RaymondKilomeye
@RaymondKilomeye 7 күн бұрын
Ndo uiulize serikali Yako kwann police wanashughulika na mamb yasio ya msingi na mambo ya mcngi km hayo wanayapuuza
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 7 күн бұрын
@@RaymondKilomeye kama mambo gani? Acha kukaririshwa kijinga na hao chagadema dogo. Unaukaribia upimbi wakati wewe ni kijana buana. Unababaishwa na hiyo SACCOS ya Mbowe makengeza?
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 6 күн бұрын
Umshukuru mungu wewe ambaye hakukuumba na makengenza.
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 6 күн бұрын
@@verdianabanabi2205 sasa ni uongo mfalme wa kudumu Mbowe hana makengeza? Mbona hata wewe ukimuona albino unamuita zeru zeru? Ndio kosa?? Hujaona kilema wa mguu kuitwa kiguru? Punguza uzwazwa wewe chagadema inakutegemea.
@BoscorPatrick
@BoscorPatrick 8 күн бұрын
kazi kweli kweli.ndiyo maana sjaona kiongoz yeyote wa juu akikemea ushoga.zaidi ya wabunge kadha tu.kuwapata wasiyojulika
@KarolMboya
@KarolMboya 6 күн бұрын
Hongera malisa ss tunakuombea kwa mungu baba akupe maisha marefu umelisema lililokua mioyoni mwetu
@Petro.John.
@Petro.John. 7 күн бұрын
Hivi ni kwanini watu wachange?.
@barakamanga5502
@barakamanga5502 7 күн бұрын
Wamependa kilicho fanyika
@NaziaMudi
@NaziaMudi 5 күн бұрын
Wanajitambua wamechoka na dhurmaaa
@binsherbal6089
@binsherbal6089 8 күн бұрын
Walaaniwe wale wote walomuonea huyu kijana na kumfunga bila Kosa, walaaniwe wao na vizazi vyao akiwemo Hakimu njaa alomuhukumu. Na mjue kwamba Ukombozi uko mlangoni na nyie mjiandae kulia kama mnavotuliza sisi leo. Nawachukia zaidi ya kuwachukia.
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 6 күн бұрын
@@binsherbal6089 hivi unaijua sheria vzr au unabwabwaja tu kwa sababu mdomo mali yako??
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 6 күн бұрын
Chagadema inawapoteza sana.
@binsherbal6089
@binsherbal6089 6 күн бұрын
@@MilloWamilonga-ft8ir Tumekubali kupotezwa, we fuata usikopotezwa.
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 6 күн бұрын
@@binsherbal6089 sawa ni mapekezo yako usijali
@frankcharles3980
@frankcharles3980 6 күн бұрын
​@@binsherbal6089KICHWA HASARA PORE SANA
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 күн бұрын
Mbona mashoga wanatamba tu nchi hii. Huyu dogo anashida gani. Mlishasema kachoma picha ya rais. Sio kamchoma moto rais. Shida nini
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 7 күн бұрын
Sasa hii tzn mnadhani hii iko sawa kama picha ya raisi imechakaa na unayo nyumbani utaifanyaje jamani sheria na haki za watu basi hazipo hata vyombo vya dora viangalie kuwaonea watu mungu hapendi
@lawimanumbu5103
@lawimanumbu5103 7 күн бұрын
Msinunue magazeti yenye picha ya rais mkiyachoma Shauri yenu
@athumanmnguruta338
@athumanmnguruta338 6 күн бұрын
Kwakizazi hiki kimeanza hivi je kijacho kitakuaje ?"
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 8 күн бұрын
Huyo ana Afya ya Akili inapaswa akapimwe
@michaelmhina3613
@michaelmhina3613 8 күн бұрын
Kama ana afya ya akili kwanini akapimwe? Pambaf
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 7 күн бұрын
Inabidi ukapimwe wewe kwanza! Wananchi wamechoka na hawa mafisadi wa ccm! Inatakiwa ccm ife kwa uwezo wa Mungu.
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 4 күн бұрын
Unaonyesha wewe ndiyo una tatizo kwenye Ubongo hujitambuwi ukapimwe!!!! Huyo kijana anajitambuwa sana na amewakilisha WaTanzania wengi sana tatizo hasira zilimzidia siyo kosa lake, maisha magumu anayopata kwa Uongozi mbaya wa Mama Samia ndiyo sababu amefanya vile, wewe ni bora kunyamaza kuliko usichokielewa vzuri unajilopokea tu !!!!! Huna akiri halafu hujifahamu.
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 4 күн бұрын
​@@usembiphonedar5632Huyu Magreth hajitambuwi kuwa yeye kichaaa analopoka hajielewi.
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in 8 күн бұрын
Watu bwana mhhhhh,mi nimekaa Pale naangalia pambano
@MnubiMm
@MnubiMm 7 күн бұрын
Ndio maana alikataa kujitetea kumbe alikuwa na uhakika kwamba atatoka hivi kumbe kutukana watu na kukashifu ni jambo zuri ukitukana unachangiwa pesa unatoka hawezi acha tukana atarudia nchi hii wewe tukana tu utachangiwa utoke iko siku atatukanwa Mama yako nasi tutachangia
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 7 күн бұрын
Wapuuzi wapo wengi kaka. Si ajabu kuna watu walimtuma.
@frankcharles3980
@frankcharles3980 6 күн бұрын
​@@rayisadesigns2646KICHWA HASARA PORE SANA
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 4 күн бұрын
Wewe ni Mpumbavu sana na wenzako wanaokusapoti, huyo siyo mpumbavu kuchoma picha alionyesha hasira zake sababu ya Uongozi mbaya sana wa Mama Samia, maisha yamekuwa magumu sababu ya Uongozi wake hivi wewe na wenzako mtakuwa mnaletewa chakula na wazazi wenu hamjuwi kutafuta maisha hamna uchungu wowote wa maisha nyie, nyamaza kimya km hujuwi lolote.
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 4 күн бұрын
​@@rayisadesigns2646Mpuuzi ni wewe usiejielewa
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 8 күн бұрын
Changamoto kubwa sana
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 7 күн бұрын
Kioakitu kinasababu. Lizikiyake ipitie picha
@simongwandu7392
@simongwandu7392 5 күн бұрын
Alishawishiwa na hao wanaomchangia . Hao wanaomchangia wana jambo lao Wachunguzwe
@user-pt4jf7lg3z
@user-pt4jf7lg3z 5 күн бұрын
Tanzania bwana , kwenye mambo ya maana mnafyata , eti wachunguzwe, mbona ubadhilifu hauchunguzwi wala hamsemi
@saiditasher8362
@saiditasher8362 6 күн бұрын
Ndungu zangu tukumbukeni inchi yetu ss ndio wakombozi vijana tuwe najasili tukomboeni tz imetekwa nawachache tutalia nasamia akitoka anakuja mwingine anahandaliwa sasa ndungu zangu pamoja tutoeni uhoga kufa tatakufa tu 🌜
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 7 күн бұрын
Huyu mama hafai sana
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 күн бұрын
Mbona askari anabunduki vipi
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 7 күн бұрын
Leo leo
@mkudesimba9518
@mkudesimba9518 8 күн бұрын
Acha bangi kwani rangi ni uchizi tosha utaugua kichaa !
@BakariIssa-nx3yf
@BakariIssa-nx3yf 7 күн бұрын
Wamechanga kwasababu watanzania wamechoka nambambo selekali ufanya maana kuiba pesa za watanzani isiwekosa awashitakiwi? Ilapicha yaraisi kuchana kakamatwa malamoja
@ezrakaturitsaofficialtz7873
@ezrakaturitsaofficialtz7873 7 күн бұрын
Huyo ni Malaika sio mwanadamu wa Kawaida sasa polisi mkipuuza neno la Mtumishi wa Mungu itawagharimu minyororo itakatika kama Paulo na Sila
@user13375
@user13375 7 күн бұрын
Polisi awahusik ,mlaum rc
@user-es4uf6gj7u
@user-es4uf6gj7u 6 күн бұрын
Huyukijana ndio malaika😂😂😂😂😂😂
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 8 күн бұрын
Namba za kutuma pesa mtume nasi tuchangie ni wajibu wangu na wetu kupambana na wakoloni weusi
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 8 күн бұрын
Nashauri maandalizi ya ripoti ya cag yafanywe yakijumlisha takukuru maana ripoti huainisha kilichoibwa ila thamani ya hii picha bado haieleweki thamani yake!
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 6 күн бұрын
Good job be blessed guys
@kagombaEnok
@kagombaEnok 8 күн бұрын
Mungu akulinee Broo Malisa
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 7 күн бұрын
duh [pole
@user-pb4rn2tj4q
@user-pb4rn2tj4q 6 күн бұрын
Uonevu tu matukanaji yapo ccm yapo chadema mbona hamuyashiki masikin wanateseka haswa wajimbaji wadogo kla sehemu mchina senta zimekufa mnamuone kijana wawatu picha 5:03 😅😅 mnamuhukumu mtu hamna azabu nyingine.😂
@erestizacharia4758
@erestizacharia4758 8 күн бұрын
😂😂😂😂
@chrissamani7921
@chrissamani7921 7 күн бұрын
Natamani nami ningemchangia, kwa kukemea ushonga mchango wangu unahusu bila maumivu
@MalijasJRCharles-vl2rq
@MalijasJRCharles-vl2rq 7 күн бұрын
Pole kijana.
@Allybinamour
@Allybinamour 7 күн бұрын
Nadhani sasa atakua na adabu na heshima, asiefunzwa na wzazi wake hufunzwa na ulimwengu, kwenye maisha jifunze kuheshimu wakubwa.
@nurumwashinga3662
@nurumwashinga3662 7 күн бұрын
Acha ubwege Kwa hiyo na wewe unashabikia ushoga? Maana huyu mwamba alikemea ushoga nakusema wewe raisi hufai umeruhusu ushoga ndio kachoma picha
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 4 күн бұрын
​Kumbuka sn kuangalia jina la anae comment visivyo na akiri, huyo ni Mzanzibari anamtetea ndugu yake hajuwi lolote ili mladi ka comment tu !!
@Allybinamour
@Allybinamour 3 күн бұрын
@@JesusJesus-ny1sm kwa maana hio hio na nyinyi watanganyika mnamtetea mtu ambae hata kuheshimu alomzidi umri hajui kwani hakuna njia nyengine yakuonyesha hisia zake hadi afanye alivofanya?
@user13375
@user13375 7 күн бұрын
Mi niko kwa ile smile ya mwamba 🤣🤣🤣💪💪💪💪
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 5 күн бұрын
Wekeni namba kijana apate mtaji, Watanzania tuchange hata kamani bukubuku.
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 4 күн бұрын
Hata mimi wazo hilo nimepata wazo zuri saaana!!!! Huyu Kijana amefikisha ujumbe kwa Rais amewakilisha mawazo ya Wa Tanzania wengi sana.
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 7 күн бұрын
Wajiiga wote waliomchangia pesa ngoja ije i tokeye kama kenya .Huyo nimwehu tu
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 7 күн бұрын
Itokee kama Kenya mbona hueleweki
@harunamtiko117
@harunamtiko117 7 күн бұрын
Bora itokee tu kwan unaogopa nn wakati utakufa, hata ukiwa chawa km utakufa tu, c bora ufe ukipigania haki
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 күн бұрын
Wehu wake nini
@frankcharles3980
@frankcharles3980 6 күн бұрын
Clemence..KICHWA HASARA PORE SANA
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 4 күн бұрын
Wewe huna akiri ni Kichaa Taahira wewe !!!! Hivi kwa nn hujitambuwi !!!!? Hivi unadhani WaTanzania ni Mataaahira kama wewe !!!!! Wewe ungeacha ku coment siku zote huna la maaana hujielewi wewe kuwa akiri huna.
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 7 күн бұрын
Namba za kuchangia tutazipataje namba zakweli sio za matapeli
@MeliYaMaweBm
@MeliYaMaweBm 7 күн бұрын
Hivi Kuna Njia Gani? Ya Kumkosoa Rais Wa Jamhuri Ya Tanzania Mtu Akipaza Sauti Kwenye Social Media Asikisikilizwe Siyo Kumhukum Tambua Nyuma Yake Kuna Wafuasi Wake
@user-hx8gn5yx8c
@user-hx8gn5yx8c 8 күн бұрын
Tanzania si mchezo yaani watu wanadiriki kuchoma vitabu vitakatifu hawahukumiwi yaani chawa wengi hata kurani ikiwa chakavu inachomwa moto tunaabudu viongozi kupita kiasi
@epimackjohn461
@epimackjohn461 6 күн бұрын
Mchango huu umeenda haraaaka ! Tuhuma zilizomhusu kijana huyu zinatoa TASWIRA gani kwa wachangiaji mpaka wachangie haraka na kwa DHATI hivi ??
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 4 күн бұрын
Majibu unayo tayari unaulizaje swali ndugu !?? Kwa ufupi WaTanzania hawafurahishwi na uongozi wa Mama Samia na km anasoma meseji za WaTanzania kuhusu yeye ni kwamba Rais anafahamu ila anafanya kiburi.
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 7 күн бұрын
Safi kabisa
@allyhasani3750
@allyhasani3750 8 күн бұрын
Mungu awabaliki watanganyika
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 7 күн бұрын
Awabariki siyo awabaliki
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 күн бұрын
Eti watanganyika matako wewe huyu mama yupo sana mpaka 2035 mtaachanga sana lakini mama Samia hababaiki
@frankcharles3980
@frankcharles3980 6 күн бұрын
​@@halimamasai2234KICHWA HASARA PORE SANA NYOKO WE
@thamani5842
@thamani5842 7 күн бұрын
Nyie mlomchangia ndo mlomtuma
@jafarimnaro704
@jafarimnaro704 6 күн бұрын
Ndio tumemtuma
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 7 күн бұрын
Kweli mmemchoka mazaaaa😁😁
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 6 күн бұрын
Malisa mungu akulinde sana naukupe afya njema
@leonardlameck7486
@leonardlameck7486 7 күн бұрын
Dalili ya mvua ni mawingu,ukiona wengi wanafurahia jambo linaloonekana kuwa ni la kinyume,ujue hizo ni dalili za kuwakera watu unayehusika na hilo jambo
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 7 күн бұрын
Lifisiyemu usitutishe tutapigania haki yetu kama wakenya tunaanza kutoka usingizini mnatufanya kuwa misukule tumeshachoka subirini
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
HUYU DOGO KAFANYA UPUUZI MNAHANGAIKA KUMTOA? TOENI HIZO PESA MKANUNUE MADAWA MSAIDIE WASIO NA UWEZO..DOGO KAJIIINGIZA KTK MATATIZO YA KIJINGA KABISA
@user-pt4jf7lg3z
@user-pt4jf7lg3z 5 күн бұрын
Kodi zetu zinafanya nini, mpaka tuchangie madawa
@user-pt4jf7lg3z
@user-pt4jf7lg3z 5 күн бұрын
Kodi na rasilimali zinaenda wapi. NCHI YETU SIO MASKINI KUCHANGIA MADAWA.ndio watu wsnachangia upuuzi
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 7 күн бұрын
Wengne wanakaa mahabusu miaka kumi na Tano ukiambiwa uchunguzi haukukamilika ila dogo juzi2 tayar kashahukumiwa kisa kachoma moto picha ya hatariii sana
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 7 күн бұрын
Ujinga mtupu
@bongo39
@bongo39 8 күн бұрын
Mchangieni ndugu zenu kibao wana shida za maisha huko vijijini wanalala njaa mnashindwa kuwasaidia leo mpuuzi mmoja mnamchangia eti mumtoe jela mtoeni na huyo jamaa mtaona kama hajarudia tens kosa mtamchangia tena ataona wapo watu kama nyie mtamchangia tena ingekuwa wametukanwa wazazai wenu mkemchangia au kwa sababu sio mzazi wenu
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 8 күн бұрын
Wivu unakutesa pamoja na uchawa wewe una huruma sana wenye njaa wangapi umewachangia????
@robertphilip385
@robertphilip385 8 күн бұрын
​@@ezekielkiduge8730safi sana umemjibu vizuri huyo boya
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 8 күн бұрын
Halafu ukute waliochanga hata familia zao Zina ufukara mkubwa tu. Endeleeni kuifuata bendera ya uchagadema.
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 8 күн бұрын
Wewe akili yako hata kuku kakuzini lodilofa wewe.
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 8 күн бұрын
@@raphaelmacha1173 ndio ukweli, kwani wewe unaona busara kumchangia mtu ambae ana akili zenye matege? Si bora wangewachangia ndugu zao wenye mlo mmoja kwa siku
@rashidkapile
@rashidkapile 5 күн бұрын
Daaa! Ndugu Marisa mungu akubaliki DOGO alionewa pakubwa Huyo aliotowa amli ya kukamatwa ni mbinafusi Angepima hilo kosaaa,
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 7 күн бұрын
wote waliomchangia ni 000000
@BakariIssa-nx3yf
@BakariIssa-nx3yf 7 күн бұрын
Ww ndio ooo
@ExaudMwakila
@ExaudMwakila 7 күн бұрын
Hata ww ulie comment ni maviii
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 7 күн бұрын
Ww ni 0000000 Kwani ww unakunya biscuit
@frankcharles3980
@frankcharles3980 6 күн бұрын
​@@HabibuUrasaKICHWA HASARA PORE SANA
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 6 күн бұрын
Je mama yenuuu anapendwaaa au vpi wakuuuu
@YahayaRashid-w2f
@YahayaRashid-w2f 5 күн бұрын
Safi sana
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 6 күн бұрын
Mjitaidi kukamata wanaoteka watu wasio na hatia
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 күн бұрын
Kama kachoma picha na nyie mchome picha yake mabo yaishe
@RoanCorporation
@RoanCorporation 6 күн бұрын
Rais yetu ny kama bandera ya nchi , uwezi kuchoma , yani ni mbaya! mimi nakubali democrazia lakini sio shahihi aliofanya
@AsmaAli-je2zz
@AsmaAli-je2zz 6 күн бұрын
Nchi Ina upuuzi hii kwani picha ndo nini
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 5 күн бұрын
Mtu kachoma tu karatasi amelindwa na bunduki sasa akitoka tutachanga apate na maisha mazuri na kuchomwa zitachomwa subirini 2025 tuna jambo letu💪💪😂
@msafiriomary893
@msafiriomary893 7 күн бұрын
Sisi hatumtakiiiiii kwani razima atuongoze
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 күн бұрын
We mkundu kama wewe humtaki sisi wengine tunamtaka na atakua Raisi wa nchi mpaka 2035 tunaye Samia wetu. Na waliochangia ni wasenge wenzio mashogaaaaa
@frankcharles3980
@frankcharles3980 6 күн бұрын
​@@halimamasai2234KICHWA HASARA PORE SANA
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 4 күн бұрын
​Utampigia kura wewe peke yako ashinde huo Urais !??? Au unajifurahisha peke yako tu !!!! Halafu unatukana wewe ni Mwehu tu.
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 4 күн бұрын
​@@halimamasai2234Utampigia kura wewe peke yako huyo Rais wako ashinde !????
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 күн бұрын
@@JesusJesus-ny1sm sita kushanga mtu mwenyewe unjita jesus hutampenda Samia kwa udini wako lakini kwa tarifa yako Samia 5 tena blia shida atapeta na wewe utabaki kama ulvyo hovyoooooo
@farajapeasonmagota8226
@farajapeasonmagota8226 7 күн бұрын
Sasa mtu hana hata kisu analindwa bunduki kubwa hivi
@VuaiBabaSafi
@VuaiBabaSafi 6 күн бұрын
Ndio akileta ubishi apigwe bunduki ya makalio
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 47 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,5 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 54 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 47 МЛН