Ubarikiwe mzee wetu na miaka ya maisha yako izidishiwe katika jina la Yesu kristo.(Amina)
@GoodTeck9025 күн бұрын
Ubarikiwe sana Mzee wetu .....ndiyo cream pekee iliyobakia Tanzania, [kwa wale waliowahi kuwa viongozi wa Taifa letu kama ww] wengine wote vikaragosi. Ni mtu pekee unayesimamia ukweli na usiyeyumbishwa siku zote.
@AbdallaMwagora-sm1rj25 күн бұрын
Zanzibar si jimbo Zanzibar ni nchi na inahistoria yake kama ilivyo Tanganyika.
@GoodTeck9025 күн бұрын
Ww hujui .....Tofautisha nchi [country] na nchi huru [state] yaani dola kiswahili ...... Zanzibar ni nchi [country] Lakini siyo nchi huru [dola / State] na ndiyo maana haina kiti UN [Umoja wa Mataifa] ..... Kwa vyovyote vile Rais wa Zanzibar kupigiwa mizinga 21 ni kuvunja Katiba, na kupindua madaraka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Zanzibar haina Jeshi lake; unapopigiwa mizinga na Jeshi la Jamhuri ya Muungano na rais wa ZNZ siyo Amri Jeshi Mkuu huko ni kupindua nchi.
@sylvestercameo626325 күн бұрын
@@GoodTeck90Mbona maelezo marefu kwa tafsiri za Kiingereza. Suala ni "nchi" kama Zanzibar na Tanganyika si nchi basi hakuna Muungano, kwani kilichounganishwa ni nini mpaka Muungano ukatokea? Muungano ni zao la nchi mbili huwezi kupotosha ukweli huu!
@solomonadams633724 күн бұрын
@GoodTeck90 utakiwa unacho kizungumza lazima uwe na elimu nacho don't you know what does mean Country ¿Safiri kwanza usome halafu naamini hutozungumza utumbo huu sawa!Zanzibar is Country buh not Sovereign okay.na zilko nchi nyengine kama Zanzibar sawa.thanks
@GoodTeck9024 күн бұрын
@@solomonadams6337 kuna tofauti gani kati ya sovereign and state or sovereign and sovereign state ???!!! ..... Unakurupuka tuu kujibu hata unachokijibu hukijui ..... Mtu akisema state anamaanisha sovereign state yaani dola. Kwa kukusaidia tuu nenda kasome the doctrine of state and law by Car Marx. Zanzibar is a country but not a state hicho ndicho nilichokisema mm na hakibadiliki. Sasa ww umekariri na shule zako za chini ya mwembe unakuja kukosoa watu.
@abuubakar759423 күн бұрын
@@GoodTeck90 kwaiyo unamaanisha nyinyi Watanganyika munaitawala Zanzibar? Au unamaanixa vp kusema Zanzibar sio nchi huru?
@omarhusna176624 күн бұрын
Samahani muheshimiwa warioba hulo dubwana lenu LA mungano sisi wazanzibar hatutaki Hala kukisikia laaanatullah tuondoshee mungu wangu Hulu jina linalo itwaa mungano wazanzibar
@SundaySteven-bz4yq25 күн бұрын
Kama Hawa wazee walizaliwa ccm wanaona tatizo la muungano nyinyi wasomi wa Leo mnaosema muungano Hauna shida muliiba mitihani pamoja na vyeti kumbe wakina lisu mwabukusi wapewe maua Yao kumbe hatuna mulinzi wa lasilimali za Tanganyika ndio maana zimetawanyika
@issackjoelndakama132525 күн бұрын
Huyu mzee anatakiwa apewe kamati ya kukamilisha kuandika katiba mpya ya Tanzania
@GoodTeck9025 күн бұрын
CCM yalivyo hayawezi kumpa Kamati, kwa sababu wanamjua Mzee Warioba siku zote anasimamia ukweli.
@shelukindosabuni103024 күн бұрын
Hya majina ya mtu wa Bara sitaki mimi ni Mtanganyika
@joshuac.mashida137825 күн бұрын
Huyu mzee apewe tuzo yake yaheshima kabla hajaenda zake maana watanzania tumezoea kutoa tuzo kiongozi kisha ondoka aione macho kwa macho kazi yake wakati huu
@fabianmainchanyangachika501723 күн бұрын
Kabisa
@hafsalucky108825 күн бұрын
Mungu Akubariki Mzee wetu, Tunaihitaji Tanganyika yetu sn sn!
@anosiata824225 күн бұрын
Mzee yuko vizuri mungu akutunze
@NassorOmarDadi25 күн бұрын
Mnafiki why hasemi km Zanzibar iachiwe then tuwe na tanganyika huru
@dribrahimmamboleo443524 күн бұрын
Duuuh Yaani maelezo yote hayo bado tu hujaielewa dhamira ya walyoba. Mbululaaa😂
@dribrahimmamboleo443524 күн бұрын
@@NassorOmarDadi yaani maelezo yote hayo bado tu hujaielewa dhamira ya mzee walyoba😅 We mbulula😂
@methodmasenda917014 күн бұрын
Serikàli moja rais moja jeshi moja kila kitu kimoja tuu basi ila uroho tu wa madaraka
@user-vd1vx1dc8p25 күн бұрын
Ndiyo Zanzibar ni nchi! Lakini CCM wanajitoa ufahamu na kutulazimisha wananchi tukubaliane na ujinga wao
@gastordominic41014 күн бұрын
Mr Rioba your so smart
@SurprisedFullMoon-gg9vu23 күн бұрын
Warioba una akil saaanaaa
@muhammedbakari286724 күн бұрын
Sasa nyinyi ikiwa hamupati matunda ya muungano kwann mumekazania muungano uwepo .. kwann hamuuondoi muungano kilamtu akabakia pekeake kama nchi huru.. mnanishangaza sana
@SuleimanChief23 күн бұрын
Bora kila mtu na nchi yake
@KassimHanga-xr7rb23 күн бұрын
Mzee ❤❤❤ unaongea vizuri Sana
@bahatielias644323 күн бұрын
Mzee Bado yupo imara ,na akili timamu sema CCM hawampendi
@khamisjuma850125 күн бұрын
Sirikali.tatu maoni yangu
@rashidissa588725 күн бұрын
Hapa hatujaulizwa kutoa mapendekezo yetu. Wewe tulia ukisikilize kichwa kikongwe
@khamisjuma850125 күн бұрын
@@rashidissa5887maji ya shingo CCM understand my brother everyone is very important no matter
@dribrahimmamboleo443524 күн бұрын
Mbona mkali😂
@mohammedbakar414225 күн бұрын
Mzee Warioba ndio maana wazanzibar tuna taka serikali TATU
@AbdallaMwagora-sm1rj25 күн бұрын
Mzee warioba nakubali madini yako
@HudayjumaTaalib22 күн бұрын
Hizi koment Mamasamia kama unazyona inaonyesha waz kweny mungano kunamatatzo makubwa sana nakuomba mama fanya kiweleweke
@MdYeasin-xx1gm25 күн бұрын
kisu cha buchani kina zeeka na makali yake tupe nondo mzee mungu akulinde
@NassorOmarDadi25 күн бұрын
Zanzibar hatutaku Muungano hii ni Nchi huru km kwenu mnaona ni shida si lasima tuwe pamoja kama kwenu ni shida tuwe kama zamani majirani mema. ZANZIBAR NI DOLA KUBWA LILIKUA KABLA YA TANGANYIKA HATUTAKI NCHI YETU NA ITABAKI HIVO HIGO HADI DUNIA ITAONDOKA
@RomanMwinyi24 күн бұрын
Wewe mweutuu mungano utawepo ngoja Angie laisi kama magufuli alafu utatua ujuii na kama una weza kachukue mchanga walio changanya nyelele na kalume nyinyi wa toto wadogo Muna jikwrza mambo mwishoo wa siku Muna alibu
@muhammedbakari286724 күн бұрын
Nyinyi niwasomi lakn mnachanganya ujinga na werevu .. nahis maji maji ya ccm yanawasumbua hasa wewe Mzee warioba
@babanatalis840125 күн бұрын
mzee ana hoja ya msingi asikilizwe
@charlesmazigo81065 күн бұрын
Ufumbuzi ni kuwa na serikali moja,vitu viwili vikiungana kinakuwa kimoja,zanzibar ibaki wilaya ya tanzania
@KandidoLuvanga19 күн бұрын
Kiukwelibilakudanganyana wa bala huku tunachakaa sana wezetu zanzibar wanabebwa sana
@christinenyagiro666223 күн бұрын
Maua yako Judge Warioba. Nadhani mwana CCM mwenza
@user-rp6ev9ux1o23 күн бұрын
Watu kama hawa kwa Tz yetu hii ni wachache sana .
@AbdallaJuma-tx5ck19 күн бұрын
Mzr warioba wewe unafaa kua rais.sababu huna ubagizi.ila unajuwa Kila kitu kuhusu muungano suluisho ni serikali Tatu ndio chaguo la WAZANZIBARI.
@Muba-rf1eb23 күн бұрын
Warioba umeongea maneno mengi sana ila kilio chako ni mizinga 21 tu Kwan rais wa Zanzibar yeye hana haki yyte kwenye nchi
@user-wk4br3rc6u25 күн бұрын
Mwenyez mungu azidi kukuweka apa duniani amina
@saidkhalifa3422 күн бұрын
Asante chukuwa hio Zanzibar imekuwa MWAMINIFU kwa mungano ❤
@HudayjumaTaalib22 күн бұрын
Huyu alkuepo wakati mungano unaugwa nayy anazionakero mbona cc M hamumskilzi mana huyo mwemzenu nasi mpnzan mbona hamumskilz
@martinkisha630725 күн бұрын
CCM wamjibu na huyu mzee wampige tunaomba Tanganyika yetu
Anayoyasema Tundu Lisu ndiyo anayosema huyu mzee mbona hajaitwa mbaguzi?
@user-vl7yy8gz9k22 күн бұрын
Mzee asante kwa unwell na kuwaumbua chawa wanaomdanganya Rais wanamvuruga sanamama hawa chawa
@salummichael87Күн бұрын
Tunakandamizwa watanganyika tupewe haki yetu kwanini hatupew haki wakat wenzet walipewa hak????
@gastordominic41014 күн бұрын
Achana na wingi wa simu kumiliki Rioba anazungumza Uzito wa hoja ya mtu siyo wingi akina nani wameongea
@EliaoleshengEa-pv8fu23 күн бұрын
Hah 😮 kumbe huruhusiwe kumiliki kiwanja. Duh hii ndoa imekufa
@user-cg6iy2et7q23 күн бұрын
Yaan mzee anaakilisan kuliko vijana wasikuiz. Wako kwenyevyeo lakin hamnalolote. Nazan wamekusikia mzee jinsi unavyolichambua jambo
@user-so9fo5tv3j25 күн бұрын
Stay blessed Mzee wetu retired PM Warioba.
@maikonyondo-gr7gd23 күн бұрын
Huyu ndie kiongozi mtanganyika hivi tunahitaji nn kwenye muungano?
@salummichael87Күн бұрын
Serikali tatu ni haki kwa mtanganyika
@user-ub1yx5vc8b25 күн бұрын
Asante Jaji Warioba
@user-lx3ov9sf4o21 күн бұрын
Tuungane tu aise tuunganishe nguvu zetu tuitengeneze tanzania mpya
@user-io4cz9yg1w21 күн бұрын
aya yote kaleta Rais wa awamu ya kwanza
@natafutamatatizo438225 күн бұрын
CCM NDIO MPUMBAVU NA MAJINA YASIYO NA AKILI HATA ZA KUZALIWA WARIOBA NA YUPO SAHIHI ZANZIBAR NI NCHI NA SIO TANZANIA! TANGANYIKA NDIYO TANZANIA!
@AbhaiyaAbhaiya21 күн бұрын
Ukiileta ccm na andazi ntachagua andazi
@omarkapula58825 күн бұрын
Zanzibar bendera upepo huko sawa sasa arshi ya zanzibar kutoka nungwi mpaka fumba ni kilomita 90 upana 45 sasa watu miloni sitini wote wanataka wapate ardhi ya zanzibar kweli warioba hujui kitu unatumia umaarufu tu
@martinkisha630725 күн бұрын
Wengine ni pumba tu mzee yuko sawa
@philipfrancis237625 күн бұрын
We uwezo wako ni mdogo sana wa kuchambua hoja. Nakushauri ukae kimya
@MzeewaslowHusseinAndrew23 күн бұрын
Mapumbu yako kama hujui kitu nyamaza mpuuzi wewe @Omarkapula!.
@neliusgosbertbaguma869325 күн бұрын
Wamemsaliti Nyerere nao wasalitiwe tutengeneze ccm b
@user-cz9zu7ur1h25 күн бұрын
Kunakitu kuna nikera sana et mzanzibari akijiita yeye mzanzibari anaitwa mbaguzi ila mtanganyika yeye hapendi kujita mtanganyika hapa pana shida
@sylvestercameo626325 күн бұрын
Umenena kwa usahihi, watanganyika tumejaa woga, uzandiki na unafiki!
@richardrugemalira693423 күн бұрын
Tanzania bado ina hazina ya wazee wenye ufahamu, umahiri na hekima kubwa kusimamia hoja pasipo kuendekeza mawazo mgando ya UCHAWA wa CCM.
@himidmkuya738125 күн бұрын
ccm huyu mzee hawampendi lakini watamkumbuka katika makada wasomi wa ccm warioba tuu ndiye anae juwa ukweli tuu ccm tubadilike
@sebastianmwantuge559724 күн бұрын
Mzee Warioba nakuombea kwa Mungu uwe hai mpaka Serikali tatu zitakapopatikana ili uingie kwenye orodha ya mpigania haki ya kurudishwa kwa Serikali ya Tanganyika
@EzekiaMyila19 күн бұрын
Watu wa ccm msishangilie tu zanzibar ni wa watu ambao watuibia tu
@singirangoishiye68525 күн бұрын
Ubarikiwe sana Mzee Warioba. Nauliza swali kwa Serikali yetu na chama chamapinduzi kama wanaongoza pande zote za muungano na wengi mnapenda muungano kwanini msipendeke muungano wa nchi moja? Binafsi nikifikira ndoto za Baba wa Taifa alitamani nchi moja na ndio maana alianza na kuuwa Tanganyika, mliyofuata mlishindwa nini kuuwa Zanzibar?
@NassorOmarDadi25 күн бұрын
Zanzibar hatuutaki hasa huo muungano km mnataka muungano kaunganeni na Uganda na Kenya, Burundi, Rwanda maana hizo mmeshikana nazo hasa kuliko hata Zanzibar ambayo inetenganishwa na Bahari
@mohammedmfamau4323 күн бұрын
Inasikitisha sana mzee warioba huna deni kw zanzibar lkn pia kw jinsi muungano ulivyoasisiwa lkn pia kw unavyopigania haki itendeke.
@PaulKabungo25 күн бұрын
Serikali tatu
@muhammedbakari286724 күн бұрын
Sasa nyie ndio mabiya kweli ya n.. hivi ninani ane tumia jesh kisiasa kama sio cmm.. yan nyie ningekuwa na uwezo ningewachoma moto mkiwa mnajiona.. mambo yenu ni uwongo uwongo, utapeli na ujinga..
@user-ti3ku9cc9v24 күн бұрын
Napata kigugumizi sana je inawezekana?haya jaji anayoyazungumza
@meyasadavid980123 күн бұрын
Muungano ufe kila mtu kwao kama ni ulinzi wa inchi tutafute mbinu , wzanzibar wlio bara kwao mara moja tuachane maneno yamezidi sana
@didaslunkoto25 күн бұрын
Mzee warioba, Jenerali ulimwengu, Issa shivji na Tundu Lisu BABA wa Mbinguni azidi kuwatunza. Hawa ndo tunu ya Taifa
@user-rk9gr9yf3i24 күн бұрын
Hapataki tocho jibu liko wazi serikali tatu bila ya hivyo kila nchi itambue kwao
@ChristmasMaheri25 күн бұрын
Mzee Sinde,unatutendea sisi wananchi haki kwa ufafanuzi mzuri wa muundo wa muungano unaofaa nchini.
@user-cj2iq1qv6n25 күн бұрын
Walioba Mungu Akupe Maisha Malsha Malefu Ushudie. Viongozi Wa CCM Tunavyowasukuma Ndani
@gastordominic41014 күн бұрын
Warioba ni miongoni kwa Tunu za Taifa letu
@AgostinoWansyinho23 күн бұрын
My country people
@lupyanamatimbwi806423 күн бұрын
Mkweli sana mzee Walioba
@user-iq7kd3ne8w25 күн бұрын
Nakupata sana habari yako njema mzee wangu kwaida tunavyo jua kichwa katika mwili wa binadamu ndio Cha kwanza kutangulia hata kuzaliwa Sasa nakuamini ukweli siku zote haifichiki itapenya tuu hata mm mwenyewe ni ccm ni katibu vijana ccm kata ila naamini haya ni ya kweli semeni mungu
@bahatielias644323 күн бұрын
Nasiyo wewe tu u naelewa Hilo,viongozi wote wa CCm wanajua ukweli Lakin wameamua kuziba masikio tu one day watakubali tu , hakuna mtu hataku muungano isipokuwa lazima muungano uwe openi na wenye manufaa pande zote
@user-wv5is5ky9b24 күн бұрын
Mi nahisi solution ni kuvunja muungano tu sivyenginevyo wazanzibari wakabaki na nchi yao na watanganyika wabaki na nchi yao
@hajiramadhanihaji35523 күн бұрын
Hii si agenda ya Siri ya ccm
@hajiramadhanihaji35523 күн бұрын
Agenda ya. Ccm Ni kuikalia Zanzibar.
@almasisalehe816424 күн бұрын
Tathimini pevu. Kwa uchambuzi huu; Mheshiwa Jaji ameitendea Tanzania haki. Ameainisha waziwazi uhalisia wa yanayoendelea ndani ya muungano. Pande zote mbili za muungano ziwe na dhamira ya kweli. Kinyume chake ni sawa na muungano wa maigizo.
@muhammedbakari286724 күн бұрын
Na kuhusu ardh bado haijawa sababu kwan hata marekan watanganyika wanamiliki maeneo na hawajaungana.. hizo zenu ni mbinu za utapeli..
@SurprisedFullMoon-gg9vu23 күн бұрын
Hujielew wew"mpuuz"mwache Mzee warioba anazungumza point
@albertvalentino13024 күн бұрын
Mh,NAPE unatufafanuliaje kuhusiana na hizi hoja za Mh,mzee WARIOBA inao onekana naye anakubaliana na Mh LISU " Tutoe kwenye mtanziko "
@sulaimanmallecha613425 күн бұрын
Asate sana mzee walioba MUNGU akuongezee siku za kuishi uione nchi inavyopelekwa na majinga ma ccm😂😂😢
@KandidoLuvanga19 күн бұрын
Yaani swala la muungano wetu huu ukiwa na akilitimamu huwezi kuelewa unamambo fulani ambayo hayanamajibu kuna kama danganyatoto hivi
@AmusedForestBridge-zo6ox25 күн бұрын
Warioba anaujua kila kitu viongozi wa sasa hakuna kitu na hawajui
@hamadsaid499325 күн бұрын
Sasa mnaongea kitu gn naona ujinga tu kwani ni lazima tuungane, kwanza sisi na nyie ni watu tofauti nyie mna vichogo na nywele zinu kma vumbi or kipilipili, cc wazanzibar nywele zetu singa lain ya nn kulazimisha vitu
@sylvestercameo626325 күн бұрын
Akili ndogo sana! Nwele za singa au kipilipili mwisho wake ni nini?
@MzeewaslowHusseinAndrew23 күн бұрын
Makalio yako yakuwasha wewe
@user-ti3ku9cc9v24 күн бұрын
Hawa makatibu wakuu ni wamhungano au?
@neliusgosbertbaguma869325 күн бұрын
Huyu mzee wetu, ana Mungu
@Muba-rf1eb23 күн бұрын
Niuongo wabara wapo wengi Zanzibar wanaomiliki Kila kitu nyumba nakila kitu Kwan wabara wapo wengi Zanzibar
@EzekielChalomhola25 күн бұрын
@omarkapula588 Kwa comment hii inaonyesha ulivyomjinga na uwezo wako kufikiri ni mdogo. Pole sana!
Mzee ni kiboko kweli ni Mwanasheria mubombezi napenda njisi anavyojibu maswali. Yuko vizuri
@cyprianboniphace-oz5lw7 күн бұрын
Ati sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar mgeni rasmi rais wa Zanzibar sherehe za uhuru wa Tanganyika mgeni rais wa muungano eti jina linabadilishwa uhuru wa Tanzania bara usanii mtupu
@fabianmainchanyangachika501723 күн бұрын
Mangu akupe maisha marefu
@PaulKabungo25 күн бұрын
Mzee wetu, anajua kuliko vijana waleo
@spiderelexander997724 күн бұрын
Kati ya wazee tuliobaki nao wenye hekima walioba yumo na haya mambo kila cku lisu anayasema lakini anaonekana mjinga
@felixmsengi108425 күн бұрын
Huyu ndie jaji na mzalendo na anafafanua vzr Sheria na katiba ya nchi
@EzekielChalomhola25 күн бұрын
Ni hatari sana Kwa taifa tukiendekeza shingo ngumu ya CCM. Maneno ya huyu Mzee siyo ya kupuuza
@user-rg1wy6ft5l25 күн бұрын
Na huyo Nyerere amemsaliti Karume maana makubaliano yao ni mambo 11 tu kwaio nyerere ni msaliti mkubwa
@bakanga141023 күн бұрын
Huyu Mzee jambo kama halijaondolewa kikatiba huo ni uhuni tu cyo mfumi
@user-ti3ku9cc9v24 күн бұрын
Je kwa mfano mkuu wa mkoa kama makonda wanaweza kumhamishia zanzibar?
@user-so9fo5tv3j25 күн бұрын
Stand up with justice being witnesses for GOD. And then even if it is against your own people.(Quran 4:135)
@venancymsukwa643125 күн бұрын
Mzarendo wa kweli hata mbingu inatambua
@user-ti3ku9cc9v24 күн бұрын
Ivi rais wa jamhuri ya mhungano anaweza kuteua wakuu wa mikowa wa zanzibar?
@wilfredmbussa493024 күн бұрын
Tunge vunja muungano tu
@user-ig5yn4zp2u23 күн бұрын
Tunapaswa kuwa na wazee wa ainayoko mzee wetu warioba sio wazee wanaoliangamiza taifa kwa masilahi ya matumbo yao.
@KandidoLuvanga19 күн бұрын
Hongera mzee unaufahamu mkubwa sana munguakubariki nchihii yetu lakini kunavichwa bus wendawazimu wengi yaani kuna usanii. Uhalisia siomzuri ndiyo maana nimesema kuna danganya toto
@stevesungura678925 күн бұрын
Aise, ivi kweli wanaopibga hili jambo hawaelewi au?
@user-gd2xj3xd1b24 күн бұрын
Baraza la wawakilish lazima liwe kubwa bunge ni zao TU la muungano
@abdalahgunda131924 күн бұрын
Better to have 3 gavment pointless reject cost how to run 3 gavment whake we are already on that cost ccm crush warioba advise because of few politician inside gavment benefits themselves on behalf of this agreement of lare julias kambarege Nyerere and aman abed karume pasonol benefits not Tanganyika population
@EzekielChalomhola25 күн бұрын
Mtangazaji maswali Yako ni mazuri lakini ni inaonyesha umepewa