Wamenifukuza CCM lakini hawawezi kuuchukuwa uzalendo wangu kwa Zanzibar - Mzee Moyo

  Рет қаралды 50,586

Weyani Tv

Weyani Tv

Күн бұрын

Miaka mitano iliyopita, Mzee Hassan Nassor Moyo alifukuzwa kutoka chama chake alichodumu nacho muda mrefu cha CCM kwa shutuma za kukiuka misingi ya chama hicho. Mwenyewe aliiambia Sauti ya Ujerumani ya Deutsche Welle kwamba hajali na angeliendelea kukisimamia alichokuwa akikiamini ambacho ni Maridhiano ya Wazanzibari, Muungano wa Serikali Tatu, na Zanzibar yenye mamlaka yake.

Пікірлер: 61
@MsanangoMwalabu-rx1oo
@MsanangoMwalabu-rx1oo 10 ай бұрын
Mzee mshukuru mungu kukumbusha usiondoke dunian na DOA LA dhuruma na ukandamizaji haki za wananchi
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 4 жыл бұрын
Allah akupe Qauli thabit Mzee wetu. Akusameh makosa yako
@zanlec7357
@zanlec7357 Жыл бұрын
Allah atie nuor Njema kwenye Kaburi lako, na manukato mazuri ya neema, na akujaalie pepo siku ya mwisho
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm Ай бұрын
Mzee moyo umejitenga na madhalimu wa ccm dakika za mwisho allah akulipe pepo
@pandungozi1072
@pandungozi1072 4 жыл бұрын
Allaah akughufirie dhambi zaka na akulaze pahala pema peponi but tumeondokewa na mzee wetu mwenye msimamo mkali,fikra na busara kubwa kwa wazanzibarii🙏
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 жыл бұрын
Allah akustiri mzee wetu. Amin.
@albassambakili3757
@albassambakili3757 4 жыл бұрын
Mzee moyoo Allah akusamehe madhambi yko
@talibally8743
@talibally8743 4 жыл бұрын
Allah akupe kauli thabit n akuingiz peponi kw rehma za Allah... Ww unaipnd nchi yk n wtu wko huu ndio uislm unvotkiwa n hii ndio dini y kweli... Unambiw uwpend waislm wenzio kuliko unvo ipnd nafsi yk.. Mm nkuombea dua ya rabbi mpe pepo mj wko kw rehma zako apokelew kw mikono miwili n kitbu chko upew kw mkon w kulia... Amin.... Zanzibar asa hv tun dhulumiwa cc n cc viongz wn lion hli lkn wnfny hv Sbb wnaon jion wnpt kil kit cc wchn nd tunumia
@rehemamost444
@rehemamost444 4 жыл бұрын
Dini yakweli , unapenda binadamy wote sio waisilamu wenziio Tu,
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
@@rehemamost444, Uisilam ni dini ya kweli na haq. Na ndio mana Allah akaeka wazi mapenzi ya imani, ya udugu na ubinaadamu. Uisilam umetufunza kupenda waisilam wenzetu, kupenda wanaadamu wote kiujumla, nakuwapenda ahli zetu. Na uisilam hauna kosa kusema mpende muisilam mwenzio kuliko unavyoipenda nafs yako mana nyote ni waimani moja. Akifa leo hatatoka wa dini nyengine akaja akamzika.
@maikosaga3632
@maikosaga3632 4 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema peponi mzee wetu mwema amiin
@aishafarah2456
@aishafarah2456 4 жыл бұрын
Ameen Yaraby
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 жыл бұрын
Babu yangu mungu akuvishe taji la peponi
@amarbinswaleh4293
@amarbinswaleh4293 4 жыл бұрын
Inasubiriw ukasitiriwe kwenje njumba yako ya Miller Mungu akulaze mahala pema peponi Amin
@tifumunguatamlipaaliendewa4927
@tifumunguatamlipaaliendewa4927 4 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amina
@abdulfirst_pilot
@abdulfirst_pilot 4 жыл бұрын
Mungua ailaze roho ya mzee moyo mahali pema peponi amini kiukwelii wazanzibar wata kukumbuka sana kwa msimamo wako na kuitakia mema zanzibar pia
@Time-ev3dw
@Time-ev3dw 5 ай бұрын
Alla akurehem mzee wet hakika uliipambania nchi yet na hukuyumba wao ni madalali wa nchi yet kwa uwezo wa Alla hawatafanikiwa
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 4 жыл бұрын
Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun
@aybkham5795
@aybkham5795 4 жыл бұрын
ALLAH amped mzee Hassan Nassoro Moyo Makazi mema peponi, Aameen
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 4 жыл бұрын
Ameen
@fatmas7338
@fatmas7338 4 жыл бұрын
Allah akupe qaul thabit mzee wetu
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 4 жыл бұрын
Allah Akujaalie Qabri Yako Minalriadhiljannah Yarabiy
@salimmawiya6473
@salimmawiya6473 4 жыл бұрын
Mzee Wangu umeonesha juhudi yako kwa Zanzibar
@alisaid1204
@alisaid1204 4 жыл бұрын
Ewe Mola wa Arshi tukufu msamehe mzee Moyo na wazee wetu walo kwisha tangulia na uwaingize katika jannat l-firdaws.
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 4 жыл бұрын
Ameen
@ahmedkhamis9539
@ahmedkhamis9539 4 жыл бұрын
Allah amrehemu mzee wetu amsamehe makosa yake
@rehemamost444
@rehemamost444 4 жыл бұрын
Kama Tanzania inanuka maovu, usingeishi, nenda hapo Somalia Tu, ukaishi harafu ndo utajua Tanzania viongoz wetu wananukia Aman,
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 4 жыл бұрын
@@rehemamost444 Zanzibar kwanzaaaa
@alialibablly7010
@alialibablly7010 4 жыл бұрын
Uchungu wa zanzibar aujua mwana zanzibar alie kinae
@rukky4169
@rukky4169 4 жыл бұрын
Allah a kurehemu na akusameh makosa yako ww na jamii muslimiin
@muhiddinjamhour910
@muhiddinjamhour910 4 жыл бұрын
انا لله وانا اليه راجعون الله يرحمه ويغفر له
@kingelkindy2920
@kingelkindy2920 4 жыл бұрын
الله يغفر له ويرحمه ويسكنه فسيح جناته
@amarbinswaleh4293
@amarbinswaleh4293 4 жыл бұрын
Mung akulaze pema peponi
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 4 жыл бұрын
Aamin
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 4 жыл бұрын
Bora uwe na msimamo hadi mwisho...he is such a role model
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 4 жыл бұрын
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة واكرم مثواه
@pandungozi1072
@pandungozi1072 4 жыл бұрын
Aamiin🤲
@sulaimanalriyami471
@sulaimanalriyami471 4 жыл бұрын
اللهم غفر له وارحمه واسكنه فسيح جناته
@kingelkindy2920
@kingelkindy2920 4 жыл бұрын
اللهم آمين
@z.nalnabhani7194
@z.nalnabhani7194 3 жыл бұрын
Alamdulillah uliwaacha madhalimu na udhalimu wao
@samoragoodwin7309
@samoragoodwin7309 4 жыл бұрын
Mzee moyo alisimamia kile alichokuwa anaamini
@husseinmillans3794
@husseinmillans3794 4 жыл бұрын
Inna lillah wainna ilaih rajiuun!!R.I.P Papa.
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 25 күн бұрын
Nani kasikia, "Serikali ya Tanzania haiwezi kuandikwa bila kukuacha wewe, wala serikali ya unguja haiwezi kuandikwa bila kukuacha wewe?"
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Ukisema ukweli n kutaka mamlaka kamili zanzibar nakutetea zanzibar ccm haitaki ivo Allah akusamehe mazambi yako akujalie kauli sabit naukisema ukweli ktk ccm lazima ufukuzwe
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 2 жыл бұрын
Kama wewe ni muasisi wa muungano iweje leo unataka uvunjike? Inna lillah...
@athumankigomba427
@athumankigomba427 4 жыл бұрын
Mzee Zanzibar au tanzania
@hamishamis9905
@hamishamis9905 4 жыл бұрын
Rip
@happyjeremiahmhuli4043
@happyjeremiahmhuli4043 5 ай бұрын
Hawakumtendea haki
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
Mola akubari na umejitahidi kadiri ya uwezo wako
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 4 жыл бұрын
Simba
@adilhabibu7958
@adilhabibu7958 4 жыл бұрын
Mmh
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 25 күн бұрын
Qauli thabit haitokani na mambo ya kisiasa,,,
@mwalimumbukuzi7273
@mwalimumbukuzi7273 4 жыл бұрын
kina maalim sefu igeni ukweli na uaminifu wa huyu comred,ili iwe ni ushahidi mbele ya Allah. fitna na farka+majungu vitawafanya mfe vibaya
@tawfiqissa6123
@tawfiqissa6123 4 жыл бұрын
Hatuta kusahau ww nilulu kwa zanzibar yetu
@mattarmattar4405
@mattarmattar4405 4 жыл бұрын
[[[[[[[]]]]]]]]
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 жыл бұрын
Tanzania inanuka maovu kutoka kwa wanaongoza uongozi
@fahadfaraj1822
@fahadfaraj1822 4 жыл бұрын
Siasa ya duniani ipo ivyo leo iyo saudia nchi takatifu na kumeoza kiuongozi ivyo tuombe pepo tu haya ya dunia wala hayana lolote
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 жыл бұрын
Mapinduzi ya mama zao
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 жыл бұрын
Bado tinga tinga na wafuasi wake
@adammillanzi6087
@adammillanzi6087 4 жыл бұрын
Mnafki hana chochote. CCM oyeeeeee mpaka kiama. Mkichukia poa tu.
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Mnafiki wewe!!!
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
EVA mash
Рет қаралды 4,1 МЛН
Mbunge alizwa na wanavyotendewa Uamsho
10:46
Weyani Tv
Рет қаралды 24 М.