WALIOMTEKA MFANYABIASHARA WASAKWA/ ALITUPWA PORI LA AKIBA/ UCHUNGUZI WAANZA

  Рет қаралды 3,770

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi linachunguza tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Edger Edison Mwakalebela (27), maarufu kama Sativa ambaye mkazi wa Dar es Salaam, Mbezi kwa Msuguri ambapo uchunguzi wa awali umebaini aliokotwa na wasamaria wema usiku wa kuamkia Juni 27, 2024 katika barabara ya Mpimbwe - Majimoto inayoelekea Mpanda katika pori la Hifadhi ya Taifa ya Katavi.

Пікірлер: 16
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 ай бұрын
Fumbo la imani , kupatikana sio shida je kama wamemtandika zile sindano ? Baada ya Mwaka tu hatunae , ndugu watafute ufadhili akachunguzwe Nje ya Nchi, hawa jamaa wa Inten wabaya saana, Huyu Dada ni innocent anatekeleza majukumu yake
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 3 ай бұрын
Jamani tuwe na satellite ya kuchunguza matukio ya kutisha kama haya jamani
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 3 ай бұрын
Uchunguzi wa MO mpaka leo haujakamilika...
@DONALDMTOWE-u9g
@DONALDMTOWE-u9g 3 ай бұрын
Hamjui kweli?,,msitufanyie hivyo jaman mmeanza tena?.
@emanuelmwanjela5804
@emanuelmwanjela5804 3 ай бұрын
Kwaiyo watuhumiwa kumbe wanaruhusiwa kujichunguza?
@Yonaobedi-z1t
@Yonaobedi-z1t 3 ай бұрын
hivi tujiulize ninani anaeweza kumteka mtu akiwa chini ya yaulinzi wa polisi ?
@ANNAKILLO-o7d
@ANNAKILLO-o7d 2 ай бұрын
Wameyapanga hayo wasitufanye mapoyoyo wtz
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 3 ай бұрын
Mie tu RPC nimekupenda kama jaolewa takuja katavi seeee
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 3 ай бұрын
huyu polisi ni mpotoshaji
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 3 ай бұрын
Mh, mbona yeye anasema alifikishwa osterbay polisi, kisha alfajir akafuatwa akapelekwa mahali kwingine asipopajua,
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 3 ай бұрын
Polisi alipelekwa na nani
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 3 ай бұрын
Nani mwenye uwezo ws kumteka tokea dsm Arusha katavi. Gharama zote hizo zinatoka wapi. Jibu unalo.😊
@shabanikitula645
@shabanikitula645 3 ай бұрын
Hamna kitu hapo kapumzike
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 3 ай бұрын
Ya tundu lissu hawajapatikana wa mo bado sembuse huyu.
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 3 ай бұрын
Mnajisaka au acheni kutuona wa tz wajinga ipo siku kitanuka
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 3 ай бұрын
Jamani rpc c uje arusha tupigane na uhalifu😊
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 253 МЛН
The day of the sea 😂 #shorts by Leisi Crazy
00:22
Leisi Crazy
Рет қаралды 2,1 МЛН
BREAKING; FERDINAND WAITITU ARRESTED AFTER MAKING THIS SCARY SPEECH.v
6:46
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 4,7 М.
Dada wa aliyedaiwa kuuawa na MumeweDodoma, aeleza ilivyokuwa
14:23
Mwananchi Digital
Рет қаралды 60 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 253 МЛН