Wanene Tv Studio Session Presents:Nikki Mbishi {Prod. By Goncherbeats}

  Рет қаралды 428,569

Wanene Tv

Wanene Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 646
@Georgevasco-ld8be
@Georgevasco-ld8be 8 ай бұрын
Naomben like 5 tyu zinanitosha mana nimekuja itazama 2024
@felixrumisha5132
@felixrumisha5132 4 жыл бұрын
Tusiishie kucoment na kulike tu.. Tufungue pochi tununue kazi zake, mwana anastahili kulipwa... twendeni na #tumpeunjumpungawake
@sameeradam9133
@sameeradam9133 4 жыл бұрын
Kweli Mzee Wa kazz...
@mugadimon3563
@mugadimon3563 4 жыл бұрын
SURE MWAMBA MIMI NI MDAU MZURI NA KAZI ZAKE NINAYO MOJA YA SAMMAGOAL NASUBIRI IJAYO NINUNUE .NA NAENJOY SANA KUONA SESSION YAKE IMEPATA WATAZAMAJI WENGI KULIKO WASANII AMBAO WAPO MAINSTREAM
@kalimazegeli9339
@kalimazegeli9339 4 жыл бұрын
Mimi nahitaji album yake
@felixrumisha5132
@felixrumisha5132 4 жыл бұрын
@@kalimazegeli9339 mchek insta au youtube page yake kuna maelekezo
@mugadimon3563
@mugadimon3563 4 жыл бұрын
@@kalimazegeli9339 Nenda kwenye istagram yake nikkimbishi999 utakuta maelekezo yote ya jinsi ya kupata hizo album zote
@josephmengi2978
@josephmengi2978 4 жыл бұрын
Gonga like kama unamkubali Nick✍️
@kibibson
@kibibson 4 жыл бұрын
ukitaka ujue maana ya BEST MC mfuatilie huyu jamaa, he is Gifted and Talented Rapper. Tz hakuna kichwa kama huyu msela ukimsikiliza wkt anachana lazima utokwe na goosebumps. ZOHAN
@coachkente1001
@coachkente1001 2 жыл бұрын
There's a bigger difference between talent and gift this is GIFT not talent
@migstranger8142
@migstranger8142 4 жыл бұрын
Nikki mbishi muacheni niko speechless huyu jamaa ni hatari 🔥🔥
@officer1208
@officer1208 4 жыл бұрын
Daah huyu jamaa
@noelphilipo7994
@noelphilipo7994 4 жыл бұрын
Nakubali mnyama simba amakamanda nkimbishi
@dottodavid1935
@dottodavid1935 4 жыл бұрын
Anasikika sana redioni BOSS MKUU MAMA AKE 🙌🏼🙌🏼
@abdullahhamed2197
@abdullahhamed2197 4 жыл бұрын
Kumbuka kila kiumbe ameshushwa na future yake 🔑
@vinrocky8614
@vinrocky8614 4 жыл бұрын
Anasikika sana redio boss mkuu mama yake
@abdullahhamed2197
@abdullahhamed2197 4 жыл бұрын
Kumekucha Na makucha yake kumbuka kila kiumbe ameshushwa na future yake
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 4 жыл бұрын
@@vinrocky8614 future ni ya kila mmoja wake ' akili iwe yako uelewe :)
@musamgulila577
@musamgulila577 4 жыл бұрын
Hiki kichwa hatar sana
@dallerbwoyniglo8675
@dallerbwoyniglo8675 4 жыл бұрын
Nahisi wasichokijua juu ya huyu jamaa ana sauti ya mamraka anaafaa madaraka
@kastorymalila1109
@kastorymalila1109 4 жыл бұрын
We msenge mbona noma sana!!, na lazima wakukimbie mwaka huu, sasa tunasublia albam ya welcome to GAMBOSHI
@mo_zillaa5428
@mo_zillaa5428 4 жыл бұрын
Nimesoma koment za watu hapa nimelike kibao lakini nikaona sijatenda haki kutokomenti. Kichwa ya unju ni ma terabyte aisee, hatar mnoo. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abelbest4984
@abelbest4984 4 жыл бұрын
Kama umesikia "BOSS MKUU MAMAKE" Gonga like kwa dongo hili
@qadinacci
@qadinacci 4 жыл бұрын
DAH HA HA HA
@Jack-bx6go
@Jack-bx6go 4 жыл бұрын
Nilicheka sana😂😂😂
@bamztvonline9905
@bamztvonline9905 4 жыл бұрын
😂
@LeeUfudu
@LeeUfudu 4 жыл бұрын
Shout out from são Paulo Brasil
@bittersweet1683
@bittersweet1683 10 ай бұрын
Subliminal shots in hip hop
@wakudatamjanja
@wakudatamjanja 4 жыл бұрын
Sijawahii kuwa wa kwanza kwa comment ndo leo kweli ni balaa 👍👍👍
@tikonjoka5090
@tikonjoka5090 4 жыл бұрын
2na itaji mwendelezo iwe ngoma
@maselashassankubanda99
@maselashassankubanda99 4 жыл бұрын
We gotta admit,,Nikki mbishi is the Realest in the Game🙆 he's so intellectual that some can't even digest his lyrics 😁😁you gotta have a certain level of knowledge understand him
@selemanathuman6767
@selemanathuman6767 2 жыл бұрын
Nomaaaaaa Kaka ludiwe BC ata Kwa beat nyine br
@youngmillar4110
@youngmillar4110 4 жыл бұрын
Unju ndo icon ya hiphop bongo!! BOSS MKUU MAMAKE🔥🔥🔥
@angelomakaveli2790
@angelomakaveli2790 4 жыл бұрын
Anasikika sana redioni Boss mkuu mama yake 🔥🔥🔥🔥🔥Qmmke unju ni kisanga
@abelbest4984
@abelbest4984 4 жыл бұрын
Umeckia iyo boss mkumamake
@mosamossile9113
@mosamossile9113 4 жыл бұрын
Sister wew ni hip hop nakubar Sanaa one lv hapa Chuma juu ya chuma
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
Diamond kwenye wasafi radio
@Bomayee007
@Bomayee007 4 жыл бұрын
Amini kwamba
@steamnature
@steamnature 4 жыл бұрын
Unju anatumia jina JOHN kuunda mstari 2:05 "JEMBE zaidi ya JOHN DEERE pia niko strong CENA fear" JEMBE zaidi ya JOHN = Hapa kacheza na jina la John P. Magufuli anayefahamika pia kama "Jembe" JEMBE zaidi ya JOHN DEERE = "John Deere" ni kampuni ya Marekani inayouza pembejeo za kilimo yakiwemo majembe "... pia niko strong CENA (sina) fear" = Hapa kacheza na jina JOHN CENA, mwanamieleka wa kulipwa kutokea Marekani. Nikki anahusisha sehemu hii ya mstari na uwezo wa "ubavu" wa John Cena. Tafsiri ya mstari: Nikki anajigamba kuwa yeye ni mwenye misimamo, yuko imara, ana nguvu, na hana woga. #Unju
@hashimabdallah8523
@hashimabdallah8523 4 жыл бұрын
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 4 жыл бұрын
Apo Magufuli hausiki Ni hiyo kampuni ya Matrekta ya John Deere na John cena tuu
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 4 жыл бұрын
Mwamba anajua mambo mengi
@winfridamsumule5084
@winfridamsumule5084 4 жыл бұрын
@@faucynkrctian6607 Anahusika
@desekepi
@desekepi 4 жыл бұрын
@@faucynkrctian6607 sanaa haijawahi kukamilika na kila tafsiri inaweza kuja 😅
@brahmsbabaa6411
@brahmsbabaa6411 4 жыл бұрын
Usanii ni talent Sio kusoma kamusi This dude is talented 💯
@aaronjohn9518
@aaronjohn9518 4 жыл бұрын
Kuna melody flani tamu kwenye rap yako unayo na rappers wengi hawana, pia kichwa cha uandishi mzuri na maneno catch ya ku make headlines mtu akisikia 🔥🔥🔥big up Nikki mbishi
@divamrembo8788
@divamrembo8788 4 жыл бұрын
Anasikika sana redioni bosi MKUU MAMAAKE. ahaha #savage
@francissikazwe8330
@francissikazwe8330 4 жыл бұрын
Upeo wenu mdogo is not is easy to convince me 💥💣💣💥💥💥
@Bomayee007
@Bomayee007 4 жыл бұрын
Am settled nik meditate life ya ghetto sometime nakuwa menthol au klepto kama nyashishky
@chidytalent5104
@chidytalent5104 4 жыл бұрын
Miaka Tisa sasa namsikiliza Nikki he never disappointment me
@nelsonmasolwa8343
@nelsonmasolwa8343 4 жыл бұрын
Disappoint not disappointment
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 4 жыл бұрын
sasa uyu mchiz mnamfananisha na p uyu mchiz ni level nyingine
@anthonymgogo2651
@anthonymgogo2651 3 жыл бұрын
Wasioelewa wababisha
@fanleck2922
@fanleck2922 4 жыл бұрын
Hakuna kuoneana huruma, Biashara ni ubepari
@mosamossile9113
@mosamossile9113 4 жыл бұрын
Brother Unju Mimi mdogo wako nanyosha mikono juu, Wakilsha Tz kwq Upande wangu Tz hip hop ni wew wengine Kerere nyingi Sanaa hawawezi Kupita Kwenye Line zako, From Cape Town South Africa
@mosessabugo3630
@mosessabugo3630 4 жыл бұрын
eeeeeeeeh bhana kumbuka kila kiumbe ameshushwa na future yake tusifatiliane
@salehlule7745
@salehlule7745 4 жыл бұрын
Lafudhi tamu mpaka wanauliza umekaa pemba👊
@Sokomoko13
@Sokomoko13 4 жыл бұрын
LALA CHINI ONYESHA PESA PUMBAVUU😁😁😁
@maneshipaycash4729
@maneshipaycash4729 4 жыл бұрын
u killer it bro fire chawa nawaficha kwenye kwapa la suzi
@Sokomoko13
@Sokomoko13 4 жыл бұрын
CHAWA NAWAINGIZA CHAKA KWENYE KWAPA LA SUZI😂😂.. Nasubiri One incredible Aje Afanye Yaaaake!!! Hii ndo viru tunataka!!! Unju bin unuki mjukuuu wa Zohan
@mugadimon3563
@mugadimon3563 4 жыл бұрын
HUYU UNO NI WA MOTOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO TAMADUNI MUSIC HAKUNA RAPPER MBOVUUUUU
@kibrajizzo3340
@kibrajizzo3340 4 жыл бұрын
Cjawhi kwama kukubali kazi zako mkuu🙌🙌🙌 wakuache na ligi zao za mbuzi
@patrickdonald336
@patrickdonald336 4 жыл бұрын
Afu anakuja p anasema to me you will be the next after. Unju bin upupu
@sameeradam9133
@sameeradam9133 4 жыл бұрын
Hii" Inaitwa MWANA kulitafuta MWANA kulipataa......😂😂😂😂 Lakin Cc 2likwambia Dada yetu W.A.K.A.Z.I Mbish NIKI xo wa Kubishana nae kwa Kuchana xx Ckilza hzo Lyrics na apo hajaingia Studio Official akakuandika ww tuu....
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 4 жыл бұрын
Yule beki 3 yan dada wakazi zaidi asa akamuuliza Ney nd atapata majibu Unju km n kubishana atabishana na Uno au fid q kw nje ya tamaduni c uakazi Wala P.
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@rayaazamtv6958
@rayaazamtv6958 4 жыл бұрын
@@abdulmohd6880 fid huwezi huwezi kumweka levo za wakazi unamkosea eshima,,,,,. Wakaz nchni ata hajulikani ila jiulize fid q nani asie mjua??
@officer1208
@officer1208 4 жыл бұрын
Dada wa kazi yuko kuosha vyombo vya Tema Yai Nation muda huu
@mugadimon3563
@mugadimon3563 4 жыл бұрын
@@rayaazamtv6958 Sure faridi kubanda ni level nyingine ile
@saidbogoyo1484
@saidbogoyo1484 4 жыл бұрын
Huyu ndo king wa hip hop kwangu
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 4 жыл бұрын
Hhh after fid q mm nd anafata yy
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
Niki ndo best MC haina ubishi, fid zamani sio sasa
@desmondplanets3550
@desmondplanets3550 4 жыл бұрын
Amin broh
@almandolyrical7372
@almandolyrical7372 4 жыл бұрын
Afu unamskia mshenz anajarbu kusema fyokofyoko nikki sio mkali😂😂😂
@mugadimon3563
@mugadimon3563 4 жыл бұрын
WANAZINGUA SANA
@officer1208
@officer1208 4 жыл бұрын
Hahhaha huyo anaeleta fyokofyoko ujue Boss Mkuu Mamake
@felixmluge3211
@felixmluge3211 4 жыл бұрын
@cas jala...... 😁😁😁🤓
@hilmaxengineering4922
@hilmaxengineering4922 4 жыл бұрын
Wapenzi watazamaji wanataka beef na player , mpenzi mtazamaji ni Wakazi📌📌😀😆
@suhailsodeh5063
@suhailsodeh5063 4 жыл бұрын
Da genius..unafanya kazi efficiently bars👍💯🎧🎤🔥🇰🇪
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 4 жыл бұрын
Anackika sn redioni boss mkuu mamaake😂 mfikishieni izi info yule beki 3 yan dada wakazi kuwa Unju akiamuwa kubishana atabishana na Uno na kw nje ya tamaduni n Farid kubanda c yy wla P..
@arafatinfo1681
@arafatinfo1681 4 жыл бұрын
Uwezo wa huyu creature ni beyond imagination zawatu wengi sana achilia mbali wasiomuelewa, hata wale tunaoona tumeelewa nakufurah nakucoment, hapo utasem inafaa tumsome huyu mtu vzr wakubwa wadogo wakike wakiume ukimuelewa hutaona kazi kununua cd yake ata angeuza elf 50 kisha utaona fraha utayopata ukiskia katoa ngoma au interview, huyu ndo true defntion ya star, kama uko real lets enjoy the music through surpoting
@sosterntulian491
@sosterntulian491 4 жыл бұрын
Itabidi nikukubali tuu kilazima haina jinsi ..wee msenge ninoma 🔥🔥🔥
@officer1208
@officer1208 4 жыл бұрын
Hahhahah kmamke nmecheka kisengeeeee hii Comment yako..Unju ni katiliii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@izvibez6823
@izvibez6823 4 жыл бұрын
Upeo wenu mdogo it's not easy to convince me🎯
@nassorgaramatatu8342
@nassorgaramatatu8342 4 жыл бұрын
Daaaaaaah!!!!speechless zohan mtu mbaya sana
@leonardkahaya9006
@leonardkahaya9006 4 жыл бұрын
km uliwai kusikia nikki mbishi anamashabik diehard mm n mmoja wao🔥
@officer1208
@officer1208 4 жыл бұрын
Unju atabaki kuwa Legend tu,Dada wa Kazi atabaki kuwa beki tatu wa Tema Yai Nation
@francislauwo
@francislauwo 4 жыл бұрын
Legend of All The Time.Big up Nikki kwa kulisogeza gurudumu hili la HipHop to date. Unju Jasiri.
@sabongetz4676
@sabongetz4676 4 жыл бұрын
Mm ni moja yashabiki kumi bora huyu jamaa anajua adi anaboa
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
Yani hao kumi Niko hapo ndani
@sethmunisi8069
@sethmunisi8069 2 жыл бұрын
Dr unjuu,,,,, chawa nawaingiza chaka kwenye kwapa la suzi
@emmanueldrawerhq7526
@emmanueldrawerhq7526 4 жыл бұрын
Sina historia ya kumsujudia presenter #Unju binadamu anaesadikika kuwa mrefu zaidi ya unavyodhani
@wazi7719
@wazi7719 4 жыл бұрын
EL chaPOMBE killer... Jembe zaidi ya John😅 Like zake ziwe hapa #Unju💪
@sameeradam9133
@sameeradam9133 4 жыл бұрын
Ila huyu Jomba anajuwa xanaa ....Kibongo bongo anaemuweza labda Fid tuu
@tonnygraphy7757
@tonnygraphy7757 4 жыл бұрын
Boss mkuu mkumamake
@andrewbryankibua100
@andrewbryankibua100 3 жыл бұрын
Hakuna wa kumrith baba Malcolm,Nikki mbishi daktari unju bin unuk, ni kipawa Cha kipekee duniani Mungu akupe Long life,na amani bro..
@tonianosoprano117
@tonianosoprano117 4 жыл бұрын
Unju,🔥🙆‍♂️👐 umetisha Bro
@daudhasan6533
@daudhasan6533 4 жыл бұрын
WANENE TV HII INSTRUMENTAL MTUWEKEE MTANDAONI FOR FREE ...NAITAKA
@alextanzania
@alextanzania 4 ай бұрын
Waombe tena aisee
@bonifacemeela5247
@bonifacemeela5247 4 жыл бұрын
Kama unajua unajua tu unju bhana "//Muumba tutakase aliyetufumba tumshangaze/"
@TheAm21st
@TheAm21st 4 жыл бұрын
One of the Ghost Rapper in Tanzania
@exaverymnyanyi9051
@exaverymnyanyi9051 4 жыл бұрын
Unajua braza mung yupo utapepea sana
@joegitonga9821
@joegitonga9821 4 жыл бұрын
This dude never dissapoint.
@francissikazwe8330
@francissikazwe8330 4 жыл бұрын
For sure
@officer1208
@officer1208 4 жыл бұрын
For sure mzee
@shompizorajabu6654
@shompizorajabu6654 4 жыл бұрын
dah dah dah dah hakuna mwana km nikki mbishi
@thehoodmedia5332
@thehoodmedia5332 4 жыл бұрын
Mzee wa kuleta inzii kmk wasikucompare na watoto
@thelastsay7435
@thelastsay7435 4 жыл бұрын
Ngoja nikifika home nimskilize Nikki Mbishi(Nikki Zohan)..., 😃😃
@bakari_njobela371
@bakari_njobela371 4 жыл бұрын
Hata mimi nmesubiri nmalize kazi nisikilize vzuri a see😂😂
@onekisstv8412
@onekisstv8412 4 жыл бұрын
Iv unajua kama wewe jini mzee
@kayitareksteven1543
@kayitareksteven1543 3 жыл бұрын
Kabisa Nikki kaua kAbisa kuliko wote marehemu zizi angekuwepo ndo angewez kumusimamisha
@jameskutto3759
@jameskutto3759 4 жыл бұрын
eeeeih Unju mikono juu!!! Bongo hakuna kama huyu MC
@dr.bigfish3607
@dr.bigfish3607 4 жыл бұрын
Eti p mawenge ndo anataka vita ya mangoma na huyu jamaa... this is more than a rapper.
@hashirngalola4519
@hashirngalola4519 4 жыл бұрын
Mawenge hana mambo ya kiseng* ka uyo mshkaji
@josephselemani8971
@josephselemani8971 4 жыл бұрын
anasikika sana redioni boss mkuu mama ake @unju
@eddykidaya7285
@eddykidaya7285 4 жыл бұрын
nuff respect🙌🏽🔥
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 4 жыл бұрын
Kaka ww ni noma ...Unju big up
@SampleKiller99
@SampleKiller99 4 жыл бұрын
Natoa shomba kama papa kwa mchuzi. Chawa nawaingiza chaka kwenye kwapa la Suzi. Hatariiiiiii!
@elbassaam6949
@elbassaam6949 4 жыл бұрын
Rip zilla i wish ungekuepo tuone session yko
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
Kwelii aiseee jamaa angefunika woooteee
@musamgulila577
@musamgulila577 4 жыл бұрын
Zilla aliyekuwaga anamfunika ni Nikki mbishi tu baasi
@sofieldkalima6841
@sofieldkalima6841 4 жыл бұрын
Chawa nawaingiza Chaka kwenye kwapa la Suzy Mbishi Nikki Baba Malcolm Dr unju We ni bonge la ndonga km la mfala moses
@officer1208
@officer1208 4 жыл бұрын
#WaneneTv mpaka nimesubscribe kwasababu ya moto alouwasha Unju🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
@emmanuelbrassy4000
@emmanuelbrassy4000 3 жыл бұрын
Chawa nawaingiza chaka kwenye kwapa la suzi, babu talent wee mnoma sana
@hassankambwili957
@hassankambwili957 4 жыл бұрын
Sina ubishi na talent ya zohan kabisa ✊✊✊✊✊
@derickshady5590
@derickshady5590 4 жыл бұрын
Boss mkuu mamake!
@abedymkude1955
@abedymkude1955 4 жыл бұрын
this is the truly rapper we proud for! i've never fed up his flowz
@gabrielwilliam2340
@gabrielwilliam2340 2 жыл бұрын
Best Tanzania Mcee Unjuuuuu
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 4 жыл бұрын
BEAT HIPO GUDI NA ALIYE TEMBEA NAYO KAITENDEA HAKI KAENDA NAYO KI GUDI GUDI SAFI SANA NIKKI MBISHI A.K.A TERA BAITI
@chizijeff
@chizijeff 4 жыл бұрын
Dope Music... Nairobi is listening 🧨🧨🧨👊🏿💯💯
@Rimoynicky
@Rimoynicky 4 жыл бұрын
BOSS MKUUMAMAKE..
@jamerude3753
@jamerude3753 3 жыл бұрын
Wabongo ndo akili zinaishia hapo
@Kobe_254
@Kobe_254 2 жыл бұрын
Hizi ni zile ngoma kumi nakubali tokea Bongo!!! Hapa Diamond hayuko… mpo number moja…, ya wale mc mafala I mean, real legends from Bongo Flava
@mariemkanya1478
@mariemkanya1478 4 жыл бұрын
hahaha...hua nashangaa sana wanaojifananisha na huyu mwamba...hii ndio icon ya real hip hop iliobaki tz...hakuna kama huyu watamuelewa tu one day....
@bashirusalehenandoro3128
@bashirusalehenandoro3128 4 жыл бұрын
Hii energy ndio tulkuwa tunaimis toka kwa Nikki Mbishi
@sanjeydatt6494
@sanjeydatt6494 4 жыл бұрын
Sijawah kusujudia presenter
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
My best MC unjuuuuu, unajua sana bro mpaka umepitiliza
@abubakariynassoro9018
@abubakariynassoro9018 4 жыл бұрын
BOS mkuumamake🎤😂😂😂
@jailesmasimbo5703
@jailesmasimbo5703 4 жыл бұрын
Boss mkuumamake 🔥🔥
@nwntz
@nwntz 4 жыл бұрын
Hii sasa imeeleweka!!mia
@tonyspencer1928
@tonyspencer1928 4 жыл бұрын
Muumba tutakase Alie tufunga tumshangaze ka Ni ibilisi muasi tumkanyage tumpe kazi
@erickcobra4054
@erickcobra4054 4 жыл бұрын
Boss mkuu mama ake 😂😂😂😂😂
@hatuatv
@hatuatv 4 жыл бұрын
Boss mkuu mamake
@salminmhando1316
@salminmhando1316 4 жыл бұрын
Kumekucha na makucha yake😱😱
@hassansalumu210
@hassansalumu210 4 жыл бұрын
1:35 "boss mkuu mama yake " nani mwengine sentensi hii imemstua akiachana na mm
@desmondplanets3550
@desmondplanets3550 4 жыл бұрын
hHHHah
@rasjahkimbuteh208
@rasjahkimbuteh208 4 жыл бұрын
Dah!! Zikki hapana, umeshindikana bro. Kwanza nadhani umevunja record ya views ndani ya 24 hours kwenye hii channel.
@rajabmwanansoga8430
@rajabmwanansoga8430 4 жыл бұрын
Nishasikiliza kama mara 100 hivi......dah!hii noma sana
@saidakare8193
@saidakare8193 2 жыл бұрын
Never understood this guy till found out who Leonardo DA Vinci was😅😅😅you need an extra mind to understand this guy,he's a genius
@Hamadybendera
@Hamadybendera 4 жыл бұрын
My best mcee of all the time
@peterphilemon8577
@peterphilemon8577 4 жыл бұрын
Kuna mauaj sana umu🔥🔥🔥🔥
@Abdulcareem2024
@Abdulcareem2024 4 жыл бұрын
One of E.A finest! 🔥🔥🔥🔥
@officialchidibenz
@officialchidibenz 4 жыл бұрын
Tunazungumza ili tusikike tukizungumza au tunafatisha waliowahi kuzungumza..tuongee yanayotutosha ili tuweze kuyaelezea. Usilazimishe kunya ndoo wakati msosi bakuli. 0652187374
@eliaerasto7150
@eliaerasto7150 4 жыл бұрын
Chuma
Wanene Tv Presents: DaVinci CodesFreestyle Challenge
5:34
Wanene Tv
Рет қаралды 235 М.
Nikki Mbishi X Wakazi - PRICELESS Official Video
6:04
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 288 М.
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 30 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,5 МЛН
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 12 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 138 МЛН
Nikki Mbishi - AKILI KUMKICHWA (ProdBy Blaq Ninjah Of BBC)
3:51
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 27 М.
Conboi Cannabino TILL I DIE Official Video
3:17
Conboi Cannabino
Рет қаралды 314 М.
Nyakati (feat. Grace Matata)
4:45
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 17 М.
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 30 МЛН