WANAFANYA BIASHARA YA KUUZA MWILI | UNAINGIA EUROPE BILA VISA | WANAANZA KUNYWA WINE AHSUBUHI

  Рет қаралды 9,551

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

23 күн бұрын

Wilson ameeleza safari ya maisha kutoka Tanzania ambapo yeye ni mpiga ara za muziki, muziki ulimtoa Zanzibar na kumsafirisha nchi mbali mbali na baadae kwenda Georgia kwa kazi ya modeling
Ameeleza maisha ya Georgia na utofauti wa utamaduni uliomshangaza zaidi ni wa kunywa wine kuanzia ahsubuhi na suala la faragha la kimapenzi kua hadharani.
Kwasasa anaishi nchini Azerbaijan Kama mwalimu wa muziki.
KZbin Channel yake ni ‪@MasilingiTZ‬
Thank you Wilson for allowing this to be online
www.oda.international

Пікірлер: 29
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 22 күн бұрын
Subscribe kwa KZbin channel yake @masilingitz
@BarakaBitariho
@BarakaBitariho 20 күн бұрын
Nimecheka niliposikia eti kila kitu wanakisingimkza na waini, eti wine imegeuzwa chai. Niliwahi kusikia kitu kama hiki kikitokea Urusi wanapogeuza pombe kuwa chai. Hilo la Azbehidan kuwa na ubikra... nahisi ni kwa sababu ya kidini ila wanapokutana na ngozi nyeusi huwa wanawapapatikia kwakidhani ni wamarekan. Kuna watu wanakujaga eastern Europe kutafuta wachumba kutokana na wanavyopokea watu weusi... Ila over all: interview nzuri. Nasubiria mmu interview mtz mwingine kutoka hayo maeneo... hasa wale wa kutoka Sofia/Bulgaria and the nearby area. Eastern Europe ipo gizani na mambo yao mengi hayaletwi kwenye uwazi. Asante kwa kuendelea kutufunzeni.
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 22 күн бұрын
Muhaya mwenzio, nakutafuta Mashilingi
@regulashine8854
@regulashine8854 22 күн бұрын
Asante sana Shena na kaka Wilson story nzuri sana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 22 күн бұрын
@user-dv7zs9wk2b
@user-dv7zs9wk2b 22 күн бұрын
thanks very much sister shena
@Ashreystar8465
@Ashreystar8465 22 күн бұрын
Duh Georgia imenishinda
@Formula_Tz
@Formula_Tz 20 күн бұрын
Duh hatari san😂😂
@JacklineAlilah-bp3mp
@JacklineAlilah-bp3mp 22 күн бұрын
❤❤❤
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 22 күн бұрын
Haiyeyeyeyeee, Umesema kihaya 😂😂😂😂😂😂
@helinahenry2363
@helinahenry2363 16 күн бұрын
😂😂😂 hiyo inaitwa Okushaigiliza🤣🤣🤣🤣
@mwanaidikingazi4222
@mwanaidikingazi4222 16 күн бұрын
Kaka ameongea vzr kwakweli
@johneliezeri9786
@johneliezeri9786 14 күн бұрын
Baba Koku imenifundisha kupambana
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 21 күн бұрын
dadaangu shikamoo uko vzr kwa hilo swali ka kizushi nilikuwa nilisubiriya kwa hamu sana😂
@johneliezeri9786
@johneliezeri9786 14 күн бұрын
Baba Koku imenifundisha kupambana 16:16 😮
@Winifridainturkey
@Winifridainturkey 22 күн бұрын
Wa Georgia eneo Lao la kujidai ni uturuki
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 21 күн бұрын
Kumbeee 😁
@user-iy1np9et3q
@user-iy1np9et3q 21 күн бұрын
Ok
@jovinangambeki7416
@jovinangambeki7416 22 күн бұрын
Owomuka yeeeee
@mohamedallyrajabu8301
@mohamedallyrajabu8301 16 күн бұрын
Shena huyuu jamaa kwa maneno aliyo ongea na video yangu basi Watanzania kama hawata elewa basi ni vichwa vyao tuu vigumuu
@Winifridainturkey
@Winifridainturkey 22 күн бұрын
Watz wapo kwenye hizo ishu hawakosiii
@joejoshua7791
@joejoshua7791 22 күн бұрын
Wanaigeria ni wezi ndio maana wanajificha
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 22 күн бұрын
Hao vijana ni escort
@upendogreutert199
@upendogreutert199 21 күн бұрын
Baba Kokushubira 😅😂
@johnmessi6831
@johnmessi6831 17 күн бұрын
Nasikiliza vizuri kutoka Tel Aviv Israel 🇮🇱
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 17 күн бұрын
Karibu sana kwa kipindi tupate kujifunza kuhusu Israel +4367764790884
@Winifridainturkey
@Winifridainturkey 22 күн бұрын
Hii mpya ya toy boy 😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 22 күн бұрын
😅
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 21 күн бұрын
​@@OfficialDatingAssistance Escorts 😅😅
USUSI UNALIPA MAREKANI | ISIKILIZE SAUTI YAKO YA NDANI NDIO MAFANIKIO YAKO
1:04:00
Official Dating Assistance
Рет қаралды 9 М.
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Circle?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 40 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 28 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
WAJERUMANI WABAHILI | NILILIPIA MTANDAO MARA NNE LAKINI WAPI
1:30:46
Official Dating Assistance
Рет қаралды 46 М.
NAMNA YA KUFIKA CANADA | KAZI ZA CARE ZINAKUTOA KIMAISHA | CHUNGA MAISHA YAKO YA MTANDAONI
1:22:20
WANAVYOYATUMIA MAKANISA KUFIKA MAREKANI | NILIKUJA MAREKANI KWA NDOA
1:28:46
Official Dating Assistance
Рет қаралды 15 М.
WALIKUTANA MTANDAONI KUMBE ANASHIDA YA AFYA YA AKILI
14:04
Official Dating Assistance
Рет қаралды 18 М.
NIMEJIKITA KWENYE UJASILIAMALI | WAZUNGU HAWAELEWI MAMBO ZA KUSAIDIA NDUGU
1:08:50
Official Dating Assistance
Рет қаралды 31 М.
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Circle?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 40 МЛН