MASHAUZI YA ISHA AKIGOMA KUMSAMEHE MPENZI WAKE MABANGO 'SIKUTAKI USINIZOEE'

  Рет қаралды 45,235

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 354
@BahatiAlly-xs8jr
@BahatiAlly-xs8jr 4 ай бұрын
Msamehe uyo kijana ni mkweli mungu huea anasamehe piga goti kwaza daisha useme na mungu uyo ni mwanadamu ameamu kijizalilisha Kwa ajiri yako najua jisigani unajisikia namuomba kama mdogo wangu mfikilie piga goti Kwa mungu awe mume sio swala nawe kaka ikitokea Aisha amekusamehe uwe na ofu ya mungu ukipendwa pendeka niliipenda San kapu yenu mmeniumiza San namuomba mungu awe katiyenu muwe mke na mume nawapenda San❤️❤️❤️🙏🙏
@keyla3641
@keyla3641 4 ай бұрын
Yani umeongea ukweli kabisa
@xkingx8041
@xkingx8041 4 ай бұрын
Msamehe uyo isha. Hao viumbe hawaombagi msaamaa. Huto mpata mkamilifu.hao viumbe ma jeurii hao. Msamehe ishaaa
@Nahimanasudi-kh2xo
@Nahimanasudi-kh2xo 4 ай бұрын
Isha Baby tuko pamoja ❤❤❤
@Nahimanasudi-kh2xo
@Nahimanasudi-kh2xo 4 ай бұрын
Isha tuko na ww Baby ❤❤❤
@kadito-music
@kadito-music 4 ай бұрын
Wanawake wanahuruma sanaa niamini mimi wakipenda wanapenda asilimia mia ❤❤huruma akiweka atamsamehe
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija 4 ай бұрын
ogopa wanawake wanaopenda kweli kweli ni wabaya ukimkosea aaanh utaomba poo
@kadito-music
@kadito-music 4 ай бұрын
@@aboudijaaboudija it's true asilimia mia ndugu yangu
@BiashaElefu
@BiashaElefu 4 ай бұрын
Aisha tafadhali msamee wewe ni Muslim Mimi najua wanadam makosa niyetu,, ila pia usisahau kuna watu wanapenda kuaribu maisha ya watu, ,, Mimi sijapenda ivyo msamee muendelee n maisha😌
@NdayisengaAmina
@NdayisengaAmina 4 ай бұрын
Nitazidi kuzidisha duwa kwa Allah alirudishe penzi lenu lirudi kama Hawali
@sharifamohammed6317
@sharifamohammed6317 4 ай бұрын
Ulisikia wapi dua za zinaa zinakubalika wee uogopiii
@SallehFakki
@SallehFakki 4 ай бұрын
Please da Isham nakuomba umuelewe huyu kaka Anakupenda please msamehe my
@YasintaMinja-ob1nt
@YasintaMinja-ob1nt 4 ай бұрын
Kpnz msamehe tu huyo mkaka maana nimstaraab kwa kwel ni mwanaume gan anaweza kuomba msamaha hatharani ❤❤
@NasraWaziri-l9f
@NasraWaziri-l9f 4 ай бұрын
Mungu anakuona isha
@righitkileo
@righitkileo 4 ай бұрын
❤❤Ushauri wanqu Nyie watu maarufu anqalieni namna nzuri ya kumaliza tofauti zenu bila kuanikana humu.wewe Mwanaume kuwa mwanaume bac.hii namna kama ndo inazidisha huyu mama kuendelea kukukata. Au vile nyie wa Uswaz ndo mlivyo
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 4 ай бұрын
Isha una roho nzuri ila mabango kakosea
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 4 ай бұрын
Umri umeenda na achana na maisha ya kitoto we ushakuwa mtu mzima na umeshatumika sana hata ladha hapo hamna mmeeeek
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 2 ай бұрын
Atatia chumvi
@MwantumuAbdy
@MwantumuAbdy 4 ай бұрын
Umenifundisha kitu kikubwa sana dd angu nimekuelewa bure i got ur point sis love u
@GloryTesha-g6p
@GloryTesha-g6p 4 ай бұрын
Mwendelezo pls
@ferdaedward8373
@ferdaedward8373 4 ай бұрын
Nimeipenda ngugu samehee niwanaumewachache wanaomba msamaha huyoa nakupenda
@MariamRashid-sm5zw
@MariamRashid-sm5zw 4 ай бұрын
wanawake tunatakiwa tuwe kama mwanangu isha tungekheshimika
@giovannajohn3813
@giovannajohn3813 4 ай бұрын
Da Isha naomba umsamehe plz hakuna mwema hata mmoja kwenye dunia hii iloyojaa laana msamehe nakuomba
@annemtaki8483
@annemtaki8483 4 ай бұрын
Isha msamehe mpenzi wako. Elewa kwamba hao ni wavurugaji tu. Mkiachana watafurahi sana.
@najatramadhani6300
@najatramadhani6300 4 ай бұрын
Nakuelewa sana isha❤ pole sana
@NeemaMweta
@NeemaMweta 4 ай бұрын
Mwanangu nimekupendaaaaa ishaaaaaaaaaa saaaaaaaafi usimpe mkono atakuharibia nyotaaa
@vickykapama8386
@vickykapama8386 4 ай бұрын
Amekosea sana tena sanaaaa kubadilisha password. Cha kufanya wewe nenda ukatulie kdg na ukafikirie kwa MAKINI! Ukirudi upya na MFUNGE NDOA ILI MUWE MUME NA MKE.. Aisha hasira zk zikisha isha atakuwlewa. Inshallah 🙏
@dullahbakari4813
@dullahbakari4813 4 ай бұрын
Daaaaah Isha msamehe tu aiseee 🙏
@ZoyaAli-qy3tg
@ZoyaAli-qy3tg 4 ай бұрын
Maskini hadi anahuzunisha msamehe maana sio rahisi mwanaume kunyenyekea hivi 😢😢
@MohamedibrahimMwatembo
@MohamedibrahimMwatembo 4 ай бұрын
Nilikua nakuona mwanamke ila nimekuzarau umejitoa sifa sifa mwanamke ni kusamehe kwa Nini usimsamehe mwenzio inamana wewe mnafiki una mzalilisha mtoto wa watu kwenye vyombo vya habari sio viziri
@emmymgonto4110
@emmymgonto4110 4 ай бұрын
Dada yangu Isha ukipenda una nyongo kali Kama mimi Mungu atusaidie
@SophiaMwenda-m3l
@SophiaMwenda-m3l 4 ай бұрын
Msamehe Jamani huyo kijana kila mtu anamapungufu hata kama utapata mtu mwingine huenda anamapungufu kuliko huyo samehee tu Dada Isha
@LucyOmary
@LucyOmary 4 ай бұрын
Samehe dada Isha tena mshukuru mungu bwana wako ansomba msamaha warahi usipomsamehe utakuja pingwa na vitu vizito na hutoombwa msamaha
@gindamaster1784
@gindamaster1784 4 ай бұрын
Mwamba anatema sana vocals
@HALIMASIRI-w7i
@HALIMASIRI-w7i 4 ай бұрын
Msamehee Aisha please wewe nibinadamu kuwa nautu haki please
@LoiseRogat12
@LoiseRogat12 4 ай бұрын
Msamehe tu dada Aisha mungu atakusamehe tu
@midilastahans7188
@midilastahans7188 4 ай бұрын
Maskini ya Mungu wangu etiiii naruhusiwa kuja kuka au??jamani nimemunurumia.kukosa kazi kubaya sana uwiiii uwiiii vijana wetu fanyeni kazi acheni kulelewa.uwiiiiiiiii😢😅
@rosebeniel
@rosebeniel 4 ай бұрын
Unawaza kulelewa tu wengine wana mapenz hawaangalii.hilo
@NeemaMweta
@NeemaMweta 4 ай бұрын
Mkomeshe ivoivo na wengine wajifunzeze namnyota wake wa giza akome
@salamakiwinga6310
@salamakiwinga6310 4 ай бұрын
Bas mimi sijui sina akili vzr yule mbwa kashanipiga matukio kibao nusu nife ila akisema tu niasamehe nishamsamehe adi najishangaa mweh natamani ningekuw na moyo km wako isha 😢😢😢
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 ай бұрын
Itakuwa unampenda sana au unafikiria yale anayokupa usiku unazani huyopata zaidi ya yy😅😅😅
@SeleTosha-hk8kp
@SeleTosha-hk8kp 4 ай бұрын
Aisha I'm very sure ur very straight kwenye huo mvunjiko wenu wa mapenzi ila my opinion is stop hizo mambo za kuhojiwa hojiwa that's not nice,coz wewe sio wa kwanza ku breck love that's my opinions sister, stop that fanya mambo yako achana nae hana mpango 🇿🇦
@MariamRashid-sm5zw
@MariamRashid-sm5zw 4 ай бұрын
insha mwanangu naomba msamekhe sana lakini mfunge ndoa inshaallah mpe nafasi yamwisho
@PascoMlinga
@PascoMlinga 4 ай бұрын
Mnajizalilisha hayo matatizo yenu mlitajiwa muyamalize wenyewe nyumbani sio kwenye mitandao
@wilsonwizzo2483
@wilsonwizzo2483 4 ай бұрын
Daah sema wanaume huwa tuanaushirikiano sana Ukicheki hapo jamaa wanavyompambania mwana😂
@saidkibabe7131
@saidkibabe7131 4 ай бұрын
Bro code baba😂😂😂😂
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂mashemeji uchwara 😂😂
@TomeTenendeTenende-rz2ys
@TomeTenendeTenende-rz2ys 4 ай бұрын
Kkkkkkkkkkkkk vizuri sana aise
@RehemaMwakapimba
@RehemaMwakapimba 4 ай бұрын
Isha acha ushamba wewe ni mwanamke. Tayali kaisha kuvua nguo mama. Msameee sana.
@brycesopsop719
@brycesopsop719 4 ай бұрын
Pole bro hope mutarudiana 2
@edgercyprian964
@edgercyprian964 4 ай бұрын
Daaah Aisha ebu mpe nafasi ya mwisho mwenzio unajua mwanaume mpaka kufikia kuomba msamaha
@SallehFakki
@SallehFakki 4 ай бұрын
Dada isha please nakuomba msamehe. Ata sister tunskosea ila Alla hutusameheee
@ireneflorence2232
@ireneflorence2232 4 ай бұрын
Mwanamke akishakupa sikio lake imeisha hiyo.😂😂 mpeni mda tu
@maryamedi9141
@maryamedi9141 4 ай бұрын
Msameh jmn dad Isha hakuna mkamilifu
@samwelmasunga8293
@samwelmasunga8293 4 ай бұрын
Shangazi isha Msaheme Mabango kwani ni wachache sana wenye moyo kama wa jamaa mtu kukufuta mpaka apo ni hatali sana wengne huwa wana sema mpo wengi lkn mabango ashafika sehem sahihi msamehe aunt tuna kuomba jmn
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 4 ай бұрын
Isha msamehe mtoto wa mwanamke mwenzio kazaliwa na yy maskini 😢😊😊😊
@kelvinmootian6965
@kelvinmootian6965 4 ай бұрын
Hae
@VicentKisaika
@VicentKisaika 4 ай бұрын
Kwenda media ndo suluhisho ?mwanaume mzima hovyo,,tafuta mke mwingine,,Isha nmeipenda msimamo wako,,wakurya huwa aturudi nyuma,,safi sana Isha,,
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 4 ай бұрын
Isha msamehe mpenzi ila ongeza spidi ya kufanya yako
@Naema-x7p
@Naema-x7p 4 ай бұрын
Maskiniiii mapenzi haya adi amenitia huruma kaka wawatu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭isha msamehe mwenzako😢😢😢😢😢😢😢😢
@NewNew-ep5dq
@NewNew-ep5dq 4 ай бұрын
Yani unishid mm nimeumia san msamee
@MpajiAli
@MpajiAli 4 ай бұрын
Hao wanaume loòh hats huruma cimuonei huruma mishenz mijanaume
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 4 ай бұрын
Msameheee acha mashauziiiii
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 4 ай бұрын
Dada isha nakupenda umeongea kweli
@franciscakija1702
@franciscakija1702 4 ай бұрын
Isha kazaaa hawa watu wanadharau sana. Kazaaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unakuja kuomba msamaha na 12 yako tu 🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️
@loner_wolf
@loner_wolf 4 ай бұрын
Huyu demu hataki kweli for now ....cjui baadae huenda anything can happen .
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 4 ай бұрын
Isha macho yanaonesha bado unampenda mabango 😂
@rerisamba
@rerisamba 4 ай бұрын
Pole dada watu wengine hupenda kuumiza watu
@boniphacerweyemamu2118
@boniphacerweyemamu2118 4 ай бұрын
Sikuzote mwanamke akikupa nafasi ya kukusikiliza ujue asilimia ya kusameewa ni mkubw huyu lazima amsamee😊
@nikiwejimson8527
@nikiwejimson8527 4 ай бұрын
Ahahahahahaha😂
@aikamungure7056
@aikamungure7056 4 ай бұрын
Isha upo sahihi sana,Ila msamehe tu,maana atakuwa ameshaijua thamani yako
@LydiaFaustine-bk6nv
@LydiaFaustine-bk6nv 4 ай бұрын
Mwenyewe anajua anapendwa sana ndo maana anaringa sana, ringa mamaa🎉
@TomeTenendeTenende-rz2ys
@TomeTenendeTenende-rz2ys 4 ай бұрын
Kkkkk apo sasa kkkkkk
@Jumashadhil380
@Jumashadhil380 4 ай бұрын
Yani Mwanamke Akisema Hataki,, Ndugu Zangu Uwe Na Hela Au Hauna Yani Kama Hataki Hataki tuuh,, Yani Akisema Hataki Alafu Anataka Basi Huyo Anataka,, Lakini Akisema Hataki Alafu Hakiwa Hataki Basi Huyo Hataki,,, Oya Wanangu Tujifunzeni Kuwapenda Back Hawa Wanawake Wanao Tupenda
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud 4 ай бұрын
Hajapenda huyu maxinguo tu
@wardaomary2997
@wardaomary2997 4 ай бұрын
😂😂😂 mchaga na iddris nyie aya mwenzenu anaomba msamaha sasa😂😂😂
@Vee-w3x
@Vee-w3x 4 ай бұрын
Inaniuma kuona wanaomuomba isha asamehe wengi ni wanawake. Hii ndio sababu wanawake hamueshimiki na wala wanaume hawaogopi kuwasaliti kwa sababu wanajua watafanya ujinga mwisho watasamehewa tu.Ama kweli heshima ya mwanamke inashushwa na mwanamke mwenyewe
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 4 ай бұрын
😂😂😂kuanzia leo isha ndo mwenyekiti wa mashangazii wotee😂😂
@mwanamambokimbwara9733
@mwanamambokimbwara9733 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@loner_wolf
@loner_wolf 4 ай бұрын
Mm sipendagi vijamaa vizembe zembe kama hiki , lkn ktk hii issue nahisi huyu jamaa hayuko tayar kuachana na Bi Isha , ningependa Bi Isha umsamehe tu mshkaji . Sisi wanaume kufikia kuomba msamaha hivyo , duh ujue kunanamna he is not ready for that break .
@Husna-pn5gg
@Husna-pn5gg 4 ай бұрын
dada ishaa msamehe bhn kijana wawat daah😢 minilikua nakupenden jmni
@ChikuHamisi-o8p
@ChikuHamisi-o8p 4 ай бұрын
Aaah nipate kakaangu analia hivi kwa lishangazi km hili aaaah mungu ndo anajua Walah
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 4 ай бұрын
Mashaallah jike la simba likitaka kung'ata linang'ataaa ng'aaaaaaaaaaaaa mnyooooshe ivyo ivyo kwnza akilud adabu
@ClickandView101
@ClickandView101 3 ай бұрын
Roho mbaya😢😢 amsameheee
@sk-wj9or
@sk-wj9or 4 ай бұрын
Aisha uliisha wahi yasema hayo awali. Mungu akuhifadhi ukhty. Nakuzimia mno.
@anniemallagi
@anniemallagi 4 ай бұрын
Duuh pole mabango naona shangazi kakaza
@SallehFakki
@SallehFakki 4 ай бұрын
Pia kumbuka ss binaadamu tumeubwa na mapungufu my msikilize mwenzio kiukweli anakupenda. Please my masamehe my
@tusaamon3216
@tusaamon3216 4 ай бұрын
Isha samahee dada angu, samee Saba mara sabini, mwanaume kajieleza sana msamee
@MerinaMihayo
@MerinaMihayo 4 ай бұрын
Isha nimeipentaaa hiyooo 😊😊wewe ata ukimsamehe amejifunza
@hypogotz8705
@hypogotz8705 4 ай бұрын
Vijana tafuteni hela 😂
@NakivonaSalim
@NakivonaSalim 4 ай бұрын
Macho ya da Isha yanaongea bado anampeeenda mabango
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 4 ай бұрын
Ndioo anampenda
@NewNew-ep5dq
@NewNew-ep5dq 4 ай бұрын
Kweli yani
@MariaSigan-i6g
@MariaSigan-i6g 4 ай бұрын
Kwn huyo kaka hutaki kumsamehe kaua au kuna kosa gn ambalo halisameheki dada mungu anakuona😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢
@Amirihussein-t7j
@Amirihussein-t7j 4 ай бұрын
kaka yangu mwaimu umezinguwa sana
@MialiiMohamed-m9l
@MialiiMohamed-m9l 4 ай бұрын
Mi nawaombea tu Allah awajalie ndoa coz najua mtarudiana
@zainabadam123
@zainabadam123 4 ай бұрын
Mwenye akili atakua amemuelewa dada ishaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@evalokwetikya1984
@evalokwetikya1984 4 ай бұрын
Baba umeyakanyaga kwa watu wa Mara fanya yote usithubutu kuchezea mapenzi au moyo wake itakula kwako
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 4 ай бұрын
Jmn ishaa dada msamehe mliqoseana mqiwa peqeenu ndani hili ndo qwetu sisi ndio la qwanza msamehe jmn😭😭😭😭😭😭
@NdayisengaAmina
@NdayisengaAmina 4 ай бұрын
As ww dada yangu nakuomba kwa ajili ya Allah msamehe uyo kaka ukiona mwana mume anapiga magoti kukuomba msamaa uyo nimpenzi wako kabisa kwa sababu dada yangu Allah tunamkoseya sana ila nimwepesi wahuruma anatuhurumiya n'a anatusamehe waja wake mimi ni shabiki wako kutoka Burundi naomba m'amène uyo kala kwakweli ata mimi namuoneya huruma
@mishimtambo4684
@mishimtambo4684 4 ай бұрын
Kwani kabla ya Isha ulikuwa unakosa liziki
@SuleimanMachano-t3z
@SuleimanMachano-t3z 4 ай бұрын
Tangaza ndoa usipalilie zinaa kaka hayo ndio mapenzi unajuwa kubembeleza mabango msamehe Isha
@haryanyawu640
@haryanyawu640 4 ай бұрын
Aliekwambia hawana ndoa nani?
@bellommpanami9868
@bellommpanami9868 4 ай бұрын
Jike la Simba limeunguruma😂
@MariamRashid-sm5zw
@MariamRashid-sm5zw 4 ай бұрын
inshaa msamekhe mwanangu 15:50
@TabuMudi
@TabuMudi 4 ай бұрын
Jamani wote hao ni watu wazima maamuzi ya mtu yaheshimiwe walipotakana mlikuwepo? Mwacheni
@MohamedMachete
@MohamedMachete 4 ай бұрын
Vijana tafuteni hela pata picha broo hapo familia yake inamuona anaishi maisha mazuri lakini leo hii wanamuona anamlilia mwanamke kisa maisha mazuri 😢😢 muhimu kweli kuwa na pesa yako😮😮😮
@peacecook1492
@peacecook1492 4 ай бұрын
Msamehe mshikaj Yuko real
@jadetoto
@jadetoto 4 ай бұрын
Watatafutwa na Radio zotensasa Isha anajishauaa ngojanukutane na Abdul wa Diva akucheat mpaka ufe
@KisileAbdallah
@KisileAbdallah 4 ай бұрын
Msamehe bwana mpk anatia huruma 😮
@NewNew-ep5dq
@NewNew-ep5dq 4 ай бұрын
Ww muChe atakuj kumkumbuka mtu anaomb msamaa siumsamee tu
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 4 ай бұрын
Ila ww mvulana umelogwa jaman yaan had umekonda, hembu jitulize unatuabisha wazazi jaman kama kakufungulia dunia siuedeleze, au ndy ganda la ndizi, Piriiiiiii! mpaka Maka😂😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 ай бұрын
Unajuwaje huyo mwanao alichooneshwa huko muombee dua aowe
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 4 ай бұрын
Isha jamani msamee mtoto wa mwanamke mwezio .najua umeumia lakini msamee mabango haludii Tena.
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 4 ай бұрын
Ila kaisha kanajua kuringa jamn 😂😂 uko. Mwishon mie hoi uku wallah
@YuniceChuma
@YuniceChuma 4 ай бұрын
Siwengine tuna fumania kabisa na msamaha hatuombwi 😂😂😂😂
@salmakirundu2076
@salmakirundu2076 4 ай бұрын
Mwenyezimungu anasema samehe mara 70 kwa siku
@nuruhamisi5384
@nuruhamisi5384 4 ай бұрын
Atamsamee tu anampenda namuona kabisa sema kwakua mkubwa na anajua kuna camera awez kuonesha udhaifu watu wakaona
@salmakirundu2076
@salmakirundu2076 4 ай бұрын
Isha wewe nani humuogopi mungu
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 4 ай бұрын
Haya mapenzi nilikuaga nayo na kibenten nilipomchoka tu alikoma n mimi nilikua namuendesha zaidi ya hii😂😂😂😂😂😂😂
@ibnnjoka4808
@ibnnjoka4808 4 ай бұрын
Huyu kweli mkurya kiboko
@vailethpauloPaulo
@vailethpauloPaulo 4 ай бұрын
Msamehe bure dada angu please please wewe ni binadamu ni mtu unaeswali watu awajakamilika
@Emiliamercy
@Emiliamercy 4 ай бұрын
Leo nimekuelewaa mama anguh
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
ISHA MASHAUZI NIKO SINGLE / SICHAGUI KAZI / AISHA MASHAUZI SINAN RAFIKI MARAFIKI KWENYE KAZI ZANGU
13:47
Darassa & Harmonize - Mazoea (Visualiser)
3:22
Darassa
Рет қаралды 7 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 125 М.
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН