Sirudi nyuma na hakuna iyo nafasi maana kila nilicho kunya nilisha flash Kama umeisikia hiyo neno gonga👉 👉like moja kubwa matata🇹🇿🇹🇿 xanaaa
@kakorejrboyz64474 жыл бұрын
Wanene wapo next level Sana sijui wa Bongo wanaelewa .Ebwanae iko poa Sana P mc ni MKALI Sana
@officialkim1394 жыл бұрын
Punchline 100..huyu ndo kaumiza kichwa sasa kwenye uandishi tofauti na wengine🙌🙌🙌🙌
@yascoguidezanzibar4 жыл бұрын
Qmmmake hakun session kali kam hiii wanene tv
@chamballaally87674 жыл бұрын
P Mawenge ni mkali kuliko wote hao wanaomshindanisha nae. Ananata na beat yoyote na msikilizaji unaenjoy . Wengine wakirap km wanaongea tu na wala hawaendani na beat . Mtazamo wangu .
@festohaule14993 жыл бұрын
Yeaah...mawenge always best rapper in TZ..ni mchanaji wa level za juu kabisa na punchline kali flow kali..salute sana sjutii kukufuatilia mziki wako🙏
@dennardleonard1228 Жыл бұрын
HII NDO KALI KULIKO ZOTE AISEE
@yessekindi46254 жыл бұрын
P Mawenge ameanza kunilazimisha nimpe sikio langu, am a fan @PMawenge✌
@sanakwachabasco59594 жыл бұрын
Ushabiki usiwafanye mkanijua zaidi ya Mother. Gonga Like Kwa BOMBRONX 🔥
@kelvinbeezy19424 жыл бұрын
Wanaishi kwa washikaji na wanadeka 🐐🐐🐐😁😁😁😁
@elimukwetu69914 жыл бұрын
Kuna kipaji na kipaji maalum, P the MC ni kipaji maalum.
@stuartikonko19414 жыл бұрын
Kwasasa ivii ndio kuchukua namba moja 👊👊👊👊👊
@shanatatrigger65374 жыл бұрын
Jamaa kachana tofauti na anavyochanaga yan kachana kimbele zaidi💥💥💥💥💪💪
@rayaazamtv69584 жыл бұрын
Mama mawenge mwanao kaua huku,,,,. Njoo uone japo hajamuua Unju hahahh
@albanbros67054 жыл бұрын
Ni noma mzee.
@dingoomagawa69504 жыл бұрын
Hii umeitendea hakiaa zaidii Father
@thomasamon37934 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🎙🎶 you ate that Mic P wewe ni hatari
@rwehumbizajonathan86894 жыл бұрын
Noma sana mzeeee....Kitemi sana.
@BandoMC4 жыл бұрын
Wanaishi kwa washikaji na wanadeka😀😀😀
@lovetonny07934 жыл бұрын
Kiukweli unastahili crown, am proud of u
@bernardnyutu67262 ай бұрын
Jembe zaidi ya john deer pia niko strong sina fear..... bars on bars
@slimflows4 жыл бұрын
From kenya nipe like ya huyu king
@migstranger81424 жыл бұрын
Ngoma kali. Flo kali. Kikosi kazi. 🔥
@noahpapy22774 жыл бұрын
Umetisha sana kaka uyu baba aoo mawenge
@kivengisanga44174 жыл бұрын
Mamaaeee.... Hiii yenyewe!
@mohamedkayaya14432 жыл бұрын
Yoooooo people weck up yooooo kill it.....
@hassansamata59954 жыл бұрын
Unjuuu mkali wao..Tena brother rap
@juniornsale40814 жыл бұрын
Dope sanaa, Bars zake ni nomah kuliko izo za wengine zilizopita.
@chamballaally87674 жыл бұрын
Umeona ehh!
@johnbrain32634 жыл бұрын
Truee
@eliezerthepreacher24234 жыл бұрын
@@chamballaally8767 Mex Cortez????
@Elcapitano_maestro4 жыл бұрын
P mawenge babu hufai🙌🙌🙌 hii umefokaa Ile mbaya
@dachdwoe4 жыл бұрын
Suddenly.........Mawenge is in my top 5
@emmanueljohn51624 жыл бұрын
Hiii imeweza kuweza Zingine sijazielewa Ghafla mawenge is on my top list
@deospackle21584 жыл бұрын
Nimeshapagawa kama nimechanganya mbege na nyasi🔥🔥🔥
@shedrackkessy58533 жыл бұрын
Umetisha mzazi noma sana
@babasari23334 жыл бұрын
Bro nimeskiza wanene .TV bro yours it's hot for real I can say your the best nd bars sio mchezo 100% talented ngumu
@swaleheharuna19924 жыл бұрын
U nailed it mzee...yan umemalizaaaa
@paulmtalemwa88064 жыл бұрын
Unju kakufunikaaaa sanaaaaaa
@abdulmohd68804 жыл бұрын
Mamamake n 🔥 sn Mawenge, sema nn ulkuwa ujipange umfunike Unju coz alivyokinukisha hapa bdo hajatokea wa kufunika..
@OSOONLINETV4 жыл бұрын
Mzee skiliza vizuri....skiliza punch line sio beat