YALIYOJIFICHA JUU YA KUTEKWA KWA KIJANA SATIVA WA TWITTER | AFRIKA HATUNA UHURU WA KUKOSOA

  Рет қаралды 23,067

Wasafi Media

Wasafi Media

6 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 123
@Zenny89
@Zenny89 5 күн бұрын
Ukweli hauta kuja kupatikana Sababu waliofanya hivi wapo serikalini…na Polisi wametumika…Aliyempiga Risasi Tundu Lissu mpaka Leo hajulikani
@Taito-brand
@Taito-brand 4 күн бұрын
Ww umemjua kam umemjua toa taarifa kak
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 3 күн бұрын
Wasiojulikana..​@@Taito-brand
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 4 күн бұрын
Acheni uchawa awamu ya 5 haifananishwi na chochote wa na huyo mama yenu asie tufaa watazania masikini anajali wazungu na matajili hafai kabisa musimufananishe na magufuli
@allytv1714
@allytv1714 5 күн бұрын
Hii nchi ni ngumu sana kwanza ina wananchi waoga pili ina vyombo vya habari vya kusifia tyuu kuliko kusema kweli tutazidi kufa cz tunaserikali ya magaidi lazima tubadilike watanzania
@anitajacob3641
@anitajacob3641 2 күн бұрын
Hii nchi yetu inaogopesha sana
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 5 күн бұрын
Kuna siku hiinchi itawaka waache wajione wananguvu sis wananchi ndotuna ngutu ilawatanzania tuache wonga tupambanie nchiyetu
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 5 күн бұрын
roho za wa kenya ituingie miyoyon mwetu watanzania amina
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 5 күн бұрын
WANANCHI WA TANZANIA TUMEBEBA HASIRA NYINGI SANA MIOYONI MWETU...
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 5 күн бұрын
Hasira zenye uoga ndani yake
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 5 күн бұрын
​@@user-zb2mj5nd5gtunapelekwa tu kama mambwa 😢tukiongea tunatekwa loooh tz amani hakuna
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 күн бұрын
@@user-zb2mj5nd5g🤣🤣🤣
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 4 күн бұрын
@@user-zb2mj5nd5g Siku Isiyo na Jina Utaisha....
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 3 күн бұрын
True​@@user-zb2mj5nd5g
@fadhilmandaliabdalla6736
@fadhilmandaliabdalla6736 3 күн бұрын
Huyo Edo sijuwi kama sio Shoga, sasa unaleta mambo nyuma ipi hiyo, huyo mamaako amefanya nn la maana, serikali ya Magu mgemtupia lawama yeye, ila saivi yupo huyu mnamuekea maneno mdomon na kusafisha tawala yake, acheni chuki za kishoga hizo
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 5 күн бұрын
KWANI MUKISHAMUAISHA KATIKA HOSPITAL ALAFU MKACHUKUA MAELEZO YAKE NI VIZURI ZAIDI KULIKO MTU KUFALIKI UKU MNAMUOJI UDUMA YA KWANZA IWE KWANZA MENGINE YAENDELEHE BADAE 😢😢😢
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 3 күн бұрын
Kabisa yani😢😢
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 23 сағат бұрын
​@@AdelaideZacariasZacarias-hp8gsjambo zuri kabisa one African love
@bossmolellsisiya4101
@bossmolellsisiya4101 4 күн бұрын
wapuuzi sana hao badala ya kumsaidia kwanza wana muhoji washamba sana haw
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 2 күн бұрын
KWANZA APELEKWE HOSPITAL SIO KUMHOJI MTU YUPO MAHUTUTI SAAANA
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw 4 күн бұрын
Safe sana wasafi wambieni viongozi wa serikali ipoh siku tutagawana majumba
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 5 күн бұрын
Watanzania mjifunze kutoa huduma kwanza jamani mtu mna muona anahitaji huduma ya kupelekwa hospital kuliko mmuwahishe hospital mna muhoji sijui muite viongozi wamtaa sijui police 🚔 hivyo vyote vya nini!
@ms123ru
@ms123ru 5 күн бұрын
Uwez msaidia mgonjwa Kama hauna taarifaa kaka
@thespaniardinme
@thespaniardinme 5 күн бұрын
Watu wetu mambo ya first aid ni 0 kabisa. Mtu analalamika kabisa kichwa kinauma, mara mbili, wao wanamhoji juu ya waliomteka. Mpaka unajiuliza, wao polisi? Au wanataka content? Yani hawakufikiria kabisa kuwa analalamika maana hayupo vizuri. Jukumu lako ukimkuta ni kuita polisi au kumpeleka kupata huduma, baas.
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 5 күн бұрын
​​@@thespaniardinmesiyo kweli, kumfahamu jina na anakotoka kama anaweza kuongea ni muhimu kwani anaweza kufa ghafla na ikawa shida kwa uliyemuokota. Au hujwahi kusikia,mtu mshtakiwa kwa mauaji ambayo hakutenda. Lazima uchukue tahadhari bila kukurupuka
@thespaniardinme
@thespaniardinme 4 күн бұрын
@@jumbeojaso5767 hiyo ni sheria au mazoea? Kama ni sheria, ni sheria ipi, maana labda mimi siifahamu lakini wewe unaifahamu. Na zaidi, ina faida gani kwako kama umejua jina halafu akakufia mikononi, then what? Nia ni yeye kuwa saved au wewe kujua jina lake? Na zaidi, inachukua muda wote huo wa video kujua jina lake tu? For real???
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 3 күн бұрын
Kwaio bora afe akiwa anahojiwa?​@@ms123ru
@allymwilu8089
@allymwilu8089 3 күн бұрын
Si ndo mama qnaupiga mwingi au😂😂😂😂😂 daah aya kesho kwa mungu uko kuna neno
@ramadhanijawas3204
@ramadhanijawas3204 4 күн бұрын
Hata uko hospital wasije kwenda kummalizia au maigizo kutoka juu yakumuwekea sindano ya sumu daaaa Tanzagiza daaa watu wanateseka sana na sisi wanchi tukoo kimyaa daa mungu zidi ibariki Kenya
@ayubukedimundi3221
@ayubukedimundi3221 3 күн бұрын
Tumewachoka viongozi wenu wanafanya vitu vya ovyooo Sana..... Kiukweli kabisa binasi siwapendi vitu wanavyovifanya mm naumia Sana moyoni
@user-ly9us4db3m
@user-ly9us4db3m 5 күн бұрын
Dar dar inaumiza sana jamani mbaka tumbo limeniuma lauchungu Mungu msaidie kijana wawatu apone jamani
@lwakainaza
@lwakainaza 2 күн бұрын
Tumbo limekuuma la uchungu? Unamimba?
@user-ly9us4db3m
@user-ly9us4db3m 2 күн бұрын
@@lwakainaza utajuaje kama nina mimba au sina acha umbea
@yordanyona1234
@yordanyona1234 4 күн бұрын
Wachunguzwe vijana ccm ...maaana yule aliyeongea Bukoba atoe maelezo
@Vuvuzelaz1
@Vuvuzelaz1 2 күн бұрын
Nani anamlinda hugo kijana huko hospitali ili watekaji wasiende kumdhulu au ndio masikini hana ulinzi ?!
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 5 күн бұрын
kmsifu mama ndo nn mnaznguwa nanyie watangazaji
@user-fh1vu5xk3j
@user-fh1vu5xk3j 4 күн бұрын
Kwa umri wake na kazi zake, itakuwa ni kukosoa baadhi ya vitu, maana Tanzania ndo nchi pekee ukikosoa ni kosa kubwa sana
@zefamange7281
@zefamange7281 Күн бұрын
Mlisema huyu wa sasa hateki watu anaupiga mwingi, huo ndio mwingi.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 күн бұрын
Sasa mtu anahojiwa wakati ameumizwa , jamani wananchi tupewe thamani. Atibiwe kwanza kwanza
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 3 күн бұрын
Huyu kijana anajuwa watu walimfanya hivyo ni WA chama chake na hii ni kuona akuna ishu yeyote kwenye chama Chao ,sasa wanafanya mazingaombwe ,upigwe risasi ya Taya upone nchi hii usanii mwingi sana
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t 5 күн бұрын
Tanzania bdo wako kwa ukoloni hwana uhuru wa kuongea democracy
@boychidu
@boychidu 3 күн бұрын
TANZANIA BUANAAA MUNGU WETU TULIPIZIE HILI MAANA SISI MASKINI WAKO HATUNA HATIA YOYOTE LAKINI TUNANYANYASWA NA WENYE UWEZO NAOMBA UPIGANE NAO WANAO PIGANA NA SISI 🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 4 күн бұрын
Hawa vijana hayo mauvu wanayo pata wanabaiki na kinyongo moyoni siku wakiamua kutoa kinyongo moyoni sidhali kama watuzuiliwa na mtu yeyote.
@leokamil6284
@leokamil6284 4 күн бұрын
Ndugu Muandishi kuna kiongozi alidiriki kusema wataua watu na hakuchukuliwa hatua yeyote. Watu wanapotea nchi hii jamani tuacheni roho mbaya kila mtu atakufa hakuna atakaishi milele
@harunamtiko117
@harunamtiko117 Күн бұрын
Polisi sio rafiki kwa wananchi tena, kinachotakiwa kila mtanzania achukue tahadhari na maisha yake, ikibid kila mt atembee na silaha yyte kwa ajili ya kujilinda binafsi, ikitokea mt anataka kukukamata bila kufata utaratibu bx unamalizana nae, n bora akuue pale pale kuliko akuteke apoteze ushahidi. Uoga haufai tena vngnevyo tutazd kuuwawa kila siku.
@user-uy5nx1bj5r
@user-uy5nx1bj5r 2 күн бұрын
Risasi kwenye Taya bila matibabu wala damu na anaongea haya
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 3 күн бұрын
Huyu jamaa waache mazingaombwe police awawezi kusema bila ya yy mwenyeewe kusema maana Hawa vijana hatari sana ,mm siamini na naendelea kutokuamini ,uwezi kupigwa risasi ya Taya uwe hivyo ,police fanyeni kazi yenu kiweledi huyo ataeleza ukweli
@muthegreat3667
@muthegreat3667 3 күн бұрын
Wapeni taarifa ipo siku tutachoka t .
@Zenny89
@Zenny89 5 күн бұрын
Ila Polisi wa Tanzania…baada ya kumpeleka mtu hospitali kwanza mnaanza kumhoji hapo hapo wakati ameumia.
@abbeyngamilo
@abbeyngamilo 5 күн бұрын
ajabu sana, halau wanataka kumpeleka polisi kwanza ndio hospitali
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 4 күн бұрын
huyo siyo polisi ni mkurugenzi wa halmashauri ndiye aliyeelekeza kupatiwa.matibabu baada ya kupata particular zake
@Taito-brand
@Taito-brand 4 күн бұрын
@@shaurimtanda8285yan kak wananchi wa nchi hii bhn kitu ana uwakik nach analopoka tu ajui anaropoka ndio mana unakuta watu wanawalaumu polis ndio wanahusik lakin ajui chcht kisa kamsikia fulan kasem jamn kuwen makin aiseeh cause kitu una uwakik kaa kmy
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 3 күн бұрын
Uhuru wa kusifia sio kukosoa . Hakuna hatua yeyote. Awamu hii ni ya wawekezaji na matajiri. Sikiliza hotuba za wanasiasa kusikia neno watu maskini ni adimu sana. Siku hii ni wawekezaji ndio wana haki. Kwa sasa tuna philosophy ya kibebari trickle down effect ambao imefeli.
@omanoman2044
@omanoman2044 3 күн бұрын
Huyo kaka ake aseme vizur ndug yake alielekea wap ndug sai wamegeuka wanyam
@alimohamed5757
@alimohamed5757 4 күн бұрын
si Tanzania dunia nzima
@himanmwalwala7569
@himanmwalwala7569 5 күн бұрын
Sababu ya kutekwa nani ataitoa?? Maana Hadi Leo sijawahi sikia Moalipotekwa
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 2 күн бұрын
KWA NINI WANAMHOJI WAKATI ALITAKIWA APELEKWE HARAKA HOSPITAL
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 4 күн бұрын
Hawaku muacha hai walimuuwa ila Mungu alimuokoa. Hawakukusudia awe hai sema risasi ilipita maeneo ambapo Mungu alimuokoa. Yani Huyo ACP anaangaika kwamba kapigwa na kitu chenye ncha kali au sio. Hayo yanahusiana vipi. Kamata watekaji ng’ombe we
@asteriashios1852
@asteriashios1852 4 күн бұрын
Cha msingi hapo ni kumwahisha hosipital acheni ujinga akipona mtamhoji ndo nchi yeti ya Tanzania na jeshi la police sijui km Kuna kitakachofanyika maana sijaona wasiojulikana wakikamatwa Tanzania duh
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 3 күн бұрын
Katavi porini ili aliwe na simba. Kweli wasiojulikana ni kiboko..
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 4 күн бұрын
Kuna ben saa nane ad leo ajulikani alipo 😢😢
@frankraphael7546
@frankraphael7546 3 күн бұрын
Osika unajibu kwakubabaika iyi nch niyetu utekaji ni mwingi tuliko Toka uyokijana amechukuliwa kituo Cha polis kwamaongezi yake polis inajua nawala upelelez auwez kufanyika
@ndolimanaamani9106
@ndolimanaamani9106 3 күн бұрын
Oscar kuna muda huwa unajikakamua kuongea halafu unachanganya damu
@ombeniefata2239
@ombeniefata2239 3 күн бұрын
Acheni unafiki watangazaji uhuru tanzania amna kuna uoga tu
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 4 күн бұрын
😮
@khamisomary7428
@khamisomary7428 4 күн бұрын
Inashangaza sana nahapa kuna kitu hakipo sawa, watu wanaanza maneno kuliko uhai wake
@khamisomary7428
@khamisomary7428 4 күн бұрын
Tena wanarekodi jamani😢😢
@aiyaavibes7610
@aiyaavibes7610 4 күн бұрын
*INAUMIZA SANAAAAAAAA*
@leokamil6284
@leokamil6284 4 күн бұрын
Mnategemea maneno ya Daktari au Polisi ambae kasikia alipelekwa Polisi 😂
@ahnafaykhan698
@ahnafaykhan698 4 күн бұрын
inaonekana hao waliokuwa wanamhiji walitka afue hapo ili kupoteza ushahidi
@paulmbonika2459
@paulmbonika2459 5 күн бұрын
Yani kamanda wa polisi anajibu kwa wepesi na mipasho kbsa, kana kwamba tunaongelea katoa single flani hivi na sio uhai na usalama wa watu.
@Taito-brand
@Taito-brand 4 күн бұрын
Brow wew ulitaka aongeaj acha ujinga kwan yy ndio amehusika
@emmanuelrobert4757
@emmanuelrobert4757 4 күн бұрын
Kiukwel sio sawa aliyefanya hivi ipo siku itarud kwake real
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 5 күн бұрын
Mama Samia tusaidie kwa hili kwann watu wanateka watu?
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 5 күн бұрын
mmm ok utasubiri sana si kawarudisha serikalini
@robertphilip385
@robertphilip385 5 күн бұрын
Kwani hajui
@ayubukedimundi3221
@ayubukedimundi3221 3 күн бұрын
Alafu apo Kuna wale wa haki za jamiii na binadamu na wamekaa kimya wakati wao matukio ya kipumbavu wanakuja kukemea......
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 2 күн бұрын
Atakuwa shoga haki za binadamu hata kutoka ulaya wangeshafika kutetea
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 3 күн бұрын
CCM MAPINDUZI SIYO WATU
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 5 күн бұрын
..... nchi nyingi si huru kama watu wanavyofikiria. Hat nchi mnazoambiwa ni huru, siyo huru. Na hili siyo nchi za kiafrika tu..............nchi za magharibi hii kitu ni kubwa sana.
@Uhuru351
@Uhuru351 4 күн бұрын
Kwa hiyo unatetea hili tukio??
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 2 күн бұрын
@@Uhuru351 Hapana sitetei hili suala hata kidogo ndiyo maana watanzania ni waoga, sababu mambo kama haya yanaleta hofu. Kuachwa kwa huyu kijana kwenye hifadhi ya taifa, ina maana walitaka aliwe na wanyama. Inatisha.
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 4 күн бұрын
Serikali serikaki serikali msipokemea haya mambo moto wa jehanamu unawaongoja Hakika Mtochomwa milele ,tumbo limeniuma Eee Mungu wangu
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 5 күн бұрын
Tz watu hawapendi kukosokewa wanataka kusifiwa2
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 4 күн бұрын
Wapumbavu mnamuhoji tu sio mumuwahishe hospital kwanza
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 5 күн бұрын
Nyie msaidie aende hospitali
@zarabati1750
@zarabati1750 4 күн бұрын
Police ndo hutumika kufanya hivi sana sana wangapi walitekwa na hadi leo kimya
@Taito-brand
@Taito-brand 4 күн бұрын
Unauwakik tuhuma hiz ndg zang unauhakik
@ahnafaykhan698
@ahnafaykhan698 4 күн бұрын
au tukiamshe km kenya au serekali mnajikuta nani??! GEN ZI hata tz tpo
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 5 күн бұрын
Tz ina uhuru wa kusifia ila siyo kuponda.hatuna viongozi serikali uozo tu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 күн бұрын
Na huyo anayo muhoji ni fala sana kwa maswali mtu anamaumivu we mwasawali ya nini
@JohnAdam-mv3ks
@JohnAdam-mv3ks 5 күн бұрын
Nani alishakamatwa kwa kesi ya itekaji hapa bongo!?? Watu wengi wameshatekwa hajiawahi kujulikana mhusika mkuu wa haya matukio ila bongo dah hatareeee sana
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw 4 күн бұрын
Jeshi la polisi mkowapi fanyeni kazi msikumbatie chama tawala
@user-tt1ze2dw4x
@user-tt1ze2dw4x 4 күн бұрын
Sisi tuacheni tu na tukubali Tanzania Amani akuna kabisa pia Tanzania tunauoga mwingi Sana leo hii kwa ujinga uo uliofanyika watu waingie mtaani watafute haki aise mbona mnapata aki ndomna mm bongo mnisqau kabisa 😂 siji na adi uraia nishabadilisha zangu😂
@user-ob8cd2zj1o
@user-ob8cd2zj1o 4 күн бұрын
NYIE WOTE WAOGA#
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 5 күн бұрын
Sio Mbezi Beach wewe,kuweni makini na habari zenu.
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 5 күн бұрын
Kwamala ya kwanza wasafi mmetisha siokila siku umeupiga mwingi
@Fgldesigns
@Fgldesigns 5 күн бұрын
Huoni walivyonywea wameshindwa kukwepa wanaanza tusirudi hayo mambo yapo kila awamu waavhe kumchafua aliyepita maana woye wako hivyo hivyo
@Fgldesigns
@Fgldesigns 5 күн бұрын
Huoni walivyonywea wameshindwa kukwepa wanaanza tusirudi hayo mambo yapo kila awamu waavhe kumchafua aliyepita maana woye wako hivyo hivyo
@samsonsamwel8782
@samsonsamwel8782 5 күн бұрын
Wameanza kujtambua
@jumarchris
@jumarchris 3 күн бұрын
wee nawe panya mbezi bichi ipo wilaya ya ubungo😁😁😁 achakujichanga ni mbezi ya kimara kwa msuguli
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 5 күн бұрын
Machawa slow your words msisifie visivyo sifika.
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 5 күн бұрын
Badae utrahoji hayajawakut
@leokamil6284
@leokamil6284 4 күн бұрын
Viongozi wa upinzani walisema kuna kundi mkadharau yaani tutakoma
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 2 күн бұрын
Mmmm upandacho ndicho utavuna kwa wakati uliyefanya haya Mungu akulipe tena ulaaniwe. shetani wewe na hao mliofanya. Mungu amewachoka na atawaweka peupe, wote tutajua ibilisi wakubwa nyie. mtalipwa hapahapa dunian shetani nyie
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 5 күн бұрын
Polis uzembe tibu mtu hali sinzur
@happymackjacob3480
@happymackjacob3480 5 күн бұрын
wame mpigia mnyakyusaaa
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 5 күн бұрын
Xavi mtupu
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Күн бұрын
Pumbavu kabisa hii serikali
@princemimi2090
@princemimi2090 Күн бұрын
wachambuz wa mpira hawaa
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 4 күн бұрын
Waache tu tutakuja kuwakodi wakenya
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 22 сағат бұрын
Kenya wanapigania nchi yao
@blackyoungmaestro
@blackyoungmaestro 5 күн бұрын
Vijana fanyeni kazi acheni kukesha mitandao ya kijamii. Mind your business
@saidsoudamiri4054
@saidsoudamiri4054 5 күн бұрын
MO DEWJI Hana kazi ya kufanya???
@paulmbonika2459
@paulmbonika2459 5 күн бұрын
You are such a fool. Sana.
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 5 күн бұрын
Hivi mo dewiji na tundu lisu hawakuwa na kazi yakufanya.
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx 5 күн бұрын
​@@hassangasaba4565hapo chacha
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 5 күн бұрын
Police watuambie simu zake zilikuwa jirani na simu za nani kipindi cha utekwaji wake na kwa sasa simu zake ziko wapi kimtandao.
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 2 күн бұрын
ILITAKIWA KWANZA APEWE HUDUMA SIO KUMHOJI SAAANA HUO SIO UBINADAMU
@Taito-brand
@Taito-brand 4 күн бұрын
Kiukweli siamin kam Polis ndio wamehusik kuna mda unahukum mtu ambae hat una uwakik unasem tu kisa fulani kasema eet polis wamehusik unalipa tuhuma jeshi ukiitwa na kutoa taarifa utatoa acheni kufat mikumbo nawaambia ndg zangu
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 36 МЛН
Sativa kupatiwa matibabu Dar, ndege yapata dharura
5:00
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4,1 М.
Живые куклы и злая племянница! Часть 3! #shorts
0:35
Время летит быстро 😱
0:19
НЕБО - СПОРТ И РАЗВЛЕЧЕНИЯ
Рет қаралды 3 МЛН
тгк: Логово FRIENDS
0:23
АлексДан
Рет қаралды 11 МЛН